Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Inachekesha kidogo, ila so mbaya.hizo aya u;izoweka soijaona hapo Injil iko wai na kapewa nani?
Injil ipi unayoisoma wewe? Iko wapi? Na sisi tufaidike nayo.
Simba.
Ukisadikia au usisadiki ni haki yako. Mimi nimetaka kujua unaelewa maana ya neno Arsh? Jibu jepesi tu, unaelewa au hulewi.Teh sijajua kwako hili neno "kuelewa" lina maana gani. So huenda ninacho kimaanisha labda kikawa ni tofauti na kile wewe unacho kimaanisha.
Hayo niliyoyasema ni maana nazozijua ama kufahamishwa kuhusu Arsh ila haina maana ya kua ninazisadiki, kwamba ndivyo zinazotakiwa ziwe. Hapa sijui umenielewa ninacho jarib kukimaanisha?
Kusema "sielewi" ikiwa na maana ya kutowahi kusikia habari zake sio sahihi. Naelewa maana ila sijasadiki maana kwani kwangu katika hizo maana naziona kama zina ukakasi.
Kuhusu kuedelea kufatilia kisa, mie nipo Open Minded sana, sijajifunga kwa aina flan ya uelewa. Nimejiweka huru kujifunza kila aina ya elim mwisho kuchukua lile nalo liona lina faida na mimi.
Inachekesha kidogo, ila so mbaya.
Hapo nimezungumzia aya juu ya vitab wala sikuwajibika kusema aya yenye neno injili ndani yake ila kama unataka list ya aya ambazo zinazungumzia Injili utazipata tu.
Moja nainukuu zingine nitazitaja uende ukazisome kwa mda wako.
Al Baqarah 2:241
Al Imran 3:3 (Hii ndio nitainukuu)
View attachment 3099157
Hio list yako haimaanishi chochote.
😎Natamani hii thread iendeshwe kwa mfumo wa kimahakama ! Tuteue mawakili wetu hapa, mawakili watokane na uhodari wao wa majibizano kwa kuzingatia uchangiaji wao wa nyuma pamoja na jaji. Then mnyukano uanze hapa ! Otherwise hii elimu tutapewa kwa kusimangwa kama watoto waliofukuzwa Ada shuleni.
Nimerudi mahsusi kwa kisa cha Adam. Mengine In shaa Allah nitayajibu maswali yote ila kwa sas napitia maswala na majibu kuhusu Adam ili kila swali lijibiwe na kila mmoja wetu arisdhike na jibu. Ndio elimu. Kielimu hatuendi "kama hazina sawa" hio inaitwa "hanging" kielimu, yaani jibu linaloning'inia. Elimu inatakiwa iwe na majibu yenye ushahidi kamili. Ukiacha e;limu inaning'inia ina maana haijaeleweka.Kama hazina sawa, Mimi nishakupa zenye kisa cha adamu.
Muite Arsis ajibu maswali yamekuwa mengi
Hakimu iwe rejea ya mwisho isio shaka, Qur'an kwa wanaoiamini, kwa wasioiamini watasema wao kitabu kipi ndio rejea ya mwisho.Natamani hii thread iendeshwe kwa mfumo wa kimahakama ! Tuteue mawakili wetu hapa, mawakili watokane na uhodari wao wa majibizano kwa kuzingatia uchangiaji wao wa nyuma pamoja na jaji. Then mnyukano uanze hapa ! Otherwise hii elimu tutapewa kwa kusimangwa kama watoto waliofukuzwa Ada shuleni.
Mkuu simba heshima yako, sisi wengine tunakufatilia japo kimyakimya. hongera kwa kushea nasi haya mambo mazito kabisa.
Una pumzi ya uandishi! naungana na wakuu wanaoshauri kuyaweka haya kwenye kitabu chako.
Naomba uzoefu wako kwa mambo haya;
(1) je kuna faida/hasara zipi za mtu kuishi/kuchangamana au kuwa karibu na majini?
(2) pia umesema unaweza kuminya pete na usionekane kwa wengine. je hapo unakuwa katika hali gani? je unakuwa bado na mwili wa kibinadamu/mzimu au? mathalani je unaweza kuingia kwenye daladala au chombo cha usafiri bila kuhitaji mahali pa kuketi au kusimama?
(3) sala na utoaji sadaka vina nafasi gani katika kumlinda mtu dhidi ya uovu wa dunia
Msaada upi uliuhitaji kwangu?Naomba no ya brother wako anipe elimu huyu arsis hamna kitu sio msaada kabisa
Kati ya shirikiano au kushirikiana... na ile ya Binadam kutaka msaada kwa kiumbe kingine. Ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti???? Em nifahamishe hili.Mjadala unabaki Je ni sahihi mwanadamu na majini kushirikiana katika wema mfano
Siingilii swali lako kwa ndugu yangu hapo ila hapa nafaham kua kuna utofauti wa kuabudu na kusali... Ibada na Sala.Hapa mimi nina swali kwenye hoja ya kwanza ya Jini.
