Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Nimefurahi sana kwa hilo swali lako, hilo amenielezea zamani sana. Ni kisa kirefu kidogo,

Kwanza alikua ananielezea kuhusu dunia, kwanza yeye anakataa kua dunia haipo duara kama tunavyoaminishwa na sayansi. Pili anasema hiz nyita wanasema ni kubwa ni waongo wana sayansi, hizo nyota anasema ni kama ilivyosemwa kwenye Qur'an ni mapambo kwa hii dunia. Pia anasema hakuna nyoita inayozidi tani kumi ukubwa wake, wanasayansi ni waongo. Na vimondo ndio hizo nyota. Ka ufupi sana jibu ndio hilo, mbele huko kisa kikifika sehemu hiyo nilipouliza utakisikia kwa kina.

Majibu ya Arsis yanaweza kukuachia maswali mengi sana. Ni vizuri kua hilo alinijibu zamani.
Naona unajibu kwa uzoefu wa Quran ukiwa umejificha kwenye kichaka cha Arsis! Dunia siyo flat, kama ni flat tueleze tunapataje usiku na mchana (mawio na machweo)?
 
UISLAMU NA MAJINI KWANINI VINAENDANA? HATA WACHAWI NI SWALA TANO.
Wachawi wako jamii zote na dini zote,tatizo mnapenda sana kunyooshea mikono dini za wenzenu,**** wamama kanisani hawakosi na wanafuga misukule sijui unajua hilo?

Kuna manabii wachawi wanatumia jina la yesu kama nembo tu lkn ni ushirikina mtupu,acheni ujinga
 
Watu wengi hapa wapo interested na story, wewe kama bingwa wa kujua sana “elimu” ya majini, anzisha uzi wako. Kimsingi unaonekana wewe ni mshirikina sana, ndiyo maana unafanya vurugu.

Halafu checkbob mtanashati, kuwa mshirikina “au kamu”?
Sio ushirikina ni elimu hiyo .
 
Po
Nina shida ya mgongo nimepatwa na shida ya mgongo na uvimbe kwenye korodani bila sababu, sijapata ajali wala nn, hospital xrays zinabadilika kutokana na maeneo yanayouma muda huo. Imefikia ktk uti wa mgongo unauma kwa sasa siwezi kukimbia hata kuruka hatua moja.

Ninewafikia baadhi ya wataalamu kila mmoja kwa wakati wake wamekuwa na jibu moja yaani watano na jibu ni moja ila hakuna aliyefanikiwa kunisaidia.
Napata maumivu yanayohimilika wakti mwingine hayahimiliki kabisa. Misuli ya mgongoni inauma na pia kusimama imekuwa kazi wakati mwingine hata kukaa! Naomba msaada wanajamii.
Pole sana kwa mitihani
 
Mwanzoni nilianza kuuamini huu Uzi na visa vyake mpaka pale kiumbe Arsis alipoanza kujibu straight maswali ya wadau humu ndiyo nilipopata shaka na ujibuji wake wa maswali na maswali yenyewe-ni aidha hana huo uwezo na elimu niliokuwa naufikiria mwanzo au huu uzi umejaa vitu vya kweli kiasi na vyakusadikika vya kutosha.

Nitaendelea kuufuatilia ila kwa madhumuni ya kujiburudisha na kujifunza kwa masimulizi ya visa vyake.
sasa mkuu labda maswali yaliulizwa hayakuwa na uzito au hayakuwa deep yalikuwa mepesi tu hivyo hayakuhitaji majibu mazito..kama ww una mashaka na majibu waliojibiwa wengine basi ww ulikuwa na nafasi ya kuuliza hayo maswali yako mazito mazito ili upewe majibu ya maana lakini ulijificha hukujitokeza sahv ndo unaibuka kuanza kulaum majibu kama unaona wenzio walishindwa kumchallenge ww ulikuwa wapi ufanye maajabu upate kuridhika!
 
Jumapili njema.

Nauliza tena.
Katika Dini inayotumia kitabu cha Biblia ikiwemo Ukristo Kuna Amri zinazo ainisha kuwa, ili uhesabike haki ni lazima uzifuate hizo Amri zote.
Na Ubatizwe.

Katika Agano la kale kulikuwa na Amri Kumi alizopewa Musa.
Eg. Usiue, Usizini, Usiseme uwongo, nk.

Katika Agano Jipya Kuna Amri Mbili tu
1. Kumpenda Mungu kwa dhati
2. Kumpenda Jirani kwa dhati.
Ukimpenda Jirani huwezi, kumwibia, kumwua, kumsingizia nk.

Je katika Dini ya Kiislamu Amri zake.
1. Zinasemaje ?
2. Ziko ngapi ?
3. Zimeandikwa wapi ?
4. Kwanini hawabatizwi ?

Niulizeni kwa Arsis,
Wewe si unasema ulikuwa muislamu,how come hujui mafundisho ya uislamu?

Unajua kwanini huwa mnabaatizwa?

Kila kiumbe hapa duniani huzaliwa katika mila ya kiislamu, uislamu ni kunyenyekea na kujisalimisha kwa Mungu mmoja tu,sasa mnabaatizwa ili muingie katika mila nyingine tofauti na mpango wa Mungu

Asante
 
Wewe ni mshirikina, Arsis kakandia mambo ya jini maiti na chano kuwa ni ushirikina. Lakini wewe unabisha kwa kuwa ndiyo mambo yako.

Kimsingi, una dalili zote za ushirikina, mabandiko yako yote, yanaonyesha wewe ni mchawi.
Huyo arsis ni member tu kama wewe ,hana analojua kuhusu majini.

Hata elimu kale na watu kale kama alivyojinasibu anafahamu habari zake ameshindwa kuzisema.

Nimeuliza kuhusu maisha ya Kisisina hajui.
 
sasa mkuu labda maswali yaliulizwa hayakuwa na uzito au hayakuwa deep yalikuwa mepesi tu hivyo hayakuhitaji majibu mazito..kama ww una mashaka na majibu waliojibiwa wengine basi ww ulikuwa na nafasi ya kuuliza hayo maswali yako mazito mazito ili upewe majibu ya maana lakini ulijificha hukujitokeza sahv ndo unaibuka kuanza kulaum majibu kama unaona wenzio walishindwa kumchallenge ww ulikuwa wapi ufanye maajabu upate kuridhika!
Ipo siku ukweli utajulikana, lkn hapa hamna kitu.
 
Unamaanisha Yohana Mbatizaji alikuwa anaigiza.
Nabii ambaye Yesu alimwelezea kama Nabii aliye kuwa mwadilifu kupita Manabii wote.

Pia Yesu Kristo aliigiza kubatizwa na Yohana, na kuigiza kuagiza waumini wabatizwe.

Ndio maana tunawaambia Ukristo haupimwi na Uislamu.

Hizi Dini mbili ni tofauti kabisa kwa kila kitu.
Kama mpaka leo bado mnaamini aliegiza movie ya yesu ni yesu mmejaza sanamu zake makanisani na majumbanii na mnamuabudu kwenye misalaba mmemuweka japo mnajua yule ni Kama kanumba tu Kuna kipi utanieleza nikaelewa...??
 
Arsis Assalaam Alaykum. Binti yangu ana miaka 12 sasa ila tatizo la kujikojolea kitandani linamsumbua sana, tumejaribu hospital na tiba za asili bila mafanikio. Naomba muongozo wako. Shukrani.
Naomba nikupe uzoefu wangu kidogo,je aliangaliwa na wataalamu wa kibofu pia?

Kuna binti yangu naye alisumbuliwa sana shida kama hiyo,baadae ikajulikana kibofu kimejiminya kidogo,akafanyiwa operation ndogo mpaka leo yupo okay,ebu hilo nalo ulichek
 
Wewe si unasema ulikuwa muislamu,how come hujui mafundisho ya uislamu?

Unajua kwanini huwa mnabaatizwa?

Kila kiumbe hapa duniani huzaliwa katika mila ya kiislamu, uislamu ni kunyenyekea na kujisalimisha kwa Mungu mmoja tu,sasa mnabaatizwa ili muingie katika mila nyingine tofauti na mpango wa Mungu

Asante
Waislamu na Wakristo wengi wamerithi hizo Dini kutoka kwa wazazi wao.
Mimi pia ilikuwa hivyo.

Nilipo anza kusoma Biblia na Qurani niligundua kuwa hizi ni Dini mbili tofauti kabisa.

Mfano: kwa mujibu wa Qurani Yesu sio Mwana wa Mungu.
Kwa mujibu wa Biblia Yesu ni Mwana wa Mungu.

Hapo hapatakiwi kubishana.
Bali pa kusema Dini ipi inasema nini na kwa sababu gani.

Mimi nilianza kuisoma Biblia baada ya kufundishwa na Wamisheni Wakatoriki.
Kabla ya hapo sikuwa na elimu ya dini zaidi ya kusoma Aya kwa kujifurahisha tu.
 
Ndio nikasema wewe hukuwa muislamu na hujui chochote,ungejua uislamu hata huko usingeenda

Yesu ndio sio mwana wa mungu hata biblia yako inakir hivyo,kuna mistari mingi sana watu wengi wanaitwa wana wa mungu,kwahiyo siyo ajabu yesu kuitwa mwana wa mungu

Nipe andiko moja yesu anasema kwa kauli yale kuwa yeye ni mungu

Pili yesu amekiri mara kadhaa kuwa yeye ametumwa na baba yake,kumbuka kusema baba yake haimaanishi kuwa ni mwana wa mungu,sawa sawa na wewe usema baba yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako..... je mungu atakuwa baba yako?
 
Arsis Assalaam Alaykum. Binti yangu ana miaka 12 sasa ila tatizo la kujikojolea kitandani linamsumbua sana, tumejaribu hospital na tiba za asili bila mafanikio. Naomba muongozo wako. Shukrani.
Nilipitia hayo wakati nipo mtoto nilichapwa,nilikunywa Kila dawa sikupona nilitembezwa mtaani na godoro ila sikuweza kuacha kukojoa nikawa naambiwa utakojoa mpaka uko kwa mumeo ila nilipofika la 7 nikawa sikojoi tena kitandani naamini akikaribia kukua anaweza kuacha japo tusubiri jb inawezekana kuna dawa ila mtoto kikojozi anakuwaga na bahati sana na akili
 
Kama mpaka leo bado mnaamini aliegiza movie ya yesu ni yesu mmejaza sanamu zake makanisani na majumbanii na mnamuabudu kwenye misalaba mmemuweka japo mnajua yule ni Kama kanumba tu Kuna kipi utanieleza nikaelewa...??
Mimi siamini katika Sanamu.
Watakuja Wakatoriki kukujibu.

Mimi pamoja na kufundishwa na Wakatoriki baada niliuhama Ukatoriki.
Na moja ya sababu ni kushirikisha Sanamu katika mambo ya Ibada.
Niliwauliza hawakunipa jibu la kuniridhisha.
Mimi huwa nahoji sana hadi ndani ya Imani yangu.
 
Nielezee kuhusu Chane.
Kwanza ni Chano sio Chane vurugu nyingi uzi wa mwenzio kumbe wataka kujifunza si ungetuliza komwe lako kuliko chai chai haya sindikiza na maandazi.

Navyojua Chano hupewa kwa makubaliano mfano unataka jambo flani unaongea na jinn akifanikisha unarudisha chano kingine.

Kuna kikubwa na kidogo vinapangwa kwenye sinia majani ya migomba halwa tende zabibu kavu hiriki mdalasini ndizi pukusa rose sherbet maji ya zamda arki rose essence maji ya zamzam mkate wa mchele hauna hamira pasipasi(manukato al oud) misk oud gulab jamn muwa asali fanta orange mirinda nyeusi(ila zipo zenyewe kwenye chupa walipewa zamani wagonjwa ukikosa basi soda) maziwa mtindi kahawa mpaka henna dhahabu kama jinn la kike kifupi ni hivyo navyokumbuka
Kisha inategemea jinn mwingine anakula anakula mwenyewe vingine anawapa mle mwingine kiwekwe kwa kufunikwa na kitambaa cheupe au chekundu inategemea siku 3/7 kisha kikatupwe baharini kwa Dar najua Salenda bridge kule chini na kurasini.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom