Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu zaidi kukubariki.
Hongera sana, wako wengi waliofanyiwa makubwa kuliko na "wana wa kiume"
Lakini wako kimya kabisa na hawana hata asante ya moyoni
Lakini wachache waliofanyiwa mbaya kidogo tu kuonjeshwa, wana kelele hadi dunia nzima itajua
Lakini wewe umekuwa wa tofauti
Wanaume smart wengi sana
 
Back
Top Bottom