Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Sheikh wako alishindwa akaja na maswali badala ya majibu, umesahau? Unakumbuka aliulizwa nini?

Aliulizwa ana ijua Arsh ni nini? Akqja na porojo na sauti lake la kishehe ubwabwa.

Wewe una swali hujajibiwa? Au une eleimu unataka kutupa?

Msalimie Etugrul Bey
Simba.
Why una attack sauti ya mtu?
Is that part of debate?
Stick kwenye hoja mkuu.
 
HMasjid Jinn ipo Makkah na Alipokutana Mtume na majini, kwa mujib wa baadhi ya wana historia ya Uislam wanasema alikutana nao sehemu inaoitwa Nakhlah njia ya Taif, na wengine wanasema Pangoni, Viunga vya Makkah, sasa hivi naona hio yako inasema Masjid Jinn, ambayo hii haina shaka ipo Makkah.

Cha kujiuliza, Qur'an ambayo haina shaka ndani yake imesema ni wapi? Au imeelezea tu Majini waliisikia Qur'an wakasema hakika hii ni ajabu?

Hapo ndio tunapoata kujiulzia hizo hadithi ambazo sio Qur'an ni za nani na tuifate ipi kati ya hayo masimulizi matatu?

Mimi nasema, kama Qur'an haijasema wapi, na hadithi tatu zinataja sehemu tofauti, basi hizo hadithi sio za kufata na tuifate Qur'an tu ilivyosema, kama haijataja sehemu, hatuna sababu ya sisi kuiongezea kwa ubunifu wetu. ibaki kua haijatajwa sehemu.
Simba.
 
Wewe mbona izo 20 alizofasiri huzileti?
hazina kisa cha Adam wala Hawa kuwa watu wa kwanza kuumbwa. Zikifika mada inazozihusu tutazileta. Mada ni Adam kua ni mtu wa kwanza kuumbwa na Hawa mmemtoa wapi? Au unasahau sahau?
Simba.
 
Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 8.
Inatokea post namba 2358.

Sheha; wachawi wenzenu wengine wa hapa mgtaani ni kina nani?

Afisa; Hio ni siri ambayo hatuwezi kuisema. Mmeshatushika sisi na wogtw waliohusika na hii kazi ambao hawajahusika hata kanuni za kijani za kikawaida zinakata kuhusishwa.
Bakora: Mimi namuunga mkono kwa hoilo.

Itaendelea
Simba

hazina kissa cha Adam wala Hawa. Zikifika mada inazozihusu tutazileta. Mada ni SAdam na Hawa, au unasahau?
Simba.
Kama hazina sawa, Mimi nishakupa zenye kisa cha adamu.
Muite Arsis ajibu maswali yamekuwa mengi
 
Tupe story Simba hayo mengine wengine hatuna haja nayo tunataka kuburudika.
usiwe na shaka, inakuja, ipo njiani ndio naiandika kipande cha mwisho kwa kionjo hicho cha Unguja.

Kama unajiita Binadam yanakuhusu sana tena sana. Labda ukatae jina hilo. Tujiiite bin jini?
Simba.
 
Kama hazina sawa, Mimi nishakupa zenye kisa cha adamu.
Muite Arsis ajibu maswali yamekuwa mengi
Sijaziona, zipo post namba ngapi hizo hadithi zako?

Arsis anasema ulizeni tu, nikishndwa kujibu,yeye yupo.

Yeye anakuja na somo la Adam kuanzia mwanzo wa somo. Anasema hilo yeyote ataelichukua toka mwanzo mpoka mwisho akilipeleka chuo chochote cha "theology" ni "Thesis tosha ya Phd.
Simba.
 
Huyo Arsis alitaka Challenge je hajaiona hi!!!

Challenge ya kwanza ni hii;
Anasema dunia ni flat na siyo sphere, naomba atupatie hiyo elimu na atuambie hawa waliotuambia ni duara wanamalengo gani?
 
"theology"
Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 8.
Inatokea post namba 2358.

Sheha; wachawi wenzenu wengine wa hapa mtaani ni kina nani?

Afisa; Hio ni siri ambayo hatuwezi kuisema hadi kifo. Mmeshatushika sisi na wote waliohusika na hii kazi, ambao hawajahusika hata kanuni za kikawaida zinakatzaa kuhusishwa.
Bakora: Mimi namuunga mkono kwa hilo. Tuendelee na mengine.

Sheha; Tueleze waliohusika.
Afisa; Wameshikwa wote na sikjii kama wapo hai mpaka sasa, maana hukumu ya hili ni kifo tu, haina mjadala kichawi. Hata chama chetu tukikamata waliongilia himaya yetu bila kukubaliana kabla tukiwakamata ni kifo tu. Labda tusiwakamate.
Bakora; Huyu analeta mambi ya kichawi ili apoteze muda. Mimi nashauri kwa kua ewotw wamekiri wahukumiwe.
Sheha, wapelekwe mahakamani?
Bakora; ndio, hilo moja na sisi tutapitisha hukumu yeytu kwanza na nyinyi, hususan wewe, upo hapa Kiserikali huo utakua uamuzi wako. Sisi hukumu yetu, hatuwezi kuisema hapa mbele za watu, tunajua tuwajulisha vipi, hatutaki kesi.
Sheha; Nimeelewa. Mimi wacha nipige simu polisi, mkubwa wa kitiuo cha hapa jirani namfahamu.
Bakora: hautompata huyo leo, wala kesho. Labda umpigie msaidizi wake.
Sheha, aah kasafiri?
Bakora; Ndio.
Sheha, wewe ngeni Sheikh, unajuaje?
Sheha: Mimi tunafahamiana nae, najua kua kasafiri alfajiri ya leo. Uliza hata ofisini kwao waytakueleza.
Sheha; Sasa tunafanyaje?
Bakora; Wazo la kuwashitaki hawa ni zuri, ushahoidi woite upo na wao lazima watakiri hawatoisumbua mahakama, kwa kua binti yupo hai, sijui hukumu yao itakuaje kiserikali.
Sheha: Wacha nipige simu hapo nje,. jamani akam kuna hawa leteni ytunywe. Haya si mabo madogo, maana naanza vbipi kuwael;eza polisi?
Bakora: Waeleze ukweli kama ulivyouona na kuusikia kuanzia alfajiri. Watuhumiwa si hawa hapa mnao?
DSheha; Sawa wacxha niende nje nikapige simu.
Kijana: Na mimi wacha niende nje, kweli kama kuna kahawa uje jamani.

Kuna wanawake wakainuka, waksema kule ipo nyingi wacha tukalete na vikombe.

Mimi, Kijana, Balora tukatoka nje. na wengine wote wakatufata kasoro watuhumiwa tu. EWakabaki wamekaa, kama wamepigiliwa misumari.

Kutoka nje mimi na kija n na Bakora yukaenda kukaa pembeni, tukawacha pale Waunguja na Sheha wao.

Bakra: sasa hapa kaszi imeisha, hawa sisi tutatimiza hukumu kama ya wale, hawatiweza kufanya kazi kabisa, lak9ini cha kwanza inatakiwa mali za yule bwana lazima huyu binti na mamake walipwe kwa machungu waliopitia. Na huyu mumewe, ndio hana chake tena. Mtito yule asafiroshwe kabisa asibaki Unguja, maana hii hadithi tayari ipo mitaani saa hizi inazagaa kama moto wa makumbi.

Kahaw aikaja tukanywa pale.

Sheha; Polisi wanakuja kikosi cha maana.
Bakora twendeni ndani tukamalize sisi tuna safari jamani, hapalkaliki.

Tukaingia ndani wote, mimi nikaitwa ndani na kina mama huko, nikakuta kumbe mipango yao ya kumsafirish binti kwenda bara ytayari lakini hakuna alieambiwa, na ataondoka na mama yeke mdogo, kimyakimya. Nikaone heri. Ikaja sauti ya Arsis kichwani ikinambia, usiwe na wasiwasi, yupo chini ya ulinzi wetytu, wewe uytawaona Datr hao. Nyyie mnawsza kusafiri wakija polisi anagalia msisema lenu mkafanywa mashahidi, itakua ngumu kwenu nenda rudi. Nikamuelewa.

Ile tunatusi ndani hatujjakaa polisi wamegonga nje, akatoka Sheha akaanza kuomngea nao, nje, na sisi tukaaga,m hakauna aliesema chochote. Tukatoka mimi, Bakora na kijana, mama ndani huko washasuka kuondoka na binti na mamake mdohgo. Tukaondoka.

WWale mbwa wawili wakachukuliwa wakapelkwa polisi, wakaelezea kama walivyoelezea, wkawekawa ndani bila dhamana, mahakamni siku ilipofika kwa kua wanakiri makosa, wakahukumiwa jela. Walipokua jela ndio hukumu ya majini walioifanya hio kazi ikapitishwa.

Tutaendelea na kionjo kingine tutaporusi, hiki cha Unguja tukimalizie hapa.
Simba.

Itaendelea
Simba
 
Pindi ulipokuwa unamuomba Allah ndani ya chupa kifungoni.... Au hata kwenye ibada zako siku hizi huwa unaweza kuwa connect na Mungu yani kupokea taarifa direct 🤔

Au na wewe upo kama sisi tuomba bila kujua Dua zimefika au hazijafika
Hakuna dua isiofika kwa Mwenyezi Mungu na hakuna dua inayokataliwa labda iwe haina heri.

Zenji kuna sheria za kihuni hivi ..au ume anza kutumia cha arusha
 
usiwe na shaka, inakuja, ipo njiani ndio naiandika kipande cha mwisho kwa kionjo hicho cha Unguja.

Kama unajiita Binadam yanakuhusu sana tena sana. Labda ukatae jina hilo. Tujiiite bin jini?
Simba.
Mambo ya adam Mara Hawa Mara Mariam Yani hayo mambo Sina muda nayo kabisaa
 
Hao wanga walishtakiwa kwa makosa gani kisheria?
Au ndio mambo ya kikamanda wakatiwa hatiani ili kuwafunza adabu?
 
Huyo Arsis alitaka Challenge je hajaiona hi!!!

Challenge ya kwanza ni hii;
Anasema dunia ni flat na siyo sphere, naomba atupatie hiyo elimu na atuambie hawa waliotuambia ni duara wanamalengo gani?
Sidhani kama alisema ni "flayt, naona hukumsoma vizuri, nukuu mandiko yake au tupe post namba. Maana yeye anasema hajanisoma vizuri huyo, numesema dunia haipo duara, kutokua duara haimaanishi ipo flat.

Soma Qur'an chini hapa, zipo aya nyingi tu, anza na hii moja labda utamuelewa:

13:3. Na ndiye aliye itandaza ardhi na akaweka humo milima na mito.Na katika kila matunda akafanya dume na jike. Huufunika usiku juu ya mchana.Hakika katika haya zimo Ishara kwa watu wanao fikiri.
Simba.
 
Wana ukumbi, baada ya Arsis kupewa ombi na FF aanze kukileta yeye kisa cha Adam kwa mtazamo na elimu yake alivyoielewa Qur'an,

Arsis anawakubali sana FaizaFoxy na Che mittoga, mwenyewe anamwita Sheikh Mitoga. Arsis amekunbali kuanza kisa cha Adam, mimi kama simba nitakua nakileta kwa kusimamiwa na yeye mwenyewe. Amesema hii ni tofauti na visa vyako, Hii ni Qur'an nitakuwepo mwenyewe kuelezea.

Kanitaka niujulishe ukumbi kua post yake inayofata itakua ya utambulisha wa kisa cha Adam, na post zake zitakua fupi fupi, atajitahidi ziw)zisiwe ndefu kila atakapoweza.

Karibu sana Arsis.
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom