Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Ndio kulingana na Biblia 1korintho 12:3
Sasa ndugu yangu,ikiwa Yesu hakuaminiwa na miujiza yote hiyo na uzazi wake wa kipekee mpaka yeye akakiri kuna mambo hajayatimiza na hakuaminiwa,,unataka kuniambia roho ataaminiwa na tena haijulikani huwatokea akina nani,na kwanini roho awachague baadhi ya watu?

Na kwanini neno la mungu au ujumbe wa mungu uwe wa siri namna hiyo yaani kupitia roho
?
 
Ww unanunua ugomvi jombaa,
Vp kuhusu wabudha, wahindu je, Jainism vp, taonism ya Japan vp, vp sikism hizo zote ni dini ambazo watu wanaziamin,
#Je na hao wote watachokwa mote??#
Bila kusahau confuasm ya china n.k
Ndugu yangu YESU NDIYE NJIA YA KWELI NA UZIMA ASIYE MWAMINI AMEKWISHA HUKUMIWA JENAHAM INAMNGOJEA.
 
Allah sio Mungu mkuu bali Allah ni jini Subiani.Najua wengi mtapinga lakini huu ndo ukweli hii ni siri nzito saaana iliyofichwa bila kusahau mtume Muhammad yuko kuzimu anateseka,sababu alishindwa kumkiri Yesu kuwa mwokozi wake.
Una mengi ya kujifunza

Watch and learn
 
Sasa ndugu yangu,ikiwa Yesu hakuaminiwa na miujiza yote hiyo na uzazi wake wa kipekee mpaka yeye akakiri kuna mambo hajayatimiza na hakuaminiwa,,unataka kuniambia roho ataaminiwa na tena haijulikani huwatokea akina nani,na kwanini roho awachague baadhi ya watu?

Na kwanini neno la mungu au ujumbe wa mungu uwe wa siri namna hiyo yaani kupitia roho
?
Biblia ipo wazi kuhusu hili la kutokuaminiwa hadi huu ukristo kusambaa huku kwetu na duniani kwa ujumla,Yesu alikua anafundisha kwa mifano na anaacha CODE sasa hauwezi kuelewa kama ulikua unaenda kufata miujiza yake
 
Ndugu zangu mijadala ya dini inahitaji akili kubwa sana na uwe unajua kumihili hisia zako,na yeyote ambaye anajadili mambo ya imani akiwa hana mihemko ujue yupo vizur sana kihisia na haendeshwi na hisia zake bali anazitawala,,kongole kwenu

Mwisho jadili ukiwa hutafuti ushindi bali ukihimiza nguvu ya hoja,na kuelewa au kutoelewa ibaki ni ishu ya mtu binafsi

Nawapenda sana
 
Hapa lazima ujibiwe, msingi wa mapokeo ya Ukristo ni utatu mtakatifu hii ndio walikaa Nicea kupitisha.

Kwa upeo wangu wa kusoma maandiko yupo Mungu baba na Yesu ni chosen one hata Quran inathibitisha hili kwa kumtaja Yesu kama mtume wa daraja la juu kabisa na yuhai yupo mbinguni na Allah, huyu ndio ninayemfuata mimi.
Umeulizwa kingine unajibu kingine, ndiyo hizo porojo zenyewe.
 
Biblia ipo wazi kuhusu hili la kutokuaminiwa hadi huu ukristo kusambaa huku kwetu na duniani kwa ujumla,Yesu alikua anafundisha kwa mifano na anaacha CODE sasa hauwezi kuelewa kama ulikua unaenda kufata miujiza yake
Je kusudio la yesu aje aongelee code ili watu wasimuelewe?

Kulikuwa na haja gani ya yeye kuletwa hapa duniani

By the way hoja yangu ilikuwa juu ya roho mtakatifu
 
Arsis kwa wale wenye tatizo la nguvu za kiume yaani anawahi kumaliza haraka anamfanya mkewe dakika chache anamwaga mambo mfano dakika 5 tu.!je,mtu kama huyu unamshauri dawa gani atumia walau adumu mda mrefu kwenye tendo la ndoa mfano iwe dakika 30. au weka tiba na dawa yoyote unayoijua kuwasaidia wenye shida hii kuwahi kumwaga nao wafurahie ndoa zao..
Utatapeliwa wewe maskini. Kukaa dakika 30 zote ni za nini? Mbona hizo dakika 5 ni ningi sana? Nguvu za kiume ni pesa wewe.

Amka nenda kapige kazi mkuu.
 
Unapoleta hoja lazima ujibiwe ewe maamuma.

Soma kitabu cha mwanzo kama utapata shida ya kumjuwa Mungu.

Ukichaa wa mtu akihamishia kwenye dini huo ukichaa ni wake binafsi.

Mfano mtu anakwenda kwa kiboko ya wachawi sasa hapo Ukristo unahusika vipi?

Labda nikufundishe tu kama lengo lako ni kukashifu Ukristo na kanisa una njia nyingi sana ambazo Ukristo na kanisa ulifanya maovu makubwa sana bahati mbaya huna ilmu wala hujui historia ya Ukristo wala historia ya kanisa wala crusade war.

Wanachokifanya Islamic state leo ni copy and paste ya Ukristo ulivyokuwa.

Nimekusaidia njia rahisi ya kukashifu Ukristo mbona umehusika na unyama na maovu mengi? Lakini ukiganda na hoja hizi utachemka kwa sababu huvijui vitabu 66 vya biblia, wewe umekariri baadhi ya haya tu hata shetani pia amekariri baadhi ya aya za biblia.
Si nia kukashifu hata kidogo bali huenda katika kujadiliana nikagusa penyewe hlf ukaona nakashifu

Kiasi fulani najua historia ya kanisa na hizo crusade

Najua mpaka Paulo au Sauli alivyokuwa anaupiga vita ukristo,lkn akajifanya anamjua zaidi yesu kuliko hata wanafunzi wake

Ukija katika hivyo vitabu 66 napo kuna habar zake nzito

Asante
 
Biblia ipo wazi kuhusu hili la kutokuaminiwa hadi huu ukristo kusambaa huku kwetu na duniani kwa ujumla,Yesu alikua anafundisha kwa mifano na anaacha CODE sasa hauwezi kuelewa kama ulikua unaenda kufata miujiza yake
Tupeni elimu na sisi tuzielewe hizo code za Yesu ni zipi au zipo kitabu kipi?
Simba.
 
Unashida gani tukusaidie mbona unayumba kama dishi lisilo kaa sawa
Yani kwa jibu lako hata sishangai kwa nini hata Arsis anakushangaa. Kiswahili tu shida kuelewa ndio hicho kiarabu cha Qur'an? Mtafute mtaalamu akufunulie shida yako kwenye maongezi yetu
 
Je kusudio la yesu aje aongelee code ili watu wasimuelewe?

Kulikuwa na haja gani ya yeye kuletwa hapa duniani

By the way hoja yangu ilikuwa juu ya roho mtakatifu
Ndomana nakwambia unahitaji kuelewa zaidi unavuomwelewa Yesu kutoka katika mafundisho mengine kama utamwela Yesu katika daraja na Manabii wengine waliopita kabla yake kama unavyodhani hautomwelewa kamwe Yesu na hii haiji bila neema ya Roho Mtakatifu,Yesu toka anazaliwa kuja duniani alikua anajua vyote na ugumu wa kazi atakayokutana nayo kutokana na mioyo migumu waliyo nayo wayahudi ndomana alikua anaongea akiwa mwenye amri,embu soma Mathayo 11:1-15
 
Naomba tukubaliane kutokukubaliana katika hili

Asante
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom