Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Kwanza Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka 30 na alifanya huduma yake kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafa, azikwa, akafufuka katika wafu akapaa mbinguni.

Ushahidi wa kusali Yesu upo kwenye Biblia, na aliwafundisha wanafunzi wake wakitaka kusali wasali sala ya baba yetu.
OOh, safi sana. Nilisikia kwenye youtube kua alikua anatawadha kabla ya kusali, ni kweli?
Simba.
 
Hizo ni ngano tu za wafia dini, Yesu alisali peke yake milimani.
Hapo sikuu;iza alisali wapi au na nani. Nimeuliz ni kweli alkua aatawadha kabla ya kusali? Au niulize aliwahi kufundisha kutawadha kwa wanafunzi wake?

Wafia dini ndio kina nani?
Simba.
 
Hapo sikuu;iza alisali wapi au na nani. Nimeuliz ni kweli alkua aatawadha kabla ya kusali? Au niulize aliwahi kufundisha kutawadha kwa wanafunzi wake?

Wafia dini ndio kina nani?
Simba.
Last supper au kalamu ya mwisho kabla ya kusurubiwa Yesu aliwaosha miguu wanafunzi wake wote, sijui kama ndio kutawadha au vipi lakini leo hii retual aliyofanya Yesu makanisa yote Katolico ikiwemo Rc na ukoo wote wa katoliki wanafanya kitendo hiki makanisani wiki ya pasaka.

Kama huku ni kutawadha basi hata makanisani mpaka leo tunatawadha mara moja kwa mwaka.
 
Nataka kujenga hoja kua kusali na kutawadha ni mafundisho ya zamani sio kua yalianzia kwa Mtume Muhammad.
Simba.
Umekuja kueneza dini ya Mtume huna mpya rafiki yangu, kwenye Biblia tuliaswa siku ya mwisho ya ulimwengu mtakuja na mambo mengi ikiwa ya haya ya kupotosha...

Yesu arudi tu kuwaangamiza ninyi na Majini yenu, Ameni.
 
Si kwamba nashindwa kufanya mjadala na wewe laa,ila utanipa porojo zako nyingi sana

Hitilafu za waislamu hazipo katika mambo ya kiibada zaidi ila katika uelewa wa baadhi ya mambo,tutatofautiana mwandamo wa mwezi.lkn wote tunafunga ramadhani,wote tunaswali swala tano,wote tunamwamini Allah na mambo mengi ambayo ndio msingi wa dini

Sasa nyie picha linaanza hajulikani mungu wa.kweli ni nani

Usinipotezee mda wangu

Asante
Wakristo hatuna mungu
 
tom-holland.gif
pat.jpeg
 
Nataka kujenga hoja kua kusali na kutawadha ni mafundisho ya zamani sio kua yalianzia kwa Mtume Muhammad.
Simba.
Kwa nijuavyo kulingana na biblia ni kwamba, kutawadha ni mapokeo. Ni kama ilivyokuwa mafundisho ya kiyahudi kwamba kutahiriwa ni sifa ya kuwa myahudi. Kadhalika kutawadha sio kigezo cha kuwa mcha Mungu.
Soma Warumi 2:25-29
25 Kutahiriwa kuna thamani tu iwapo unatii sheria, lakini kama unavunja sheria, umekuwa kama hukutahiriwa. 26 Kwa hiyo kama watu ambao hawakutahiriwa wanatimiza maagizo ya she ria, je, Mungu hatawahesabu kuwa kama waliotahiriwa? 27 Ndipo wale ambao kimwili hawakutahiriwa lakini wanatii sheria watawa hukumu ninyi mlio na Maandiko ya sheria nakutahiriwa lakini mna vunja sheria. 28 Kwamaana Myahudi wa kweli si yule anayeonekana kwa dalili za nje, wala tohara ya kweli si kitu cha kimwili. 29 Myahudi wa kweli ni yule aliye Myahudi kwa ndani, na tohara ya kweli ni jambo la moyoni, jambo la kiroho, wala si la sheria iliyoandikwa. Mtu wa jinsi hii anapata sifa kutoka kwa Mungu, wala si kutoka kwa wanadamu
 
Hakuna neno "kulifukuza" kwenye hayo maandishi, hayo umeongezea chumvi yako.
Mathayo 4:10
"Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."

CHUKUA HII:
Ukiwa mfuasi Wa Imani ya Dini flani, inabidi uwe na Akili timamu, kinyume na Hapo utakua Mtumwa wa Chuki dhid ya walio tofauti na wewe kiimani.
 
Si alikuwa anaongea na Ibilisi, abapiga nae story! Ibilisi anamwambia Yesu amsujudie?

Hivi hapo Yesu dunia alimwachia nani kuiendesha?

Wewe kama hufati dini weka hoja zako, usiponde wanaofata dini, unataka wawe shetani mapagani kama wewe?
 
Kwa nijuavyo kulingana na biblia ni kwamba, kutawadha ni mapokeo. Ni kama ilivyokuwa mafundisho ya kiyahudi kwamba kutahiriwa ni sifa ya kuwa myahudi. Kadhalika kutawadha sio kigezo cha kuwa mcha Mungu.
Soma Warumi 2:25-29
25 Kutahiriwa kuna thamani tu iwapo unatii sheria, lakini kama unavunja sheria, umekuwa kama hukutahiriwa. 26 Kwa hiyo kama watu ambao hawakutahiriwa wanatimiza maagizo ya she ria, je, Mungu hatawahesabu kuwa kama waliotahiriwa? 27 Ndipo wale ambao kimwili hawakutahiriwa lakini wanatii sheria watawa hukumu ninyi mlio na Maandiko ya sheria nakutahiriwa lakini mna vunja sheria. 28 Kwamaana Myahudi wa kweli si yule anayeonekana kwa dalili za nje, wala tohara ya kweli si kitu cha kimwili. 29 Myahudi wa kweli ni yule aliye Myahudi kwa ndani, na tohara ya kweli ni jambo la moyoni, jambo la kiroho, wala si la sheria iliyoandikwa. Mtu wa jinsi hii anapata sifa kutoka kwa Mungu, wala si kutoka kwa wanadamu
Swali ni Yesu alitawadha kabla ya kusali au hajatawadha?
 
Mathayo 4:10
"Ndipo Yesu alipomwambia, Nenda zako, Shetani; kwa maana imeandikwa, Msujudie Bwana Mungu wako, umwabudu yeye peke yake."

CHUKUA HII:
Ukiwa mfuasi Wa Imani ya Dini flani, inabidi uwe na Akili timamu, kinyume na Hapo utakua Mtumwa wa Chuki dhid ya walio tofauti na wewe kiimani.
Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?

Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
 
Nimesoma mpaka mstari wa 10 Yesu alipomfukuza Ibilisi.. haya nipe mfano halisi wa mtu aliyewahi kulifukuza jini lililomkumba
Uliukuza anaitqa nani? Nimekupa jina kutoka kwenye biblia, siyo kwa kukisia? Kwanza kiri swali lako nimekupa jibu umeridhika nalo sasa unaendeleza ubishi mwengine. Au siyo?
 
Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?

Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
Uislamu unaweza kusimama wenyewe bila kufanya comparison yoyote na Ukristo.

Waislamu na Quran inasema hakuna Mungu isipokuwa Allah na hana mshirika.

Lakini Ukristo na Biblia inaamini Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake na Ukristo unaamini katika utatu mtakatifu.

Hapo usitegemee hizi imani mbili kuelewana kimisimamo wakati zinatofautiana katika msingi mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom