Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Kua kwanza halafu utembee kidogo ukaoshe macho nje ya nchi..Hivyo ulivyosimulia hapo ni ushamba wa hali ya juu haahaaha. umetoka huko kwenu singidani sasa hivyo vya Arusha unaona ni mbinguni.
Unaweza ukaona lakini usione ndani..nikama ikulu unaiona kwanje ilivyo lakini ndani hujaingia..minnachozungumzia umeshawahi kukutana na mtu mwenyepesa kupindukia sio kuwaona tu kwenye TV, point yangu ndohyo tu
 
Epuka kupenda kulewa na watu waliokuzidi uwezo na usiowajua kiundani, pesa huleta matamanio/hobby za ajabu. Unaweza fanyiwa kitu kibaya kwa uanaume wako na usiwe na pakwenda.
Sakila siku utalewa na maskini wenzako. .utawasimulia nn bora uwe maskini uliyechangamka au sio bhana. .Nb usilewe kupitiliza watapita na wewe
 
Naam habarini wakulungwa mabaharia.

Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona

1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.

Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.

Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.

Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.

Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani

Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1

Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.

Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.

Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.

Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.

Thank you.
Hakuna tajiri Arusha in mbwembwe za watu wa kaskazini tu. Hii ni chai tu
 
Unaweza ukaona lakini usione ndani..nikama ikulu unaiona kwanje ilivyo lakini ndani hujaingia..minnachozungumzia umeshawahi kukutana na mtu mwenyepesa kupindukia sio kuwaona tu kwenye TV, point yangu ndohyo tu
Huyo mwenye pesa kupindukia uliekutana nae yupo hata kwenye watu 50 wenye pesa hapo bongo??? au watu 100 wenye pesa East Africa?? Au unazungumzia watu wenye pesa kupindukia za mawe Mererani.???Nimeshawahi kunywa baa moja na kuongea kidogo na mmoja wa watu 50 wenye pesa duniani na alikua wa kawaida sana na very humble person na sikuweza kumtambua kama ndio tajiri mwenyewe hadi nilipotambulishwa maana jamaa alikua wa kawaida sana . Google Richard Branson utaona anamiliki nini na nini na ana pesa ngapi.
 
Utajiri upo kwenye madini, kilimo, nishati hasa uzalishaji mafuta ya kuendesha mitambo na magari, kutatua shida za kiroho za watu uganga, unabii na utume, kwenye siasa, kwenye shughuli yeyeto ya black market. Ni wewe tu
 
Tegeta nyuki? Hii ninayoijua mimi?
Kwa nilivyo isoma story yako siku ukifika Dar mitaa hii utajua hujui huku ndiko matajiri walipo sasa, huko unapo pataja ni chamtoto tu, siku ukifika Dar temebelea mitaa hii na mrejesho ulete.[emoji116]

1. Masaki
2. Oysterbay
3. Mbezi Beach
4. Tegeta Madale,Masaiti,Nyuki
5. Bahari Beach
6. Ununio
7. Mbweni
8. Tegeta "A"

Kwa ujumla kwa Dar, wilaya ya Kinondoni ni ya moto sana kwa makazi na location kali za kuishi halafu zina fuata zingine kama Kigamboni n.k
 
Huyo mwenye pesa kupindukia uliekutana nae yupo hata kwenye watu 50 wenye pesa hapo bongo??? au watu 100 wenye pesa East Africa?? Au unazungumzia watu wenye pesa kupindukia za mawe Mererani.???Nimeshawahi kunywa baa moja na kuongea kidogo na mmoja wa watu 50 wenye pesa duniani na alikua wa kawaida sana na very humble person na sikuweza kumtambua kama ndio tajiri mwenyewe hadi nilipotambulishwa maana jamaa alikua wa kawaida sana . Google Richard Branson utaona anamiliki nini na nini na ana pesa ngapi.
Tatizo kuna watu wanapesa hata kuwaliko hao waliopo kwenye numbers...mfano lowasa anaukwasi wakutisha mbowe ana pesa chafu marehem mengi anapesa yakutisha lakini kwenye orodha hawapo kama kina balesa kikwete nk
 
Ameshajieleza ni Kijana wa bustani naona kajitahidi.

Sasa ndio msomeshe Watoto, kama unavyoona Jamaa ana jambo zuri la kusimulia lakini changamoto ni namna ya kuwasilisha.
Hivo Hivo tu haturembi mwandiko..tunatumia kishikwambi
 
Chuga kuna madon jeuri ..emu ulizia vzr kuna madon wa Dar walikuwa wanakuja Chuga kula bata nandinga za maana , lakin wakifika Chuga madon wachuga wanazivua kwadau lolote lile kama wakizielewa..ukiingia club za Chuga ukiwakuta madon wanakula vyombo lazima ukute chuma zimekaa mezani kuepusha usumbufu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom