Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hapana, sijawahi kusikia jini akiitwa Wolfgang au John, ni Kina Maiumuna, Zuchu, Muddy, Jafari na wengine wengi wenye asili ya Kiarab. Sasa naelewa kwanini Waarab si watu wa maana.
Nenda Zanzibar wana mashetani yao ya Kibuki ni wakirsto wana asli ya kizungu wafaransa wao ni pombe, u gay u lesbians kila balaa wanalo😄hakuna maimuna wala fatuma majini hayo.

Kama ilivyo Binadamu tuna makabila tofauti dini mila tofauti ndivyo ilivyo kwa majini.
 
Kwa kweli huwezi kuwa mtu wa Duga eti usipajue kwa mzee mabruki hapo maforoni ...haiwezekani!
Pwani ya Mahandakini naifahamu nishapita sana ujanani mwangu kuna chobingo kule za kwendea kenya ule upande wa jasini
Ndio kwa mzee Mabruki mwenyewe orijino, hao wajukuu wote walipiga pesa kupitia mahandaki ya Mapangoni kwa babu yao. Mimi nilikua napigana na spana Dar.
Simba.
 
Kwani wewe ukiwa unaongea sauti yako huwa ina athari gani? Au ulitarajia upate athari ipi?! Aloongea binadamu kama wewe aloumbwa kwa udongo tena kaongea sio kusoma wala kuomba sasa kutakuwa na athari ipi.

Wala usifute comment wacha tuelimike kweli hauko sawa kwa mujibu wa story yako huko juu na kawaida ya majini wakiwa nawe karibu lazima upate athari ndo maana hauko sawa.
Anyway sijui sana ila mbona sauti yake.... Haina athari 🤔🤔

Pia samahani kwa kujifanya mjuaji.. kipindi naandika ile comment sikuwa sawa!!
Samahani sana ntaenda kufuta
 
Una mambo makubwa sana ila kuna mambo hayajajulikana vizuri kwako. Nitapenda kujua zaidi kuhusu wewe na imani yako.
Mimi Simba ni Muislam.

Arsis anasema yeye vyotevyote unavyopenda wewe, ukimuona Muislam anafurahi ukimuona Hindu anafurahi, ukimuona Mkristo anafurahi, anachukia ukimuona mshirikina tu. Anasema yeye hawezi kua mshirikina.
Simba.
 
Uzi huu unamuhusu kila mtu. Maamuzi ni yake.
Simba.
sasa Simba unaonaje pia umwite pia Jini bakora nae atupe elimu ya dawa na mitishamba si umeona watu wengi wanalia shida humu wamelogwa,wanye upungufu nguvu za kiume,wamelishwa uchawi je,autoe vp mwilini,wametupiwa nuksi na vifungo yaani mengi mno..ulisema Jini bakora ndie mkali wa eneo hilo la madawa miti na mizizi mualike hapa JF ajibu kama Arsis basi tupate ufahamu miti dawa na matumizi yake japo kwa uchache tu.
 
Nilichokiona kutoka kwako Simba huna tamaa na ndiyo Mana Arsis alikuchagua
Jumapili njema.

Nauliza tena.
Katika Dini inayotumia kitabu cha Biblia ikiwemo Ukristo Kuna Amri zinazo ainisha kuwa, ili uhesabike haki ni lazima uzifuate hizo Amri zote.
Na Ubatizwe.

Katika Agano la kale kulikuwa na Amri Kumi alizopewa Musa.
Eg. Usiue, Usizini, Usiseme uwongo, nk.

Katika Agano Jipya Kuna Amri Mbili tu
1. Kumpenda Mungu kwa dhati
2. Kumpenda Jirani kwa dhati.
Ukimpenda Jirani huwezi, kumwibia, kumwua, kumsingizia nk.

Je katika Dini ya Kiislamu Amri zake.
1. Zinasemaje ?
2. Ziko ngapi ?
3. Zimeandikwa wapi ?
4. Kwanini hawabatizwi ?

Niulizeni kwa Arsis[/
[/QUOTE]
[QUOTE="Arsis, post: 51214409, member: 741194"]
Ndio kwa mzee Mabruki mwenyewe orijino, hao wajukuu wote walipiga pesa kupitia mahandaki ya Mapangoni kwa babu yao. Mimi nilikua napigana na spana Dar.
[B]Simba.[/B]
[/QUOTE]
 
Waganga waongo na wachawi wanaojidai waganga, wanaita tu hivyo kutisha watu wajippatie pesa. Huyo ni jini yu hai, anakua ni mtumwa wa kijini aliezeeka sana, anatumiwa kishirikina. Huyo kumtoa ni kama kusukuma mlevi kwa anaejua na mkweli.

Nikupe dawa ya kumkimbiza jini kwenye mwili wa yeyote yule na jini yoyote yule kwa muda?
Simba.
Mpaka kufika jibu hili ni wazi kwamba wewe ni mweupe sana kwenye suala la majini.

Sidhani kama hata tukija kwenye mambo ya vitambaa vya kijini kama utaweza kutoa majibu.

Kaa na wakubwa zako wakufunze kuhusu majini maiti, au Kaa na watu walioshuhudia mtu akipandisha jini maiti.
 
