Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 40,710
- 63,393
ha ha hahaMkuu umeamua kuchukua majukumu ya ZERO IQ hongera sana
ha ha hahaMkuu umeamua kuchukua majukumu ya ZERO IQ hongera sana
ha ha ha haBluetooth
Wacheka nini saasaha ha ha ha
Nimefurahi mkuu,na hizi ndoto za usikuWacheka nini saasa
HahahahahRafiki naona leo umeibuka na Shela lako![emoji16][emoji16][emoji16]
Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
HayaNimefurahi mkuu,na hizi ndoto za usiku
Mkuu hata mimi akili bado inasoma haijaoaya jibu.Ndugu yangu hii ishu haiingi akilini, yani mwanaume akufungulie duka halafu akuache?!! Embu eleza upande mwingine wa thumni ulimfanyaje hadi akafikia hatua hiyo?
Je mawasiliano yapo? Au ndio hamuonani kbs? Labda alifariki? Maana siku hizi kumaliza mwaka ni shughuli kweli kweli! Hebu fuatilia hayo halafu utupe mrejesho wake!Hana mke labda awe amoa sasa. Nilikuwa na uwezo wa kukaa kwake hata wiki mbili
Mhh akiwa on line ninamuona hataki tu kuongea na mimiJe mawasiliano yapo? Au ndio hamuonani kbs? Labda alifariki? Maana siku hizi kumaliza mwaka ni shughuli kweli kweli! Hebu fuatilia hayo halafu utupe mrejesho wake!
Mhh akiwa on line ninamuona hataki tu kuongea na mimi
Kama unamuona online,Mhh akiwa on line ninamuona hataki tu kuongea na mimi
Kumpiga kwa namba nyingine hakusaidii akisikia sauti yangu atakata simuUlidumu nae kwa muda gani,? Lbd kuna kitu jambo ulimuudhi ndio maana kaamua kukaa pembeni! Maana wanaume tuna wivu mbaya sana, siku nyingine jaribu kumpigia kwa no nyingine uone kama hatapokea au atapokea, lkn nadhani atapokea kwani hatajua kama ni ww!
Asante sana, ninaufanyia kazi ushauri wako.Kama unamuona online,
Jaribu kumtumia text ya kuonesha tone of appreciation kwamba unamshukuru kwa wema wake na umefikia wapi mpaka sasa ...umshukuru kwa yeye kua part ya maisha yako .
Trust m hata asipojibu ila atatabasamu kimoyo moyo hahahaha
NB : usimtumie text ya mapenz ,just shukuru
Asante sana, ninaufanyia kazi ushauri wako.
Hana churaSababu ya kukuacha ni nini?
Hapana