Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,190
- 128,264
sawa nitakuja weekend hii.
Aisee...hapa natafakari ombi la simu, tena nimeambiwa iwe Samsung Galaxy!Hao ndio wanaume sasa.
ndiyo ili mtoto awe mrithi wa mali zilizotokana na duka.Are you serious? Hivi suala nyeti kama hilo unaliongelea as if ni boksi la biskuti la kumpa tu mtu[emoji134][emoji134][emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] toa tu baba sasa utafanyaje?!!![emoji1745][emoji1745]Aisee...hapa natafakari ombi la simu, tena nimeambiwa iwe Samsung Galaxy!
No wonder!!ndiyo ili mtoto awe mrithi wa mali zilizotokana na duka.
usiamini sanaHilo nina uhakika nalo, hana mke.
Mkuu ukila na kipofu usimshike mkono......chama cha wanaume kitakushtaki kwa kutoa siri za ndani.Inawezekana mkewe yuko sehemu nyingine;ukitaka kuthibitisha hilo nenda pale ulipokuwa unakaa naye wiki nadhani majibu utapata;nasema hivyo kwa sababu hata mimi kuna sehemu nilishakaa zaidi ya mwaka mbali na mke,na wengine wakajua sijaoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hana mke labda awe amoa sasa. Nilikuwa na uwezo wa kukaa kwake hata wiki mbili
Hakika.Nampa heshima huko aliko.
Nipo serious...tena ungekuta wapo pamoja jadi leo,mtoto ni kiunganisho bora sana kwenye mahusianoAre you serious? Hivi suala nyeti kama hilo unaliongelea as if ni boksi la biskuti la kumpa tu mtu[emoji134][emoji134][emoji134]
Bora amekuwa mkweli, just move on.Nilishauliza alinijibu amegundua kuwa hataweza kunioa hivyo tusipotezeane muda.
😎😎😎😎[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wenzio tulikaa miezi and yet alikuwa mume wa mtu, kwa hawa viumbe lolote linawezekana.
Kwahio unawa-encourage watutegeshee?!Nipo serious...tena ungekuta wapo pamoja jadi leo,mtoto ni kiunganisho bora sana kwenye mahusiano
Yaani acha tu, mwaka mzima ndio nikaja kujua ukweli, shikamoo wanaume[emoji119][emoji119][emoji119]😎😎😎😎
Wafanye hvyo ila pia waangalie hali ya mwenza wake...kama anakipato cha kuridhisha anambebea tu,hakuna mwanaume anamkimbia mwanae kama anauhakika n wakeKwahio unawa-encourage watutegeshee?!
Not always, to some its a trap.Nipo serious...tena ungekuta wapo pamoja jadi leo,mtoto ni kiunganisho bora sana kwenye mahusiano
Acha ubishi!Hilo nina uhakika nalo, hana mke.
Amegundua tabia yako siyo nzuri bora ajitoe mapema.Huyu mwanaume alinifaa kwa hali na mali. Nilikosa ajira akanifungulia duka. Aliniacha mwaka mmoja ukuopita lakini sijaweza kumsahau. Ana akili sana na alikuwa mshauri wangu mkuu.
Ninatamani aje aone maendeleo yangu, duka limepanuka na nimeongeza na container ninauza vinywaji.
Pamoja na yote Mungu azidi kukubariki.
Of course hawez kukujibu at instant... Ila atatambua unauthamini mchango wake katika maisha yakoI did and he saw it and kept quiet.