Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Tumeshajibu.
Simba.
Samahani nisome upya, hamjanijibu kwa ukamilifu wake, naomba maswali yangu yote yajibiwe, nimeuliza hivi......

Hapa mimi nina swali kwenye hoja ya kwanza ya Jini.

Kama jini ni kiumbe cha Allah wameumbwa ili wamuabudu Allah, je majini wanatumia kitabu gani?

Je majini ni dini gani?

Je majini wanaswali wapi?

Je kuna ukweli wowote kwamba kuna binadamu wanatengeneza majini na kuyafuga na kuyatuma?

Naomba na Arsis atie neno kwenye haya maswali yangu yanayonitatiza
 
Nakushauri msubir Lidafo naamini atakuwa na majibu mazuri sana,na inaenda sambamba na mada yake

Asante
 
Si kwamba nashindwa kufanya mjadala na wewe laa,ila utanipa porojo zako nyingi sana

Hitilafu za waislamu hazipo katika mambo ya kiibada zaidi ila katika uelewa wa baadhi ya mambo,tutatofautiana mwandamo wa mwezi.lkn wote tunafunga ramadhani,wote tunaswali swala tano,wote tunamwamini Allah na mambo mengi ambayo ndio msingi wa dini

Sasa nyie picha linaanza hajulikani mungu wa.kweli ni nani

Usinipotezee mda wangu

Umekosea tuu kumalizia haeleweki Mungu wa kweli ni nani ukilinganisha na mafundisho ya kwenye uislam hapo hoja yako ndio inakua sahihi
 
Unapoleta hoja lazima ujibiwe ewe maamuma.

Soma kitabu cha mwanzo kama utapata shida ya kumjuwa Mungu.

Ukichaa wa mtu akihamishia kwenye dini huo ukichaa ni wake binafsi.

Mfano mtu anakwenda kwa kiboko ya wachawi sasa hapo Ukristo unahusika vipi?

Labda nikufundishe tu kama lengo lako ni kukashifu Ukristo na kanisa una njia nyingi sana ambazo Ukristo na kanisa ulifanya maovu makubwa sana bahati mbaya huna ilmu wala hujui historia ya Ukristo wala historia ya kanisa wala crusade war.

Wanachokifanya Islamic state leo ni copy and paste ya Ukristo ulivyokuwa.

Nimekusaidia njia rahisi ya kukashifu Ukristo mbona umehusika na unyama na maovu mengi? Lakini ukiganda na hoja hizi utachemka kwa sababu huvijui vitabu 66 vya biblia, wewe umekariri baadhi ya haya tu hata shetani pia amekariri baadhi ya aya za biblia.
 
Hapa lazima ujibiwe, msingi wa mapokeo ya Ukristo ni utatu mtakatifu hii ndio walikaa Nicea kupitisha.

Kwa upeo wangu wa kusoma maandiko yupo Mungu baba na Yesu ni chosen one hata Quran inathibitisha hili kwa kumtaja Yesu kama mtume wa daraja la juu kabisa na yuhai yupo mbinguni na Allah, huyu ndio ninayemfuata mimi.
Tarajama ya Qur'an ya Sheikh Ali Muhsin Barwan...

Q 2:136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.136
 
Tarajama ya Qur'an ya Sheikh Ali Muhsin Barwan...

Q 2:136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Munguna yale tuliyo teremshiwa sisi, na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismailna Is-hak na Yaakub na wajukuu zake, na waliyo pewa Musa na Isa, na piawaliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola wao Mlezi; hatutafautishi bainaya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.136
Kwa mfano hii haya kwa uislam Sawa ila kwa ukristo wao wataona upotofu tuu kulingana na Imani yao Etugrul Bey
 
Maana yangu ni kwamba hizi dini kila mtu anamchukulia mwenzie kapotoka na upande alio yeye ndio upo sahihi!
Nakuelewa sana lkn pamoja na hayo,je hatutumii upeo tuliopewa na Mungu kujua mbivu na mbichi?

Haya ni maono yangu tu,,mwisho wa siku imani ya mtu ni wajibu wa mtu husika,kwahiyo kila mtu apambane na kile anachoamini

Asante
 
Umekosea tuu kumalizia haeleweki Mungu wa kweli ni nani ukilinganisha na mafundisho ya kwenye uislam hapo hoja yako ndio inakua sahihi
Mungu ana jina lake na Yesu ana jina lake, ukiwa na basic knoledge ndogo tu kama hizi huwezi kusumbuka.

Ndio maana zama hizo za manabii mtu anamuomba Mungu wa Isaka na Yakobo kuepuka kuchanganya miungu maana ipo mingi.

Mungu wa kwenye Biblia anaitwa Yehova, sasa wewe tafsiri hilo jina kwa lugha yoyote huyo ndio Mungu.

Doctrine ya Biblia na kanisa inafundisha Yesu ni mwana wa Mungu, ukirudi kwenye kitabu cha mwanzo unakuta Mungu alimuumba binadamu kwa mfano wake.
 
Huwa sipendi porojo,nimewapa wazo wajitafakari imani yao
Tufundishe Qur'an inasemaje tunapohitilafiana nao. Wengi hawajawahi kuisoma, wameaminishwa ni kitabu cha Waislam tu, lakini mii naamini Qur'an sio kitabu cha Waislam tu. Ni kwa ajili ya walimwengu wote.

tuikumbushe japo kwa aya moja tu tunayoijua.
Simba.
 
Nakuelewa sana lkn pamoja na hayo,je hatutumii upeo tuliopewa na Mungu kujua mbivu na mbichi?

Haya ni maono yangu tu,,mwisho wa siku imani ya mtu ni wajibu wa mtu husika,kwahiyo kila mtu apambane na kile anachoamini

Asante
Tukitumia upeo wetu Salman Rushdie alisema Quran ni aya za shetani.

Kwahiyo ustaarabu ni kuheshimu imani ya mwenzio, na mimi binafsi siamini kama dini ni njia ya kuiona pepo, msimamo wangu binafsi naamini Mungu anataka matendo mema aliyoamrisha na wala siyo kuswaliswali kwamba ndio unaiona pepo mimi siamini hilo.
 
Wewe bado maamuma kwenye kitabu chako kimoja tu Quran ndio sembuse vitabu 66 vya Biblia una uwezo wa kuvielewa?

Kwani Mashia na Sunni msimamo wenu ni mmoja kwenye Uislamu?

Ndio hapa mnafundishwa ilmu mjifunze uislamu kwa kutumia Quran na siyo kudandia Biblia yenye vitabu 66, kama kitabu kimoja tu cha Quran kinakuchanganya je utaviweza vitabu 66 vya Biblia?

Kuna kitabu kama cha Ufunuo wa Yohana kinatakiwa kusomwa na watu inteligence tu kimejaa code language.
Usishangae hilo, nimewaona Waislam wanaijua Biblia vizuri sana kuliko Wakristo na wanawafundisha Wakristo kuhusu biblia.

Na nimewahi kuona video, Mkristo anafundisha Qur'an madrassa na wazazi Waislam wanapeleka wanafunzi wakasome madrassa hio na ipo kwa miaka na wanampenda huyo Mwalimu wanasema anafundisha vizuri.

Umewahi kuziona hizo?
Simba.
 
Kwa mfano hii haya kwa uislam Sawa ila kwa ukristo wao wataona upotofu tuu kulingana na Imani yao Etugrul Bey
Nakubaliana na mtazamo wako,,lkn ebu tuangalie logic hapa,,tunaamini kwa waislamu Mungu ni mmoja,tunaamini malaika wake,tunaamini vitabu vyake vyote,tunaamini mitume wake wote na hatutofautishi hata mmoja,,hiyo ndio imani ya kiislamu

Kwahiyo tunaamini mafundisho ya Allah ni yale yale isipokuwa mabadiliko ya sheria chache,kwahiyo ni sahihi kuamini yale yote walitumwa nayo mitume kwakuwa lengo ni lile

Tunaamini vitabu vyote kabla ya baadhi havijachezewa na mikono ya wanadamu na kutolewa hili na kuingizwa hili,ndio leo yanazuka mambo na porojo nyingi

Zamani kwakuwa watu wote walikuwa wanamwini mungu mmoja,hata waislamu waliruhusiwa kuwaoa wakristo na hao wake kubakia na ukristo wao,lkn leo itikadi zimebadilika,haabudiwi mungu mmoja tena ila nafsi tatu na mambo kama hayo

Ila ukiacha ubinafsi wa dini,mafundisho ya uislamu yana logic sana hata akili ya mwanadamu inaafikiana nayo

Asante
 
Tukitumia upeo wetu Salman Rushdie alisema Quran ni aya za shetani.

Kwahiyo ustaarabu ni kuheshimu imani ya mwenzio, na mimi binafsi siamini kama dini ni njia ya kuiona pepo, msimamo wangu binafsi naamini Mungu anataka matendo mema aliyoamrisha na wala siyo kuswaliswali kwamba ndio unaiona pepo mimi siamini hilo.
Yesu alikua ana sali au vipi?
Simba.
 
Tufundishe Qur'an inasemaje tunapohitilafiana nao. Wengi hawajawahi kuisoma, wameaminishwa ni kitabu cha Waislam tu, lakini mii naamini Qur'an sio kitabu cha Waislam tu. Ni kwa ajili ya walimwengu wote.

tuikumbushe japo kwa aya moja tu tunayoijua.
Simba.
Quran kujua inatakiwa kusomwa na walimwengu au waislam tuu malizia kisa cha Adam ulichokianza na Utata wake pia badae uje cha Ismail kwamba ni yeye aliyetajwa kwamba anachinjwa kwenye Quran au Ismail mwingine sio mwana wa Ibrahim!
 
Nakubaliana na mtazamo wako,,lkn ebu tuangalie logic hapa,,tunaamini kwa waislamu Mungu ni mmoja,tunaamini malaika wake,tunaamini vitabu vyake vyote,tunaamini mitume wake wote na hatutofautishi hata mmoja,,hiyo ndio imani ya kiislamu

Kwahiyo tunaamini mafundisho ya Allah ni yale yale isipokuwa mabadiliko ya sheria chache,kwahiyo ni sahihi kuamini yale yote walitumwa nayo mitume kwakuwa lengo ni lile

Tunaamini vitabu vyote kabla ya baadhi havijachezewa na mikono ya wanadamu na kutolewa hili na kuingizwa hili,ndio leo yanazuka mambo na porojo nyingi

Zamani kwakuwa watu wote walikuwa wanamwini mungu mmoja,hata waislamu waliruhusiwa kuwaoa wakristo na hao wake kubakia na ukristo wao,lkn leo itikadi zimebadilika,haabudiwi mungu mmoja tena ila nafsi tatu na mambo kama hayo

Ila ukiacha ubinafsi wa dini,mafundisho ya uislamu yana logic sana hata akili ya mwanadamu inaafikiana nayo

Asante
Kwa uelewa mdogo wakati waislam wanaona na wakristo ukristo si ulishakuepo ambao ulikua mzuri tu haya mafundisho mengine yaliyokuja haiondoi kuwa ukristo ulikua umesimama na ulikua imara haya mengine ni uelewa watu...misheni ya Yesu sio kuubiri utatu bali ni kuacha dhambi kubatizwa na kuamini yesu kristo alikufa na akafufuka baaasi! Hayo mengine uwezi ukasemq Yesu ni Mungu kama Hauongozwi na Roho mtakatifu kukiri icho
 
Yesu alikua ana sali au vipi?
Simba.
Kwanza Yesu alianza huduma yake akiwa na miaka 30 na alifanya huduma yake kwa miaka mitatu tu akasulubiwa, akafa, azikwa, akafufuka katika wafu akapaa mbinguni.

Ushahidi wa kusali Yesu upo kwenye Biblia, na aliwafundisha wanafunzi wake wakitaka kusali wasali sala ya baba yetu.
 
Tufundishe Qur'an inasemaje tunapohitilafiana nao. Wengi hawajawahi kuisoma, wameaminishwa ni kitabu cha Waislam tu, lakini mii naamini Qur'an sio kitabu cha Waislam tu. Ni kwa ajili ya walimwengu wote.

tuikumbushe japo kwa aya moja tu tunayoijua.
Simba.

Surat An-Nahl [verse 125] - Invite to the way of your Lord with wisdom and good instruction, and argue with them in a way that is best.
 
Vipi kuhusu uwepo wa viumbe hawa
..Nguva (samaki mtu)
..UFO
..Na nani alijenga zile pyramid za Egypt
Wote wapo.

Pyramids zile za Misri zimejengwa na Wamisri wa zamani.

Zipo nyingi zaidi Sudan na nchi nyingi duniani, zinatofautiana kimo na style za ujenzi tu.
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom