Naomba no ya brother wako anipe elimu huyu arsis hamna kitu sio msaada kabisaKama ulivyo wewe Simba Mshenzi na Dajjal wako Arsis.
Arsis kakufanya nini tena? Tufahamishe na sisi.Naomba no ya brother wako anipe elimu huyu arsis hamna kitu sio msaada kabisa
Hajibu maswaliArsis kakufanya nini tena? Tufahamishe na sisi.
Binafsi nina uzoefu wa kipekee wa mambo hayo. Nitaichukua hii post na kuijibu kule kwa kina.Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.
Baada ya kupewa mizimu yake na majini yake lazima upewe jini ambalo ni uganga wako. Ndiye anaitwa kiti na pia humuona ndotoni sio live.
Halafu ukianza kusimikwa uganga unatakiwa uwe unafamilia tayari. Watoto wako ndio ukoo wako kuna mmoja au mjukuu wako utamridhisha.
HAlafu unakuwa unaona hadi mtu akienda kwa waganga au mtu fulani wakaribu wanataka kumuua au chochote kizuri au kibaya .
BAsi ukioa unaletewa wengine wakukuelekeza na wazee waukoo uganga ulipo basi unaanza kutibu.
Ila uganga kwanza nikama unabii tu ila mtu kuishi mapangoni kufanya nini kama ni pete zauganga kama umeshaoa mke au kuolewa na mme wamtakao basi. Ukiwamke namume unaanza kuoteshwa nani wakukupa kila kitu sasa sijui wengine wanaenda kuishi mapangoni kufanya nini na huku majini yanakufuata at the right time . Na mtu huanza kuona nakuelezea wale wenye shida nakuwaelekeza mganga wakuwasaidia kwa mana bado hajawa kamili.
Na uganga halisi huwezi kulala na familia yako. Hiyo hapana hata ukiuliza watu wengi . Ambao wamekuwaga waganga .
Sijui kwa wale ambao wengi waliupataje huo uganga .
Sio nia, labda hajaliona au mimi sijaliona, lipo post namba ngapi?Hajibu maswali
Nakuliza hapa wala usirudi nyuma kutafuta post.Sio nia, labda hajaliona au mimi sijaliona, lipo post namba ngapi?
Ukweli humweka mtu huru au sio?Leo nakuambia ukweli maana upo huku kwenye post yangu ukiwa tayari ni mention
Arsis anafahamu pete ilipo lakini kagoma kabisa kusema iko wapi. Lakini anasema ipo,imefichwa.Nakuliza hapa wala usirudi nyuma kutafuta post.
1.pete ya nabii sulayman ipo wapi
2.je alikuwa anaitumia kwa dhumuni gani
3.nani aliye itengeza
4.sanduku la agano lipo wapi kwa sasa
Wewe ni muislam mie mkristu halafu unajua dua zako mie sio kama wewe wewe ni mganga mie naona tu vitu kwa mtu mwenye hitaji nakumwelekeza akatibiwe mahali basi. Sasa nikikuambia jambo maana mie bado nasaidiwa mambo na watu ambao nao ni wanao yao huoni majini yako yataniandama nikikuelekeza ukawa na nguvu zaidi ya hapo kama msaada maana kuna vyakutoa nanaogopa kusema nisirudiwe nalo .Ukweli humweka mtu huru au sio?
Utaona tu nikikujibu.
Simba.
Ndio kawaida yako mara arsis mara simba mnaruka maswaliArsis anafahamu pete ilipo lakini kagoma kabisa kusema iko wapi. Lakini anasema ipo,imefichwa.
Kuhusu pete ilitumika vipi na sanduku liko wapi, subiri Arsis atakuja kujibu. Mimi sina jibu la hayo, sijawahi kuyauliza kwa Arsis.
Labda Shehe wa Nourhan atakupa majibu kwa elimu yake ya ...
Simba.
Freemasons na illuminati ni tawi lipi huko ujinini kuzimu akhera!!?Hiyo ipo, inatibu kila ugonjwa wa ngozi. Jana kuna mtu kaweka namba hapa kwenye uzi na kasema znamba zipo, nimesoma uzi wanaiita Zainab Clay au kitu kama hivyo, tumia search ya JF utauona na utapata namba.
Simba.
Kuhusu kuoneshwa mbona nakumbuka sio lazima mtu apelekwe mapangoni kujifunza hayo yote,,mtu akiwa kapewa mkoba wa uganga anaanza kwa kuumwa sana tu. Kama malaria huku akiwa kwenye ndoto wale wote waliokuwa waganga wa tangulizi anawaona nakupewa masharti yakufanya ili awe mganga.
Hili jambo la maana sana jamaa Hana point Wala hojaNime unsubscribe na ku ignore post mpaka na Arsis wake over and out tutakutana nyuzi zingine.
Faiza, uliandika nyuma hapo "tunapangwa" how come 'unaumwa' ?Unaumwa? Au bdiyo ukondoo wa bwana? 👇🏾👇🏾👇🏾
View attachment 3084187
Huko ndiko walikotoa tulio, Lidafo, Etugrul Bey, Nourhan na mashehe zao. Kwenye Qur'an hakuna kua Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa na hakuna Hawa.Mwanzo 2:21-23
[21]BWANA Mungu akamletea Adamu usingizi mzito, naye akalala; kisha akatwaa ubavu wake mmoja, akafunika nyama mahali pake,
And the LORD God caused a deep sleep to fall upon Adam, and he slept: and he took one of his ribs, and closed up the flesh instead thereof;
[22]na ule ubavu alioutwaa katika Adamu BWANA Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.
And the rib, which the LORD God had taken from man, made he a woman, and brought her unto the man.
[23]Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
And Adam said, This is now bone of my bones, and flesh of my flesh: she shall be called Woman, because she was taken out of Man.
Huyo Doktar FF.Faiza, uliandika nyuma hapo "tunapangwa" how come 'unaumwa' ?
Mapambo tu. Kuna majini wa kishetani wanataka hivyo vitu wanavifanyia uchawi unakua chini ya himaya yao, kama shehe wake Nourhan ili apate ubwabwa wa bure kila wiki.Kuna uhusiano gani kati ya viumbe na dhana mfano pete bangili mkufu pamoja na vito