Ukitaka kupata elim usiwe na haraka... Haya mambo yanahitaji utulivu wa hali ya juu!!
Halafu usipende kuweka vitabu mbele kwenye kila jambo,,, unakuwa umejiwekea ukuta kupata elim
(Hiyo biblia unayoiamini kupita kitu chochote kasome vizuri history yake.... Baada ya kupotea kwa miaka 600 warumi waliipeleka wapi, kasome mwenyewe uelewe haya mambo yamekaaje
Halafu nan kakwambia waislam hawako contact na malaika [emoji848]
Sisi tumepewa elim ambayo walotutangulia kwenye imani hawakuwa nayo...... Sisi tunaelim yenu yote ila nyie hamna elim yetu[emoji1666]
Maana muislam anasoma Taurat , Zaburi na Injili.... Tafsiri yake yeye anajua vyote kuwahusu ila ukristo haujui chochote kuhusu Qur'an
Note: Mungu kawaumba wanaadam ili wamuabudu.....
Haya turudi kwenye structure ya ibada kwa mwezi mzima
JUDAISM [emoji117] Wanaswali mara 90 mwez mzima (mara 3 kwa siku)
Wakristo[emoji117] Wanaswali mara 4 kwa mwezi
Waislam [emoji117] Wanaswali mara 150 kwa mwezi
(We unadhani kwa akili tu ya kawaida ni kina nani hapo walio bora zaidi mbele za Mungu?
Maana ubora wa mtu zaidi ya mwingine unaletwa na kufanya ibada sana)
Anyway sipendelei sana kubishania mambo ya kidini hapa.... Ila tuheshimu hizi dini zetu jamani!!!
Wengine tukisikia dini yetu imetukanwa roho inakosa amani
Bwana Simba akizungumza chochote hapa, hii haina uhusiano wowote na uislam[emoji1666]
Kwahyo unapozungumzia uislam na kuusema vibaya sababu ya maneno ya mtu unakosea Sana!!!!
Pia yeye amna sehemu kahusisha uislam kwenye uzi wake, yeye anatoa mkasa wake wenye mazingatio na elim na alhamdulillah watu wanapata elim..... Mbona mnapenda chokochoko[emoji124][emoji124][emoji124]