Nimepata safari ya kikazi kwenda Zanzibar kisiwa Cha Pemba , safari yangu ilianzia Tanga na boti ya Zanzibar 3
safari ilikua ya lisaa ,nilicho jionea Pemba Ina miradi mingi sana ya serikali inatekelezwa awamu hii barabara kila mtaa kiwango Cha rami , shule za golofa , na inaenda kwa kasi sana, kwa upande wangu sijaona kwa huku bara Kasi ya hivyo, nawasilisha.