Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Hapo ndipo huwa nachokaga na porojo zenu,mungu kampeleka yesu kwa iblis akajaribiwe,hlf unamalizia kwa kusema alipewa mtihani kutoka kwa mungu
Je wakati huo Yesu ni mungu au sio mungu
Naomba msinijibu hizo porojo zenu tafadhali

Asante
Hizo porojo zinatolewa na wasiorejea Maandiko.

Yesu mwenyewe alisema anaenda kwa Baba kuyaandaa Makao.

Kwahiyo zisikuchoshe kama hazipo ktk Biblia, ila Mtambue Yesu kwa sifa zake na kwa Upekee wake tuu juu ya yeye ni nani? Biblia ina majibu yasio na Utata kabisa.
 
Swali ni Yesu alitawadha kabla ya kusali au hajatawadha?
Kwenye biblia hakuna sehemu inasema Yesu alinawa kabla ya kusali. Kitendo cha kuwaosha wanafunzi wake miguu hakikuwa na ukusiano wa moja kwa moja na kusali
 
Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?

Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
Biblia haitafsiriwi kwa neno moja tu la lugha fulani, kuna kiswahili cha zamani na kiswahili cha kisasa, zingatia hilo unaposoma Biblia.

Biblia mpaka leo bado inatafsiriwa kwa lugha nyepesi mfano rafiki yangu ana project ya kutafsiri injili ya Yohana ni mradi maalum hata mswahili wa kijijini akipata hivyo vitabu anasoma injili ya Yohana kwa urahisi kwa kiswahili rahisi na anaelewa.

Kwanza ukijiandaa kwa mabishano kwenye mambo ya kiimani ndio kwanza unajipotezea mwenyewe ufahamu kwa yale usiyoyajuwa.

Mimi nafurahi najifunza uislamu pia kupitia thread hii.
 
Hayo yote yapo duniani. Au hayapo?

"Majini" yapo au hayapo?

"Uchawi" upo au haupo?

"Imani za watu" zipo au hazipo?

Ulitaka tujadili nini? Simba na Yangwe una usha

Hayo yote yapo duniani. Au hayapo?

"Majini" yapo au hayapo?

"Uchawi" upo au haupo?

"Imani za watu" zipo au hazipo?

Ulitaka tujadili nini? Simba na Yanga?
Kwani Kuna mahali nimekuambia Cha kujadili? una ushahidi gani kwamba hayo majini yapo? Can you prove it?
BTW Mi nimeshangaa thread ya stori za kamba na majini imebadilika kuwa mhadhara Wala sijakupangia Cha kujadili huo ni uelewa wako
 
Neno" kulifukuza" ulilotumia wewe kuibadili biblia lipo kiwenye hizo aya?

Sasa "Mungu" akifukuze kiumbe alichokiumba mwenyewe, kiende wapi? Au wewe unaamini kuwa Yesu siyo Mungu kama sisi Waislam?
Siamini kuwa Yesu ni Mungu kutokana na Maandiko ya Biblia, na si kwasababu ya Waislamu kuamini hivyo.
 
Sijaandika "kunawa" nimeandika kutawadha.
Kwanini ubadili maneno?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?
Taratibu lishangazi, tatizo ni lugha tu, mtu mwingine ukimwambia kutawadha anajuwa ni lile tendo la kujisafisha kinyesi baada ya haja kubwa wengine wanaita kuchamba.

Kwahiyo na mambo mengine nafikiri ni lugha tu ndio zinatia watu ujinga.

Lakini turudi kwenye kutawadha ninakojuwa mimi Yesu hakutawadha.

Halafu nisaidie na Rais huwa anatawazwa au anatawadhwa? Je kuandika na kutamka hakufanani matamshi?
 
Jawabu kama unalo kwanini uliuliza?
. Ulifikiri watu hawaijuwi biblia kama. wewe?
Niliuliza ulikotoa yesu kakumbwa na jini. Na ktk mistari uliyoniambia nisome kama ushahid wa hilo sijaona hilo la yeye kukumbwa zaidi ya kupitia majatibu ya i ilishinda na kuyashinda. Neno jini katika biblia linapatikana mstari gani katk ushahidi wako ule.

Wasio na akili hawawezi kuwa wafuasi wa Imani Dini inayohubiri Amani na Kupendana baima ya mtu na mtu bila kujali tofauti zao.
 
Jawabu kama unalo kwanini uliuliza?
. Ulifikiri watu hawaijuwi biblia kama. wewe?
Niliuliza ulikotoa yesu kakumbwa na jini. Na ktk mistari uliyoniambia nisome kama ushahid wa hilo sijaona hilo la yeye kukumbwa zaidi ya kupitia majatibu ya i ilishinda na kuyashinda. Neno jini katika biblia linapatikana mstari gani katk ushahidi wako ule.

Wasio na akili hawawezi kuwa wafuasi wa Imani Dini inayohubiri Amani na Kupendana baima ya mtu na mtu bila kujali tofauti zao.
 
Jawabu kama unalo kwanini uliuliza?
. Ulifikiri watu hawaijuwi biblia kama. wewe?
Niliuliza ulikotoa yesu kakumbwa na jini. Na ktk mistari uliyoniambia nisome kama ushahid wa hilo sijaona hilo la yeye kukumbwa zaidi ya kupitia majatibu ya i ilishinda na kuyashinda. Neno jini katika biblia linapatikana mstari gani katk ushahidi wako ule.

Wasio na akili hawawezi kuwa wafuasi wa Imani Dini inayohubiri Amani na Kupendana baima ya mtu na mtu bila kujali tofauti zao.
 
Si alikuwa anaongea na Ibilisi, abapiga nae story! Ibilisi anamwambia Yesu amsujudie?

Hivi hapo Yesu dunia alimwachia nani kuiendesha?

Wewe kama hufati dini weka hoja zako, usiponde wanaofata dini, unataka wawe shetani mapagani kama wewe?
ushabiki wa kidini ni kwa ajili ya wasio na akili Timamu tuu kutaka kushindanisha nani yuko sahihi na kusahau njia pekee yakuiona pepo ni kwa kutendeana Mema Kwa Upendo na Kupendana sana.

Tofauti na wewe mimi nipo hapa kuongeza Elimu na si kutaka kuonekana naifaham dini vizuri hadi kuujua utofauti wa imani yangu na wengine kiasi chakuwabeza, huo nautafsiri kama upungufu wa akili.

Kama neno halipo katika Maandiko, usilishuhudie Uwongo maana hiyo ni sifa mojawapo ya ukichaa wa kiimani.
 
Hakuna Jini Mwema wala Binadamu Mwema.
Mwema ni Mungu peke yake.

Majini yaliwaingiza chaka kusema ni mema ili yawaongopee na wayaamini, nao wameingia kingi.
Mkuu unaposema hakuna binadamu wema unamaanisha nini, je vipi kuhusu binadamu wabaya? Kumbuka tunaishi katika matokeo ya ujuzi wa mema na mabaya.

Je, dhana ya ujuzi wa wema na ubaya ni dhana ya Mungu kama ndio je kabla ya kula tunda Adam na mkewe walikuwa wanahesabiwa upande upi kati ya wema na wabaya. Inaonesha una elimu hapa ebu nielimishe.
 
Mkuu Arsis, mimi ninaye Dada yangu anateswa na tatizo la kuanguka kifafa.

Tatizo hili limemuanza akiwa mkubwa. Kwa maelezo yake yeye, anadai kuna siku alikuwa anafua nguo zake huko ziwani akatokea ndege jamii ya mwewe akampiga na mbawa zake!
Akawa ameanguka na akapoteza fahamu!

Sasa tangu siku hiyo, tukio la kuanguka na kupoteza fahamu limekuwa likijirudia. Ni zaidi ya miaka kumi sasa Dada yangu anateswa na hii hali.
Tumezunguka sehemu nyingi kutafuta tiba ya ndugu yetu lakini hali hutulia kidogo lau kwa miezi miwili tu lakini wa tatu ataanguka tena...!

Hali hii inamnyima raha Mama yetu. Make hakubali mwanae aishi katika haya mateso. Bado hachoki kutafuta tiba...!
Sisi kama familia tulimshauri apumzike tu amwachie Mungu make uzee nao ushaanza kumsumbua, amebaki kutulaumu kwamba tumemtelekezea mwanae...!

Mkuu nimekuja kwako. Nakuomba utusaidie kumtibu dada yetu aondokane na haya maladhi na Mama yetu apate kutulia.
Kwa sasa yupo Mwanza ila kama inabidi kumsafirisha sisi tupo tayari.
 
Muhimu ni kua usiwaabudu na kushirikiana nao kwenye uovu. Kuna mashetani kati yao.
Simba.
Ninakupata vyema Simba, ILA sasa je wakija kwa mlengo wa ulaghai, mfano kwenye kisa cha dokta mrembo alivyofanyiwa na mzee Ali. Hapo dokta anaamini kabisa hawa ni wema maana wanamtatlia tatizo lake kumbe ndo analiongeza.

Sasa point yangu ni hii, utamtambuaje huyu ni mwema( jiweke upande wa dokta), maana pia alikuwa anafanyiwa tiba inayoonekana ni jambo jema linalokwenda kutatua shida yake.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom