Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hapa mimi nina swali kwenye hoja ya kwanza ya Jini.

Kama jini ni kiumbe cha Allah wameumbwa ili wamuabudu Allah, je majini wanatumia kitabu gani?

Je majini ni dini gani?

Je majini wanaswali wapi?

Je kuna ukweli wowote kwamba kuna binadamu wanatengeneza majini na kuyafuga na kuyatuma?

Naomba na Arsis atie neno kwenye haya maswali yangu yanayonitatiza.

Asante.
Hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kuwa majini walipewa vitabu vyao ila upo ushahidi kuwa majini waliisikia quran na wakaikubali kuwa ni maneno ya haki kama ilivyo katika suratul jinn
  • Aya 1: "Sema: 'Nimepokea wahyi kwamba kundi la majini waliisikiliza Qur'ani, wakasema: ‘Sisi tumesikia Qur'ani ya ajabu.’"
  • Aya 2: "Inayoongoa kwenye njia iliyo sahihi, hivyo tunamuamini Mwenyezi Mungu, na hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu."
Hoja yangu hapa ni kuwa Majini kama walivyo wanadamu wanadini mbalimbali kama vile wanadamu na wanajifunza dini pia na huwa wanabadili misimamo yao kulingana na uelewa wao, Huwa wanafundishana wao kwa wao dini lakini sana wanajifunza dini kupitia wanadamu.
Ndio maana hizo aya nilizokuwekea hapo zinathibitisha kuwa kuna kundi liliisikia Quran likaikubali vivyo hivyo wapo waliokataa. Sasa kwakuwa wapo mitume wa Mungu kulingana na zama sisi katika uislamu mitume waliotajwa katika Quran wapo 25 hivyo majini wanaingia katika hukmu za zama ambao mtume husika alikuwepo na wao walikuwepo, Hapa linaweza kuja swali vipi ikiwa jinni ameishi zama zote za mitume 5 au 6 au 10 ataingia katika hukmu za nani?
Jibu ni kuwa mitume wote wa Mwenyezimungu walikuja na ujumbe mmoja tu, Watu wamjue yeye na kumuabudu na wasimshirikishe. Hivyo toka kipindi cha Adamu mpaka Yesu mitume wote walifundisha juu ya mungu mmoja na wakweli ndio maana Yesu Mwenyewe anasema katika Mathayo 5:17 kuwa..
  • "Msidhani ya kwamba nimekuja kutengua Torati au Manabii; sikuja kutengua, bali kutimiza."
Katika aya hii, Yesu anathibitisha kuwa hakuja kutengua sheria za Torati au mafundisho ya manabii, bali amekuja kutimiza na kuonyesha maana kamili ya sheria hizo.
Hivyo majini ndio wanatakiwa kuwa mstari wa mbele kuukubali ujumbe wa Mungu maana wamejaliwa kuishi muda mrefu na wameona ukweli kuwa alichofundisha Ibrahimu ndicho alichofundisha , Yohana na ndicho alichofundisha Yesu na ndicho alichofundisha muhammad.

Kuhusu kuswali wanasali katika misikiti, makanisa , masinagogi n.k kulingana na imani yao katika uislamu upo msikiti unaitwa masjid al jinn upo saudia msikiti huo wanaswali majini, Serikali ya saudia ilijenga msikiti eneo hilo kama eneo la kihistoria kwani mtume alipokea ujumbe kutoka kwa majini wanamuita akawafundishe dini mtume akamchagua swahaba mmoja wakaenda nae mpka eneo hilo ambalo najini walipanga kukutana na mtume na mtume akawafundisha dini pale ni kisa kirefu kipo katika hadithi za bwana mtume unawza kukitafuta ukajifunza pia, Walioenda katika hijja huwa wakipata wasaa wanaenda katika msikiti huo na wanakiri kuwa ni msikiti wenye maajbu kwweli.

Kuhusu mtu kutengeneza majini au kuyafuga hapa kuna maelezo marefu na maelezo haya yanahusina na maswala ya uchawi. Ila kwa kifupi ni kuwa mtu hawezi kutengeneza jinn kwani wale ni viumbe wa Allah wanazaliana kama vile wanadamu, ila wapo watu wanaweza kuwaita majini wakawatuma na wakasaidina katika baadhi ya mambo hasa wachawi wanatumia sana majini wanajua namna ya kuwaita hii ni mada pana Inshaalah nikipata wasaa nitaigusia pia ushirikiano kati ya majini na wachawi.
 
Vionjo vya Arsis 5-7

nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.

Njiani Babu akanioiagia simu. Tukasalimiana.
Mimi; babu naendesha sikawii, nikifika nyumbani nakupigia.
Babu; Okay. No problem.

Nilipofika nyumbani sikuchelewa nikampigia Babu. Baada ya kusalimiana.
Babu; kakupigia simu Sheikh...
Mimi; Hapana hajanipigia, kwema?
Babu; kwema Simba, basi atakupigia maana msikilize mwenyewe kwana za sitaki kutia langu kabla hujaongea nae.
Mimi: kuna nini babu, salama lakini?
Babu: Salama, mbona una wasiwasi Simba?
Mimi; Babu wasiwaasi wa nini ni we nao?
Babu: Basi ongea kwanaza na Sheikh... mkimaliza nipo hewani.
Mimi; Poa.

Nikakoga nikaingia kujipumzisha kidogpo kabla ya kula.
Wife: Husikii njaa? Chakula tayri, huku anacheka cheka.
Mimi: Njaa nasikia, napumzika kidogo halafu nipakulie nile, usiniache nikalala maana bilichoka naweza kuamkaa usiku.
Wife, oay, basi Simba, ungeamka ukala kwanza halafu hata ukilala si kitu. Njoo darling tena leo kapika mama mwenyewe, bahato umewahi mapema au alikujulisha?
Mimi: hapana, nipe dakika 15 tu nakuja, kuna simu naingojea, wewe tayarisha kabisa.
Wife: Ngoja nimwambie maza atayarishe mwenyewe maana akaipika vbyakula anasema hagta kupakua vina staili yake sio vinapakuliwa tu.
Mimi: Vyako je?
Wife akacheka, akanambia wewe pakua vyangu staili upendayo, vyako mwenyewe tena?

Nikaseka, mara simu ikaita, nakuja kula mke wangu usijali gtayarisheni. Kupokea ni Sheikh wa Unguja. Tukasalimiana pale.
Sheikh: Simba, kuna ombi nimeongea na babu yako kanambia niongee na wewe.
Mimi; Mimi tena, kuna nini?
Sheikh: yule binti miomuona kwa Mzee Ali, mambi ya amjini haya, Mzee Ali kamwambia aje Unguja kwa aneyaweza majini yua kibuki, haya majini ya kikwao yule binti ya Kina)gazija. Mimi nikaongea nae nikaongea na huyo bibi anaeyajulia kwa ada za kikwao kingazija hapa Unguja, wamepanga shughuli yake ifanyike Jumamosi, yule binti kishatuma pesa za chano na pia vitu vingine kasema atakjuja navyo mwenyewe kugtoka Dar siku ya ijumaa boyti ya mwisho. Nilipomjulisha babu yako kasema nikwambie na wewe uje kujionea tu. Hakuna kazi hyako wala ya babu yako, isipokua babu yako kasema kama ulivyoenda Kwa Mzee Ali kujione uja)e na hapa kujionea. Lakini kama utakuja, njoo Alhamisi, kuna mwanzagu kijana mweznzi akupeleke ukaionea hizo mitaa hata ukitaka kukiutana na huyo bibi na mumewe, ni waty maarufu sana hapa Unguja, ni vizri ukajuana nao tu. Hilo ni ombi la babu yaki nikwambie.
Sheikh... Ukija nijulishe mapema, utakua mgeni wangu hapa nyumbani, ukija mapema itakua vizuri ili upate kuiona Unguja, nahiona haujiaitembea.
Mimi: Poa nimekuelewa nitakujulisha kama nitakuja au siji.

Tukaagana, ile nafika kwenye chakula bi mkubwa ananipakulia, simu ya babu ikaja, niliacha simu chumbani, mke wangu kaniletea. Babu huyo, nimeshaijibu wewe ingea tu. Mkumbuke babau yangu ndio babu yake mke wangu, sisi ni watito wa mjomba na shangazi. Nikipokw simu, tukasalimiana na abu pale.

Babuj: umepigiwa simu eeh?
Mimi: Ndio bbu nimeongea na Sheikh... lakini sijmuelewa, mamboi yao wao anasema wewe umemwaboia anambie na mimi niwepo.
Babu: Ndio, mimi alikua ananielezea tu kinachoendelea, nikamwabia itkua vizuri na wewe ukayaone ya vibuki, utastarehe sana. Ningekua kijana ninhgekuja, nayajua mimi.
Mimi: Ssa mi niyaone kwanini babu? Mimi kai zangu zinasimama nikiondoka huku.
Babu; Hio Simba ni katika kujenga maarifa, wewe nenda tu kama mtalii, kwani kuna tatizo gani? Unguja yenyewe wewe huijui.
Mimi: Nimefika Unguja babu, umesahau?
Babu: hujaitembea wewe, nenda ukaione Unguja ya kweli, tena ukitaka kustarehe usifikie kwa hyo Sheikh, fikia hoteli moja nzuri ya kitaklii, kwani ukilipa siku tatu kama mtalii utakosa nini?
Mimi: babu unaongelea pesa nyingi hapo, si mchezo hoteli za kigtalii.
Babu: Kwa Mgtanzania wala usiogope wana bei yao, mimi babu hyako nikienda nakaa hogteli za kigtalii, igtakua wewe kijana?
Mimi: babu wewe unazo.
Babu: tena umenikumbusha kuna kijana manager wa hiteli moja alikuja kutafuta kinga wanamt)rogaroga sana huko kazini kwao, Bakora akampa majani ya kujikinga, mambo yake sasa hicvi swafi haoti oti hovyo gtena, ngoija niongee nae nimwabie akatagfutie hoteli nzuri iukae wiki moj, utulizane huko. Kazi haziishi.
Babu: Sina uwezo huo.
Babu; Wewe usijali, hoteli na chkula cha hoteli niachie mimi, najua la kufanya, wewe chukua pesa zako za matumizi jiktie na toiketi zako tu.
Mimi; Nitafikiria, nitakujibu.
Babu; hakuna muda, leo Humanne, kesho maizia mambo yako hapo, Alhamisi uondoke. Maana mimi nikikata simu yako nampoigia huyo manager wa hoteli, ni kija wa Kijunguja mspomi huyo, ukimuona utampenda, ni kija na smart sana. Kwaheri.

Babu akakagta simu hakunipa hata mufda wa kupinga.

Nikawekewa chakula nikwambia wife, unamsikia babu yako, Wife, kanambia kabla hajakwambia weew, safari ya Unguja hio. Mimi huko mume wangu sina hamu hata ya kwenda, toka kisa cha yule mtoto, hawanioni ng'oo.
Mimi; kani huku hakuna wachawi?
Wife; kumenitisha tu.
Mama; kama unakwenda Unguja kutembea nikupe zawadi za rafiki zangu, hlafu nitakuandikia vitu vya kuninunulia huko uniletee.
Wife: Na mimi Simba kuna vitu nataka kutokea huko.
Mimi: Ongeeni na babu kuhusu hizo shopping zenu, mwabieni mimi nimewaambia.
Mama: Usiogope vitu vyangu nakupoa mwenyewe pesa zangiu kabla hujaondoka.
Wife: Na mimi maaa mpe za vitu vya kwangu. Vyangu atakoma ubishi, vya bei si mchezo.
Mama: mwambie babako, mimi sina pesa. Si huyu mumeo akununulie, kazi anafanya poesa anapeleka wapi?
Mimi; Mhasibu wangu yeye huyo, anajua zipo au hamna na bajeti za matrumizi anapanga yeye. "like mother like daughter".
Mama; sasa kama hajapanga bajeti mkeo apange nani? Zikishafika kwake ndio inabidi ujue balance tu na matumizi yanaendaje, usidhani ni zako tena, wanaume nyinyi wachumaji, sisi watumiaji.
Mimi; Hakuna shida, mradi mnanipa pesa zenu niwaletee vitu, wala msiwe na shaka, nawaletea hata Unguja nzima mkiitaka.

Wakacheka, mama akachomokea, "mnajikaanga kwa mafuta yenu wenyewe.

Nikaondoka zangu baada ya kula nikapiga kahawa uaoni nikaenda kujipumzisha,
Simba.
...5.8

Vionjo vya Arsis 5-8

nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.

Ndani sikukawia kulala, nikapitiwa na usingizi mzito nikalala kama masaa mawili, kuamka nikawa fresh kabisa. Nikakoga nikatoka mitaani kidogo kunyoosha miguu, muda wa kusali ukanikuta hukohiuko nokasali huko nia zunguka zunguka kidogo nikarudi nyumbani kama kumi na moija na kidogo hivi.

Kurudi sijakaa sana, nikasikia mzee kaingia nikamsubiri kaingia kwake naimi nikaingia ofisini kwangu, nikamwita Jini1. Hajachukua muda akajagonga mlango akingia kama kawaida yake akaenda kukaa kiti nilichomwekea. Kishazoea kiti chake.

Mimi; Nipe habari nini kinaendelea?
Jini1; wewe unajua zaidi yangu.
Mimi; Ningejua ningekuuliza wewe?
Jini 1; Niulize nini unachotaka kujua, maana naweza kukujibu yale yote unayoyajua tayari.
Mimi; Hii safari wanayotaka nienbdew Unguja ina ulazima upi?
Jini1; Mimi nanavyojua babu yako anataka ujifunze, uone mambo ya dunia yanavyokwenda kwenye haya mambo yasioonekana. Ni kama unavyojua wewe, unajua babu yako alivo, hawezi kufanya kitu kinyume na wewe kabisa. Anakufahamisha kila kitu.
Mimi; Kuna kitu Arsis kanifahamisha lakini bado sijakielewa sawasawa. Kuhusu jini analosema limeoa kivyuli cha Dokta, kua ni mtu aliekufa lakini hajaingia kwenye umauti.
Jini1; Hilo swali zuri sana tena sana.Nisikilize kwa umakini dsana, sisi wengi wetu ni nafsi za watu na wengine hatuna uhakiaka hasa wa sisi ni nani kwa kua mambo ya roho haya ni mapana sana, lakini nakushauri muulize Arsis, hivi anasikia unavyoongea na mimi, mawasiliano yapo wazzi na yeye.
Mimi; kama anasikia, basi Arsis elewa kua haya maswali ni yako wewe pia, Jini1 hapa anashindwa kuyajibu, mpe majibu.
Jini1: Mimi sishindwi kuyajibu lakini SArsis anafahamu zaidi na yeye ni mwalimu, mimi sio Mwalimu sijui kufundisha, najua kujibu tu kazi zangu.
Mimi; Mnazidi kunichnganya.
Jini1; Arsis anasema nenda Unguja, utayoyaona huko ataingea ana wew ukiwa hukohuko kuhusu hili, atakuja huko kukupa jibu baada ya kuyashudia ya Unguja. Arsis anashauri kama alisema babu yako, nenda alhamisi, ikiwezzekana hata Jumatano, nenda kawatembelee wale wataofanya sherehe ya Kibuki mapema ujuane nao na ikiwezekana na Dokta ajue kama uko kule tayari na unaona na hao watu. Arsis pia anaahidi utaongea na huyo jini mtu wa Dokta ukiwa Zanzibar tena kaba hata ya Kibuki kufanyiwa ujinga wao huko.
Mimi: Ujinga tena?
Jini1; Ndio, ujinga tu, wewe utaona huna haja ya kueleew2a na mimi, ndio maana babu yako anataka ujionee mwenyewe. Kitu kimoja Arsis anasema nikujulishe na ikiwezekana nikirudie kwako mara kwa mara ili kikuingie.
Mini; Kitu gani?

Jiniq; Jini yoyote au mganga yoyote anaekwambia chano, sijui ada ya majini, sijui mbuzi, kondoo, au chochote kile, Huyo ni mwizi au tapeli tu kama wezi na matapeli wengine, yeye kaamua kutumia hii elimu kwa faida yake, hakuna jini la chani wala la kafara amablo sio la kichawi. Umefahamu?
Mimi; sasa mbona Dokta anakwenda kufanyiwa hayo?
Jini1; ndio uende ukajionee na Arsis kaahidi atakuja kukuona na kukufahamisha zaidi. Usiwe na shaka. Mimi nakuuliza.
Mimi; Nini?

Jini1; Ushamuona babu yako watiu wote wenye shida zao wanaokwenda kwake anawaambia leta chanoi au kuku, au mbuzi au kafara ypoyote ile?
Mimi; Sijawahi kuona wala kusikia. isipokua. naona babu anapikisha chakula na watu wote wanakuja kula ikisha kazi kubwa, tena hapiki ple nyumbani wanapika hukohuko wapishi wanaleta chakula tu, inakua karamu.
Jini1; Hio sawa kabisa, hachukui hela ya mtu kufanya karamu, ile ni fuaraha yake na shukran yake ya kufanikiwa jambo lake anafanya chakula, si umeona akifanya chakula wanakuja watu wa msikitini na wa mtaani, bila kuchagua tajiri ewala masikini?
Mimi; Ndio hilo nimeliona.
Jini1; Ilew sio kafara ile ni sadaka, na babu yako anaytoa sadaka nyingi sana wewe huzijui, mimi siwezi kuzisema mwenyewe atakufahamisha ukimuuliza.
Mimi; Nitamuuliza anaifahamishe.
Jini 1; Magahribi itaingia sasa hivi, acha niondoke ukita kupiga story niite baada ya kusali Isha kama haukuna dharura..
Mimi; sawa, kwaheri.

Akaondoka na mimi nikatoka nikajitayarisha nikaenda msikitini, nikakaa huko mpoaka nikasali isha ndio nikarudi nyumbani, hii ilikua kawaida ya babu yangu alkienda kusali magharibi harudi mpaka asali isha hukohuko.

Kurudi kama kawaida mambo ya nyumbani mara babu akanipigia simu.
Babu: Simba tayari, nakutumia namba kwenye meseji za Mangager niliekuambia, mjulishe utaenda lini na boti ya saa ngapoi watagtuma mtu akupokee bandarini au unaeda kwa ndege Simba?
Mimi: Nikacheka, kwa boti tu.
babu; Nimefurahi kua umeamua unaenda, nenada ukaione dunia Simba, usfikiri dunia ni hapo Ilala tu na Tanga.
Mimi: Swa babu, uemfurahi umefanikish mradi wako.
Babu; Mradi wangu ni wewe Simba, mimi nataka usome. Kusoma kuna theory napractical, sasa haya mabo uyashuhidie, kama unaingia lab kufanya practical.
Mimi: babu wacha zako hizo.
Babu; Mwambie Dokta utakua Unguja, atafurahi sana.
Mimi; Simwabii, haihusu.
Babu; Atajua tu, bira )umwabie wewe itakua vizuri zaidi.
Mimi; Atajuaje?
Babu; Si ukimjulisha mwenyeji wako Sheikh... atamjulisha Dokta. Umesahau?
Mimi; Okay, yeye anakwenda Ijumaa, kazi yake Jumamosi.
Babu: Ooh, unayajua yote, kumbe mmeshasuka mengi mimi siyajui.
Mimi; babu wacha utani, mnasuka wewe na Sheikh...
Babu; Mimi najua anakwenda Ijumaa lakini hata Sheikh wala Dokta hawajui kama wewe unamwenda Alhamisi. Sijawaambia bado, niliku nangoja mpaka kesho kila kitu ikiwa tayari niwaambie. Lakini wewe mwenyewe unawea kuwaambia tu, hakuna neno, wite team moja nyinyi. Sheikh... ni mytu wa Qur'an hana hizi elimu za majini wala tiba, yeye kwa visomo na dua tu, utachoka wewe.
Mimi: haya babu, kingine nini sikijui?
Babu: Hakuna zaidi mpigie huyi meneja kauelekeze jina la hotel room yako na nani atakupokea, huyo hata kesho mpigie haina haraka.
Mimi; sasa nani ananipokea YTule Sheikh au huyu meneja?
Babu yule Sheikh ndio mwenyeji wako, huyu anakupa hotel kulala na kula ukiwa hotel na usafiri wa kukuchukua bandarini na kukurudusha bandarini, hivyo haulipii na ina wiki nzima, lakini unaweza kuondoka wakati wowote utakaoamua mwenyewe. Tumeweka wiki moja, ukiipenda Unguja uendelee kukaa bila wasiwasi.
Mimi; Sawa nimeelewa, kwaheri babu.

Tukaagana pale tukamaliza.
Simba.

..5.9
 
Nakupata vyema sana mkuu, nina swali sasa utamtambuaje huyu jini ni mwema maana kigezo cha kukutendea mazuri hakutoshi kuwa bayana ya nia iliyojificha.

Na imeelezwa huko juu kuwa moja ya sifa zao kubwa ni uongo. Kama tujuavyo muongo haaminiki.
Naam, Majini ni waongo sana mkuu ndio maana wabobezi wengi wa fani ya TAWHEED hawashauri sana mwanadamu kuwa na muingiliano nao kwa maana kwanza hatuwaoni kwa dhahiri hivyo inaweza kuwa ngumu kwa mtu asiekuwa na elimu kuhusu viumbe hivyo kushindwa kujua dhamira yao hasa ni nini.
Ndio maana wengi katika waganga wa jadi hawa wanaopandisha majini kisha ndio watibu mara wanamwambia mtu mambo yake kabla hajasema wengi wao wanchezewa na hawa majini kwasababu kitendo cha jinn kupanda kichwani mwa mtu ni makosa na mtu atapta madhara ya kuonekana au yasiyoonekana mfano ataumwa na kichwa sana.
kwakuwa majini wanawaingia watu kwa sababu mbalimbali na kila jini wana malengo yao kwa mtu huyo hivyo njia za kumtambua jini mbaya zinaweza tofautiana pia kulingana case.
ila njia kubwa ya kumjua jini mbaya ni kupitia maswali muulize maswali kama kapanda, Utagundua japo kuwa ni waongo majini wanaudhaifu mmoja they are not too smart and more intelligent than human. Mfano muulize kwanini ana ukaribu na mtu husika, anataka nini, yeye ni dini gani kupitia maswali haya unaweza zalisha maswali mengine kulingana na majibu yake ila kuwa makini make sure unakuwa smart sana maana majini wengine nao sii haba wanaweza kukulaghai na silaha yao kubwa ni kwasabu huwaoni as we know "what is hidden has power". -- Kilichojificha kina nguvu ndio maana watu wengi wanaogopa usalama wa taifa kwakuwa wanafanya mambo yao kwa kujificha au kwa siri.
Njia nyingine za kumjua jini ni mbaya ni :-
  • Kukosekana kwa Amani ya Moyo: Jini mbaya huweza kuleta hali ya machafuko au wasiwasi mkubwa bila sababu za kawaida, na kuondoa amani ya moyo.
  • Upinzani kwa Dini: Jini mbaya linaweza kujaribu kuzuia au kupinga ibada na shughuli za kidini. Kwa mfano, linaweza kuwa chanzo cha kutokuwa na hamu ya kuswali au kutekeleza ibada nyingine.
  • Njozi na Ndoto Mbaya: njozi au ndoto ambazo zinakera na kuonyesha hali ya hofu au machafuko zinaweza kuwa ni ishara kuwa jini ni mbaya.
 
Nakukumbusha Arsis niliuliza haya maswali
Umesema jini bakora tumuulize kuhusu mitishamba, Mimi nitaanza na maswali mawili kwake muulize kuna mti unaitwa ''MSAKA UCHAWI'' unga wake unauzwa sana kwenye maduka haya ya kiislamu maarufu kama maduka ya kisuni Je mti huo ndio unaitwa pia ''MTUNGURU NYIKA?''
Swali la pili Muulize ni kweli mti wa mbaazi una nguvu za kupambana na wachawi kuanzia mizizi yake, majani yake na maua yake na mbali na kupamabana na uchawi una matumizi gani mengine?
 
Nashukuru sana kwa ufafanuzi mkuu nimekuelewa vyema.
 
Kwani Kuna mahali nimekuambia Cha kujadili? una ushahidi gani kwamba hayo majini yapo? Can you prove it?
BTW Mi nimeshangaa thread ya stori za kamba na majini imebadilika kuwa mhadhara Wala sijakupangia Cha kujadili huo ni uelewa wako
Sijui Nani yule alipatwa na majini yesu akayatoa yakaenda kwa nguruwee ushahidi huo
 
Naam, Majini ni waongo sana mkuu ndio maana wabobezi wengi wa fani ya TAWHEED hawashauri sana mwanadamu kuwa na muingiliano nao kwa maana kwanza hatuwaoni kwa dhahiri hivyo inaweza kuwa ngumu kwa mtu asiekuwa na elimu kuhusu viumbe hivyo kushindwa kujua dhamira yao hasa ni nini.
Ndio maana wengi katika waganga wa jadi hawa wanaopandisha majini kisha ndio watibu mara wanamwambia mtu mambo yake kabla hajasema wengi wao wanchezewa na hawa majini kwasababu kitendo cha jinn kupanda kichwani mwa mtu ni makosa na mtu atapta madhara ya kuonekana au yasiyoonekana mfano ataumwa na kichwa sana.
kwakuwa majini wanawaingia watu kwa sababu mbalimbali na kila jini wana malengo yao kwa mtu huyo hivyo njia za kumtambua jini mbaya zinaweza tofautiana pia kulingana case.
ila njia kubwa ya kumjua jini mbaya ni kupitia maswali muulize maswali kama kapanda, Utagundua japo kuwa ni waongo majini wanaudhaifu mmoja they are not too smart and more intelligent than human. Mfano muulize kwanini ana ukaribu na mtu husika, anataka nini, yeye ni dini gani kupitia maswali haya unaweza zalisha maswali mengine kulingana na majibu yake ila kuwa makini make sure unakuwa smart sana maana majini wengine nao sii haba wanaweza kukulaghai na silaha yao kubwa ni kwasabu huwaoni as we know "what is hidden has power". -- Kilichojificha kina nguvu ndio maana watu wengi wanaogopa usalama wa taifa kwakuwa wanafanya mambo yao kwa kujificha au kwa siri.
Njia nyingine za kumjua jini ni mbaya ni :-
  • Kukosekana kwa Amani ya Moyo: Jini mbaya huweza kuleta hali ya machafuko au wasiwasi mkubwa bila sababu za kawaida, na kuondoa amani ya moyo.
  • Upinzani kwa Dini: Jini mbaya linaweza kujaribu kuzuia au kupinga ibada na shughuli za kidini. Kwa mfano, linaweza kuwa chanzo cha kutokuwa na hamu ya kuswali au kutekeleza ibada nyingine.
  • Njozi na Ndoto Mbaya: njozi au ndoto ambazo zinakera na kuonyesha hali ya hofu au machafuko zinaweza kuwa ni ishara kuwa jini ni mbaya.
Hii ndio inaweza kua anoiita Arsis "you've opened a can of worms". Kuna swali langu moja tu kwa kuanzia...

Je, neno TAWHEED, kama ulivyoliandika, lipo kwenye Qur'an? kama halipo, hilo somo kalianzisha nani na kwanini?

Hii sio "challenge" nina maana yangu kuuliza. Nataka ukweli tu, sio watu kukisia.
Simba.
 
Nakukumbusha Arsis niliuliza haya maswali
Umesema jini bakora tumuulize kuhusu mitishamba, Mimi nitaanza na maswali mawili kwake muulize kuna mti unaitwa ''MSAKA UCHAWI'' unga wake unauzwa sana kwenye maduka haya ya kiislamu maarufu kama maduka ya kisuni Je mti huo ndio unaitwa pia ''MTUNGURU NYIKA?''
Swali la pili Muulize ni kweli mti wa mbaazi una nguvu za kupambana na wachawi kuanzia mizizi yake, majani yake na maua yake na mbali na kupamabana na uchawi una matumizi gani mengine?
Nimekusoma muda nikawa nangoja majibu ya Jini bakora, kamtuma Jini 1 kujibu...

Jini1; bakora anasema yeye anatibu kutokqna na miti shamba na mizizi, majani vyakula viliopo kwenye elimu yake tu, hajui miti na mizizi yote duniani, yeye sio mtaalamu wa mimea.Yeye ni tabibu wa kutumia mimea kwa yale ayajuayo tu. Anasema yeye hazijuidawa za :kisunna" na hajui elimu yake ilipotokea. Pia aeshayri kwa dawa aina fulani au nyingine aulizwe Arsis.

Anasema, ukimwambia unaumwa nini au una tatizo lipi ndio anaweza kukupa mti, mzizi, majani au chakula, tunda aina fulani. Kq yalio kwenye uwezo wake. Pia anasema hayo majina kishayasikia lakini hana maelezo nayo, inaweza kua mti au mmea huohuo lakini yeye anaujua kwa jina lingine.
Kuhusu mbaazi anasema, ipoo aina nyingi sana na ina tiba nyingi toifauti, hiyo ya uchawi na mbaazi hana elimu nayo isipokua na yeye ameisikia sana.

Nimekuelewa maana kweli hii miti ina majina mengi kulingana na eneo na tamaduni za watu pia, usisahau kumuuliza Arsis huenda akawa anaijua.
Muulize jini bakora ni majani gani au miti gani inaweza kubatilisha uchawi mfano kama ni uchawi wa kulishwa mtu autapike.
 
Hiyo hata mimi naijua, tuanzie na mimi kwanza.

Tiba ya kwanza kabisa ya kulishwa uchawi wowote ni maziwa fresh. Unayasomea Qur'an kabla hajanywa anaeshukiwa kalishwa uchawi...
1. fatiha x 1 unapulizia.
2. Ikhlas x1 unapulizia.
3. Falaq x 1 unapulizia.
4. Nas x 1 unapulizia.
5. Ayatul Kursi x 1 unapulizia.
6. Maneno haya kwenye aya 81 ya Surat Yunus; مَا جِئْتُم بِهِ ٱلسِّحْرُ ۖ إِنَّ ٱللَّهَ سَيُبْطِلُهُۥٓ ۖ إِنَّ ٱللَّهَ لَا يُصْلِحُ عَمَلَ ٱلْمُفْسِدِينَ ٨١

Hizo idadi za kusomea ni kwa uchache. Haijalishi ukizidisha.
Za mimea nawangoja mabingwa walete habari.
Simba.
 
Vionjo vya Arsis 5-8

nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.

Ndani sikukawia kulala, nikapitiwa na usingizi mzito nikalala kama masaa mawili, kuamka nikawa fresh kabisa. Nikakoga nikatoka mitaani kidogo kunyoosha miguu, muda wa kusali ukanikuta hukohiuko nokasali huko nia zunguka zunguka kidogo nikarudi nyumbani kama kumi na moija na kidogo hivi.

Kurudi sijakaa sana, nikasikia mzee kaingia nikamsubiri kaingia kwake naimi nikaingia ofisini kwangu, nikamwita Jini1. Hajachukua muda akajagonga mlango akingia kama kawaida yake akaenda kukaa kiti nilichomwekea. Kishazoea kiti chake.

Mimi; Nipe habari nini kinaendelea?
Jini1; wewe unajua zaidi yangu.
Mimi; Ningejua ningekuuliza wewe?
Jini 1; Niulize nini unachotaka kujua, maana naweza kukujibu yale yote unayoyajua tayari.
Mimi; Hii safari wanayotaka nienbdew Unguja ina ulazima upi?
Jini1; Mimi nanavyojua babu yako anataka ujifunze, uone mambo ya dunia yanavyokwenda kwenye haya mambo yasioonekana. Ni kama unavyojua wewe, unajua babu yako alivo, hawezi kufanya kitu kinyume na wewe kabisa. Anakufahamisha kila kitu.
Mimi; Kuna kitu Arsis kanifahamisha lakini bado sijakielewa sawasawa. Kuhusu jini analosema limeoa kivyuli cha Dokta, kua ni mtu aliekufa lakini hajaingia kwenye umauti.
Jini1; Hilo swali zuri sana tena sana.Nisikilize kwa umakini dsana, sisi wengi wetu ni nafsi za watu na wengine hatuna uhakiaka hasa wa sisi ni nani kwa kua mambo ya roho haya ni mapana sana, lakini nakushauri muulize Arsis, hivi anasikia unavyoongea na mimi, mawasiliano yapo wazzi na yeye.
Mimi; kama anasikia, basi Arsis elewa kua haya maswali ni yako wewe pia, Jini1 hapa anashindwa kuyajibu, mpe majibu.
Jini1: Mimi sishindwi kuyajibu lakini SArsis anafahamu zaidi na yeye ni mwalimu, mimi sio Mwalimu sijui kufundisha, najua kujibu tu kazi zangu.
Mimi; Mnazidi kunichnganya.
Jini1; Arsis anasema nenda Unguja, utayoyaona huko ataingea ana wew ukiwa hukohuko kuhusu hili, atakuja huko kukupa jibu baada ya kuyashudia ya Unguja. Arsis anashauri kama alisema babu yako, nenda alhamisi, ikiwezzekana hata Jumatano, nenda kawatembelee wale wataofanya sherehe ya Kibuki mapema ujuane nao na ikiwezekana na Dokta ajue kama uko kule tayari na unaona na hao watu. Arsis pia anaahidi utaongea na huyo jini mtu wa Dokta ukiwa Zanzibar tena kaba hata ya Kibuki kufanyiwa ujinga wao huko.
Mimi: Ujinga tena?
Jini1; Ndio, ujinga tu, wewe utaona huna haja ya kueleew2a na mimi, ndio maana babu yako anataka ujionee mwenyewe. Kitu kimoja Arsis anasema nikujulishe na ikiwezekana nikirudie kwako mara kwa mara ili kikuingie.
Mini; Kitu gani?

Jiniq; Jini yoyote au mganga yoyote anaekwambia chano, sijui ada ya majini, sijui mbuzi, kondoo, au chochote kile, Huyo ni mwizi au tapeli tu kama wezi na matapeli wengine, yeye kaamua kutumia hii elimu kwa faida yake, hakuna jini la chani wala la kafara amablo sio la kichawi. Umefahamu?
Mimi; sasa mbona Dokta anakwenda kufanyiwa hayo?
Jini1; ndio uende ukajionee na Arsis kaahidi atakuja kukuona na kukufahamisha zaidi. Usiwe na shaka. Mimi nakuuliza.
Mimi; Nini?

Jini1; Ushamuona babu yako watiu wote wenye shida zao wanaokwenda kwake anawaambia leta chanoi au kuku, au mbuzi au kafara ypoyote ile?
Mimi; Sijawahi kuona wala kusikia. isipokua. naona babu anapikisha chakula na watu wote wanakuja kula ikisha kazi kubwa, tena hapiki ple nyumbani wanapika hukohuko wapishi wanaleta chakula tu, inakua karamu.
Jini1; Hio sawa kabisa, hachukui hela ya mtu kufanya karamu, ile ni fuaraha yake na shukran yake ya kufanikiwa jambo lake anafanya chakula, si umeona akifanya chakula wanakuja watu wa msikitini na wa mtaani, bila kuchagua tajiri ewala masikini?
Mimi; Ndio hilo nimeliona.
Jini1; Ilew sio kafara ile ni sadaka, na babu yako anaytoa sadaka nyingi sana wewe huzijui, mimi siwezi kuzisema mwenyewe atakufahamisha ukimuuliza.
Mimi; Nitamuuliza anaifahamishe.
Jini 1; Magahribi itaingia sasa hivi, acha niondoke ukita kupiga story niite baada ya kusali Isha kama haukuna dharura..
Mimi; sawa, kwaheri.

Akaondoka na mimi nikatoka nikajitayarisha nikaenda msikitini, nikakaa huko mpoaka nikasali isha ndio nikarudi nyumbani, hii ilikua kawaida ya babu yangu alkienda kusali magharibi harudi mpaka asali isha hukohuko.

Kurudi kama kawaida mambo ya nyumbani mara babu akanipigia simu.
Babu: Simba tayari, nakutumia namba kwenye meseji za Mangager niliekuambia, mjulishe utaenda lini na boti ya saa ngapoi watagtuma mtu akupokee bandarini au unaeda kwa ndege Simba?
Mimi: Nikacheka, kwa boti tu.
babu; Nimefurahi kua umeamua unaenda, nenada ukaione dunia Simba, usfikiri dunia ni hapo Ilala tu na Tanga.
Mimi: Swa babu, uemfurahi umefanikish mradi wako.
Babu; Mradi wangu ni wewe Simba, mimi nataka usome. Kusoma kuna theory napractical, sasa haya mabo uyashuhidie, kama unaingia lab kufanya practical.
Mimi: babu wacha zako hizo.
Babu; Mwambie Dokta utakua Unguja, atafurahi sana.
Mimi; Simwabii, haihusu.
Babu; Atajua tu, bira )umwabie wewe itakua vizuri zaidi.
Mimi; Atajuaje?
Babu; Si ukimjulisha mwenyeji wako Sheikh... atamjulisha Dokta. Umesahau?
Mimi; Okay, yeye anakwenda Ijumaa, kazi yake Jumamosi.
Babu: Ooh, unayajua yote, kumbe mmeshasuka mengi mimi siyajui.
Mimi; babu wacha utani, mnasuka wewe na Sheikh...
Babu; Mimi najua anakwenda Ijumaa lakini hata Sheikh wala Dokta hawajui kama wewe unamwenda Alhamisi. Sijawaambia bado, niliku nangoja mpaka kesho kila kitu ikiwa tayari niwaambie. Lakini wewe mwenyewe unawea kuwaambia tu, hakuna neno, wite team moja nyinyi. Sheikh... ni mytu wa Qur'an hana hizi elimu za majini wala tiba, yeye kwa visomo na dua tu, utachoka wewe.
Mimi: haya babu, kingine nini sikijui?
Babu: Hakuna zaidi mpigie huyi meneja kauelekeze jina la hotel room yako na nani atakupokea, huyo hata kesho mpigie haina haraka.
Mimi; sasa nani ananipokea YTule Sheikh au huyu meneja?
Babu yule Sheikh ndio mwenyeji wako, huyu anakupa hotel kulala na kula ukiwa hotel na usafiri wa kukuchukua bandarini na kukurudusha bandarini, hivyo haulipii na ina wiki nzima, lakini unaweza kuondoka wakati wowote utakaoamua mwenyewe. Tumeweka wiki moja, ukiipenda Unguja uendelee kukaa bila wasiwasi.
Mimi; Sawa nimeelewa, kwaheri babu.

Tukaagana pale tukamaliza.
Simba.

..5.9
Sharifu hili neno lina maana gani? ndo nini au ndo kina nani Hao? Bado watu Hao wapo.

Nilipita sehemu mmoja inaitwa kwedibima Kuna Kijiji kinaitwa kisangasa nilipitishwa sehemu mmoja sasa hivi ni bonde la mto, kwa maelezo sehemu hio ambayo sasa ni mto zamani kilikua ni Kijiji na mashamba ya watu.

Alikuja mtu kwa maelezo ni sharifu alikua na njaa sana akawa anashida na mahindi ya kununua ili apate choma walau kupooza njaa, alizunguka bonde Zima la hicho Kijiji ila Kila sehemu aliyoenda alikataliwa akawa anaambiwa hapa ni jembe na mpini tu.

Kwenye zunguka yote kwa maelezo niliyopewa alitokea mama mmoja ndiye aliyetokea kumpa mahindi Bure, baadhi alimchomea ili ale na mengine alimpa akale mbele ya safari.

Then bwana huyo Shariff akamwambia mama kwani unalalaga hapa hapa na watoto wako? Mama akajibu ndio. Basi akaambiwa kwa leo naomba usilale hapa naomba ondoka sehemu hii( kwa watu wa leo tungegoma Yani uje kwangu unipangie masharti?)

Unaambiwa mida ya kuanzia saa 12 jioni lilitokea wingu zito sana kufikia mishale ya saa mmoja sambili maji yalifumuka huko yalikotokea na kuchukua Kijiji kizima isipokua shamba tu la yule mama. Yani maji yalifika Kila sehemu isipokua yalilizunguka shamba la yule mama, ( eneo Hilo wanamsemo wao mpaka leo kwa kilugha chao wakimaanisha usimdharau mtu ambaye haumjui ndio mana hata Mimi walinipokea kibabe sana.

Same story ilitokea Kijiji Cha lwande mwaka 1979.( Napo ukifika utaambiwa hapa palikua na Kijiji.

What is so special kwa hawa ndugu zetu sharifu; imebidi leo niwaulizie, na kwanini alitoa adhabu nzito kiasi hiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom