Hili suala la kuita majini ni refu kidogo kulielezeam hususan kwa mtu ambae hana uzoefu, nitalifupisha sana natumai nitaeleweka.
Kuna kumwita jini ambae unajua ni jini fulani ninae muita lakini hujawahi kumwita kabla...
Hiuli unatafuta chuma kitulivu na uwe peke yako na unamuoita tu kwa kutumia jina lake kwa kua unajua ni fulani, Unamuita siku ya kwanza mpaka soiku saba, kila siku kwa muda uleule na chumba kilekile. Utapata majibu ndani ya siku hizo saba. Majibu hyanaweza kuja kwa njia nne tofauti...
1) Aidha anaweza kukutokea yeye mwenyewe, kama ni jini la kishetani litakuja kwa vitisho, lakini usiogope, ni mapicha picha tu hayo. Utaongea nae sababu zilizokufanya umwite. Akiwa jini mwema atakuja kiupole na atakuja kama mtu yoyote mwenye heshima zake.
2) Inaweza kuja sauti tu ikawa inaongea na wewe. Utaongea nae kwanini umemuita. Hii inaweza kutokea kwa mbaya au mwema, tofauti yake itakua sauti ya vitisho na sauti ya amani.
3) Hii ndio hutoke sana mwanzoni, utaita usipate ishara au jibu lolote lakini atakuja kwenye ndoto, mara nyingi jini mwema atakuja kwa upole, na kukujulisha ulikua unamuita, atakujulisha nanamna zake za kuwasiliana nae. Akiwa muovu atakuja kwa ndoto z kukutisha lakini atakuuliza umemuigtia nini. Na ataanza kukupa masharti ya kumuita.
4) Utaona ishara tu kua kaja, au kwa kuona kama upepo, au vitu kutikisika kwenye chumba, au kama muovu anaweza hata kurusha rusha vitu.
Njia zote hizo ni kwa Jini ambae unamjua au yeye au kaboila lake.
Kwa jini usiemjua kabisa, unamuoita kama hivyo lakini unaweza kusema kwa kitendo kipi alichokiona na unamuitia nini.
Hili ni somo refu kama nilivyosema awali, nakaribisha maswali ya ziada.
Simba.
Lidafo,
Kama nilivyoahidi hapo juu kua hili somo ni refu, nitaendelea kulileta. Nimeona kuna maelezo mengi yameletwa kutokana nalo na maswali mengi yameibuka, naendela hapa chini na kipande kingine cha hilo somo;
Hio juu ni njia moja ya kuita majini. Njia nyingine ni kutumia mtu wa kati au kitu cha kati, Kingereza wanaita "mediumship" au "channeling", Kiswahili sifahamu tuite mpatanishi au msuluhishi au mtu wakati au wasta? Kiarabu huyu anakua ni "wastat ruhaniya" Kazi yake kubwa ni wasta" baina ya jini / majini na watu au "channeling". Pia inaweza kua ni kitu, sio lazima iwe mtu
Kutumia mtu/kitu wa kati kuna aina tofauti, nitazieleza hapa;
1; Huyu anatakiwa awe tayari kishawahi kua na jini au anapoitwa jini humvaa yeye au huonesha dalili za kua na jini. Dalili kuu, ni kua hua anabadilika alivyo kawaida yake anapoitwa jini. iwewe kaitwa kwake au si kwake.
Akipatikana mtu namna hio inakua wepesi kumuigta jini, kwani ana njia tayari za kuingilia majini.
Tatizo la wasta huyu, linaweza kua akaingia jini ypoyote si lazima awe yule anaeitwa. Au wakaja majini kibao akitika mmoja anaingia mwendine.
2) Ni mwenyewe anaeita majini anakua ni channel, anaweza kupandisha jini/majini na wengine wanaoitwa aidha huyu jini wake akawa mtu kati au akwapisha wakaingia na kuongea wao wenyewe.
3) Kunapia vitu kama karata, bao, mawe au wazungu wanaita "ouija boiard" pia linajulikana kama bao linaloongea, ingawa haliongei kwa sati lakini wanaliita hivyo. Ouija ni maneno mawili, oui ni ndio kwa Kifaransa na ja ni ndio kwa Kijerumani.
Mabao hayomtika yatengenezwe yamepata umaarufu mkubwa kwa zababu ukiyaweka mbele yako yna majibu kwenye hilo na mshale unaotembezwa na jini utakamuita akausogeza. Mara nyingi huwa majibu ni maiwili tu, Ndio na Hapa.
Kuongea kwake ni hizo ndio na hapa, utapomuita jini, anweza kuja akasogeza mShale kweye yes, unajua kaja jini, sasa hapo kila utachomuuliza atajibu Ndio au hapana. Ingawa siku hizi wanyatengeneza aina nyingi na majibu zaidi ya hayo mawili lakini kazi ni hio hio ya kua ni channle ya jini.
Pia hayo mabidi ukishakua na jini fulani ndio liwe lake, basi mkikubaliana anazuia au analiwekea nembo zake za siri akija jini mwwingine halitumii mpaja alitumie yeye tu.
4) Njia nyingine ya kua medium ni mfanO wangu, mimi nawaita majini lakini wale niliokabidhiwa tu, hawapandi kichwani mwangu, awanaweza kuja munashara (live) au kuna amabe haji live lakini anaweza kuongea na mimi hta bila kutoa sauti (telepathically) na pia nikienda sehemu zake alicoxhagua yeye, naweza kuongea nae kwa kusikia sauti kama naongea na mtu lakini yeye simuoni.
Natumai kwa leo yanatosha hayo. Ingawa zipo aina nyingine kadhaa.
Nakaribisha maswali.
Simba.