Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Chai na joto lote hili
leo chai ya kipemba ya pilipili manga, umeikosa chai ya Tanga ya Anjari, tukanywa chai ya Unguja, ya viungo vyote hio.

Tukimaliza chai ya pilipili manga tunakwenda kunywa chai ya Vanilla nzima nzima ya Comoros.

Karibu chai. Rufiji chai yenu ipoje, maana ule mto kama chai ya maziwa. Yale maziwa ya mbuzi wa Kiiran bado mnatumia au mbuzi wote mlifanya mboga?
Simba.
 
Kuingia tu,

Mzee; Nilitaka kuingia ndani kukufata na wewe unatoka.
Mimi; Mmekuja muda?
Mzee; Hapana, tulipita kwenda kugeuza gari mbele kidogo hapo, tunarudi na wewe unatoka.

Mimi; gari yangu ipo ple kituoni kwa mgteja yule...
Mzee; Basi sisi hatuna haja ya kuingia kule, tutasimama mshikaji shuke akichukue gari aje nayo nyumbani.
Mimi; Poa.

Kufika mshikaji akashuka akaelekea na sisi tukaeleka nyumbani.
Mzee;Npigie simu yule kijana anaweza kumyima gari.
Mimi; Mwache tumuone ujanja wake leo.
Mzee; Yule wanamjuwa mafari yao yote ankuja kuyachukua na kuyarudisha yeye, tatizo kama hajamkuta yule kijana.
Mimi; Wakimyima atapiga simu tutaongea nao. Mwache kidogo akomae.

Mzee; haya nipe habari za huko, maana hizi kazzi za babu yako zinataka moyo kweli kweli. Mimi siziwezi, tena msiniingize tena.

Nikamweleze mwanzo mpaka mwisho.

Mzee; Ndio usharithi hivyo, umekuwa bingwa sasa, unakwenda mpoka Kojani.
Mimi; Waoi hii kazi wamenisukumia tu.
Mzee; Ndio inavyokua hivyo. Simba, niliwaambia nyumbani anakuja mgeni tutakua nae usiku.
Mimi; Umefanya la maana kweli.
Mzee; Kama ni mkwe wetu mpoya nyumbani wamzoee kabisa.
Mimi: Aaah wapi.
Mzee: babu yako huyo ndio aliendsema, nimeongea nae ananambia nasikia leo mkweo wa Kiunguja anakuja kukuktenbelea.
Mimi; Babu utamuweza, kishanambia unakwenda Pemba tafuta wawili.
Mzww; Wawili tena?
Mimi; Mmoja wangu mmoja wake, ninae mumuoa lazima awe na dadake anaoa yeye.
Mzee: babu yako anaweza kweli, majini yashamchanganya kichwa cheke, mwenyewe hua anasema hakuna utani katika ndoa. Yule unafikiri anafanya utani? Yupo serious kweli uoe.
Mimi; Mbina wewe hukuoanmwingine.
Mzee; Mimi naishi maisha ya Kisimba, wewe uliyakimbia. Inabidi uoe.
Mimi: Hilo umesema kweli, sio utani inabidi nioe.

Tukafika nyumbani, ile tunaingiza gari tu hatujakaa dakika tano Mshikaji huyo kaingia na gari.

Mzee: Wamekupa gari?
Mshikaji; Kwani vipi Dingi?
Mzee; Mimi nilifikiri kwa kua kwawachia Simba hawampi mtu mwengine.
Mshikaji; Kwani mimi mtu mwengine, mshikaji yule anaujua ukoo wetu, kwani gari zo kila siku anazileta nani kwao, nani anakuja kuzichukua? Kule gereji wakija wanaomuona nani mtu wa kwanza?
Mzee; Nakuaminia mwanangu hujazubaa kabisa.
Mshikaji; Na nikiiacha mimi gari sehemu akienda Simba huyo hapewi, ataonekana mwizi wa magari tu. We mtu anzaiwasha gari bila funguo bila nini, sasa kama si wmizi wa magari huyu mwanao ni nini?
Mimi; Ujuzi tu, ukionge vizuri nakufundisha.
Mshikaji; hta sitaki kujua, nikujua hio, shetani anaweza kuniingia nikafungua magari ya watu niondoke nayo, nikayabanjue kila kitu nipate tiketi ya kuendea Ulaya.
Mzee: Ulaya tena? Dokta basi tena?
Mshikaji; Yule nikkipata safari ya Ulaya kwanza ananisubiria, huko nakwenda kuoa mdanish, si unajua wale hata wakilala juani hawabadiliki rangi, wanabaki vile vile kama mijusi ya ukutani na nyumaba yenye rangi nyeupe.
Mimi' Kwani wanakua tofauti?

Mshikaji; Wewe watazame mwanangu, mie chumba changu mpaka nikabadili tangi, kilikua na rangi nyeupe, basi mijusi ya chumbani kwangu unaiona mpaka mishipa yao ya damu, akimeza mdudu unamuona mpaka anavyoingia tumbini, sasa jamani eeh Muda umefika, soga baadae.

Huyo akachomoka, na sie tukaingia ndani ile yunaingia kujitayarisha kunaadhiniwa, mie nikaona Magharibi ya msikiti wetu siiwahi, maana yule imamu akimaliza kuadhini tu anakimu. Nikasali chumbani kwangu nikajitupa kitandani wigfe akaja na mwanae mdogo, huyo hamtaki mgtu anamtaka bibi yake tu, leo naona ajabu kakubali chumbai nikamchukua nikaanza kucheza kitandani, anapend nikimfanyia kinyuli.

Nikamuuliza mamake, yule mwengine yuko wapi?

Wofe; kawasikieni na kawaona kawachungukia kutoka jikoni leo anawapikia huko na mama, kapewa chapatizake akande, basi ana unga mwili mzima.

Mimi : na nyie mnamwacha acheze unga jamani?
Wife: Si anakupikia babake ule.
Mimi; Atakula babu yake huko. Maa nasikia sauti ya mshikaji nje huko, kelee. Hoyaaaaaa, mimi nakitoa.

Nikatika chumbani kwenda uani anapiga kahawa, hoyaa mimi sikai nakwenda kusali huko huko palepale jirani ya Barafaa kuna msikiti. Nikamwabia ngoja kidogo muda bdao, ikiadhiniwa unawahi kusali kabisa.
Mshikaji: Dingi anasisitiza hakuna kitu kinaleta mafanikio kama kua mtu kua miadi, on time. Dingi anakwambia bora ufoke mapema usubiri kuliko kuchelewa.

Mshikaji; Wewe ushaona kuna gari ya mteja inachekewa pale, akiona inachelewa siku hio gereji inawaka moto mpka mimi hua namuombea dua huyu Dingi mi presha isimpande. kwa hio mimi hio nimerirhi, wala hanambii, matokeo si nayaona mwanangu?

Mimi; haya nipe michapo na mimi.
Mshikaji; Si kama unanambia nimfundishe samaki kuogelea. Kwanini mimi sikujui wewe? Kuamuoga wa muda kama wewe duniani, hata Dingi kasingiziwa.

Mshikaji; Unasikia mwanangu, mnyonge mnyongeni, Dingi hapa karturuthisha vitu viwili hivyo, sijaviona mahali zaidi ya nyumba hii. Moja miadi, basi mkeo, ndio mwehu kabisa, maza nae ndio utafikiri ana ugonjwa wa wasiwasi. Jingine mwanangu, ukweli. Dingi anasema huo ufunguo wa milango yote, ukweli, hata umeharisha, sema kweli nimeharisha isiseme nimejamba...

... Mwanangu eeh, sinngoji adhana, moyo wa Dokta ushanidunda. Mazaaa eeeh. mie nakwenda kumchukua mgeni baada ya kusali isha tu nakuletea wife toibe hapa hapa.
Mama; Mungu akujaalie mwanangu kaupe yote unayoyatamani, In shaa Allah yawe na heri na wewe.

Mshikaji; Hio dua haizuiliwa na mtu yoyote, dua ya mazazi kwa mwanae hata aje nani haizuii. Mie si unaona dua za za maza, nyumba mikeswi yoiyte nimeshinda, mbegeres. sasa wananiangukia, Sasa mtoto wa halai wa mzee nilioabaki mimipeke yangu, leo mzee kadedi ndio mnajitokeza wanne ati wote sisi watoto wa mzee. Jaji yule kawaambia na gharama zote za kesi walipe mbegeres. kwaherini.

Akaenda zake.

...
Vionjo vya Arsis - Majini ya Kojani- Pemba 3.

Alipoondoka mshikaji nikaingia ofisini kwangu nikamwita Jini 1. Baada ya kusalimiana.

Jini 1: Sasa Simba leo umenifurahisha kwa Mzee Ali ujue toka umeondoka Mzee Ali kamwita Jini wake mkiubwa akaja mara moja, akapiga smasolti zake akatulizana. Akaanz kiuonge na Mkewe Mzee Ali, akmuuliza unajua nini kinaendelea?
Mkewe: Sijui lakini kenzaia jana naona kiti chako hakipo vizuri kabisa. Anasema kuna wasaidizi wake wote kila akiwaita hawaji na wale hua wanapitia kwangu, mimi ndio kiti chao cha kuongea nao. Maana hata mimi sijawahisi kabisa leo wiki, koila nikimwambia anasema watakuja tu. Mwisho akanambia hata wewe hauji, kulikoni?

Mzee Ali; Nimekuja sasa hivi, kaniit kiti.
Mkewe; Nahisi alikua anataka kukuuliza hilohilo.
Mzee Ali; Sasa anajua kila kitu, asiwe na wasi wasi, wacha awaite tu wateja wake, akiniita tutafanya kazi, lakini wewe uwe karibu, mimi sitaongea sana kwa wageni. Kwaheri

Mkewe; Sawa kwaheri.

Jini 1; hayo ndio nilivowaacha ulipotoka wewe.
Mimi; Sasa nimekufurahish nini? Unajua sina muda na haya mambo, mimi nimekuita nikuulize, kuna nini kimetokea huko mpaka inabidi mimi niende kwenye kitovu huko cha majini yao?
Jini1; Simba imenifurahisha umekua Boss leo, tena Biss mkali kabisa hutaki mchezo...

Huko Simba, hakuna kazi yako hata moja, wewe unakwenda kwa ajili babu yako anataka ukajionee dunia, kazi imekwisha kule, ni kwenda kuwawachia wenazao tu. Kinachofanyika sasa hivi ni mchezo wa kuigiza ili wkuheshimu na wakuogope, wao na majini wao. lakini haukua na sababu wewe wala Dokta ya kwenda huko. Mimi nakuhauri nenda pia, uione dunia na mambo ya kijinga ya binadam. Kama hujayaona ukihadithiwa tu hayakuingii akilini. Nend Simba usijali, na mimi, mama, bakora utatukuta huko , tugtakuja kukusalimia wote, uzidishe heshima. Arsis hataki kutisha watu kwa picha za majeshi aliokwisha waonesha, mpaka mimi nimeogopa.

Mimi; majeshi ya nani?

Jini1; Ya majini na watu, lakini ilikua ni ile mwenyewe anita VR, lakini majini wanajua wa Kipenba wanajua ile VR lakini haiwezi kuwepo kama hawapo kweli. Wameogopa sana wakamalizana mikataba na Kamanda hapo hapo, unamkumbuka kamanda aliyekuja Unguja? Huyo huyo ndie amemalizana nao ndni hya kuda mchahe sana. Rafiki yako pia atakuwapo, mtakuta hukohuko. Anatamani na yeye aone mwaka koga wa kojani.
Mimi' Rafiki yangu yupi?
Jini 1; Mwanafunzi wa Arsis yule Mwarabu mlikua nae Unguja kumtoa kifungoni yule mtoto wa kike.
Mimi; Aaah, sawa.
Jini; Nikupe umbea?
Mimi: kama una faida nipe, kama umbea tu usinipe.

Jini 1; Unajua Mwarabu yupo karibi sana na yule Binti alieokolewa Unguja, yeye na mamake na wenyeji wao huko walipo wanajua wamekuta ghafla madukani, wakajuana, sasa wamekua marafiki wa nyumbani kabisa.

Mimi; kwanini?
Jini 1; Swali lako hilo gumu sana, hua silipendi. Kwa sabau kwanza Mwarabu anataka awe anaongea Kiswahili vizuri, anakipenda sana Kiaarabu, halafu alimuhurumia sana yule binti kwenye ile kazi, akawa kila siku anataka kujua anaendeleaje, Arsis akamshauri afanye nao urafiki. Ndio hivo gtu. Mwenyewe mkikutana mtauliza zaidi.

Mimi; Kwa hio Pemba sina kazi yoyote> Na Dokta nani kamwambia aje kwangu, na kwanini?
Jini 1; Babi yako kamwambia Sheikh amwambie aje kwako ili na wewe uende Kojani ukapaone. babu yako anakupenda sana.

Mimi: babu anaamua bila kunishauri.
Jini 1; Kama hutaki kwenda pia hakijaharibika kitu, mwambie tu babu yako hauendi, sas hivi ujue unaenda kwa ajili yake tu, sio kua kuna kazi yoyote ya kufanyika, kazi zilizopo ni Kamanda na Majini wakubwa wa kwa Kina Mzee Ali, hata yule anaekuja kwa Mzee Ali mkubwa yule, lakini hao anaoongea nao kamanda wakubwa zake. Mzee Ali mwenyewe kashangaa, kawaida yule haji kabisa mpaka Mzee Ali awe na kazi ngumu, lakinimhofu aliokua nayo yule jini mpaka Mzee Aliu kaihisi.
Mimi; Kwa hio miminiende tu Pemba?
Jini 1; Hilo siqwezi kukujibu kabisa, hilo ni lako, babu yako na Dokta na Sheikh wa Unguja. Mimi simo wala mama wala Arsis. SisiArsis katushauri twende sherehe za Kojani na majini wa Kipemba, walipo dunia nzima watahudhuria siku hio, wakituona na wewe huko kwa sherehe za Kojani wtajuheshimu na kukuogopa kila watapokuona. Wrewe na Dokta mtapata hesgima kubwa sana. Mie nakwenda Simba, hakuna jingine.
Mimi; Haya kwaheri

Nikatoka uani nikakuta hakuna mtu, Mama na wife wapo jikoni, nikaenda jikoni moja kwa moja.

Mimi; Habari za hapa wapishi mahiri?
mama; Tumeabiwa mgeni anaekuja ni Dokta, mkeo anamtayarishia vilosoloso, mimi nimelazimishwa tu nirudie kupika kuku wa jana, ili mkeo ajifunze.
Wife; Mzee hawa wangu atawapenda zaidi, nimeweka secret ingrdients zangu, watakua watamu hao, mpaka wewe mama ukiwala utauliza.

Mama; Mavitu yenu mpaka mtazame kwenye internet, mi i siyawezi, wacha nikakoge. kazi kwako bibie.
Wife; Hata mimi tayari nakwenda kukoga, akatoka huyo, twenda Simba.

Tukaondoka na mke wangu tukaenda chumbani kwetu, kuingia tu akaingia bafu akaniita, njoo huku. Nikajua njaa zke hizo, maana huyu njaa zake zinakuja timing ambazo hakuna binadam anategemea. SAlivoniita tu, akanitia njee ya ghafla na mimi. Kuingia akanambia funga hil lango kwa ndani, huyo bibie hua anaingia tu humu, kama hana akili vizuri.

Mimi; Si mjukuu wa Simba, mtoto wa Simba?
Woife; Sitaki kabisa kumuhusisha na mambo ya Kisimba, abaki kua simba kwa jadi tu sio kwa mila na desturi zao, mume wangi sisi si tumeachana nazo, kwanini watoto zetu wazifate?
Mimi; Naona na mama na mzee wanaheshimu hilo.

Wife; kabisa tena.

Muda wa kusali ulipofika Mzee akatoka kwake, nikamsikia ananiita, kawaid ayake anaita mara moja tu, Simba, time. kamaliza. nikajitoharisha nikatoka nkamkuta uani tukafatana masjid.

baada ya sala kulikua kidogo kidogo Imam anantangaza darsa jipya litaloanza Jumamosi mpaka Jumatano kila siku, darsa la ni ni Rizki. Hili somo nikahudhuria, likua zuri sana, kila siku ikawa linaanza baada ya kusali magharibi mpaka Isha, nikawa nikimaliza darsa, usiku nafata regference zote tulizopewa. Ustadh aliekua anatoa hilo darsa alikua msomi wa Chuo kikuu cha Azhar na reference zake nyingi zilikua za Masheikh wa Azhar.

Tukarudi na na mzee baada ya hoituba za Imam na maelekezo elekezo ya mamboi ya Masjid.

Kuingia nyumbani nikamkuta mshikaji yupo nje.

Mshikaji; Vipi mwanangu Imam kasemaje leo huko mbona mmechelewa au kawapiga sura ndefu ndefu?
Mimi; hata, alikua anatangaza darsa la nini rizki linaanza Jumamosi.
Mshikaji; Hayo ndio mambo, hilo sikosi hilo, watu tunataka tujue mambo ya riziki.
Mimi; Mbona upo nje?
Mshikaji; Si unajua mambo ya wanawake, alipofika tu mgeni wamechukuana ndani huko, si unajua hao lazima wakaoneshane mapambo ya nyumba ndani huko. Nikasepa, nigande uani peke yangu kama jini?

Nikascheka tu, thinkinga ya mshikaji wangu ni tofauti na watu wote.
Mimi; Kumbe, hua wanaoneshana mapambo ya nyumba?
Mshikaji; Sasa wanawake si ndio wanapamba nyumba? Unafikiri kwa ajili yenu ya mnaokaa ndani? Hakuna hio, hayo mapambo kwa ajili kutambia wanawake wenzao, hii nimenunua Dubai, hii niletewa kuto China. ndio hivyo tu...

Mwanangu, ingia kaamshe amshe basi tule tusepe, unajua woife to be kesho kazi; lazima apumzike mapema.
Mimi; kwani sisi hatwendi kazini?
Mshikaji; Sisi si tupo nyumbani, huyo si mwanamke unajua kutembeza gari peke yake usiku, noma.
Mimi; Si wwewe utampeleka?
Mshikaji; Mie hakuna noma, anytime nampeleka, lakini namuonea huruma yeye.
Mimi; haya wacha niwahi kuamsha amsha, hata mimi nataka kupumzika mapema leo.
Mshikaji: Si umeona mwanangu? maana leo kulikua kuna zigzaga gereji huko sio ya kawaida. Mi bosi bosi yote ile inataka migaro yao ifanyiwe service ipate kwenda kula bata week endi. Duniani kote magari tanafanyiwa service weekendi ili yakianza kazi wiki znima hakunanoma. Bingi tu mwanangu ndio utaona migari ya serice ya serikali ndio inajaa Jumatano na Alhamisi.

Mimi; Nilikiua sijaliona hilo.

Mshokaji; mwanangu kwanza madereva wanafosi wapate hela za wikiendi.
Mimi' Kivipi?
Mshikaji; Wale si laima gari ikitpoka gereji itiwe ijawe tena full tanki, sasa mifuta yote iliokuwapo kabla wanvyonza wanauza, mipesa kibasa wanafyonza, na wakitiliwa mapya, nusu tanki zao, mibongo mijizi mwanangu usisikie.

Mimi; Sikulifikiria kabisa hilo, nilifikiri labda wana mgao wao kwa Mzee?
Mshikaji' Wewe kumbe Dingi humjui, Dingi hachukui kazi ya kumpa mtu hela kabisa, anasema kazi yake ni hela kwanini atie rushwa? Dah Dingi noma mwanangu, akikusikia hata unaongelea hilo anakua mbogo hapo hapo. Mjaribu uone. Dili zake za kishua Dingi. Sa mtaalamu kama yule mipesa ya haramu ya nini?
Mimi; Kweli lakini, kazi zilizopo za watu binafsi hatutoshi pale.
Mshikaji; kwani hao madrereva wa binfasi si ndio maana wakijua gari service, hawaleti kwetu mpaka niende mimi na wengine kutaleta? wanajua kwa dingi hakuna longo longo la katafuyte spea wala kanunue hiki wala kile, wao wakileta gari, wakiisubi wanapigwa msosi wa bure kwa mamalishe, wale tani yao. Hapo ndio nampendea Dingi, kwa misosi tu, madereva wote wa binafsi wa serikali wanasifu hilo kwa mzee. Mnyoinge mnyongeni haki yuake mpeni, yanakula kwa uroho wao mpaka ynakitazama chakula, yakishavimbiwa utayakuta kule gereji mwisho, yanalala chini ya mkungu. Ngoja kuna siku tawanyuyia upupu ndio wataacha mchezo huo.

Mimi; Sasa kwanini ufanye hivyo mshikaji wangu, vibaya.
Mshikaji; Mwanangu unajua usingizi na uvivu unaambukiza, sasa sisi tunachakarika wao wanalala kule, washashiba wanajamba jamba hovyo kuchafua mazingira tu.

Nikamwacha anaongea nikaingia ndani.

....
 
leo chai ya kipemba ya pilipili manga, umeikosa chai ya Tanga ya Anjari, tukanywa chai ya Unguja, ya viungo vyote hio.

Tukimaliza chai ya pilipili manga tunakwenda kunywa chai ya Vanilla nzima nzima ya Comoros.

Karibu chai. Rufiji chai yenu ipoje, maana ule mto kama chai ya maziwa. Yale maziwa ya mbuzi wa Kiiran bado mnatumia au mbuzi wote mlifanya mboga?
Simba.
Simba,
Ulishawahi kuvuta bangi...?!
 
Telepathy 🤝..... Hii siwezi ielezea kiutaalam zaidi ila Arsis/Simba anamaelezo yake mazuri

(Hyo telepathy ni moja ya njia ya kufanya communication na viumbe wa kiroho)
Nakuomba umuulize Simba akueleweshe hapa, japo huko nyuma alishagusia kidogo...
(Mm sio mjuzi sana,,,, mwenyewe bado maamuma ndugu yangu
Arsis hili swala la kuwasiliana na viumbe wa kiroho lipoje?
Nimeona mara nyingi unasema wewe waite tu watakuja sasa hapa nina maswali je unawaitia wapi?, na mtu yeyote tu anaweza waita au mpaka mtu awe na majini mfano kama ya huyo dokta au wale watu wanaopandishaga majini?
 
N
Tumeshaanza kufanya kwenye post namba 1 kidogo kidogo, kila episode itakua na links zake.

Natumai ipo sawa?
Nimeona, naona hivyo itakuwa vizuri sasa, jitahidi umalize, maana uzi unaenda mbio na raha ya story mtu akiianza simalize. Siyo aanze kutafuta uko wapi muendelezo.
 
Mimi interest yangu zaidi ni kuhusu majini tu na si kingine kama hao washenzi wachawi.Huwa napenda kupata ilm ya hawa viumbe direct kutoka kwa mtu mwenye experience nao hususani kufanya nayo kazi,story za kwenye
Kama ushasema "sijui" si uulize uelimishwe?

UnKataa wachawi wakati mwenyewe unajiita roho ya kishetani?
kila kilicho chini ya jua ni cha Mali yake MUNGU, majini wanaishi majini, nchi kavu wanakuja tu na wanadamu wanatumia majini, halafu tunatofautiana kwa muda tu kama ilivyo hakuna jua kali sasa hivi Tanzania basi jua liko nchi nyingine soon linaingia inakuwa summer time kila kitu kina wakati wake tatizo ni wakati kuingiliana na matatizo kukutana, asubuhi mpaka jioni tunatakiwa wanadamu tuwe tumemaliza kazi kwaajili ya kupumzika, sasa nikiwa naruka majoka na kuna mbaya wangu ananiloga unafikiri itakuwaje?😂😂nitalogeka kirahisi, ukiachana na yote hata hal wachawi ni mali yaMUNGU😍😂😂😂
 
Alipoondoka mshikaji nikaingia ofisini kwangu nikamwita Jini 1. Baada ya kusalimiana.

Jini 1: Sasa Simba leo umenifurahisha kwa Mzee Ali ujue toka umeondoka Mzee Ali kamwita Jini wake mkiubwa akaja mara moja, akapiga smasolti zake akatulizana. Akaanz kiuonge na Mkewe Mzee Ali, akmuuliza unajua nini kinaendelea?
Mkewe: Sijui lakini kenzaia jana naona kiti chako hakipo vizuri kabisa. Anasema kuna wasaidizi wake wote kila akiwaita hawaji na wale hua wanapitia kwangu, mimi ndio kiti chao cha kuongea nao. Maana hata mimi sijawahisi kabisa leo wiki, koila nikimwambia anasema watakuja tu. Mwisho akanambia hata wewe hauji, kulikoni?

Mzee Ali; Nimekuja sasa hivi, kaniit kiti.
Mkewe; Nahisi alikua anataka kukuuliza hilohilo.
Mzee Ali; Sasa anajua kila kitu, asiwe na wasi wasi, wacha awaite tu wateja wake, akiniita tutafanya kazi, lakini wewe uwe karibu, mimi sitaongea sana kwa wageni. Kwaheri

Mkewe; Sawa kwaheri.

Jini 1; hayo ndio nilivowaacha ulipotoka wewe.
Mimi; Sasa nimekufurahish nini? Unajua sina muda na haya mambo, mimi nimekuita nikuulize, kuna nini kimetokea huko mpaka inabidi mimi niende kwenye kitovu huko cha majini yao?
Jini1; Simba imenifurahisha umekua Boss leo, tena Biss mkali kabisa hutaki mchezo...

Huko Simba, hakuna kazi yako hata moja, wewe unakwenda kwa ajili babu yako anataka ukajionee dunia, kazi imekwisha kule, ni kwenda kuwawachia wenazao tu. Kinachofanyika sasa hivi ni mchezo wa kuigiza ili wkuheshimu na wakuogope, wao na majini wao. lakini haukua na sababu wewe wala Dokta ya kwenda huko. Mimi nakuhauri nenda pia, uione dunia na mambo ya kijinga ya binadam. Kama hujayaona ukihadithiwa tu hayakuingii akilini. Nend Simba usijali, na mimi, mama, bakora utatukuta huko , tugtakuja kukusalimia wote, uzidishe heshima. Arsis hataki kutisha watu kwa picha za majeshi aliokwisha waonesha, mpaka mimi nimeogopa.

Mimi; majeshi ya nani?

Jini1; Ya majini na watu, lakini ilikua ni ile mwenyewe anita VR, lakini majini wanajua wa Kipenba wanajua ile VR lakini haiwezi kuwepo kama hawapo kweli. Wameogopa sana wakamalizana mikataba na Kamanda hapo hapo, unamkumbuka kamanda aliyekuja Unguja? Huyo huyo ndie amemalizana nao ndni hya kuda mchahe sana. Rafiki yako pia atakuwapo, mtakuta hukohuko. Anatamani na yeye aone mwaka koga wa kojani.
Mimi' Rafiki yangu yupi?
Jini 1; Mwanafunzi wa Arsis yule Mwarabu mlikua nae Unguja kumtoa kifungoni yule mtoto wa kike.
Mimi; Aaah, sawa.
Jini; Nikupe umbea?
Mimi: kama una faida nipe, kama umbea tu usinipe.

Jini 1; Unajua Mwarabu yupo karibi sana na yule Binti alieokolewa Unguja, yeye na mamake na wenyeji wao huko walipo wanajua wamekuta ghafla madukani, wakajuana, sasa wamekua marafiki wa nyumbani kabisa.

Mimi; kwanini?
Jini 1; Swali lako hilo gumu sana, hua silipendi. Kwa sabau kwanza Mwarabu anataka awe anaongea Kiswahili vizuri, anakipenda sana Kiaarabu, halafu alimuhurumia sana yule binti kwenye ile kazi, akawa kila siku anataka kujua anaendeleaje, Arsis akamshauri afanye nao urafiki. Ndio hivo gtu. Mwenyewe mkikutana mtauliza zaidi.

Mimi; Kwa hio Pemba sina kazi yoyote> Na Dokta nani kamwambia aje kwangu, na kwanini?
Jini 1; Babi yako kamwambia Sheikh amwambie aje kwako ili na wewe uende Kojani ukapaone. babu yako anakupenda sana.

Mimi: babu anaamua bila kunishauri.
Jini 1; Kama hutaki kwenda pia hakijaharibika kitu, mwambie tu babu yako hauendi, sas hivi ujue unaenda kwa ajili yake tu, sio kua kuna kazi yoyote ya kufanyika, kazi zilizopo ni Kamanda na Majini wakubwa wa kwa Kina Mzee Ali, hata yule anaekuja kwa Mzee Ali mkubwa yule, lakini hao anaoongea nao kamanda wakubwa zake. Mzee Ali mwenyewe kashangaa, kawaida yule haji kabisa mpaka Mzee Ali awe na kazi ngumu, lakinimhofu aliokua nayo yule jini mpaka Mzee Aliu kaihisi.
Mimi; Kwa hio miminiende tu Pemba?
Jini 1; Hilo siqwezi kukujibu kabisa, hilo ni lako, babu yako na Dokta na Sheikh wa Unguja. Mimi simo wala mama wala Arsis. SisiArsis katushauri twende sherehe za Kojani na majini wa Kipemba, walipo dunia nzima watahudhuria siku hio, wakituona na wewe huko kwa sherehe za Kojani wtajuheshimu na kukuogopa kila watapokuona. Wrewe na Dokta mtapata hesgima kubwa sana. Mie nakwenda Simba, hakuna jingine.
Mimi; Haya kwaheri

Nikatoka uani nikakuta hakuna mtu, Mama na wife wapo jikoni, nikaenda jikoni moja kwa moja.

Mimi; Habari za hapa wapishi mahiri?
mama; Tumeabiwa mgeni anaekuja ni Dokta, mkeo anamtayarishia vilosoloso, mimi nimelazimishwa tu nirudie kupika kuku wa jana, ili mkeo ajifunze.
Wife; Mzee hawa wangu atawapenda zaidi, nimeweka secret ingrdients zangu, watakua watamu hao, mpaka wewe mama ukiwala utauliza.

Mama; Mavitu yenu mpaka mtazame kwenye internet, mi i siyawezi, wacha nikakoge. kazi kwako bibie.
Wife; Hata mimi tayari nakwenda kukoga, akatoka huyo, twenda Simba.

Tukaondoka na mke wangu tukaenda chumbani kwetu, kuingia tu akaingia bafu akaniita, njoo huku. Nikajua njaa zke hizo, maana huyu njaa zake zinakuja timing ambazo hakuna binadam anategemea. SAlivoniita tu, akanitia njee ya ghafla na mimi. Kuingia akanambia funga hil lango kwa ndani, huyo bibie hua anaingia tu humu, kama hana akili vizuri.

Mimi; Si mjukuu wa Simba, mtoto wa Simba?
Woife; Sitaki kabisa kumuhusisha na mambo ya Kisimba, abaki kua simba kwa jadi tu sio kwa mila na desturi zao, mume wangi sisi si tumeachana nazo, kwanini watoto zetu wazifate?
Mimi; Naona na mama na mzee wanaheshimu hilo.

Wife; kabisa tena.

Muda wa kusali ulipofika Mzee akatoka kwake, nikamsikia ananiita, kawaid ayake anaita mara moja tu, Simba, time. kamaliza. nikajitoharisha nikatoka nkamkuta uani tukafatana masjid.

baada ya sala kulikua kidogo kidogo Imam anantangaza darsa jipya litaloanza Jumamosi mpaka Jumatano kila siku, darsa la ni ni Rizki. Hili somo nikahudhuria, likua zuri sana, kila siku ikawa linaanza baada ya kusali magharibi mpaka Isha, nikawa nikimaliza darsa, usiku nafata regference zote tulizopewa. Ustadh aliekua anatoa hilo darsa alikua msomi wa Chuo kikuu cha Azhar na reference zake nyingi zilikua za Masheikh wa Azhar.

Tukarudi na na mzee baada ya hoituba za Imam na maelekezo elekezo ya mamboi ya Masjid.

Kuingia nyumbani nikamkuta mshikaji yupo nje.

Mshikaji; Vipi mwanangu Imam kasemaje leo huko mbona mmechelewa au kawapiga sura ndefu ndefu?
Mimi; hata, alikua anatangaza darsa la nini rizki linaanza Jumamosi.
Mshikaji; Hayo ndio mambo, hilo sikosi hilo, watu tunataka tujue mambo ya riziki.
Mimi; Mbona upo nje?
Mshikaji; Si unajua mambo ya wanawake, alipofika tu mgeni wamechukuana ndani huko, si unajua hao lazima wakaoneshane mapambo ya nyumba ndani huko. Nikasepa, nigande uani peke yangu kama jini?

Nikascheka tu, thinkinga ya mshikaji wangu ni tofauti na watu wote.
Mimi; Kumbe, hua wanaoneshana mapambo ya nyumba?
Mshikaji; Sasa wanawake si ndio wanapamba nyumba? Unafikiri kwa ajili yenu ya mnaokaa ndani? Hakuna hio, hayo mapambo kwa ajili kutambia wanawake wenzao, hii nimenunua Dubai, hii niletewa kuto China. ndio hivyo tu...

Mwanangu, ingia kaamshe amshe basi tule tusepe, unajua woife to be kesho kazi; lazima apumzike mapema.
Mimi; kwani sisi hatwendi kazini?
Mshikaji; Sisi si tupo nyumbani, huyo si mwanamke unajua kutembeza gari peke yake usiku, noma.
Mimi; Si wwewe utampeleka?
Mshikaji; Mie hakuna noma, anytime nampeleka, lakini namuonea huruma yeye.
Mimi; haya wacha niwahi kuamsha amsha, hata mimi nataka kupumzika mapema leo.
Mshikaji: Si umeona mwanangu? maana leo kulikua kuna zigzaga gereji huko sio ya kawaida. Mi bosi bosi yote ile inataka migaro yao ifanyiwe service ipate kwenda kula bata week endi. Duniani kote magari tanafanyiwa service weekendi ili yakianza kazi wiki znima hakunanoma. Bingi tu mwanangu ndio utaona migari ya serice ya serikali ndio inajaa Jumatano na Alhamisi.

Mimi; Nilikiua sijaliona hilo.

Mshokaji; mwanangu kwanza madereva wanafosi wapate hela za wikiendi.
Mimi' Kivipi?
Mshikaji; Wale si laima gari ikitpoka gereji itiwe ijawe tena full tanki, sasa mifuta yote iliokuwapo kabla wanvyonza wanauza, mipesa kibasa wanafyonza, na wakitiliwa mapya, nusu tanki zao, mibongo mijizi mwanangu usisikie.

Mimi; Sikulifikiria kabisa hilo, nilifikiri labda wana mgao wao kwa Mzee?
Mshikaji' Wewe kumbe Dingi humjui, Dingi hachukui kazi ya kumpa mtu hela kabisa, anasema kazi yake ni hela kwanini atie rushwa? Dah Dingi noma mwanangu, akikusikia hata unaongelea hilo anakua mbogo hapo hapo. Mjaribu uone. Dili zake za kishua Dingi. Sa mtaalamu kama yule mipesa ya haramu ya nini?
Mimi; Kweli lakini, kazi zilizopo za watu binafsi hatutoshi pale.
Mshikaji; kwani hao madrereva wa binfasi si ndio maana wakijua gari service, hawaleti kwetu mpaka niende mimi na wengine kutaleta? wanajua kwa dingi hakuna longo longo la katafuyte spea wala kanunue hiki wala kile, wao wakileta gari, wakiisubi wanapigwa msosi wa bure kwa mamalishe, wale tani yao. Hapo ndio nampendea Dingi, kwa misosi tu, madereva wote wa binafsi wa serikali wanasifu hilo kwa mzee. Mnyoinge mnyongeni haki yuake mpeni, yanakula kwa uroho wao mpaka ynakitazama chakula, yakishavimbiwa utayakuta kule gereji mwisho, yanalala chini ya mkungu. Ngoja kuna siku tawanyuyia upupu ndio wataacha mchezo huo.

Mimi; Sasa kwanini ufanye hivyo mshikaji wangu, vibaya.
Mshikaji; Mwanangu unajua usingizi na uvivu unaambukiza, sasa sisi tunachakarika wao wanalala kule, washashiba wanajamba jamba hovyo kuchafua mazingira tu.

Nikamwacha anaongea nikaingia ndani.

....
Vionjo vya Arsis - Majini ya Kojani- Pemba 4.

...Nikakuta mzee kishafika ndani kishakua mwenyeji, kakaa anaongea na Dokta ikawa kama nimekatiza maongezi yao. Mzee alikua kakaa katikati ya mama na wife wangu juu ya kochi kubwa, Dokta alikua kakaaa kochi dogo la mtu mmoja wanatazamana, mimi nilipoingia nikaka kochi la peke yangu lilikua pembeni yao, Dokta kulia kwangu na watu wa nyumbani kushoto kwangu. Chumba kilikua kikubwa kwa hio kulikua na distance nzuri tu.

Mimi; Samahani nimewakatiza, natumai mmeshatambulishana.
Mzee; Labda tukutambulishe wewe mgeni wetu, nimeona nikukimbieni na Mshikaji wako maana akianza kuongea hana breki.

Mimi; ndio zake, tena ungekuepo wewe ndio kabisa.

Mzee; Kwa hio Dokta ndio kama nilivokua nakujulisha, huyu na huyu ni wanagu wote. Simba Dokta kumbe anamjua shangazi yako, wanawasiliana sana kwa kazi zao.
Dokta; Sio kwa kazi, moaka tumekua marafiki, ngoja nimsurpise, akatoa simu akapiga.
Dokta' Guess where ma at? Ooh yu'll never guess in a million Years. Ongea ujue nipo wapi, hata ukisie vipi huwezi kujua.

Akampa simu mama. Wakaslimiana.

Mama; Si wewe hujawahi kulmleta, sasa mimi niwajua watu wote unaowajua wewe? kweli, kweli, mbona wewe hujanambia? Aaah wacha we, haya, haya. Tupo wote hapa, Simba yupo mkewe yupo na kakao yupo, haya hiuyu hapa. Akanipa simu.

Shangazi; Nyoo uliejidai Shehe wewe, huyo Dokta umejua wapi?
Mimi; jamani kidogo natoka nje, sipendi kuongea na simu mbele za watu.
Mama; Huyo na shangazi yake hawamaizi leo, tuendelee sisi na maongezi yetu.

Nilipotoka nikaanza kuongea na Shangazi.

Mimi: Shangazi vipi, mbona huonekani siku hizi?
Shangazi; Usinitoe njiani, nimekuuliza huyo Dokta umejua wapi?
Mimi; Kuna sehemu tulikua na Mzee, babako ndio katujulisha nae

Shangazi; Msimsingizie yule Mzee yu[po Tanga huko, yeye na Dokta wapi na wapi, lakini inawezekana, maana huyo Dokta kila siku safarini, labda alikwenda Tanga wakakutana?

Mimi; Hata sijui. Mimi kanambia mzee tu twende shemu ndio tukakutana nae.
Shangazi' Wewe kama hunambii yeye atanambia. Kuna nini hiuko leo huko? Najua kuna msosi rasmi, namjua mamako akija mgeni, kwanini hamjanambia?
Mimi; Wala haikua rasmi, imekuja kwa kustukiza ghafla tu, kasma anakuja kwa Barafaa antamani apajue nyumbani, ndio tukamleta.
Shangazi; Ingekua rasmi sio ya ghafla ningekuja sasa hivi nichukue takeaway.
Mimi; Takeaway hazikosekani nyumba hii, muulize wifi yako.
Shangazi; Nimezisamehe leo, saa nyingi nataka kupumzika. Tutaongea kesho, kwaheri.

Tukaagana pale nikarudi ndani.

Mimi; Samahani, nimetoka na simu yako, nikamrudishia Dokta simu yake,nimeona nisiwakatize maongezi yenu maana Shangazia akifungulia maongezi hamalizi.

Dokta; Mbona umemkata? Si kitu lakini kishaelewa niko wapi, haamini.

Mzee; Naam, Dokta, tuendelee. Huyu bwana ndio kishafika.

Dokta; Samahani Simba, Mzee Ali vipi, tutaemda kwake, mzee hapa ananambia kishaongea na wewe anaona haina haja ya kwenda.
Mimi; Mpigie lakini sikilize atakwambaje. mpigie tu sasa hivi uondoe wasi wasi.

Dokta akapiga simu.

Dokta; Salam SAlekum.
Dokta; Ooh, ana nini tena dada, nipe niongee nae japo kidogo. Ok. baada ya kama sakika mbili.
Dokta: Salaam Mzee Ali, pole sana, kichwa kinauma? Hio haina haina neno kichew kingekua kinauma ndio mbaya. Hio wala sio tatizo, unatakiwa upumzike tu. Ooh, sawa, nipo nae hajanambia. Ok , Ok basi imekua vizuri umenipunguzia kazi ya kuja nae mpaka huko. Ooh, sawa sawa kabisa. Kwanini mimi sihitaji kwa sasa, ahsante sana. Kaa mwenyewe umeamua, namba yangu ni hii hii, inatoka jina langu. Usijikalifishe, wala usiwe na shaka kabisa, mimi nilishapanga kwenda, basoi sawa usiwe na wasi wasi. Haya kwa heri, basi nitakupigia mimi kukujulia hali, usijali, kawaida tu. kwaheri.

Mama; haya jamani twendeni tukale, nyinyi mtamalizia mazungumzo yenu uani.

Mama na binti yake na Dokta wakatangulia wakatoka, mimi na mzee tukawafata nyuma, tukawakuta uani.

Mama; Wewe Kaeni hapo malizeni tu mazungumzo yenu, mimi na Nisha hapa tutatayarisha chakula. Simba mwanagu wa gtatu yuko wapi?
Mimi' Yupoo nje mama, akisikia harufu ya chakula tu, utamuona.
Mama; Msimsahau.
Mimi; Poa.

Dokta; haya mambo jamani mimi sielewi sielewi lakini nilikuja hapa kwa kupata ufunbuzi wa maswali hyangu. Sasa Mzee Ali amesema katupa ofa ya gtiketi za ndege, mimi na wewe Simba, kasewma hio sababu ni laima tuhudhurie ni muhimu sana, na kanambia ulikwenda kwake jioni?

Mimi; Ndio, kweli, nilikwenda kwake baada ya kuongea na wewe, nikafikri sana,nikaona ndio njia yangu nikitoka kazini acha nipite kabisa nijue kuna nini huko kwao mpaka mimi niwepo.

Nikaongea nae, nikamwabia sisi kama hatuna pesa za safari si itashindikana kuja? Akanambia hilo wala tusijali, yeye atagharamia, amenambia kwa kua alishaweka majina yetu kwenye listi ya wageni huko, tungeshawekewa na sehemu ya kulala huko Kojani kwa hio hawezi kutuona tunavunja ahadi yetu kwa nauli tu. Akanambia atatupa tiketi akachukua na majina yangu, yako akasema anayo.

Dokta; Mimi kanidahamisha kama ulikwenda huko, sasa kasema atanitumia na esa kwenye simu yangu zinisaidie kwenye safari lakini nisiache kwend na sina haja ya kwenda kwake tena, amaeshaongea na wewe. Pia kasema kwa sasa hatiweza kunipigia tena simu labda mkewe au mimi nikiwa nahitaji chochote nimpigie yeye katingwa na kutayarisha safari wiki hii, shetehe ni kubwa huko.
Mimi; Sawa kama ni hivyo, mimi hanitumii pesa za safari?
Dokta; Hajanambia na sowezi kumuuliza hilo, hata mimi kanilazimisha sana, sina sabau ya kuchukua pesa kwake za safari. Mimi Pemba nishaenda mara nyingi kwa kazi zetu, kuna hoteli nzuri tu tunafikia pale Chake, inaitwa karafuu. Sema ni ghai kidogo, mi natoa ofa ya siku mbili kukulipia.

Mimi; Haina haja, kabisa, mimi sina tatizo kwa kua ninahamu hya kufika Pemba sijawahi kufika kabisa.
Dokta; Pazuri sana mimi naimepapenda. Lakini Simba baafda ya hilo la Mzee nina mengine mawili yalionileta hapa. Moja langu mimi moja nimeambiwa nikuulize wewe.
Mimi; Mimi tena?
Dokta: ndiyo, naomba nisikilize na mzee hapa atattushauri...

Dokta: kwanza narudia hili swali, niliwahi kukuuliza, mimi nina uhakika nilikuona chumbani kwa Bi S, umesimama kwenye pazia halafu ukajificha sijui nyuma ya pazia la dirishani, lakinitulitazamana kabisa, na haiwezeekani kua ilikua sijakuona wewe. Tafadhali nambie ulikuwepo? msinitie wazimu. Sijaishia hapo, ngoja nikwambie na hili la piki, halafu tugtaunganisha yote kwa [pamoja yameungana.

Mimi; Sawa.

Dokta; Yule jini anaenitesa naesema ni lazima anioe, kanijia mara mbili tatu usingizini, lakini kama naongea live, isipokua nina uhakika ni singizini. Mara ya kwanza kanambia, yeye ameshakubaliana nao, kua nikipata mume wa kunioa au yeye akipata mke wa kumuoa hatonisumbua tena, Kwa sasa atabaki kua kama rafiki tu. Basi akaondoka.

Nikawa nawaza sana huyu mbona simuelewi elewi. Ikawa sasa mimi namuita aje, siku hio nimekaa chumbani kwangu nikawa namuita ukanijia usingizi mzito akaja tena ndotoni, akaniuliza unaniitia nini? Yeye sasa hivi ana makubaliano kua asije kabisa kwangu isipokua nikitaka mimi, ndio kaja maana nimemuita sana. Nikamuuliza, umesema umeshakubalina nao, nani hao? Kwanza mimi nilikua nafikiri vibuki, lakinivibuki kamaujuavyo tumemalizana nao, bado wa Ngazija tu huko, nao hawaleti tabiu kabisa, maana sasa hivi hata kazi zangu nafanya kwa raja, sina uzito wowote ule wa kwanza. Akanijibu kina Simba, akaondoka zzzake.

Dokta; Nikawa najiuliza kina simba wepi hao, ikawa inajia poicha yako ya Pale kwa Bi S, na nataka nikuuliza anamaanisha nini huyu kina Simba? Nikamuita tena, leo saa 9 za usiku, hajaja, lakini nilipolala tana tu akaja tena kwenye ndoto, akaniuli umeniitia nini? Nikamwabia mimi sijaelewa uliposema kina simba umefanya nao makubaliani, simba wepi hao? Akanambia ni gtule mlikutana kwa Mzee Ali, ndoto ikakata, basi na Mzee ali anavonisumbua kuhusu hii safari mpka leo asubuhi akanambia lazima na wewe uende, ndio kama mmenichanganya sana. Nifumbulieni haya mambo jamani, sitaki kutrudi nilipotika.

Nikawa kimya, sijui nianzie wapi.

Mzee: Subiri Simba nimfahamishe, nimesikiliza yote. Sikiliza Dokta, sisi ni ukoo wa Simba kimizimu ya kwetu huko Tanga. Na kweli tunayo hio mizimu, woite sisi, mimi, huyu Simba, mke wangu na mkewe huyu. Lakini kwa sasa huyu na mkewe na mama yao hawataki kabisa mila za Kisimba, nimebaki mimi tu, kwa hio naelewa kinachoendelea.
Dokta; Nini kinaendelea?
Mzee; Usiwe na wasiwasi Dokta mambo yako yamewshaisha, hautorudi ulipotoka kabisa. Uliyemuona huko Unguja chumnai sijui, sio huyu, ule ni mzimu uliochukua sura na umbo la huyu. Naa huyo jini anaetaka kukuoa anasema kweli, hao alioongea ni mizimu ya ukoo wa Simba, ndio kina Simba hao na wamekubaliana asikusumbue akiendelea kulusumbua itakuwa kaingia kwenye vita na wao Simba, Yeye yule ana elimu lakini hana majeshi akaona isiwe tabu, akakubaliana nao atabaki pembeni tu mpaka uolewe au yeye aoe. Ndio hivo tu hakuna zaidi.

Dokta: hapo kama nimeelewa kwa kiasi fulani na holi la Mzee Ali kutaka lazima niende na huyu.

Mzee; Mimi nilikuepo siku ya kwanza kwa Mzee Ali, si unakumbuka? mizimu ya Simba na yenyewe imeongea na majini wa mzee Ali. wameshaelewana, kua mradi kibuki basi ayamalize tu. Kutamazia ndipoo mpaka uende kwao, inaonesha mliahidiana mtakwenda kwao au sivyo?
Dokta; Ndiyo kabla hata sijawaona nyinyi.

