Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Nimeachwa na mwanaume baada ya kunifungulia duka

Hongera zako kwa kazi nzuri ya kuweza kuongeza ukubwa wa duka. Usichoke jitahidi ufungue lingine. Kama hutamind kwanini alikuacha pamoja na kuwa msaada mkubwa sana kwako kimaisha?

Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.

Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.

Pamoja na yote Mungu zaidi kukubariki.
 
Hawezirudi huyo mkuu,sasa hivi watu wanakamatia ile mbaya,na wakishamjua ni mtu wa maendeleo na ana huruma,inakuwa shida tupu;cha kufanya kuza biashara yako,huku ukiangalia mbadala wake.
Naona unajisogeza taratiiibu
 
Hawezirudi huyo mkuu,sasa hivi watu wanakamatia ile mbaya,na wakishamjua ni mtu wa maendeleo na ana huruma,inakuwa shida tupu;cha kufanya kuza biashara yako,huku ukiangalia mbadala wake.
Nilikuwa kama mwehu siku za kwanza niliandika WhatsApp message kama zote sasa ninatumia ubongo zaidi nimeacha kumpata mbadala si sasa bado ninampenda
 
Back
Top Bottom