Majina yao halisi ni ngumu sana kuyajua, isipokua ni wepesi kujua majina hya aina zao. Mfano kwenye biblia wameitwa beezzerbul au kitu kama hivyo,kiyahudi wapo kina baharatin, Kiarabu wapo kina Maimun . Wengine kama Lucifer.inawekana ndio huyu Ifrit.
Kiswahili tunasikia mizimu, mapepo, makata, yote hio ni kijumla jumla,, lakini kama tulivyo na majina yetu na wao wana majina yao, au ya iukweli zu ya ya uongo au ya kubuni watajijua wenyewe. kama wewe hapo siamini kama mkereketwa yule ni jina lako ulilopewa na wazazi wako, au mimi ni sio jina langu simba, ni majina ya kijini tu haya, yaani ya kuficha ukweli.
Simba.