Mzee; Basi katimizeni ahadi yenu, kama nimesikia vizuri katooa na ofa ya tiketi na poesa za matumizi, nendeni.
Dokta; Hapo ndipo napopata waasiwasi mimi, kwanini mpaka mtu atoe gharama zote hizo?
Mzee; Si Simba kakwambia hapa, kamuuliza Mzee Ali kama mtu hana pesa, sasa yeye kaona asiharibu jina lake, kishawajulisha huko kua ana mgeni Dokta na Simba hapa, na anazo pesaa yule.
Dokta: Pesa kweli anazo maana hizo gharama zake za tiba kuliko madaktari hospitali.
Mzee; Uganga unalipa, naona na mimi ningeacha kazi za gereji nitengeze pesa.
Dokta: Wagnjwa tupo, tutakuja tu.
Mzee; natania tu. Kwa hio nyie wote wawili msiwe na wasiwasi mimi ningekua sio kazi ningekuja Pemba, nilikwenda zamani sana wakati bado kijana kabisa, tena kwa siku mbili tu, nilikwenda na meli, nikatapika wakati wa kwenda na wakurudi sina hamu tena.
Dokta: twende mimi nitaukatia tiketi ya ndege.

Mama: haya jamaani chakula tayari huku, msimsahau na mwanangu nje hapo.

Mzee akamwabia Doktam haya nyanyuka twende tukale tugtamalizia maongezi huku tunakula. Mimi nikaenda kiumuita mshikaji nje, ile natoka simuoni, nataka kuifata simu nimpigie, nikasikia Hoyaa.

Mimi: Msosi tayari, njoo tule.

Mshikaji; Ilikua kidogo nionedoka zangu, ningetazama mlangoni hapa ndio ilikua ishatika hio, mna miponhgezi mrefu, basi kina mama huko walivikwisha ineshana makochi wakaingia nae chumbani wakaanza kuoneshana mishono na ma hendi begi. Wantuua sisi na njaa.

Mimi; Poa, mwananhgu, wende, tunasubiriwa wewe tu, nikaingia na mshikaj dining.

Mshikaji; Akatoa salaam pale. Wife akachukua sahani kama kawaida yake akaanza mumtilia mzee, huku anamwambia Dokta, kula uhai daktari, kula mahunjumati ya mama mkwe wangu, usione haya.

Mshikaji; usijali shemeji hakuna kuona haya haoa au sio Dokta?
Dokta: Sioni haya.

Mama; Ngoja nikupakuliea Dokta wewe uteona haya?
Dokta: hata, sina haya kwenye chakula, tena hii harifu tu imenimaliza, msione haya nyinyi tu ninavyokula.
Mshikaji: Mpakulie mza. Dokta huyu huyu ndio dingi wetu, huyu ndio mkewe, huyu shemeji yangu habiabi ayuni wa Simba, mimi ndio mtoto wa mwisho wa maza. orijino. Au sio maza?
Mama: wewe tu mwanangu kipenzi, wengine woite feki, haya tia chakula ule?
Mshikaji; Maza mimi hata sijui nianzie wapi manaake umechfaua meza kinoma. Nitilie wewe mazaangu.
Wife; Ngoja nikutilie mimi.
Mshikaji; mtilie mumeo, mimi usiniingilie kabisa na mazangu.
Mama: mwacheni mwanagu jamani namtilia mwenyewe.

Mzee yeye aniga tu msosi kimya.

Tukawa woite tumeanza kula.

Mama; Nimesikia mnaenda Pemba, kweli.
Mimi; Ndio mama.
Mama; Naytamani kweli kwenda, kunam kiwanda huko cha kutengeza mafuta ya viungoi voite, mkienda msikose, kila mafuta mtayopata mnichukulie.
Dokta; Twende ofa yangu, ukakione mwenyewe.
Mama; Mikmi nakazi kipindi kuliko hao. Nenda na Nisha.
Dokta: Nisha twende, ofa yangu.
Wife siku ngapi tunakaa huko? mimi napatamani kweli Pemba.
Mshikji; Mbina mimi hamnioi hio oigfa, fasta tu, lakini mambi ya kuoanda boti sitaki.
Dokta; Kwa ndege, twende.
Mshikaji, kuondoka lini?
Dokta; nahisi wiki inyokuja sijui siku gani?
Mshikaji: Aaah kwani haiwi kesho, mimi wiki ijayo sipo, kuna binge la tripu mzee kanituma, hilo kulikosa mwiko.
Mimi; Ndio salama yetu hio.
Mama; kwanini jamni, hamumchukui mwanangu?
Mimi; Si unamsikia mwenyewe kakataa.
Mshikaji: maza wewe acha waende tu, mimi nikimaliza kazi za wiki ijayo za dingi, kama bado wapo Pemba naruka tu, kwani kwa pipa si one time tu, wala usikonde maza.

Wife siku ngapi jamani, mmenitia hamu na mimi ya kwenda Pemba,
Mimi; Tulipanda kwenda kama leo nakurudi kesho, tunalala huko siku moja tu.
Mama: msirudi mikono mitupu msinisahau mafuta ya viungo, tena nataka ya hapo kiwandani msinunue mitaani feki.

Wife onezeni siku na mimi niende, siku moja tu kwenda na siku yapili kurudi tutaiona wape pemba, eeh Simba?
Dokta; Mnaweza kuongeza siku, kweli Pemba kuzuri, sema mimi siwezi, kazi za watu labda nitazame kama kuna kazi za kufanya Pemba niunganishe.
Wife: Dokta wewe fanaya kila njia iwepo safari ya Pemba, huyu ukisafiri nae, yeye hapendi kutembea kuona mji, yeye anataka tukitoka kwa huyu tumeenda kwa huyu, raha ya safari uuone mji, najua Dokta wewe mwenyeji kule.
Dokta: Sio sana, lakini napajua sana, sababu kazi zetu zinahusu kwenda mpaka vijijini huko, tena kuna hospitali pale Wete wananijua eite, tuna program nao. Ngoja kesho ofisini nitatazzama kama kuna porogram zozote naweza kuchomekea, tutakwenda. Unajua hao naofanya nao kazi tuna program za mwaka mzima tayari, kuzipangua hizo kazi kweli kweli, tunaenda kwa kalenda. Ingekua kazi za Serikali, mara moja tu labda iwe emergency, wacha nifike ofisini kesho nitajua. Niakupigia Nisha usijali, jitayarishe na safari.
Wife; Poa, tupoo wote, na mimi nikaione Pema.
Mama' Na wajukuu zngu wachukueni. nsiwawache.
Wife: Watabaki na bibi yao, siendi na mtoto mimi, iyakua safari ya kulea, mie nataka nizururw huko Pemba nzima.

Tkakubaliana ttwasilina kesho tukatoka nje tukakaa kwenye kahawa.

Mama; Dokta saa hizi usiende popote, si unakaa peke yako? Chumba kipo hapa, kesho mapema utaamkia hapa kwenda kazini. Twende nikakuoneshe chumba.
Dokta: jamani wacha nende tu.
Mama; Usiku huu poeke yako haiwezekani kanbisa, mimi takuamsha alafairi, kama inabidi upite kwako uytapita na kazini utawahi, Leo mgai wangu hapa. Hao wenzako hawajakuonesha, kwao huko upande wa pili, wamezowea tu hapa.
Dokta: Ooh, bilifikiri ko wote hapahapa.
Wife; Ndio kama hapoa tu, mlango huo unaenda kwangu. Siku hyingine utapaooina ,sasa hiuvi hata sijui kuna hali gani huko.

Tukaagana pale mama akamchukua Dokta kumuonesha pa kulala, chumba cha wageni. Mzee na yeye akaingia ndani, Mshikaji akaaga na mimi na wife tukaenda kwetu.
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom