Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Arsis hili swala la kuwasiliana na viumbe wa kiroho lipoje?
Nimeona mara nyingi unasema wewe waite tu watakuja sasa hapa nina maswali je unawaitia wapi?, na mtu yeyote tu anaweza waita au mpaka mtu awe na majini mfano kama ya huyo dokta au wale watu wanaopandishaga majini?
Hili suala la kuita majini ni refu kidogo kulielezeam hususan kwa mtu ambae hana uzoefu, nitalifupisha sana natumai nitaeleweka.

Kuna kumwita jini ambae unajua ni jini fulani ninae muita lakini hujawahi kumwita kabla...

Hiuli unatafuta chuma kitulivu na uwe peke yako na unamuoita tu kwa kutumia jina lake kwa kua unajua ni fulani, Unamuita siku ya kwanza mpaka soiku saba, kila siku kwa muda uleule na chumba kilekile. Utapata majibu ndani ya siku hizo saba. Majibu hyanaweza kuja kwa njia nne tofauti...

1) Aidha anaweza kukutokea yeye mwenyewe, kama ni jini la kishetani litakuja kwa vitisho, lakini usiogope, ni mapicha picha tu hayo. Utaongea nae sababu zilizokufanya umwite. Akiwa jini mwema atakuja kiupole na atakuja kama mtu yoyote mwenye heshima zake.

2) Inaweza kuja sauti tu ikawa inaongea na wewe. Utaongea nae kwanini umemuita. Hii inaweza kutokea kwa mbaya au mwema, tofauti yake itakua sauti ya vitisho na sauti ya amani.

3) Hii ndio hutoke sana mwanzoni, utaita usipate ishara au jibu lolote lakini atakuja kwenye ndoto, mara nyingi jini mwema atakuja kwa upole, na kukujulisha ulikua unamuita, atakujulisha nanamna zake za kuwasiliana nae. Akiwa muovu atakuja kwa ndoto z kukutisha lakini atakuuliza umemuigtia nini. Na ataanza kukupa masharti ya kumuita.

4) Utaona ishara tu kua kaja, au kwa kuona kama upepo, au vitu kutikisika kwenye chumba, au kama muovu anaweza hata kurusha rusha vitu.

Njia zote hizo ni kwa Jini ambae unamjua au yeye au kaboila lake.

Kwa jini usiemjua kabisa, unamuoita kama hivyo lakini unaweza kusema kwa kitendo kipi alichokiona na unamuitia nini.

Hili ni somo refu kama nilivyosema awali, nakaribisha maswali ya ziada.
Simba.
 
Hili suala la kuita majini ni refu kidogo kulielezea kwa mtu amabae hana uzoefu, nitalifupisha sana natumai nitaeleweka.

Shukran sana.
Sasa nina maswali mengi hapo ila ngoja nikueleze kisa kidogo unakumbuka mwanzoni nilikwambia mwenza wangu anashida ya kusumbuliwa na hao viumbe na nilikuwa namsome ruqya Arsis akanambia kumsomea tu haitoshi inabidi na yeye mwenyewe ajitaidi kufanya ibada na atumie mdalasini na asali, Sasa ibada nilishamwambia toka siku nyingi na siku hizi alhamdulillah anajitahidi kufanya, Hio shida ikimpata huwa namsomea kisha jini linaondoka shida ni kuwa baada ya muda linarudi hali hii ilikuwa inanikera sana nikataka kujua mzizi wa shida hasa ni nini sasa katika kujitahidi nikapata kufahamu njia ya kumuita jini kwa lazima ila nikupitia quran ni aya unaisoma hili ni somo pana sana na mtu anaweza shangaa ipoje hii ndio maana nikakuuliza je arsis anajua njia inayoitwa jinn catching.
Tuachane na hayo ni rudi kwenye jambo la msingi ni kuwa nilimsomea lakini jinn hakuongea , zikapita siku kama tatu hivi siku hiyo usiku ghafla akaja ila hakuwa na fujo kaja kiupole tu kajidhihirisha kupitia mwenza wangu tukaongea pale ila hakuwa na mambo mengi na mimi sikumuuliza niliyokusudia kumuuliza mwisho akaniaga sasa maswali yangu ni haya.
1. Mimi simjui jina wala kabila nitumie njia gani kumuita aje wakati huohuo?
2. Jini huyo anisumbui mimi ni mwenza wangu kuna shida nikimuita mimi maana ahal wangu peke yake hawezi na umesema ukimuita uwe peke yako, Hii ipoje
 
Kwasababu kwa daraj yake hii alipaswa kuwa mchamungu level ya kimalaika......... Ila mbona yeye hayupo hvyo🤔
Zaidi ya kuwasoma kwenye vitabu, ulishawah kushuhudia uchamungu wao kiasi cha kukupa ujasiri wa kusema alipaswa kua level sawa na akina flan?

Na shauku ya kutaka kujua hili.
 
Shukran sana.
Sasa nina maswali mengi hapo ila ngoja nikueleze kisa kidogo unakumbuka mwanzoni nilikwambia mwenza wangu anashida ya kusumbuliwa na hao viumbe na nilikuwa namsome ruqya Arsis akanambia kumsomea tu haitoshi inabidi na yeye mwenyewe ajitaidi kufanya ibada na atumie mdalasini na asali, Sasa ibada nilishamwambia toka siku nyingi na siku hizi alhamdulillah anajitahidi kufanya, Hio shida ikimpata huwa namsomea kisha jini linaondoka shida ni kuwa baada ya muda linarudi hali hii ilikuwa inanikera sana nikataka kujua mzizi wa shida hasa ni nini sasa katika kujitahidi nikapata kufahamu njia ya kumuita jini kwa lazima ila nikupitia quran ni aya unaisoma hili ni somo pana sana na mtu anaweza shangaa ipoje hii ndio maana nikakuuliza je arsis anajua njia inayoitwa jinn catching.
Tuachane na hayo ni rudi kwenye jambo la msingi ni kuwa nilimsomea lakini jinn hakuongea , zikapita siku kama tatu hivi siku hiyo usiku ghafla akaja ila hakuwa na fujo kaja kiupole tu kajidhihirisha kupitia mwenza wangu tukaongea pale ila hakuwa na mambo mengi na mimi sikumuuliza niliyokusudia kumuuliza mwisho akaniaga sasa maswali yangu ni haya.
1. Mimi simjui jina wala kabila nitumie njia gani kumuita aje wakati huohuo?
2. Jini huyo anisumbui mimi ni mwenza wangu kuna shida nikimuita mimi maana ahal wangu peke yake hawezi na umesema ukimuita uwe peke yako, Hii ipoje

Pole sana.

Hicho ni kisa kamili.

Imebidi nicheke, samahani lakini.Sasa ndugu yangu kwanini umetaka ku complidate mambo kwa lugha za "Jin Catching"? Ungekuja straight to the point, tusoingehangaika kuanza kutoa elimu.

Hapo tunasema kua tayari yupo jini anaetesa mtu. Sasa sifahamu kwanini unataka kumuita?

Au unataka kumpa chano na kuingia nae mkataba?
Simba.
 
Pole sana.

Hicho ni kisa kamili.

Imebidi nicheke, samahani lakini.Sasa ndugu yangu kwanini umetaka ku complidate mambo kwa lugha za "Jin Catching"? Ungekuja straight to the point, tusoingehangaika kuanza kutoa elimu.

Hapo tunasema kua tayari yupo jinianaetesa mtu. Sasa sifahamu kwanini unataka kumuita?

Au unataka kumpa chano na kuingia nae mkataba?
Simba?
Nimetumia jina la jinn catching kwa sababu nilisoma article moja na sheikh aliyeandika alitumia neno hili la jinn catching yeye alisema ni njia ya kumuita jini kwa kusoma aya katika quran ni aya moja tu unairudia mara nyingi akasema mtu aliye na hiyo shida anakuwa ndio catcher na njia hii ni kuwa jini analazimishwa kuja kwa uweza wa Allah awe anataka au hataki atakuja tu ndio nikataka kujua zaidi je arsis anafahamu pengine anaweza niongezea maarifa.
Kuhusu kwanini nataka kumuita ni kuwa moja nataka jua kwanini anasumbua lengo lake ni nini kwanini nikisoma anaondoka ila baada ya masiku anarudi?
Kuhusu chano hapana kwanza nilikuwa sijui chano ni nini ndio nimejua kwenye hii simulizi yako sima mpango wa kumpa chano wala makubaliano nataka nimuulize hayo maswali kisha nimlinganie uislamu aukubali akikataa basi nimnasihi aache kumsumbua mwenza wangu mimi sitaki shida na majini kabisa
 
Samasoti za mzee ally zimenichekesha sana nimejaribu kuvuta picha na hichi kitambi kwakwel nimecheka sana.

Sema kitu nimejifunza ni kwamba, kila mtu kwa imani yake, ni muhimu sana kushikanibafa na kuomba sana Mungu, hizi ibafaa za mashetani kama ni kwel ulivyoeleza bas majini wako wengi sana humu tunamo tembea.

Nimejifunza kuwaa hasa sisi wanaume, tunapaswa kuwa makini sana kwenye mitongozo, wanawake kwa silimiankubwa ni washirikina sanaaa olus wasio washirikina wengi mnoo wanatembea na vifungo vya kijin na kishetani.

Tuwe makini sana na juhud kumuomba sana Mungu.
 
Mkuu huu uzi umenitisha na kunifundisha mengi sana ambayo mwanzo niliyajua kwa uchache.
Umenisaidia kuachana kabisa na habari za wanawake pia kuwa makini sana na watu tunaokutana nao.
Bila ibada hawa viumbe wanatuchezea km mpira.
Natamani Kiranga apite huku ila nna wasiwasi atatuharibia uzi.
 
Nimetumia jina la jinn catching kwa sababu nilisoma article moja na sheikh aliyeandika alitumia neno hili la jinn catching yeye alisema ni njia ya kumuita jini kwa kusoma aya katika quran ni aya moja tu unairudia mara nyingi akasema mtu aliye na hiyo shida anakuwa ndio catcher na njia hii ni kuwa jini analazimishwa kuja kwa uweza wa Allah awe anataka au hataki atakuja tu ndio nikataka kujua zaidi je arsis anafahamu pengine anaweza niongezea maarifa.
Kuhusu kwanini nataka kumuita ni kuwa moja nataka jua kwanini anasumbua lengo lake ni nini kwanini nikisoma anaondoka ila baada ya masiku anarudi?
Kuhusu chano hapana kwanza nilikuwa sijui chano ni nini ndio nimejua kwenye hii simulizi yako sima mpango wa kumpa chano wala makubaliano nataka nimuulize hayo maswali kisha nimlinganie uislamu aukubali akikataa basi nimnasihi aache kumsumbua mwenza wangu mimi sitaki shida na majini kabisa
Arsis achana nae, yule ni game nyingine kabisa. Yeye haiti jini, yeye anaftuma makamanda wake anachukuliwa jini hukohuko, juu kwa juu, yeye akija ni kafunga kazi tu.

Hio njia yako Sheikh nitaielezea baadae kwa kina zaidi kidogo.
Simba.
 
Mkuu huu uzi umenitisha na kunifundisha mengi sana ambayo mwanzo niliyajua kwa uchache.
Umenisaidia kuachana kabisa na habari za wanawake pia kuwa makini sana na watu tunaokutana nao.
Bila ibada hawa viumbe wanatuchezea km mpira.
Natamani Kiranga apite huku ila nna wasiwasi atatuharibia uzi.
Usiwe na wasiwasi, na yeye atatupa elimu yake.

Elimu ni pana sana.
Simba.
 
Arsis achana nae, yule ni game nyingine kabisa. Yeye haiti jini, yeye anaftuma makamanda wake anachukuliwa jini hukohuko, juu kwa juu, yeye akija ni kafunga kazi tu.

Hio njia yako Sheikh nitaielezea baadae kwa kina zaidi kidogo.
Simba.
Nasubiri nilikuwa natamani sana kuijua zaidii inavyokuwa.
Vipi unanishauri niendelee nayo au inahitaji utaalamu kidogo maana nilipanga leo nimuite nijue shida yake nini hasa.
 
Adam Ni binadamu wa kwanza zina nguvu kuliko kinyume chake.
Hii post ina mda, toka 31st August ila ndipo nilipofikia kufatilia uzi huu.

Hili swala la binadam wa kwanza dah 😎...

Em mie nisogee mbele kidogo, japo hua sipendi kuliongelea kwani hua sioni faida yake zaidi ya kujiongezea mkanganyiko. Hii ni tabia ambayo nimejiwekea kua kila chenye shaka hua nakipuuza, I mean sikipi nafasi kwenye ubongo kitawale.

Issue yenyewe ni hii,

Tunaamini kwamba Baba yetu Adam A.S alishushwa kwenye ardhi hii yeye na mkewe, na walipata watoto wawili wa kiume na wawili wa kike (Hawa ni wale wa mwanzo katika kuelezewa kile kisa cha Habil na Qabil).

Tunaambiwa kua Qabil alimuua Habil, na baadae akaenda "upande mwingine" ambako alipata mke na kuoa ndipo akapatikana Idris A.S ama wenzetu wanamuita Enoch.

Je huko alipoenda kuoa Habil ama Cain kama anavyoitwa, walikua ni viumbe gani kama sio watu (Human being)? Na kama ni watu kiumbe jamii moja na Habil ambae anatoka kwa Adam A.S je wao wametoka wapi? Na kama sio viumbe kama Adam je uzao wote wa Enoch ni hybrid?

Issue kama hizi binafs hua zinanifanya jambo au mambo yenye utata niachane nayo. Mwenyezi Mungu pekee ndio ajuae zaidi, kwani ashasema "Ni machache sana tujuayo". Na kwa ukubwa wa ufalme wake hatuezi jua kila jambo isipokua yale aliyoyaweka bayana.

Na kama hajaliweka bayana, kusema tulipate mahala ndio chanzo cha kuingia katika mitego ya Iblis kutupoteza kwani tutaweka kitu kipya katika dini ambacho hakipo.

Hua nawaza sana kwanini Tawheed? na kwanini imechukua mda mrefu sana kufundishwa kwake. Nahisi ni kwasababu ndani yake ndio kuna msingi wa kuumbwa kwetu. Kua tupate kumuabudu yeye Mwenyezi Mungu.

Ila ajab, tunachanganywa, kuvurugana na kutengana kwasabab ya hitlaf katika historia ya zama zilizopita.
 
Nasubiri nilikuwa natamani sana kuijua zaidii inavyokuwa.
Vipi unanishauri niendelee nayo au inahitaji utaalamu kidogo maana nilipanga leo nimuite nijue shida yake nini hasa.
Soma, akija, soma Qur'an tu, usimsemeshe lolote, mwenyewe atasema au atakimbia.

Anzia hapo hapo ulipo. Iwe kila siku na uwe unabadili badili muda.
Simba.
 
Hii post ina mda, toka 31st August ila ndipo nilipofikia kufatilia uzi huu.

Hili swala la binadam wa kwanza dah 😎...

Em mie nisogee mbele kidogo, japo hua sipendi kuliongelea kwani hua sioni faida yake zaidi ya kujiongezea mkanganyiko. Hii ni tabia ambayo nimejiwekea kua kila chenye shaka hua nakipuuza, I mean sikipi nafasi kwenye ubongo kitawale.

Issue yenyewe ni hii,

Tunaamini kwamba Baba yetu Adam A.S alishushwa kwenye ardhi hii yeye na mkewe, na walipata watoto wawili wa kiume na wawili wa kike (Hawa ni wale wa mwanzo katika kuelezewa kile kisa cha Habil na Qabil).

Tunaambiwa kua Qabil alimuua Habil, na baadae akaenda "upande mwingine" ambako alipata mke na kuoa ndipo akapatikana Idris A.S ama wenzetu wanamuita Enoch.

Je huko alipoenda kuoa Habil ama Cain kama anavyoitwa, walikua ni viumbe gani kama sio watu (Human being)? Na kama ni watu kiumbe jamii moja na Habil ambae anatoka kwa Adam A.S je wao wametoka wapi? Na kama sio viumbe kama Adam je uzao wote wa Enoch ni hybrid?

Issue kama hizi binafs hua zinanifanya jambo au mambo yenye utata niachane nayo. Mwenyezi Mungu pekee ndio ajuae zaidi, kwani ashasema "Ni machache sana tujuayo". Na kwa ukubwa wa ufalme wake hatuezi jua kila jambo isipokua yale aliyoyaweka bayana.

Na kama hajaliweka bayana, kusema tulipate mahala ndio chanzo cha kuingia katika mitego ya Iblis kutupoteza kwani tutaweka kitu kipya katika dini ambacho hakipo.

Hua nawaza sana kwanini Tawheed? na kwanini imechukua mda mrefu sana kufundishwa kwake. Nahisi ni kwasababu ndani yake ndio kuna msingi wa kuumbwa kwetu. Kua tupate kumuabudu yeye Mwenyezi Mungu.

Ila ajab, tunachanganywa, kuvurugana na kutengana kwasabab ya hitlaf katika historia ya zama zilizopita.

Wapi Qur'an imesema Adam ni mtu wa kwanza kuumbwa?

Kwenye hili nipo na Arsis na Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom