Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Kama sikosei hiki ndicho kilichomkimbiza huyo ndugu. Huu wehu utakuwa ulianza kabla hajaamua kuanza mbele.
Kama hujaona tofauti basi pole sana ndugu.. Ila ukiuliza mwanaume kamili hatakuacha bila nasaha.
 
To cut the story short! Nafasi bado iko wazi, namaanisha hakuna mpangaji nije tuongeza kontena lingine juu, au kula raha mama!
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Mkuu, kwanza kabisa nikupe pole kwa kuachana na uliyekua ukimpenda,

Lakin pia nipende kukupongeza saaaana sna kwa kua na ubinadamu, nahiili swala nimeliona kupitia huu uzi wako ndani ya hii platform, nikiwa namaana kwamba niwatu wachache sana wanaojitahid angalau kuyajua mema na mazuri ya mpenzi au mchumba baada ya kuachana, wengi wao hapenda kutukana, kulaumu na kuombeana hata mabaya kabisa, all the way mapenzi sio uasama, mapenzi ni makubaliano, mapenzi sio vita.

Congratulations to you.
 
Kama unamuona online,
Jaribu kumtumia text ya kuonesha tone of appreciation kwamba unamshukuru kwa wema wake na umefikia wapi mpaka sasa ...umshukuru kwa yeye kua part ya maisha yako .

Trust m hata asipojibu ila atatabasamu kimoyo moyo hahahaha

NB : usimtumie text ya mapenz ,just shukuru

Chukua huu ushauri...!
 
NI HIVI
Aliumia sana kukuacha, nafsi ilimsuta akaona asikuache bila chochote. Pengine aliona mlipoteza mda mwing mkiwa pamoja naww ukawa mwwminifu kwake. Bila shaka hujawah hata kumkera
Possible kbsaaa
 
Ujue nilikufungulia duka ili usiwe kila kitu waniomba mimi, ila chaajabu hata nilipokufungulia hilo duka bado ratiba zako zakuniomba pesa ziliendelea kama kawaida.
Huwa hawasemi...wanasepa kimya kimya tu....hahaaaaa joking
 
Back
Top Bottom