Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Je mawasiliano yapo? Au ndio hamuonani kbs? Labda alifariki? Maana siku hizi kumaliza mwaka ni shughuli kweli kweli! Hebu fuatilia hayo halafu utupe mrejesho wake!
Ha ha ha

Eti kumaliza mwaka ni shughuli kwelikweli[emoji16][emoji16]
 
Kwa wanaume ni kawaida hasa kama nimeamua kwa hiari kulingana na sababu binafsi ila naweza pia kumuacha mtu kushingo upande akawa Kala buku kumi tu roho ikaniuma kuliko niliyempa pesa
 
Nilishauliza alinijibu amegundua kuwa hataweza kunioa hivyo tusipotezeane muda.
Jibu ni rahisi amepata mwingine na huenda kuna kasoro aliziona kwako na haziondoki ina maana ni za kudumu hivyo hawezi kukuoa,, wengine huchunguza makabila Fulani au ukoo katika kabila Fulani hivyo huamua kimya maana akikuambia utaumia sana na utajikatia tamaa ya maisha Kwa kuwa sehemu ya ukoo au kabila fulani,, huo ni mtazamo Wangu kulingana na maelezo yako mkuu kuna watu wengine hulaani jamii zao kuoa jamii Fulani sasa inapotokea ukaangukia bila kujua unapokuja kujua unatakiwa ufanye maamuzi magumu huku unaumia
 
Hahahaa sijacheka mkuu ila nimesikitika kikabila
Nilikuwa kama mwehu siku za kwanza niliandika WhatsApp message kama zote sasa ninatumia ubongo zaidi nimeacha kumpata mbadala si sasa bado ninampenda
 
Alichokifanya hakina tofauti na wale wanajenga mansion wakiwa na wake zao halafu siku ya siku mwanaume anakimbia mansion na kwenda kuishi nyumba ya chumba kimoja.

So huenda kwake ilikuwa salama kukuachia hilo duka kuliko kuendelea kuwa na wewe
Na inaonesha ulivyopata mafanikio kuna tofauti aliona
 
Kama ww ni mchaga ata sitak kufikiria kwann mzee Mkubwa aliondoka..
 
Back
Top Bottom