Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Naam habarini wakulungwa mabaharia.

Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona

1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.

Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.

Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.

Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.

Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani

Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1

Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.

Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.

Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.

Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.

Thank you.
Yote maisha tu, kupanga ni kuchagua😂
 
Mwandiko na statements zako zinatia mashaka sana
Ukizidiwa kubali2. Yaishe kwenyesifa acha tu nisifie maana hakuna namna...kama uliona ile clip ya mtoto wa simba chawene alicho wafanyia wanaume na mvi zao ..wakafyata mkia na imani wewe huwezi subutu kitendo kile cha kishujaa ni mfano tu najarbu kuelezea. .
 
Ni family Friend wetu,akamwambia maza Likizo naomba walete watoto kwangu.

ilikua likizo ya pasaka "wiki 1" tu tukafika ukiachama na uzuri wa lile jumba ambalo macho yalishalizoea..

ukiachana na thamani za ile nyumba ambayo macho yalishazizoea,kisanga kilichoniacha mdomo wazi ni CHAKULA.

Picha linaanza usiku dinner naona jikoni ugali unasongwa,wali unapkwa,Pilau linapkwa,Ndizi zinapkwa,Achana na manyama manyama na vitoweo vingine.

Fresh nkasema labda kuna wageni, Mida ya kula imefika kwenda mezani Meza refu hiyo hapa na kuleee ina futi zisizopungua 10 urefu wake.

Ukijisevia unasimama unapta hotpot moja moja, Mjomba hiyo siku nilihisi ntajinyea.

Nilikula si mchezo,halafu sasa watu uliza tulikua wangap Mimi na dogo 2 house girls (ambao sikuwaona mezani kabisa) wao wanalia huko huko jikoni.

so uktoa wageni sisi kuna maza house (tunamwita aunt) asie hata na undugu na sisi (ila ana pesa) ndio mana akawa aunt etu.

jumlisha na bro mwingine Jumla mtu nne tu pale dining ila bufeeee ni la watu wasiopungua 8 na wote wanakula na kusaza.

Hiyo haijaishia hapo,tumekula tumeshiba,Asubuhi Chai mezani mimi huyooo wahi jikoni kupasha Kiporo, si nikakutwa napasha pilau na wali ili nikanywee chai..

Bwana weee house girl waligombezwa ile siku sijapata ona, kisa eti ni kwann hawakumwaga viporo wanaacha watto tunataka kuvila viporo, jamani jaman nikamwambia Aunt kiporo kitamuu, Aunt akaniambia weee hebu kakae seblen dada atawapkia Pilau na Wali mnywe chai.

Kachukue juice upunguze njaa ngojea dada akapke plau.

Basi dada wakaambiwa chap chap watupkie plau na wali la kunywea chai, Viporo vishamwagwa hapo.

ki ukweli ile nyumba sijawahi isahau mpaka na kesho..

Halafu kuamka na matongo tongo usoni ni kutokana na maisha yetu na vitanda tunavyolalia.

Jamani ile nyumba sijawahi amka nina matongo tongo machoni yani kama Mandonga vile, Nikiamka kama sikua nimelala, Na nikilala kama Nimeamka yaniii.

Wajomba tutafteni pesa Tutafteni pesa.. watu wana maisha bwana.
 
Hiyo nyumba tumeingia mchana nimechoka kukaa ndani nataka nikatembee huko nnje, natoka getini mlinzi ananikataza kutoka nnje kwa miguu ananiambia hapa ukitaka kutoka nnje omba GARI kwa mama utoke,huu mtaa haruhusiwi mtembea kwa miguuu.

Basi hata nikienda dukani ni gari inawashwa Shwaaaaaaa,

Nikisahau vocha nataka kurudi dukani nawasha gari shwaaaaa naenda dukani..

Hapo ndani kuja gari za wageni,gari za maza house, gari za watoto wa mwenye nyumba, Gari za safari.. yani ni ka show room kamoja kamejitenga pale ndani.. Maisha haya nyiee
 
Chai ya rangi
 
Mkuu hio ni movie gani [emoji23]
 
Naam habarini wakulungwa mabaharia.

Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona

1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.

Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.

Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.

Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.

Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani

Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1

Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.

Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.

Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.

Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.

Thank you.
Panga siku uje utembee kwenye ngome Yangu ao wote ulowataja ni Wa kawaida
 
Walai nimechekaa sana wee jamaa🤣🤣🤣
 
Huyo mwenye pesa kupindukia uliekutana nae yupo hata kwenye watu 50 wenye pesa hapo bongo??? au watu 100 wenye pesa East Africa?? Au unazungumzia watu wenye pesa kupindukia za mawe Mererani.???Nimeshawahi kunywa baa moja na kuongea kidogo na mmoja wa watu 50 wenye pesa duniani na alikua wa kawaida sana na very humble person na sikuweza kumtambua kama ndio tajiri mwenyewe hadi nilipotambulishwa maana jamaa alikua wa kawaida sana . Google Richard Branson utaona anamiliki nini na nini na ana pesa ngapi.
ulikutan naye wapi huyu Mmarekani.?
 
Naunga mkono hoja kuna nyumba mie nimeingia Sanaa Dar kutoa huduma aisee kuna watu wanaishi bhnaa sio mchezo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom