Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hii post ina mda, toka 31st August ila ndipo nilipofikia kufatilia uzi huu.

Hili swala la binadam wa kwanza dah 😎...

Em mie nisogee mbele kidogo, japo hua sipendi kuliongelea kwani hua sioni faida yake zaidi ya kujiongezea mkanganyiko. Hii ni tabia ambayo nimejiwekea kua kila chenye shaka hua nakipuuza, I mean sikipi nafasi kwenye ubongo kitawale.

Issue yenyewe ni hii,

Tunaamini kwamba Baba yetu Adam A.S alishushwa kwenye ardhi hii yeye na mkewe, na walipata watoto wawili wa kiume na wawili wa kike (Hawa ni wale wa mwanzo katika kuelezewa kile kisa cha Habil na Qabil).

Tunaambiwa kua Qabil alimuua Habil, na baadae akaenda "upande mwingine" ambako alipata mke na kuoa ndipo akapatikana Idris A.S ama wenzetu wanamuita Enoch.

Je huko alipoenda kuoa Habil ama Cain kama anavyoitwa, walikua ni viumbe gani kama sio watu (Human being)? Na kama ni watu kiumbe jamii moja na Habil ambae anatoka kwa Adam A.S je wao wametoka wapi? Na kama sio viumbe kama Adam je uzao wote wa Enoch ni hybrid?

Issue kama hizi binafs hua zinanifanya jambo au mambo yenye utata niachane nayo. Mwenyezi Mungu pekee ndio ajuae zaidi, kwani ashasema "Ni machache sana tujuayo". Na kwa ukubwa wa ufalme wake hatuezi jua kila jambo isipokua yale aliyoyaweka bayana.

Na kama hajaliweka bayana, kusema tulipate mahala ndio chanzo cha kuingia katika mitego ya Iblis kutupoteza kwani tutaweka kitu kipya katika dini ambacho hakipo.

Hua nawaza sana kwanini Tawheed? na kwanini imechukua mda mrefu sana kufundishwa kwake. Nahisi ni kwasababu ndani yake ndio kuna msingi wa kuumbwa kwetu. Kua tupate kumuabudu yeye Mwenyezi Mungu.

Ila ajab, tunachanganywa, kuvurugana na kutengana kwasabab ya hitlaf katika historia ya zama zilizopita.
Historia uliyotoa nadhani ni kulingana na mafundisho ya biblia vipi kuhusu quran na wanahistoria wa kiislamu wanasemaje juu ya adamu na kizazi chake?
 
Arsis achana nae, yule ni game nyingine kabisa. Yeye haiti jini, yeye anaftuma makamanda wake anachukuliwa jini hukohuko, juu kwa juu, yeye akija ni kafunga kazi tu.

Hio njia yako Sheikh nitaielezea baadae kwa kina zaidi kidogo.
Simba.
kwema ndugu?
nahitaji jini wa kunisaidia shughuli zangu hasa za kudai madeni sugu
 
Wapi Qur'an imesema Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa?

Kwenye hili nipo na Arsis na Simba.
Bado nipo page ya 121 naendelea kuusoma huu uzi. Ila kwe hiyo post yangu juu sidhani kama kuna sehem nimeandika kua Adam A.S ndio mtu wa kwanza kuumbwa. Kama ipo unaweza kui'qoute niirejee.

Desturi yangu hua sisimami na mtu bali na kitabu, I mean Quran. Hua sina tabia ya kumpinga mtu ila hua napenda kumsikiliza kila mtu kile anachoongea kulingana na namna alivyojifunza kisha lile ambalo naona linaafikiana na "reasoning" yangu na pia lenye "faida" basi nalichukua.

Hua sipingi moja kwa moja ama kukubali moja kwa moja jambo ambalo halijawekwa bayana directly katika Quran. Hii ni miongoni mwa taratibu ambazo nimejiwekea.

Nasema hivyo kwanini? Nikutolee mfano nje ya hapa. Katika ukuaji niliaminishwa kua dhambi ya uzinifu ni kubwa kiasi kwamba "Arshi ya Mwenyezi Mungu" hutetemeka kila mara mja aifanyapo. Na nikaamini kweli kweli Sijui ndio "lack of exposure", Idk.

Baada ya kutoka mazingira ambayo nimeyazoea kisha kukutana "walimwengu halisi" nikawa najiuliza kama ni kweli "Arsh inatetemeka kwa haya yanayoendelea ina maana huko kwenye Arsh ya Allaah kuna tetemeko kila sekunde kila nukta hadi mda huu? Mwisho unaona mafundisho yale ni kama "upuuzi° na kuzua.

So utaona kwamba, wote ni waislam na tunaamini katika kitabu kimoja but mafundisho ya hapa na pale ndio yanayotutofautisha kimtazamo na uelewa.

Ukirejea katika hilo Ni sahihi kwenye Quran hakuna paliposemwa moja kwa moja kwamba Adam A.S kua ni binadam wa kwanza, hivo sikubali wala sikatai kwa lugha nyingine niseme sidiriki kitu ambacho hakipo bayana moja kwa moja.

Nasema hivyo kwasabab Quran ni moja, ila mafundisho juu ya Quran yapo mengi na ndio chanzo cha kua na matabaka au madheheb tuliyonayo hivi leo. Waislam tuna kitabu kimoja ila mafundisho tofauti that's why kila mtu ana lake.

Ukiangalia kwe hiyo reply nimesema nasogea mbele kidogo nikawa naongelea watoto wa mwanzo wa Adam A.S kwa mujibu wa mafundisho yaliyopo. Sikutaka kukubali kama Adam A.S ndie binadam wa kwanza wala kukataa. Kitu ambacho naona hakipo wazi hua sijishughulishi nacho.

Hope umenieleea.
 
Bado nipo page ya 121 naendelea kuusoma huu uzi. Ila kwe hiyo post yangu juu sidhani kama kuna sehem nimeandika kua Adam A.S ndio mtu wa kwanza kuumbwa. Kama ipo unaweza kui'qoute niirejee.

Desturi yangu hua sisimami na mtu bali na kitabu, I mean Quran. Hua sina tabia ya kumpinga mtu ila hua napenda kumsikiliza kila mtu kile anachoongea kulingana na namna alivyojitunza kisha lile ambalo naona linaafikiana na "reasoning" yangu na pia lenye "faida" basi nalichukua.

Hua sipingi moja kwa moja ama kukubali moja kwa moja jambo ambalo halijawekwa bayana directly katika Quran. Hii ni miongoni mwa taratibu ambazo nimejiwekea.

Nasema hivyo kwanini? Nikutolee mfano nje ya hapa. Nimekua nikiamini kua dhambi ya uzinifu ni kubwa kiasi kwamba "Arshi ya Mwenyezi Mungu" hutetemeka kila mara mja aifanyapo. Na nikaamini kweli kweli Sijui ndio "lack of exposure", Idk.

Baada ya kutoka mazingira ambayo nimeyazoea kisha kukutana "walimwengu halisi" nikawa najiuliza kama ni kweli "Arsh inatetemeka kwa haya yanayoendelea ina maana huko kwenye Arsh ya Allah kuna tetemeko kila sekunde kila nukta hadi mda huu?

So utaona kwamba, wote ni waislam na tunaamini katika kitabu kimoja but mafundisho ya hapa na pale ndio yanayotutofautisha kimtazamo na uelewa.

Ukijerejea katika hilo Ni sahihi kwenye Quran hakuna paliposemwa moja kwa moja kwamba Adam A.S kua ni binadam wa kwanza, hivo sikubali wala sikatai kwa lugha nyingine niseme sidiriki kitu ambacho hakipo bayana moja kwa moja.

Nasema hivyo kwasabab Quran ni moja, ila mafundisho juu ya Quran yapo mengi na ndio chanzo cha kua na matabaka au madheheb tuliyonayo hivi leo. Waislam tuna kitabu kimoja ila mafundisho tofauti tha why kila mtu ana lake.

Ukiangalia kwe hiyo reply nimesema nasogea mbele kidogo nikawa naongelea watoto wa mwanzo wa Adam A.S kwa mujibu wa mafundisho yaliyopo. Sikutaka kukubali kama Adam A.S ndie binadam wa kwanza wala kukataa. Kitu ambacho naona hakipo wazi hua sijishughulishi nacho.

Hope umenieleea.
Samahani, kuna kitu nataka kuchangia kwenye huo mjadala wako wa zinaa kwa kuuliza;
1) Hilo fundisho la Arsh kutetemeka umelitoa wapi? Una nukuu?
2) Unafahamu maana ya Arsh?
Unafahamu maana ya "metaphor"?
Simba.
 
Dah Mwandishi anazunguka wee, Main key ya Majini ni chache ila mambo yasiyo na maana ni mengi mno
Soma heading, kuna kinachoashiria majini hapo?

Au umejijengea picha kichwani baada ya kuanza kusoma habari za majini?
Simba.
 
Historia uliyotoa nadhani ni kulingana na mafundisho ya biblia vipi kuhusu quran na wanahistoria wa kiislamu wanasemaje juu ya adamu na kizazi chake?
Kwanza nieleweke jambo moja, binafs katika vitabu sina kitu kinaitwa biblia bali injili. Hata katika nguzo ya tatu ya Iman inayosema kuamini vitabu vyake naamin katika injili sio biblia.

Vitabu vyote havipingani bali vinasadikishana. Mfano ni pale Mwenyezi Mungu mtukufu aliposema katika Suratul Baqarah aya ya 87 na 136.

Hapa nitanukuu Tarjama peke yake

87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.

136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

So hapo nimeanza kukuelezea hayo ili usinihusishe na Biblia, na sina hakika kama kuna Muislam anayeijua dini yake vizuri akasema anaiamini biblia bila kukufuru. Ni biblia ndio inaongelea utatu wa Allaah, ni Biblia inayosema Yesu ni mwana wa Mungu, ni Biblia ndio inasema Yesu ni Mungu, So mie kama Muislam hicho sio katika kitab changu kwani kinapingana na vitab vingine bali Injili iliyoshushwa kwa Issa mwana wa Maryam ndio kitabu changu.

Kwani Injili haisemi yote hayo bali inasema kua yeye Issa A.S ni mtume aliyeletwa katika zama zake kufundisha watu wamuabdu mwenyezi Mungu mmoja kama ilivyo kwenye vitab vilivyo tangulia na Quran iliyokuja baada yake. Kwasababu vitabu vya Allah mlezi havipingani bali vinasadikishana.

Mwisho nimalizie kwe hoja yako,

Maelezo yangu juu kwenye reply ile ni katika kutaka kukuonesha mafundisho yanayoongelea vitabu hivi vya dini namna yanavoweza kuzua mkanganyiko kwa kutoa mfano wa mafundisho yaliyopo yanayohusu watoto wa Adam A.S.

Kama nilivyomjibu FaizaFoxy binafs hua sipendelei kujihusisha na jambo ambalo nahisi lina uwalakini. Hasa hasa yanahusu Historia ya zama zilizopita.

Nimejikita katika kujenga Iman yangu tu, kumjua na kumuabudu alieniumba tu kwa kuhakikisha nampwekesha vile anavyohitaji ila sio zile za Nabii flan anaitwa flan au alipaswa kufanya hivi au alifanya hivi na vile kwani hua naona havina uzito katika lengo aliloniumbia Mola wetu mlezi.

That's why na kusoma kwangu kooote yaliyomo kwe huu uzi, cha kwanza na nilitaraji kingekua cha mwisho kureply ilikua ni ile post ya Etugrul Bey alipoteleza kwa kusema kua malaika ni wasaidizi wa Allaah mtukufu.

Wish you kheri bi idhn Llah
 
Samahani, kuna kitu nataka kuchangia kwenye huo mjadala wako wa zinaa kwa kuuliza;
1) Hilo fundisho la Arsh kutetemeka umelitoa wapi? Una nukuu?
2) Unafahamu maana ya Arsh?
Unafahamu maana ya "metaphor"?
Simba.
🤣🤣🤣

Hapana ndugu nadhani itakua hujaelewa mantiki yangu kwe ujumbe huo. Hapo namuelezea "mafundisho ya masheikh wetu yalivyo".

Huo ni mfano wa mafundisho ambayo hata mie nimeyapata miaka hiyo nikiwa mdogo ambayo hayana backup yoyoye katika Quran ambayo nimekuja kuyakana ukubwani. Lakini watu wanayaamini hakika na wanayaishi saaana tu hadi leo.

Hapo huo ni mfano na yapo mengi ya ajabu zaidi ya hayo. Watu wanafundishwa na wanaamini. Kibaya zaidi wanayaona ni sehem ya ibada na ni katika dini.

Rejea tena kuisoma hiyo reply utanielewa zaidi nilikua nampa ujumbe gani katika huo mfano.
 
Nimeisoma vizuri sana post yako, umejibu swali moja katika matatu. Jibu na hayo mawili mengine.
Aungoja nifupishe maswali, nifanye moja moja tu;

Unaijua maana ya Arsh?

Mwaga elimu.
Simba.
 
Unaijua maana ya Arsh?
Yes hili swali nimeliona ingawa sikupendelea kulijibu na nisingependa kulijibu kama nilivyosema awali hua sijihusishi sana na kitu chenye uwalakini au niseme mafundisho ambayo kwangu nayaona kama kuna ukakasi ndani yake.

Moja wapo ni hicho ulichouliza,

Maana ambayo ipo kwenye Quran na maana inayofundishwa kutoka kwa "wafundishaji" ni kama zinapingana.

Kwenye Quran Yunus 3 na Al Muumin 116 zinaisema Arsh kama "Ufalme" cc tarjama ya Al Barwan.

Ukisogea kwa washereheshaji huko wanaisema Arsh kama creation tena yenye nguzo, wengine wanasema iko juu ya maji kwamba inabebebwa na malaika wa ukubwa tofauti tofauti. Kingine wanaongezea kuhusu kursy, ati kiti cha Muumba. Sasa sijui imeandikwa wapi kwamba mwenyezi Mungu anakaa ilhali hakuna cha kufananishwa nae.

So tafsiri kama hiyo inanitosha kutojihusisha na issue kama hiyo ambayo naona ina walakini upande wangu. Vitu ambavyo mtu akiniuliza huwa nina desturi ya kutojibu.

Siezi ku'imagine mola mlezi eti akiwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi halaf katika Ufalme ambao umebebwa na Malaika. That's means Malaika wamembeba Mwenyezi Mungu.
 
Thanks for this very interesting thread, please do us a favour, compile all episodes into thread starter.

Nimesoma page one nikavutiwa sana, nilipokuta kuna pages 128!, nikaishiwa nguvu!.
Please do the needful. Hii story ukiiweka kwenye kitabu kitakuwa best seller!.
P
Tumeweka kwenye thread starter, page #1 ya story, kama ulivyotushauri;

Nilioyashuhudia nilipofunguliwa macho 1
 
Yes hili swali nimeliona ingawa sikupendelea kulijibu na nisingependa kulijibu kama nilivyosema awali hua sijihusishi sana na kitu chenye uwalakini au niseme mafundisho ambayo kwangu nayaona kama kuna ukakasi ndani yake.

Moja wapo ni hicho ulichouliza,

Maana ambayo ipo kwenye Quran na maana inayofundishwa kutoka kwa "wafundishaji" ni kama zinapingana.

Kwenye Quran Yunus 3 na Al Muumin 116 zinaisema Arsh kama "Ufalme" cc tarjama ya Al Barwan.

Ukisogea kwa washereheshaji huko wanaisema Arsh kama creation tena yenye nguzo, wengine wanasema iko juu ya maji kwamba inabebebwa na malaika wa ukubwa tofauti tofauti. Kingine wanaongezea kuhusu kursy, ati kiti cha Muumba. Sasa sijui imeandikwa wapi kwamba mwenyezi Mungu anakaa ilhali hakuna cha kufananishwa nae.

So tafsiri kama hiyo inanitosha kutojihusisha na issue kama hiyo ambayo naona ina walakini upande wangu. Vitu ambavyo mtu akiniuliza huwa nina desturi ya kutojibu.

Siezi ku'imagine mola mlezi eti akiwa amekaa kwenye kiti chake cha enzi halaf katika Ufalme ambao umebebwa na Malaika. That's means Malaika wamembeba Mwenyezi Mungu.
Kama nimekuelewa vizuri ni kua huelewi maana yake.

Mimi nakushauri uendelee kukifatilia Kisa cha Adam kuanzia mwanzo wake, utaielewa maana ya Arsh ka ailivyotumika ndni ya Qur'an. H

izo zote ulizoweka hapo juu ni maana za Maulamaa kwa mtazamo wao au walimu wao.

Twende sambamba na kisa cha Adam ili tujikite kwa kina kwenye Tafsil sio Tafsir.
Simba.
 
Shukran sana.
Sasa nina maswali mengi hapo ila ngoja nikueleze kisa kidogo unakumbuka mwanzoni nilikwambia mwenza wangu anashida ya kusumbuliwa na hao viumbe na nilikuwa namsome ruqya Arsis akanambia kumsomea tu haitoshi inabidi na yeye mwenyewe ajitaidi kufanya ibada na atumie mdalasini na asali, Sasa ibada nilishamwambia toka siku nyingi na siku hizi alhamdulillah anajitahidi kufanya, Hio shida ikimpata huwa namsomea kisha jini linaondoka shida ni kuwa baada ya muda linarudi hali hii ilikuwa inanikera sana nikataka kujua mzizi wa shida hasa ni nini sasa katika kujitahidi nikapata kufahamu njia ya kumuita jini kwa lazima ila nikupitia quran ni aya unaisoma hili ni somo pana sana na mtu anaweza shangaa ipoje hii ndio maana nikakuuliza je arsis anajua njia inayoitwa jinn catching.
Tuachane na hayo ni rudi kwenye jambo la msingi ni kuwa nilimsomea lakini jinn hakuongea , zikapita siku kama tatu hivi siku hiyo usiku ghafla akaja ila hakuwa na fujo kaja kiupole tu kajidhihirisha kupitia mwenza wangu tukaongea pale ila hakuwa na mambo mengi na mimi sikumuuliza niliyokusudia kumuuliza mwisho akaniaga sasa maswali yangu ni haya.
1. Mimi simjui jina wala kabila nitumie njia gani kumuita aje wakati huohuo?
2. Jini huyo anisumbui mimi ni mwenza wangu kuna shida nikimuita mimi maana ahal wangu peke yake hawezi na umesema ukimuita uwe peke yako, Hii ipoje
Kaka ni aya gani izo za kumuita jini
 
Kwanza nieleweke jambo moja, binafs katika vitabu sina kitu kinaitwa biblia bali injili. Hata katika nguzo ya tatu ya Iman inayosema kuamini vitabu vyake naamin katika injili sio biblia.

Vitabu vyote havipingani bali vinasadikishana. Mfano ni pale Mwenyezi Mungu mtukufu aliposema katika Suratul Baqarah aya ya 87 na 136.

Hapa nitanukuu Tarjama peke yake

87. Na hakika tulimpa Musa Kitabu na tukafuatisha baada yake Mitume wengine. Na tukampa Isa, mwana wa Mariamu, hoja zilizo waziwazi, na tukamtia nguvu kwa Roho Takatifu. Basi kila walipo kufikieni Mitume kwa yale ambayo hayapendwi na nafsi zenu, mlijivuna; wengine mkawakanusha, na wengine mkawauwa.

136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

So hapo nimeanza kukuelezea hayo ili usinihusishe na Biblia, na sina hakika kama kuna Muislam anayeijua dini yake vizuri akasema anaiamini biblia bila kukufuru. Ni biblia ndio inaongelea utatu wa Allaah, ni Biblia inayosema Yesu ni mwana wa Mungu, ni Biblia ndio inasema Yesu ni Mungu, So mie kama Muislam hicho sio katika kitab changu kwani kinapingana na vitab vingine bali Injili iliyoshushwa kwa Issa mwana wa Maryam ndio kitabu changu.

Kwani Injili haisemi yote hayo bali inasema kua yeye Issa A.S ni mtume aliyeletwa katika zama zake kufundisha watu wamuabdu mwenyezi Mungu mmoja kama ilivyo kwenye vitab vilivyo tangulia na Quran iliyokuja baada yake. Kwasababu vitabu vya Allah mlezi havipingani bali vinasadikishana.

Mwisho nimalizie kwe hoja yako,

Maelezo yangu juu kwenye reply ile ni katika kutaka kukuonesha mafundisho yanayoongelea vitabu hivi vya dini namna yanavoweza kuzua mkanganyiko kwa kutoa mfano wa mafundisho yaliyopo yanayohusu watoto wa Adam A.S.

Kama nilivyomjibu FaizaFoxy binafs hua sipendelei kujihusisha na jambo ambalo nahisi lina uwalakini. Hasa hasa yanahusu Historia ya zama zilizopita.

Nimejikita katika kujenga Iman yangu tu, kumjua na kumuabudu alieniumba tu kwa kuhakikisha nampwekesha vile anavyohitaji ila sio zile za Nabii flan anaitwa flan au alipaswa kufanya hivi au alifanya hivi na vile kwani hua naona havina uzito katika lengo aliloniumbia Mola wetu mlezi.

That's why na kusoma kwangu kooote yaliyomo kwe huu uzi, cha kwanza na nilitaraji kingekua cha mwisho kureply ilikua ni ile post ya Etugrul Bey alipoteleza kwa kusema kua malaika ni wasaidizi wa Allaah mtukufu.

Wish you kheri bi idhn Llah
hizo aya ulizoweka sijaona hapo Injil iko wapi na kapewa nani?

Injili ipi unayoisoma wewe? Iko wapi? Na sisi tufaidike nayo.
Simba.
 
Kama nimekuelewa vizuri ni kua huelewi maana yake.

Mimi nakushauri uendelee kukifatilia Kisa cha Adam kuanzia mwanzo wake, utaielewa maana ya Arsh ka ailivyotumika ndni ya Qur'an. H

izo zote ulizoweka hapo juu ni maana za Maulamaa kwa mtazamo wao au walimu wao.

Twende sambamba na kisa cha Adam ili tujikite kwa kina kwenye Tafsil sio Tafsir.
Simba.
Teh sijajua kwako hili neno "kuelewa" lina maana gani. So huenda ninacho kimaanisha labda kikawa ni tofauti na kile wewe unacho kimaanisha.

Hayo niliyoyasema ni maana nazozijua ama kufahamishwa kuhusu Arsh ila haina maana ya kua ninazisadiki, kwamba ndivyo zinazotakiwa ziwe. Hapa sijui umenielewa ninacho jarib kukimaanisha?

Kusema "sielewi" ikiwa na maana ya kutowahi kusikia habari zake sio sahihi. Naelewa maana ila sijasadiki maana kwani kwangu katika hizo maana naziona kama zina ukakasi.

Kuhusu kuedelea kufatilia kisa, mie nipo Open Minded sana, sijajifunga kwa aina flan ya uelewa. Nimejiweka huru kujifunza kila aina ya elim mwisho kuchukua lile nalo liona lina faida na mimi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom