Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,418
Pole sanaI did and he saw it and kept quiet.
Pole sanaI did and he saw it and kept quiet.
Anafeli sana hazard cfc , anauza ramani ya vita hivi hiviKwahio unawa-encourage watutegeshee?!
Huu ni ukweli wenyewe sasaNI HIVI
Aliumia sana kukuacha, nafsi ilimsuta akaona asikuache bila chochote. Pengine aliona mlipoteza mda mwing mkiwa pamoja naww ukawa mwwminifu kwake. Bila shaka hujawah hata kumkera
Ni muda gani umepita tangu akuache?Kwakweli moyo wangu unaniambia nivute subira huenda atarudi
Maajabu haya!! Wee ni mwansmke wa kwanza kusikia UNAKIRI fadhila na msaada ulofanyiwa na MAN!!Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Na hao wanawake wajinga wamo humu piaAt long last l have a seen a lady appreciate an x boyfriend. Naomba ukawe balozi kwa wale wanawake wajinga ambao ukiwagusia mapenzi wanasema wanaume wote baba mmoja mama mmoja.Nakerekaga sana na hiyo kauli basi tu siwezi kubadilisha kitu.
Chloe 92Nimecheka sijui umewaza nini
Ndivyo ilivyo, kuna mdada mmoja alinifaa sana wakati nipo chuoni. She helped me to the maximum, she only requested love from me! Unfortunately that was the thing I couldn't give to her.Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Nipo za siku?We upo jaman
Nimekumiss
NzuriNipo za siku?
Sema humjui mkewe (sio hana mke)Hilo nina uhakika nalo, hana mke.
Hii hata yeye hajasema i
Na wewe ni tabia zako?Mkuu ukila na kipofu usimshike mkono......chama cha wanaume kitakushtaki kwa kutoa siri za ndani.
Ukweli mtupuAlichokifanya hakina tofauti na wale wanajenga mansion wakiwa na wake zao halafu siku ya siku mwanaume anakimbia mansion na kwenda kuishi nyumba ya chumba kimoja.
So huenda kwake ilikuwa salama kukuachia hilo duka kuliko kuendelea kuwa na wewe