Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,105
- 9,115
Ataenda kutanga tanga huko achunwe weee jua likizama sasa ndio atamkumbuka huyu dada na kutafuta pakujihifadhi...Sisi wanaume kuna vitu huwa tunavisababisha wenyewe;atakuwa amepata mbadala,warembo ni wengi wa kila namna.
Dada vuta subira atarudi huyo