Mimi Simba ni Muislam.

Arsis anasema yeye vyotevyote unavyopenda wewe, ukimuona Muislam anafurahi ukimuona Hindu anafurfahi, ukimuona Mkrisyto anafurfahi, anachukia ukimuona mshirikina gtiu. Anasema yeye hawezi kua mshirikina.
Simba.
Arsis ni muislam pia, majibu yake yote yamebase huko tu.
Angekua kiumbe huru majibu yake yangelikua pande yoyote, uandishi, majibu na elimu yake kiujumla imebase kwenye uislam zaidi, kusema vyovyote aonekanavyo ni sawa basi ni kama anakwepa kujianika kama vile ambavyo hataka kujipambanua wazi yeye ni kiumbe wa namna gani.

Kama kweli yupo.
 
Ukitaka kupata elim usiwe na haraka... Haya mambo yanahitaji utulivu wa hali ya juu!!

Halafu usipende kuweka vitabu mbele kwenye kila jambo,,, unakuwa umejiwekea ukuta kupata elim
(Hiyo biblia unayoiamini kupita kitu chochote kasome vizuri history yake.... Baada ya kupotea kwa miaka 600 warumi waliipeleka wapi, kasome mwenyewe uelewe haya mambo yamekaaje


Halafu nan kakwambia waislam hawako contact na malaika 🤔


Sisi tumepewa elim ambayo walotutangulia kwenye imani hawakuwa nayo...... Sisi tunaelim yenu yote ila nyie hamna elim yetu🤝

Maana muislam anasoma Taurat , Zaburi na Injili.... Tafsiri yake yeye anajua vyote kuwahusu ila ukristo haujui chochote kuhusu Qur'an

Note: Mungu kawaumba wanaadam ili wamuabudu.....

Haya turudi kwenye structure ya ibada kwa mwezi mzima

JUDAISM 👉 Wanaswali mara 90 mwez mzima (mara 3 kwa siku)

Wakristo👉 Wanaswali mara 4 kwa mwezi

Waislam 👉 Wanaswali mara 150 kwa mwezi

(We unadhani kwa akili tu ya kawaida ni kina nani hapo walio bora zaidi mbele za Mungu?
Maana ubora wa mtu zaidi ya mwingine unaletwa na kufanya ibada sana)


Anyway sipendelei sana kubishania mambo ya kidini hapa.... Ila tuheshimu hizi dini zetu jamani!!!
Wengine tukisikia dini yetu imetukanwa roho inakosa amani

Bwana Simba akizungumza chochote hapa, hii haina uhusiano wowote na uislam🤝
Kwahyo unapozungumzia uislam na kuusema vibaya sababu ya maneno ya mtu unakosea Sana!!!!

Pia yeye amna sehemu kahusisha uislam kwenye uzi wake, yeye anatoa mkasa wake wenye mazingatio na elim na alhamdulillah watu wanapata elim..... Mbona mnapenda chokochoko🚶🚶🚶
Nimeipenda hii

Kama hajaelewa basi tena,tumpuuze tu
 
H

Hili la ubatizo ni maigizo we angalia umbaji wa Mungu Toka unaumbwa tumboni kwa mama yako mpaka unazaliwa hiyo yote ni mwema ya Mungu alishakuchagua na kukuleta duniani Zen badae mtu anakuja na maji kwenye jagi eti ndiyo anakubariki uwe wa Mungu usipobatizwa we washetani inakuingia akilini hiyo..?!
Unamaanisha Yohana Mbatizaji alikuwa anaigiza.
Nabii ambaye Yesu alimwelezea kama Nabii aliye kuwa mwadilifu kupita Manabii wote.

Pia Yesu Kristo aliigiza kubatizwa na Yohana, na kuigiza kuagiza waumini wabatizwe.

Ndio maana tunawaambia Ukristo haupimwi na Uislamu.

Hizi Dini mbili ni tofauti kabisa kwa kila kitu.
 
Mwanzoni nilianza kuuamini huu Uzi na visa vyake mpaka pale kiumbe Arsis alipoanza kujibu straight maswali ya wadau humu ndiyo nilipopata shaka na ujibuji wake wa maswali na maswali yenyewe-ni aidha hana huo uwezo na elimu niliokuwa naufikiria mwanzo au huu uzi umejaa vitu vya kweli kiasi na vyakusadikika vya kutosha.

Nitaendelea kuufuatilia ila kwa madhumuni ya kujiburudisha na kujifunza kwa masimulizi ya visa vyake.
 
Wewe haupo hapa kwa story au kujifunza lolote, toka bandiko lako la kwanza, ni kama umenuia “kushindana,” kuonyesha mtoa mada kuwa ni muongo na hajui.

Jamaa ni muungwana sana na mstaarabu mara milioni zaidi yako, kaku-accommodate kadri awezavyo lakini bado umo tu…

Sasa unaanza kujipambanua kuwa wewe ni mshirikina hasa. Haya mwenzetu, haya mambo ya majini maiti na huo upuuzi mwingine yanakupa manufaa gani katika maisha haya?
Hana elimu ya majini huyo.

Hata nikimuuliza kuhusu mikondo ya majini haijui.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom