Chloe 92
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 568
- 822
Nimecheka sijui umewaza nini
Au wewe ni mama D wa kwenye Naipenda Jumamosi yangu ? all the best
Au wewe ni mama D wa kwenye Naipenda Jumamosi yangu ? all the best
Itakuwa ukata umemkumba si unajua awamu hii hakuna upigaji wa kijinga jinga. Mie mwenyewe nimepunguza sana michepukoSababu ya kukuacha ni nini?
Unaonaje nikiwa nakupoza na kukupapasa hapa na pale wakati unamsubiria?Kwakweli moyo wangu unaniambia nivute subira huenda atarudi
Bas kuna siri chini ya kapet! Umesema uko wapi nikutembelee tuyajenge, Binafsi sioni haja ya ww uendelee kuumia wakati mtumiaji mwingine nipo!Kumpiga kwa namba nyingine hakusaidii akisikia sauti yangu atakata simu
I did and he saw it and kept quiet.Kama unamuona online,
Jaribu kumtumia text ya kuonesha tone of appreciation kwamba unamshukuru kwa wema wake na umefikia wapi mpaka sasa ...umshukuru kwa yeye kua part ya maisha yako .
Trust m hata asipojibu ila atatabasamu kimoyo moyo hahahaha
NB : usimtumie text ya mapenz ,just shukuru
Kama mama yake alishamfungulia?Huyo jamaa Ni mjinga Hana akili
Si Bora angeenda kumfungulia duka mama yake
Shukuru Mungu dada. Wenzie hatuachwi hata na buku ya kumbukumbu
Are you serious? Hivi suala nyeti kama hilo unaliongelea as if ni boksi la biskuti la kumpa tu mtu[emoji134][emoji134][emoji134]Pole sana..ungempa zawad ya mtoto
Kwamba una quality zote za kuwa mchepuko/girlfriend ila sio mke?Hana mke labda awe amoa sasa. Nilikuwa na uwezo wa kukaa kwake hata wiki mbili