Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Hii ni style mpya ya kutafuta mume ila nakuombea upate
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Yawezekana kunakitu alikigundua kwako au yeye mwenyewe anacho ambacho aliona akikuambia hicho kitu utaumia sana na ukizingatia alikupenda mpaka akakuvusha akakupeleka mahali flani pa juu, akaona isiwe taabu ngoja apotee kimya kimya. That man is a real gentleman, i also appreciate him, endelea kumwombea, kunamsemo unasema " If you need something too much let it go, if it comes back it is because it was yours and if it doesn't, it is because it was never meant" so lelax dada zingatia biashara yako aliyokuachia kama ishara ya kumbukumbu yake muhimu kwako.
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Kwel ubarikiwe san ni wachache wanakumbukag fadhil wngne mkishachan hawasem ata asante [emoji91][emoji91][emoji8]
 
Umechora vizuri!
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
 
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Pole sana
 
Back
Top Bottom