Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 13,025
- 25,742
Yesu mara kadhaa amejiita kama mwana wa adamu,je wewe nani umuite mwana wa mungu
Mathayo 9:6
[6]Lakini mpate kujua ya kwamba Mwana wa Adamu anayo amri duniani ya kusamehe dhambi, (amwambia yule mwenye kupooza) Ondoka, ujitwike kitanda chako, uende nyumbani kwako.
But that ye may know that the Son of man hath power on earth to forgive sins, (then saith he to the sick of the palsy,) Arise, take up thy bed, and go unto thine house.
Che mittoga