- Thread starter
- #1,001
Alipotezwa na nani?Mdogo wangu alipotezwa toka mwezi Mei je, naweza kupata taarifa zake kama bado mzima au amefariki maana nishaenda kwenye mamlaka lakini sioni mwanga na ukizingatia wahusika ni watu wazito?
Alipotezwa na nani?Mdogo wangu alipotezwa toka mwezi Mei je, naweza kupata taarifa zake kama bado mzima au amefariki maana nishaenda kwenye mamlaka lakini sioni mwanga na ukizingatia wahusika ni watu wazito?
Vitu vya kawaida sana hivyo sio vya miujiza. Kama ni ndoto nzuri usimuhadithie mtu kama ni ndoto mbaya fata mafundisho ya Waislam ya ibada na dua za kabla ya kulala na sala za usiku.Arsis hivi ina maana gani kumuota mama yangu marehemu mara kwa mara..pia zile ndoto za kuota upo na watu tofauti unakula chakula mfano wali au samaki au kunywa kinywaji rangi nyekundu kisicho na ladha ya utamu hizi ndoto za kula zina maana gani?
Balekh ki sayansi inakuwa kati ya miaka 11-16 hivi au unamaanisha balekh kwa maana akishajitambua tu maana kama ni hiyo ya kisayansi basi ata mtoto wa miaka 7 anaweza ona maika au jini sasa mbona huwa hawasemi kuwa nimeona kiumbe wa tofauti na binadamu ukizingatia mtoto wa miaka saba anaweza ongea vizuri tuBalekh.
Anaweza kuona lakini hatambui tofauti, kwake ni kawaida tu.Balekh ki sayansi inakuwa kati ya miaka 11-16 hivi au unamaanisha balekh kwa maana akishajitambua tu maana kama ni hiyo ya kisayansi basi ata mtoto wa miaka 7 anaweza ona maika au jini sasa mbona huwa hawasemi kuwa nimeona kiumbe wa tofauti na binadamu ukizingatia mtoto wa miaka saba anaweza ongea vizuri tu
kama majina unayo na wapi unajua kwanini hauendi kwa wahusika?Alipokuwa anafanyia kazi na kuishi waliohusika na kazi alipewa mtu aitwae Kelvin kwa kushirikiana na Valens na wengine ambao sijawatambua kumhoji mpaka leo kimya ndugu yetu hajjlikani
Sawa hilo limeisha.Anaweza kuona lakini hatambui gtofauti, kwake ni kawaida tu.
Balekh ya kisayansi au sio kisayansi ni hio hio moja tu.
kama majina unayo na wapi unajua kwanini hauendi kwa wahusika?
Inaonesha unafahamu mengi kuhusu hilo lakini hutaki kuwa muwazi.
Mengi nimeyajua baada ya kufuatilia lakini nimekosa nguvu ya kuwawajibisha ili watoe majibu alipo ndugu yangu?
Saratani inapona na uchawi unatolewa, usiwe na hofu kabisa.Arsis mimi nina kaka yangu ni ana ugonjwa wa kansa ambayo ilianzia Kwenye goti baadae goti likavimba sana, katembea sehemu nyingi sana mahospitali makubwa, kwa wataalam wa jadi lakini wapi. Cha kushangaza sasa anae dai kumloga ni Baba yetu mdogo na katwambia hapo tusubiri Jeneza tu hawezi kupona hata aende wapi. Sasa hii mtu kama huyu unamfanyeje na katoa wapi haya mamlaka ya kumloga na kutangaza kifo chake hadharani?
Hakuna ugonjwa usiokua na tiba.Je , Nini Tiba ya macho kutoona vizuri baada ya kuondoshwa sihri? Je Kuna Tiba yoyote nikutumie, nitaanza kuona kama mwanzo ?
hakuna mahusiano.Je , Kuna changamoto nazopitia/tunazopitia watoto wa familia kama ugumu wa maisha , mambo kwenda mrama nk
sasa zenye uhusiano na maaagano/mikosi ya ukoo? Kwa maana waliotangulia ?
Na je nawezaje kufahamu Hilo (dalili)na Tiba zake zipoje ?
Ahsante.Hakuna ugonjwa usiokua na tiba.
Pima sukari mwilini.
Shukrani.hakuna mahusiano.
Fanya ibada wacha na uasherati na ulevi.
Tafuta zenye Alif Lam Mym hata kama zina herufi nyingne mbele haina neno. Mradi mwanzo kue na Alif Lam Mym.Sawa hilo limeisha.
Swali lingine ni kuhusu ismullah liadwam niikuuliza ukanambia nitafute sura zinazoanzia na Alif Lam Miim majibu ni haya
herufi hizo zinaanza katika Surat baqarah, Surat Al Imran alafu kuna Alif, Lam, Swaad hiyo ni katika Surat Al Aaraf na Alif , lam , Raa katika Surat hud na Alif, lam Raa kwa mara nyingine katika Surat Yusuf na Alif, Lam, Miim , Raa katika Surat Raad na Alif, Laam Raa katika suratul Ibrahim na Alif, Laam, Raaa katika suratul hijr
Hivyo Alif Laam Miim zinaanza katika sura mbili tu.
Ila kama ni lazima alifu Laam na Miim kuchanganyika zinakuwa sura tatu na kama ni lazima moja wapo ya herufi tatu kuwepo tu basi sura zote zitahusika inakuwa ni jumla ya sura 8.
Nasubiri muongozo Arsis kama nimekosea unaweza niambie pia
Nashukuru kwa Faraja hii kwamba tiba ipo. Sasa Arsis naomba umshawishi Simba ajitowe tu anisaidie kwa hili Kaka yangu apone, nahitaji sana msaada wake hapa. Maana hili jambo linaninyima Amani na Furaha muda wote.Saratani inapona na uchawi unatolewa, usiwe na hofu kabisa.
Simba anajua tiba yake lakini hataki hizi kazi kabisa