Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Huyo hata JF utamsoma. Unataka kujua nini kuhusu Maalim Kisisina?
Alikua anakunywa chai ya miti shamba sio ya majani ya chai kama wewe.
Simba.
Nataka kujua historia mzima ya maisha yake.

Alipata uchawi kutoka kwa nani?

Uwezo wake wa kufufua watu uliisha baada ya kunyang'anywa kitabu?

Nani mwandishi wa kile kitabu, familia ya kisisina kwa ujumla
.
 
Navyojua Kuna majini wabaya mapepo wachafu wapo wanakaa makaburini kwenye majalala miti mikubwa na kadhalika ambao huwa ni misubian anaweza kuwa wa kutumwa au Akakuvaa tu, unakuta lingine unatambaa kama nyoka lingine vurugu kuunguruma kama Simba mwingine bubu mwingine anakakamaa anakauka kama maiti anazima.
Kama sijasahau Arsis aliwahi kunipa elimu ya asili za majina ya majini.

Subian inatokana na neno Saba au Sheba. Ukisema Subian ni kama kusema wa kutokea Saba. Kuna uwezekanao kua hio saba ndio ilikua utawala wa zamani wa wa mpaka hapa kwetu uhabashi na Yemen. Mara nyingi wanamaanisha jini mweusi ukisikia Subiani.

Hata Bilqis alikua ni Queen wa Sheba kwa mujibu wa wana historia.
Simba.
 
Navyojua Kuna majini wabaya mapepo wachafu wapo wanakaa makaburini kwenye majalala miti mikubwa na kadhalika ambao huwa ni misubian anaweza kuwa wa kutumwa au Akakuvaa tu, unakuta lingine unatambaa kama nyoka lingine vurugu kuunguruma kama Simba mwingine bubu mwingine anakakamaa anakauka kama maiti anazima.
Subiani sio jini mbaya ila jini ambaye usipende kumtumia kulipa visasi.

Yeye kwenye kulipa kisasi anaangamiza familia na ukoo mzima haishii tu kwa mkosaji
 
Navyojua Kuna majini wabaya mapepo wachafu wapo wanakaa makaburini kwenye majalala miti mikubwa na kadhalika ambao huwa ni misubian anaweza kuwa wa kutumwa au Akakuvaa tu, unakuta lingine unatambaa kama nyoka lingine vurugu kuunguruma kama Simba mwingine bubu mwingine anakakamaa anakauka kama maiti anazima.
Unaelewa ni kwa nini , una po dhikiri midundo ya masharifu inabidi uvae vitambaa vya kijani, midundo ya makata na subiani vitambaa view vyekundu ?
Kongowela jide.
 
Unafahamu taratibu za kumtoa mtu aliyepandisha jini maiti?
Bwana wewe usinichoshe usidhani kutoa jini kama kuandika comment zako za Chai JF.

kwa waislamu Kuna visomo vya Ruqia na dawa za kiarabu na msomaji awe Mcha Mungu,na muhusika Aachen mambo machafu ajiweke karibu na Mungu

Same kwa wenzetu.

Hivyo kutoa majini ni uwe na Ucha Mungu au Jeshi la majini wakubwa wa kupambana ambao waganga wengi wana watumishi msiseme waislamu wana majini hata hao watumishi wenu wanatumia sana majini wakubwa kazi zao wanajifanyaga roho mtakatifu ni rohani na wengine wajitia malaika.
 
Mpaka nime miss kudhikiri ghafla

"Maweni maweni dawa

Maweniii, maweni eeeh

Maweni

Maweni eeeeeeh

Maweniiiii

Tukachimbe mti ule dawa

Tukachimbe mti ule dawaaaa"

Hapo ni mwendo wa vishindo na kupiga makofi na kuungurumisha vifua tu

😂😂😂😂😂😂😂
 
Leta vitu mzee wa chai.

Nikuulize kitu?
Simba.
 
Waganga waongo na wachawi wanaojidai waganga, wanaita tu hivyo kutisha watu wajippatie pesa. Huyo ni jini yu hai, anakua ni mtumwa wa kijini aliezeeka sana, anatumiwa kishirikina. Huyo kumtoa ni kama kusukuma mlevi kwa anaejua na mkweli.

Nikupe dawa ya kumkimbiza jini kwenye mwili wa yeyote yule na jini yoyote yule kwa muda?
Simba.
Naomba iyo dawa mkuu maana mke wangu anasumbuliwa na jini mahaba
 
Bwana wewe usinichoshe usidhani kutoa jini kama kuandika comment zako za Chai JF.

kwa waislamu Kuna visomo vya Ruqia na dawa za kiarabu na msomaji awe Mcha Mungu,na muhusika Aachen mambo machafu ajiweke karibu na Mungu

Same kwa wenzetu.

Hivyo kutoa majini ni uwe na Ucha Mungu au Jeshi la majini wakubwa wa kupambana ambao waganga wengi wana watumishi msiseme waislamu wana majini hata hao watumishi wenu wanatumia sana majini wakubwa kazi zao wanajifanyaga roho mtakatifu ni rohani na wengine wajitia malaika.
Huyo ana dhikiriwa tu kawaida anatoka kiwepesi na kuna namna nyingine ya kufanya ila ukikosea huyo mtu anafariki mazima.

Kimbembe zaidi kama huyo mganga hatambuliki na chama Cha waganga na hana leseni ya kutibu.
 
Unaelewa ni kwa nini , una po dhikiri midundo ya masharifu inabidi uvae vitambaa vya kijani, midundo ya makata na subiani vitambaa view vyekundu ?
Kongowela jide.
Sijawahi kushiriki mambo hayo hivyo ni vyema ukiwa nao hao watu uwaulize watakupa majibu sahihi. navyojua rangi nyeupe ya Shariff Nyekundu maimuna kijani daruwesh nyeusi majini wa kiasili.
 
Wana ukumbi,

Narudia tena. Toka jana sijibu mtu PM. Mwenye lake, liwe swali au ushauri au ana tatizo aandike hapahapa jukwaa hili, Tutamjibu hapahapa. Nikimjibu mimi mtaona post nimeiandika simba chini, kama ni kajibu Arsis hamtaonakitu kwa sababu ID imekua ni jina lake.

Ahsanteni.
Simba.
Nimeuliza swali. Naomba jibu.
 
Nataka kujua historia mzima ya maisha yake.

Alipata uchawi kutoka kwa nani?

Uwezo wake wa kufufua watu uliisha baada ya kunyang'anywa kitabu?

Nani mwandishi wa kile kitabu, familia ya kisisina kwa ujumla
.
Siifahamu historia yake

Lakini kama Muislam nadiriki kusema ni mchawi aliekuzwa na wahadithiaji kuliko ukweli.
Simba.
 
Dhikri raha sana.

"Makata wa makatani

Matinda wa matindani

Kitimu timu bahari

Natokea milimani"

Hapo utakuta mwenye jini ana nema tu 😂😂😂😂😂

Akishatoka makata anaingia bedui maana wote ni makamanda na midundo yao inaendana.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Yeye unaweza ukamuimbia wimbo huu .

"Kongowela jide

Kongowela jide

Nyoka mkali wa visiwani ,kongowela jide

Kibuyuni usiende bwana weeeh kibuyuni usiende

Kuna jini mchongoa mawe kibuyuni usieendeee ".
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom