Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Nimeamini Tanzania yangu kuna watu wana hela

Kwa nilivyo isoma story yako siku ukifika Dar mitaa hii utajua hujui huku ndiko matajiri walipo sasa, huko unapo pataja ni chamtoto tu, siku ukifika Dar temebelea mitaa hii na mrejesho ulete.[emoji116]

1. Masaki
2. Oysterbay
3. Mbezi Beach
4. Tegeta Madale,Masaiti,Nyuki
5. Bahari Beach
6. Ununio
7. Mbweni
8. Tegeta "A"

Kwa ujumla kwa Dar, wilaya ya Kinondoni ni ya moto sana kwa makazi na location kali za kuishi halafu zina fuata zingine kama Kigamboni n.k
Miaka kadhaa nyuma nikiwa Dar nahudhuria kozi fulani, nikiwa naishi kwa Ndugu maeneo ya Upanga na mafunzo nayafuata Mwananyamala.

Kuna chocho nilikuwa nakatiza jirani au maeneo ya salenda bridge kama kumbukumbu zi sawia, ambapo nilikuwa napita nje ya Geti moja la maana sana na hiyo nyumba kwa nje ilikuwa inajieleza yenyewe.

Basi siku ya siku kama kawaida nakatiza huku nyuma yangu wanakuja Jamaa wengine wawili, hamadi kwa mara ya kwanza nikakutana na geti ndio linafunguliwa Gari litoke....aise nilichokiona pale ndani ni balaa...basi wale jamaa waliokuwa nyuma mmoja akamwambia mwenzake...hii nyumba nikilala humu asubuhi mtakuta nimekufa...sikumuelewa na kwa bahati mbaya sikuwa sehemu ya mazungumzo yao hivyo kila mmoja aliendelea na safari yake.
 
Kuna watu wana ishi bwana lakini kamwe tusitamani huwezi jua wanao ishi humo ndani wana raha na amani ya moyo ama la?
 
Haha jamaa bana umenichekesha sana ile laki 5 tu nliyokupa umekuja kuanzisha uzi, haya bana ndo nimerudi na ndege ya usiku kutoka ile safari ya mwanza niliyokwambia njoo tumalizie ile kazi yetu
 
Kwa nilivyo isoma story yako siku ukifika Dar mitaa hii utajua hujui huku ndiko matajiri walipo sasa, huko unapo pataja ni chamtoto tu, siku ukifika Dar temebelea mitaa hii na mrejesho ulete.[emoji116]

1. Masaki
2. Oysterbay
3. Mbezi Beach
4. Tegeta Madale,Masaiti,Nyuki
5. Bahari Beach
6. Ununio
7. Mbweni
8. Tegeta "A"

Kwa ujumla kwa Dar, wilaya ya Kinondoni ni ya moto sana kwa makazi na location kali za kuishi halafu zina fuata zingine kama Kigamboni n.k
Mbweni pamoto mkuuu .kule tulifika kuulizia kiwanja bei yake nisawa nakujenga ghorofa tegeta..mbweni kule si mkuu wa Tiss anaishi pale nlishafika mpaka kwake tuka piga kaz
 
Kumbe ma-don wanakula vyombo ndan ya machimbo yasofikika.Ndo maana so rahis kuwapata mitaani wamelewa!

Ila kuna mmoja alijificha lakini zikamiumbua live bungeni @#kitwanga tz
Hahaha kuna huyo sasa makongoro..machimbo aliyokuwa ana chili huwezi amin ila ni mtu peace balaa anapenda mziki wakofii ekotite...ukimkuta kachili kwenye v8 plate number ya UN huwezi amin ilo vibe lake
 
Naam habarini wakulungwa mabaharia.

Nihivi nilikuwa nasimuliwa kunawatu nchi hii wanaishi kuliko mfalme ..ntataja niliowaona

1: Kuna kipindi nilivyo kuwa chuga nilifanikiwa kwenda kufanya kazi kwa mchaga flani pande za njiro.

Meneja wa precision Air tawi la Tz, asee hiyo nyumba ulinzi uliopo noma, nyumba imetulia imejitenga flani hivi nje kumependeza nilikaa nusu saa lakini niliona. Ni kama nimeongeza miaka 2 ya kuishi, watu wanakula maisha bwana usipime.

Ya 2: Huko chuga niliingia kwenye nyumba ya jamaa mmoja kipindi hiyo chuga ebwanaee yule jomba sjui ni 'freemason' nyumba nzima imewekwa zuli jekundu kama lile la ikulu vyumba vyote kila. kwenyekona kuna flat skrn zile za touch bei yake uspime. Nje kunagari benz×3 imepata pacha hyo ilikuwa mpya lakini kaicha inachakalia hapo kuuliza hana mda wakupeleka gerej.

Nimekaa dakika mbili napiga kazi hata sjamaliza naskiaaa toooka kijana achahyo kaz shika hela yako. Naondoka nawai ndege sahv naelekea mwanza nkirud nitakutafuta ..Nkicheki nshavuta jiwe 5 nikatimka moyoni nasema kuna watu wanahela.

Ya 3: Nikiwa chuga kuna waziri mmoja mstaafu awamu ya Kikwete tulienda kupiga kazi kwake ebwana kunawatu wanahela ndani

Kuna mabwawa manne
yenye aina mbalimbali za samaki, nyumba 3 kali, mandari kali ,yaani haichoshikutazama :sema nlicho mkubali huyu wazir yupo simpo sana baada ya kumaliza kazi day1

Akavuta K Vant kubwa mbili tukawa tunakunywa taratibu stori zake sasa. Anasema kijana zangu mikipindi hicho nipo China ghorofa refu zaidi dunian niko chumba chajuu sjui 800 huko 900 nikama niko nje yadunia nimekaa miezi 6, mara anasema minikiwa nimeboeka nampigia padri nan sjui aniandalie nyumba huko moshi kwenye makaz yao kisha Naenda kutuliza akili huku nakula mvinyo wa Jerusalem.

Anasema sehemu hiyo ndochimbo analolipenda kunafanya akili irelax.baada ya K Vant kuisha stor nazo zikaishia hapo na waziri flani.

Niliingia nimepauka nikatoka na meremeta.

Unaweza na wewe kuongezea uliwahi kutana na mtu mwenye pesa hadi uka shangaa.

Thank you.
Kua kwanza halafu utembee kidogo ukaoshe macho nje ya nchi..Hivyo ulivyosimulia hapo ni ushamba wa hali ya juu haahaaha. umetoka huko kwenu singidani sasa hivyo vya Arusha unaona ni mbinguni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom