Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kuna kisa cha Zanzibar niutakileta.

Kuhusu majini, yapo kila sehemu, kwa kila binadam mmoja kuna majini elfu moja kwa uchache.
Simba.
Najihisi kuna nguvu sio ya kawaida imefunga uwezo wangu wa kufanya mambo yangu kwa uendelevu. Nafanya vitu naishia mwanzoni au katikati.
Inawezekana ikawa ni majini?
 
Majina yao halisi ni yepi sasa?
Majina yao halisi ni ngumu sana kuyajua, isipokua ni wepesi kujua majina hya aina zao. Mfano kwenye biblia wameitwa beezzerbul au kitu kama hivyo,kiyahudi wapo kina baharatin, Kiarabu wapo kina Maimun . Wengine kama Lucifer.inawekana ndio huyu Ifrit.

Kiswahili tunasikia mizimu, mapepo, makata, yote hio ni kijumla jumla,, lakini kama tulivyo na majina yetu na wao wana majina yao, au ya iukweli zu ya ya uongo au ya kubuni watajijua wenyewe. kama wewe hapo siamini kama mkereketwa yule ni jina lako ulilopewa na wazazi wako, au mimi ni sio jina langu simba, ni majina ya kijini tu haya, yaani ya kuficha ukweli.
Simba.
 
Najihisi kuna nguvu sio ya kawaida imefunga uwezo wangu wa kufanya mambo yangu kwa uendelevu. Nafanya vitu naishia mwanzoni au katikati.
Inawezekana ikawa ni majini?
Kuna mengi sana zaidi ya majini, kuna husuda yaani kijicho, kuna uasherati unafunga mambo.

Kipimi chake ni kuacha maasi na kufanya ibada. Ibada inaua vyote hivyo. kama unafanya maasi halafu unalalamika mambo hayaendi, ni kwenda kutafuta mchawi wakati mchawi ni wewe mwenyewe.

Kwa sisi Waislam mtu hasali, hafati mema yote anayofundishwa Kiislam halafu analalamika mambo hayaendi? huyo wa kumshauri na kumsihi afanye kuishi inavyotakikana Kiislam sio kutafuta tatizo wakati tatizo ni yeye mwenyewe.

Dalili za uchawi na kurogwa zipo, lakini kinga ni ibada. Kuna siku tutaleta kujua mtu alierogwa kwa kumuona tu mara ya kwanza, bila yeye kusema tatizo lake.
Simba.
 
Hivi roho ya mtu unaionaje hii safi, hii sio safi?

Qur'an
17:85.
Na wanakuuliza khabari za Roho. Sema: Roho ni katika mambo ya Mola wangu Mlezi. Nanyi hamkupewa katika ilimu ila kidogo tu.85
Kweli kabisa, elimu ya roho waliojaaliwa ni wachavhe na kwa uchache sana. Tuelimishane.
Simba.
 
Okay..

Swali nilishauliza na jibu nilijibiwa kwamba utanielekeza wewe ......na asubuhi post yako number 1342 umenijibu.

Imetokea post yako number 1068.

Arsis alinijibu post number 1038 baada ya kuuliza swali post number 1023.

Natumaini nimerefer vizuri umenielewa vzr.

Nitazirudia posts hizo, nione yunafanyaje.
Simba.
 
Kuna tofauti ya malaika / mizimu na majini. Waarab nijuavyo mimi kwa elimu yangu ndiyo majini haswa.
Neni jini ni la kiarabu linatokana na neno Jan au kifoicho, kisichoonekana. Mfano hapa hata mimi nawewe ni majini. Kwa sabau wote tumejificha hatuonani wala kuonekana, hata majina yetu halisi tumeyaficha.

Jinni kwa mujibu wa Arsis, hata wanaoisoma Qur'an wakiisoma vizuri watakuta kuna sehemu inamaanisha kikundi cha watu waliojifica, wenye siri. Mfano mimi nikija nakuchekea, nakudanganya lakini nia yangu ni kukudhuru, bila wewe au wengine kujua, basi mimi tayari ni jini, ingawa umeniona.
Simba.
 
Hivi Yesu si mnasema ni Mungu? Kama ni kweli aliwaumba majinni na mashetani?
Arsis anasema labda kwa wanaitikadi Yesu ni Mungu, neno Mungu linamaana tofauti na uijuavyo wewe Muislam. Ametoa mfano wa wamisri wa kale, wana mungu wa kila kitu, hivyo hivyo wagiriki. Kua na miungu wengi ni upagani. Kama wanaamini Yesu ni Mungu na Yesu ana Mungu wake, huo ni upagani.

Hakuna tatizo hapo. Imani yao na yako ni tofauti.
Simba.
 
safi sana umefanya vema..ila huu uzi ni wa miaka mingi huo udongo atakuwa bado nao kweli mpaka sasa tena ule original.?
Ungepiga simu, kaweka namba za simu. FF kasema yeye anautumia mpaka leo. Mimi nimeununua si zamani sana, kwa sabau hizi habari za tiba ya huo udoongo sijajulishwa zamani sana na Arsis, nilikua siujui.
Tena mimi sina namba ya simu, ila leo nimeipata. Matatizo ya ngozi yameingia, watu wanapiga magita mjini huko kama hawana akili vizuri. (kupiga gita ni kujikuna).
Simba.
 
Mwisho wa huu uzi kuna watu watalia, nimekaa hapa nafatilia kwa ukaribu. Naona ni mtu ana akunti kadhaa au ni kundi la watu wanacheza na akili za wana JF mwisho wa siku vichwa maji wataingia kwenye 18.
Yaani jini lije kuandika humu JF!? Hahahahaha kweli akili nywele.
Hilo la jini limeelezewa kwa kina. Arsis mara chungu nzima kasema yeye sio jini, yeye ni mtu.

Hivi unaelewa kua hata wewe ni jini? Kwa maana ya neno jini. Una hasira kali sana, poa.
Simba.
 
Acha kutuona wajinga, unavyoforce story yako ionekane ya kweli ndo unazidi kuharibu. Huyo Arsis wako baki naye kichwani maana hayupo so acha upuuzi andika story tuburudike tu.
Sawa. Asante kwa ushauri wako. Usiwe mjinga.
Si wale wachawi na wanga uliyosema.

Wewe Simba kuwa Chura Kiziwi kwake. Hawa wa JF tuwachie sisi tumewazowea miaka sasa.
Acha ni chat nae tu. Usijali.
 
Haelewi maana ya jinni huyo, tuwachie sisi tutampa darsa.
Ukienda kule Tanga jioni mabara barani unakuta wabibi wamevaa zao mabaibui ya uzi ya kiasili ya zamani yale kabisa wanauza samaki ,kalimati na mikate ya kumimina ,wale wabibi ukinunua kwa mwenzake anakukata bonge la jicho la chuki na anaweza kukusindikiza na zongo ukaharishe mbele huko, basi sikufichi kila nikiona avatar yako nakumbuka wale wabibi wa Tanga we mbibi
 
Hivi Yesu si mnasema ni Mungu? Kama ni kweli aliwaumba majinni na mashetani?
Aliwaumba ndio pamoja na viumbe wengi wengine wenye kuonekana na wasioonekana. Ndiye boss wa wanadamu na majini yote pamoja na mashetani wote. Huwezi kuwa na hao mnaita maruhani ukataja Jina la Yesu alafu maruhani yanaendelea kukupenda. Jaribu hilo.
 
Ukienda kule Tanga jioni mabara barani unakuta wabibi wamevaa zao mabaibui ya uzi ya kiasili ya zamani yale kabisa wanauza samaki ,kalimati na mikate ya kumimina ,wale wabibi ukinunua kwa mwenzake anakukata bonge la jicho la chuki na anaweza kukusindikiza na zongo ukaharishe mbele huko, basi sikufichi kila nikiona avatar yako nakumbuka wale wabibi wa Tanga we mbibi
Uoga wako tu, soma dua za kuendea sokoni na madukani.

Avatar yangu haikukumbushi mamake Yesu? Sijamuona picha yake akiwa kichwa wazi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom