- Thread starter
- #61
Inawezekana kikubwa kujiongeza. na mabiasharaYaani umetaja list ya mafisadi Tanzania kuishi maisha kama hayo bila wizi haiwezekani.
Inawezekana kikubwa kujiongeza. na mabiasharaYaani umetaja list ya mafisadi Tanzania kuishi maisha kama hayo bila wizi haiwezekani.
Badilisha vijiwe unavyokaa jitahidi hata upate mchepuko uko exposed Kidogo akuonyeshe maisha yalivyo. Unakuja hapa kushangaa zulia jekunduNaam habarini wakulungwa mabaharia.
Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona
1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.
Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.
Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.
Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.
Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani
Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1
Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.
Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.
Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.
Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.
Thank you.
Sio haya mazulia ya red carpet.namanisha zulia laikulu kuna muhuni kaweka ndani kwake nawala hawaziBadilisha vijiwe unavyokaa jitahidi hata upate mchepuko uko exposed Kidogo akuonyeshe maisha yalivyo. Unakuja hapa kushangaa zulia jekundu
Kunasehem in chuga ..inaitwa cheka ung'atwe hapo mkuu ukifika inatakiwa uso wamee ukicheka tu machalii wana kungata ndosheria yake hiyoChalii za arusha kwa kusifia hamjambo🤣🤣🤣
Ukizidiwa kubali2. Yaishe kwenyesifa acha tu nisifie maana hakuna namna...kama uliona ile clip ya mtoto wa simba chawene alicho wafanyia wanaume na mvi zao ..wakafyata mkia na imani wewe huwezi subutu kitendo kile cha kishujaa ni mfano tu najarbu kuelezea. .Baharia mbona unaaibisha chama unawasifu vip wanaume wenzio
MkuuKwa nilivyo isoma story yako siku ukifika Dar mitaa hii utajua hujui huku ndiko matajiri walipo sasa, huko unapo pataja ni chamtoto tu, siku ukifika Dar temebelea mitaa hii na mrejesho ulete.
1. Masaki
2. Oysterbay
3. Mbezi Beach
4. Tegeta Madale,Masaiti,Nyuki
5. Bahari Beach
6. Ununio
7. Mbweni
8. Tegeta "A"
Kwa ujumla kwa Dar, wilaya ya Kinondoni ni ya moto sana kwa makazi na location kali za kuishi halafu zina fuata zingine kama Kigamboni n.k
Nilishatoboa sema juhudi zawalimwengu kunirudisha nyumaKwa mipango hiyo 99 uliyonayo (bila shaka), nawe utatoka tu!
😂😂😂😂Nilishatoboa sema juhudi zawalimwengu kunirudisha nyuma
Zimefanikiwa naanzia 30 mpaka 99
Kwani mi ni chawa kama baba levoKaribu kwangu pia uje unipaishe huku na mimi chali wangu
Umenifuraisha Sana mkuu hii comment watu wanaishi bwana hii duniaUnunio nilijua ni hotel zile kuuliza ni nyumba za watu ....maisha haya
Ana maajabu ganiKuna regional manager wa bank flan kule kanda ya ziwa ..sio poa aseee kuna watu wana ishi peponi matajiri wengi uwekeza kwenye estates
Yaan daaa,mpaka natamani ningekuwa mwanaume labda ningefanya hata Kaz hatarishi nami nijengeUmenifuraisha Sana mkuu hii comment watu wanaishi bwana hii dunia
Mada imeachwa watu wanaanza battle ya mji upi una matajiri wengi 😂😂😂Kwa nilivyo isoma story yako siku ukifika Dar mitaa hii utajua hujui huku ndiko matajiri walipo sasa, huko unapo pataja ni chamtoto tu, siku ukifika Dar temebelea mitaa hii na mrejesho ulete.
1. Masaki
2. Oysterbay
3. Mbezi Beach
4. Tegeta Madale,Masaiti,Nyuki
5. Bahari Beach
6. Ununio
7. Mbweni
8. Tegeta "A"
Kwa ujumla kwa Dar, wilaya ya Kinondoni ni ya moto sana kwa makazi na location kali za kuishi halafu zina fuata zingine kama Kigamboni n.k