Kama jini ni kiumbe cha Allah wameumbwa ili wamuabudu Allah, je majini wanatumia kitabu gani?
Je majini ni dini gani?
Je majini wanaswali wapi?
Je kuna ukweli wowote kwamba kuna binadamu wanatengeneza majini na kuyafuga na kuyatuma?
Naomba na Arsis atie neno kwenye haya maswali yangu yanayonitatiza.
Asante.
Kuna simulizi inaendelea RADIO FREE AFRICA kwenye kipindi cha SITOSAHAU Juma pili saa 4:00 asubuhi .Kuna jamaa naye anasimulia jinsi gani alivyokutana na kuoa jini mpaka kuishi kwao baharini na vitu vingi vya kutisha Tufatilie huko kwa wanaopenda simulizi.Mkuu huu uzi umenitisha na kunifundisha mengi sana ambayo mwanzo niliyajua kwa uchache.
Umenisaidia kuachana kabisa na habari za wanawake pia kuwa makini sana na watu tunaokutana nao.
Bila ibada hawa viumbe wanatuchezea km mpira.
Natamani Kiranga apite huku ila nna wasiwasi atatuharibia uzi.
Kama nitakuwa nimekuelewa una maanisha utofautti kati ya mwanadamu kushirikiana na majini na mwanadamu kutaka msaada kwa kiumbe kingine si ndio?Kati ya shirikiano au kushirikiana... na ile ya Binadam kutaka msaada kwa kiumbe kingine. Ni kitu kimoja au vitu viwili tofauti???? Em nifahamishe hili.
Teh upo sahihi,Maana yangu ni kwamba hizi dini kila mtu anamchukulia mwenzie kapotoka na upande alio yeye ndio upo sahihi!
Yah ndio nilicho kimaanisha na naona umenijibu vizuri nimeridhika.Kama nitakuwa nimekuelewa una maanisha utofautti kati ya mwanadamu kushirikiana na majini na mwanadamu kutaka msaada kwa kiumbe kingine si ndio?
🤣najua una maanisha ushirikiano kati ya mwanadamu na jini
Huyu Roho Mtakatifu ni nani, Em tupe elim tupate kumfaham. Itakua vyema zaidi kwenye maelezo au majibu yako ukianza na maana ya neno "Roho"Hayo mengine uwezi ukasemq Yesu ni Mungu kama Hauongozwi na Roho mtakatifu kukiri icho
Kuna zingine zimegunduliwa huko kwenye bara la Antarctica. Zinafanana na yasemekana ni kubwa zaidi ya hizi zilizopo Misri.Wote wapo.
Pyramids zile za Misri zimejengwa na Wamisri wa zamani.
Zipo nyingi zaidi Sudan na nchi nyingi duniani, zinatofautiana kimo na style za ujenzi tu.
Simba.
ha ha ha kama umeelewa ni vizuri, KaribuYah ndio nilicho kimaanisha na naona umenijibu vizuri nimeridhika.
🤣
Hapana usipige "ramli" ha ha just kidding, Sikumaanisha ushirikiano wa kijini pekee. Nilitaka kuongelea viumbe kwa ujumla wake. Umenijibu vizuri nimekuelewa.
Hapo alipomwambia nenda zako, walikua wana onana ana kwa ana au ilikua kiroho? Nawish kulijua hilo kama hutojali, vile vile na hapo kwenye "Msujudie Bwana Mungu wako, Umwabudu yeye peke yake", Vipi hua unafanya hivyo? Hua unamsujudia Mola wako? Bwana Mungu wako? Mmh? Na kama ni yeye peke yake hao watatu hua wanatoka wapi sasa. Tuelimishe na sie tusio jua tujue.Mathayo 4:10
"Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."
Huh hivi kwani dini ni nini? Iman ni nini? Ningependa kujua mtazamo au ufaham wako kuhusu hili.Imani ndio itamuokoa mtu na sio dini.
Kuhusu kuonana nae au kiroho pitia hilo andiko then tubadilishane uelewa.. ilikua ana kwa ana au kiroho?Hapo alipomwambia nenda zako, walikua wana onana ana kwa ana au ilikua kiroho? Nawish kulijua hilo kama hutojali, vile vile na hapo kwenye "Msujudie Bwana Mungu wako, Umwabudu yeye peke yake", Vipi hua unafanya hivyo? Hua unamsujudia Mola wako? Bwana Mungu wako? Mmh? Na kama ni yeye peke yake hao watatu hua wanatoka wapi sasa. Tuelimishe na sie tusio jua tujue.