Vionjo vya Arsis 5-10 Majini ya Kibuki - Unguja.
nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.
Siku ya pili asubuhi tu wakati nataka kwenda kazini, nikapigiwa simu na Sheikh...wa Unguja. Baada ya kusalimiana.
Sheikh; Babu yako kanambia unakuja lakini utafikia kwa wanene huko, isipokua mimi ndio mwenyeji wako, sawa?
Mimi; Sawa kabisa, babu kanifanyia mpango wa hoteli kwa rafiki zake lakini kanambia wewe ndio utanijulisha sehemu za hao vibulki na mimi nijionee.
Sheikh; Wale kama hauna kibuki na sio mmoja wao hawataturuhusu tuhudhurie sherehe yao, mimi nimewasihi sana, wamenikatalia wamenambia aje muhusika tu, nyinyi wengoine inawahusu nini? kwa hio Simba babu yako kasema nukipuleke japo ukaonane nao kabla ya sherehe.
Mimi: Sawa.
Sheikh; Kwa hio atakuja mwanangu, kijana mwenzio akuchukue ajue hotali uliofikia halafu yeye ana gari lake atakupeleka kota unakotaka lakini kula yako nyumbani, usituangushe, wewe mgeni wetu.
Mimi: Sawa.
Sheikh; Njoo mapema sana, kwani ugtakua huna muda. wale shughuli yao Jumamposi kuamkia Jumapili na Ijumaa si uanjua siku yetu ya ibada?
Mimi: Usijali, hata Ijumaa mimi naweza kwenda huko, kwani si nakwenda kupajua tu, sina shughuli nao, dakika tano tu zinatosha. Sherehe zao mimi za nini, watanihadithia wanaozijua.
Skeikh' Wana siri hao, haparuhusiwi simu wala kamera aina yoyote ile, tena hio ni kwa hao wahusika wenyewe na hawaruhisiwi, wanaacha mikoba kwenye chumba kimoja wanaingia bila mikoba.
Mimi' hayo Sheokh, mimi hayanihusu kabisa, sina haja ya kwenda huko siku ya sherehe.
Sheikh, nilikua nasisitizia nani atakae kuhadithoia na wanafanya siri?
Mimi; Si huyo Dokta akimaliza sherehe yao?
Sheikh...akisema wanayoyafanya huko nnyoe ndevu Simba, huyo ataapishwa viapo vyao kabla hajaingia ndani huko.
Mimi; Hakuna shida. Wakati naondoka na boti nitawajulisha na pengine wala msipate shida, kuna gari ya hoteli iytakuja kunichukua, yanini niwatese, mimi nikifika hoteli nitawajulisha nilipo.
Sheikh; kama hivyo mwanangu atakuja bandarini japo muonanane tu, kisha ukisfika hoteli tutawasiliana zaidi.
Mimi; Sawa.
Kabl sijatoka, kaingia Mshikaji wangu. Tukasalimiana pale.
Mshikaji; Si nilikwambia mwamba, Dokta kafa kwangu?
Mimi; Maziko lini?
Mshikaji: Wacha ujinga, unajua sana nakuelea nini. Dokta kanipigia saa moja asubuhi. sasa madogo hayo? Toto kama lile linaniamsha na sauti yake ya Kizanzibari? kama hajafa ni nini hicho?
Mimi; Hapo sasa naamini kweli kafa.
Mshikaji; Dokta kanambia ninende leo saa saba na nusu nimpeleke bandarini ataenda na boti ya saa nane, halafu nirudi na gari itengenezwe kila kitu, yeye atanipigia tena siku ya kurudi nikamchukue bandarini. Halafu mwanangu, nikwambie?
Mimi; Sema.
Mshikaji; Kanirushia nauli 20, kaka asubuhi mapema naamka na 20 kibindoni. Unajua dingo yule ana makarama, alinambia mambo yatakunyookea ukianza kusali. Sasa mtu kama mimi natafutwa na Dokta kama yule, ananimiminia tu minoti, unafikiri mchezo?
Mimi' Una sali lakini au unazuga tu?
Mshikjai: Wewe mimi najua Qur'an kuliko wewe, au umesahau mwnangu tulikuacha mbali kweli, mimi nipo mshvu qwewe bado upo juzuu. Sio kusali gtu, nimeanza tena kusoma Qur'an, kila siku nasoma, eeh bwana wee imebidi niende kwa ustaadh pale msikitini, nimesahau mengi kweli. kanambia niwe naeda ananisikiliza tu, kanambia wiki moja au mbili kila kitu kitarudi kuliko zamani.
kwa hio utaenda huko?
Mshikaji; Si mdio maanake, mwambie Dingi mie leo siji asubuhi, nikitoka huko nakuja na gafi mchana moja kwa moja. gereji.
Mimi; Mpigie mwenyewe pengine na kazi anakusubiria, wewe asubuhi yote utakwenda na umeambiwa mpaka saa saba nanusu mchana?
Mshikaji' naona kama nikienda Tabta nitachelewa.
Mimi; Wa cha ujinga, twenda tabata, oindoka mapema huko kama saa site hivi, au hata mimi narudi mchna naweza kukupa lifti mpaka hapa.
Mshikaji; Kama hivo poa. twede basi mwanagu, nipe kama nusu saa.
Mshikaji: basi mie niko nje , nawahi kyoa kabisa hii pesa niwe nayo mfukoni, utanikuta je hapo.
Akaondoka zake.
Mie ikawa kama kawaida, kazi zangu, nikampigia meneja nikamwabia mimi nakwenda kesho boti ya asubuhi, akanambia poa, akanielkeza gari nitakaypoikuta pale, ki hiace kama kuna wageni tutaingia wote, akanipa jina la hoteli.
Siku hapili asubuhi sana nikaondoka na Mshikaji akanipeleka, bandarini, analalamika njia nzima.
Mshikaji: sasa wewe nini kinalupeleka Unguja umesikia demu kaenda huko?
Mimi; Kishaku demu wako tena?
Mshoikaji; Bado rasmi lakini ndio ilikua inaelekea huko unnitili kauzibe. Ssa unaenda kufanya nini huko?
Mimi; Usiwe na shaka, mimi nakwnda kuonana na mumewe. Swahib yangu.
Mshikaj: Mbona kaenda peke yake? Tedna nikwambie mwanangu?
Mimi: nambie.
Mshikaji; Yule dokta noma, jana katika kumbebea mizigo yake kulikua kuna boksi hilo zito kama kilo kumi hivi, hlafu limefungwa dindindi. Si nikamuuliza lina nini ndani? kwni kanificha, kanambia lina wiski ndani, kuna atu wamemuagiza. Hakafu mwanangu, ile gari jana nakuapia alipokuja nayo mcgana, ilikua inanuka ganja ndani, yule lazima anachoma.
Mimi; hyo maisha yake binafsi, mimi yananihusu nini?
Mshikaji; Nakwambia tu, sasa mimi nimekua Shehe, tutawezana kweli miwiski na maganja, si atanirudisha pabaya yule?
Mimi; Wacha ndoto, itakua Dokta kishakujua wewe mtu w ndumu na mitungi, lakini si ana mumewe?
Mshikaji: Inawezekana kweli ndio alikua ananijulisha hakuna noma, lakini hajui mimi si9ku hizi nimeacha mambo hayo. Mwanagfu anajulikana yule bandari ya kwenda Unguja, leo kwa mara ya kwanza nimefunguiw geti, gari lake limepaki chini ya ngfazi za meli, ikabidi waje wachukuzi wnamshobokea ile mbaya wale mabosi wa pale. Mie nikakitoa zangu, Dokta ananambia Bye, tutaongea kwa simu. Mble yao, yote yakaanza kunitazama nani huyu, mimi nikauchuna tu.
Tukafika bandarini anaongea tu, tukaagana nikaondoka zangi, kufika ndani ya meli nikapiga simu kwa Sheikh na kwa meneja. kama tulivyoagaa nikamkuta mwanae ananinhgoja akanijua na mimi nikamjua tulikua nae mazikoni, kile kisanga cha msukule. Baada ya kusalimiana pale nikapanda gari la hoteli ki hiace niko peke yangu.
Kufika nikashuka mapokezi pake wakanambia wewe ndio Mr. Simba? Nikawambia ndio, wakanambia twende chumbanimkwako, kuna kijana mmoja akanipokea begi na binti mmoja anaonesha wa Kikenya yule Kiswahili chake, wakanipeleka. Yule binti akasema, meneja alisema ukishaweka mizigi ukipumika uje pale rfesepsheni angtaka kukuona. Utapajua au tukufate baada ya nusju saa?
imi; Nigtakuja tu usijali.
Baada ya nusu saa nikaenda resepsheni, nikamkuta yule binti alienipeka chumbani yupo kwa nje, akanichukua mpaka ofisini kw Meneja, nikamkuta jama kijana tu lakini anaonesha kakaa sana je ya Tanzania, maana anannukia.
Tukasalimiana pale, akajitambulisha, akanambia Simba hatujawahi kuonana, kwa babu yako?
Mimi: Sikumbuki.
Maneja: babu yako tarafiki yangu sana, unajua Afrika tena, wachawi na wanga wengi, lakini babu yako kiboko kanicanyia dua pale, na kuna mzee mmoja rafiki yake akanipa majani majani fulani hivi niwe kabla ya kulala nayachoma chumbani, toka siku hio hakuna tena wachawi mpaka leo, gizi hotedli zina makafara mengi, zina maajabu maajabu mengi, yulr afiki yake babu yako akaja hapa akafanya fabya mambo yake kila chumba mpaka nyumba za staff huko, sasa hivi hakuna sheatani wala watu kuotaota hovyo, ndio tok siku hizo babu yako kawa rafiki yangu sana.
Mimi nimependa sio mganaga wa kuchanja yule waka kukwambia leta mbuzi. Hapa wamekuja wganga kila namna, tumechinja mpaka ng'ombe lakini visa vilikua haviishi, tukawa tunaogopa wafanyakazi wakiana kuogopa na kuongea na wateja mambo ya)le, tutakosa kabisa wateja, wanammbizana huko. na sisis kazi zetu zinategemea wateja wapeleke sifa nzuri ndio hotek)i inapata wateja wapya.
Tukaongea ongea meneja akanambia usijali, kila kigu humu ndani ni kwenye hesabu yake na staff wite wanajuam kuna gym, una swimming pool, kun suna, massge, Huduma ote zipo kwenye kitabu chumbani kwako, ka hio kula vizurim fanya mazoezi ukipenda, tembea popte hakunakizuizi, n ukihitaji gari kwenda safari zaki waambie tu pale resepsheni, sawa Bwana Simba, na mimi nipo hapa saa 24, sikai mbali na hapa, kunanyumba za staff hapo mbele kidogo tu ndio nipo huko.
Meneja; Ukijisikia boringm njoo hapa ofisini anytime au waambie staff watanitafuta niko wapi, sichezi mbali.
Mimi; Poa, ahasngte sana.
Maneja; Twende nikusindikize, mimi nipo busy naelekea hukohuko lakini nakwenda hapo mbele kidogo tunajenga kiwanja kipya cha tennis, kuna wteja mabingwa wa tennis dunia hua wanakuja sana kutenbelea Zanibar hakuna hoteli yenye kiwanja cha tennis wapige pige mazoezi, ndio nakagua ujenzi unaendaje huko, kiakua kizuri ku akampuni ya jnje ndio iinakyengeneza sio cha kimatafa lakini pale pakucheea paytakaua vipimo vya kimataifa.
Akaniwaha resepshen yeye akaendele, yule binti akanifata.Mr -. Simba ukitaka kujua restaurant ipo huku, uktokea kwako, ibadi uje mpaka, kamamunaona tabu kuja ukipiga simu ugtaletewa menu ipo kwenye meza na au unaeza kupoiga simu ukapikiwa uanchopenda, sio lazima menu. Nikamwabia ahsante, nikaelekea chumbani kwangu, nikaanza kumpigia simu Sheikh, akanambia kapata habri nimefika na gari ilionichukua wamejua hoteli gani, lakini kwanini wamekutoa nje ya mji? Huko kunaitwa Kiwangwa. Nikamwabia sio mbali, nimeona karibu tu.
Sheikh; Kwenu nyie kila sehemu mbali kwa hio hapo umeona karibu, ukitaka akufate huyu mwenzako anakufata wakati wowote leo lazima uje kula na sisi hapa ili tuonhgee kidogo, nikamwabia poa, mpoa sehemu ganibile kuna gari ya hoiteli hapa, nisiwasumbue. Akanielekeza jina nikamwabia kama sikupajua nigtampa simu dereva myuongee nae.
Nikaondoka dereva, kumwabia tu dereva na kuntajia jina la Sheikh, akasema umefika mpaka mlangoni kwake, Sheikh Maarufu huyo, watoto zake rafiki zangu.
Basi tukafika pale, ikawa kahawa na nmaongezi ya hapa na pale mpaka mida ya kusali tukaenda kusali, nilishamjulisha dereva nitachelewa aende tu nitampigia nikimuhitaji maana nitachelewa huku.
Bd y KUL SIKU, BINGE KA MSI=OSI LA MGENI adhimu, sio mchezo, na watoto na wajukuu wa sheikh nikjulisha julishwa baafda ya kula babau yao akaniita, tukakaa ukumbini pekeetu tukaongea kuhusu Dokta. Akasema kishafika yupo kwao, huko ndio wanamfanyia mambo yao ya kibuki, hapa alikuja kiunisalimia tukmfanyia na dua kidgo. mwenyei Mungu amsaidie, lakini hana raha kabisa, madude ya memzonga zonga.
Mimi ; kwanini Sheikh ynamzinga hivyo?
Sheikh; Hii kukaa sana ulaya na kusoma huko, inawaketea shida sana nyinyi vijana, kuna wanaojishau na ibada wanafata mambo ya wazungu inakua miili michafu. Saka inasafisha mwili na moyo wa kishtani unaondoka, hataa awe jini au shrtani aina gani hakai kwa mtu anaesaki bila mchezo, sio kusali kwa kujionesha. Vijana msiache sala, wewe Simba unajua, babu yako msomi sana yule. Dini imetulia pale. hana tena ule usimba wenu, maana ule na hawa kibuki sijui nani zaidi, ni namna moja mambo yao, yanafanana sana. nagtumai na wee Simba jina tu, hujachukua mila za mizimu ya kisimba.
Mimi: Zamani sana, babu ameniachsha mambo yale ya kijinga.
Sheikh; Hilo muhimu sana, hata hao simba ukishika sala anakuheshimu, hawakusogelei. Hata hao kibuki, ukiona wanamsumbua mtu ujue bado hajadsshika sala na wngine wnawapenda wnapatia kufanya mambo yaoya kilevi na kujipatia pesa.
Mimi; Pesa kivipi Sheikh?
Sheikh; Mkisikia pesa vijana wa siku hzi masikio yanafunguka, pesa zao wale zinatoka kwa wnaume, kibuki karobia wanawakumba wanawake na mashoga, na wanaume wale wenye pesa zao wasio na adabu wanapatia mahitaji yao kupitia hao wanawake wenye vibuki.
Mimi; Kivipi Sheikh?
Sheikh; Kila si kama chama tu, hawana tifauti ba freemason, akiwepo mwenye mwanamke w kibuki ofisini biashra tampampa mwenzake, ak majini wanswasiliana ndio ndio wakienda kwa wanawake zo, wanaambiwa kajan fukani ofisinimkwako hivi na vile, mpaka majina wanawatajia, basi mijidume isivyokua na akili inawaamni wale majini na kuwaogopa wake zao kama nini, pesa zikiingia lazima ashike mwanmake na matumizi apange yeye, wana mbiunu zao wanawatisha mwanamme anakua haoni asikii. Oia Simba, wanakua wqanajua siri zao nyingi, kama wizi makazini, kam wala rushwa kama biashra za hatranu, inakua mwanamme kishabanwa hana ujanja, tena hawa kibuki wnakuwachia mpakamuchukue wanawake wa nje. Wengine unawaoan wanaume kabisa mabiss wanaingiwa kwenye ushoga na hawa vibuki, ili wapate siri zao za aibu, wanshike mtu vizuri.
MimiL Dah hai vibuki basi hatari.
Sheikh sana; lakiniu wapo amabao sio mashetani, hawaashirikiani kabisa na hawa mashetani na hawapandi wla hawadsogelei kwenye ushetani, hawana toifauti na wewe au mimi, kama sio mtu wa kishtani utaenda bar kufanya nini?
Niakafahamishwa mengi sana kuhusu vibuki kama saa tani hivi usiku nikamwabia Sheikh wacha niute gari ya hitek)li inifate. Sheokha akasem haina haja wtakupeleka hawa, utawaambia kesho wakufate saa ngapi au mtaagana wenyewe wakuoneshe mji, unaweza kwenda na kwa Bi S ukamtembelee yupo fuoni yeye, Bi S ni huyoi mama anaewachezesha vibuki.
Nikaondoka na wanawe wawili tukaenda na gari yao, kwa usiku jdio ikawa karibu kabisa, nikawambia nikiwahitaji keshoi nitawapigia, nikachukua kasdi ya chumba resepshen nikaenda chumbani kwangu, ile nakoga namaliza nasikia mlango unagongwa, kuchungukia naoimuona Jini 1. Nikamfungulia. Tukasalimiana pale.
Jini 1 snahani, nilikua nasubiri umalizane na Sheikh... nije tuongee, sasa sikiliza kwa makini, chukua kikombe cha kahawa kwanza, maana wewe bila kahawa kichwa hakifunguki.
Nikatia kahawa nikaanz akunywa.
Mimi; haya nambie.
Jini 1: hakun mengi ila sikiliza kwa makini. Keshoi mapema tu nenda kwa guyo bibu Fuoni, usishangae akikujua. Mtu wa majini ya kibuki makubwa makubwa yule, lakini sisi hatuoni wala hajui kimekuleta nini, isipokua atajua wewe ni simba na simba nyinyi ni marafiki wakubwa wa kibuki, tena utapewa heshima zote, Ujilinede tu na maasi wasikurus)dishe ulipotoka.
Mimi: hawawezi.
Jini1; Nafahamu hilo lakini lazima nikupe tahadhari, mimi nimepita kote huko na wale nawajua miaka imngi sio leo sio jana. Sasa mama anataka kuongea na wewe, yeye ndio mtaalamu nao sana. Mwache aje akupe ,awili matatu, dunia mbaya hii Simba.+Mimi: Mwache aje, mlango ukagongwa nikamabia fungua tu, Jini 2 akaufungua akaingia mamake. Bada ya kusalimiana pale.
Jini 2; Wameoina mimi wanlete lada nikupe moja au mawili. Sikili kwa umakini, huyo bibi utaekwenda kwake, yeye sio mchawi lakini yeye ndio ana lile jini la kifalme la hawa vibuki wa ukoo huu wake. Kama vile babako na simba, sema simba wao hawana kupandisha wala ujinga ujinga, wao starehe yao unaijua, sina haja ya kukueleza. Hawa vibuki hawana mipoaka na starehe na wanahizaya hawa, wapo tayari kufanya lolote ili mwanamme awe chuma ulete wao, wana mali, wana vyeo wao wanaume zao lakini hawatosheki, kwa sababu ya starhe na kujionesha nani zaidi kwenyue masherehe, hukjo bangi na pombe za ghali, kila aina kama hawana akili vizuri, sasa hii sherehe ya dokta peke yake unajua imegharib)mu shillingi ngapi? Na hii ndio ndogo kwa watu wachache tu hawatazidi u(ishirini. Heasabu wewe, shetehe zake Bi S ni shillingi million moja kila mtummmoja, ataefudhuriam wanaohudhuria wanalipoa wenyewe sio Dokta, Dokta yeye analipa million tatu kwa kua ndio alieitisha hio sherehe, kila kitu kitakuepo na kila anaekuja ayakuja nastarehe zake na raha zake, wanawawake wasgaji watakuwepo mashjoga watakuwepo na mabwana zao watakuwa wanawangoja nje huko wanajua wenyewem kila mmoja kivyake, hzi millioni ,illinponi waloztoa wanahakiksa zinarudi na faida Jumamosi hiohio. Hawa na hasara.
Mimi hapo sijaelewa.
Jini 2; hapo wale washoga kazi yuao kubwa ni ukuwadi na bibuki vyao, wanaume wenye pesa zao siku ya sherehe za kibuki, kuna wanawake makuwadi, kwani haoa wanawake ni wa maana mitaani huko, hakuna asiekua na hamu nao. Mfano wewe uwe nawaziri una moipea s(ya wizi uambiwe ukimtake mke wa Mkubwa fulani, umle, utakataa na unamjua mwanamke bomba na tamaa inakushika ukiwa na uhusiano nae zitarudi kwa nia moja au nyingine? Wana mbinu nyingi lakini zote za kishetani, hakuna muujiza wala nini ni ushetani tu. ni mlolongo wa kishetani. Utawaona.
Mimi; Nytawaonaje na mimi nimeambiwa naSheikh sit(ruhusiwi kuingia kabisa?
Jini 2: Wewe nenda ukamuone Bi S, ), nimekwambia wewe simba mkubwa sana, utajionea mwenyewe sitaki kukwambia, pengine uyasiwe, mimi sio mtabiri, lakini naju kwa sababu nimeshayaona zamani.
Mimi: Wewe umeonaje, kwani wanakurugusu kuingia?
Jini 2; Mimi zamni si nilikua nashirikiana kuwaroga waume zao, wewe hujiui sisi ukko wetu ni marafiki wa simba toka enzi na enzi/
Mimi; Sijui, nitajuwaje?
Jini 2: Muulize huyo manaewasiliana kila siku, anavyokupenda huyo toka akujue, atakwambia kila kitu huyo. Mie yangu yalikua hayo tu, ukiwa na mengine utamwabia huyoi patmna wako, Mimi naondoka.
Mimi; Ngoja, lakini kwanini mnanishirijisha kwenyue mambi haya ya kiji nga?
Jini 2: baaabu yako anataka ujue dunia ilivyo sio unaoyaona tu, ndio kufungiliwa maho huko, ulifikiri kufunguliwa macho kuffnyiwa upasuaji wa macho? Yaone simba, babu yako anatak yasikupe tabu haya, na amekuchagu weee ndio mrithi wake. Ingawa simba walikua wanakutaka sana kuliko kitu choch9ote.
Mimi; kwanini mimi simba wanitake?
Jini 2; Unamjua simba wa marehemu babu yako, baba wa mamako walikuchanjia usimba kuanzia mchanga, wakurithisha na mizimu ya kisimba, na upande wa babako wakauwachia usimba wao wao wewe. Babu yako huyu hakuoendezewa yale, yeye mtu wa dini, wale simba hajui mipaka ya dini, wanasali halafu wanafanya uasheratim huyu hakubakiani na hayo kabisa, anafanya sana ibada ndio maana ana nguvu kubwa ya kauli zake na wote hao wanamuheshimu, mambo yake mengine muulize mwenyewe na Arsis, mi kazi yangu nikugfahamishe kuhsusu vibuki tu.
Mimi; Si hata ri hao jamani?
Jini 2; Hakuna kwako hatari yoyote, wakikuona wewe wayakua wanaogopa hatari kwao, ni marafiki wakubw asana wa simba wewe kuanzia ukimuona Bi S, utakua mfalme hapa Unguja, utaheshimika kila mahali unapokwenda, usicheze na vibuki, wataeneza habari, vibuki wote hata amabao wamejificha watataka wawe karibu yako. Kwaheri bwna.
Mimi ; haya kwaheti, kama unanihsakikishia hakuna hatari nilale kwa amani.
hakinijubu, akaanza Jini1.
Jini 21: Wewe Simba, huna hatari yoyoitem sasa sisi kue na hatari tukupeleke au ytukuache uende? Faida yetu nini sasa?
Mimi; Majini hamuaminiki.
JIni1: hayo majini ya kichawi, sio sisi, sisi hatuna ushenzi huo labda ungenikuta wakati ule sijafanya toba. Hapo hata mwenyewe sijiamini, unafikiri ningeweza kuja hivi?> Kwanza elimu hio angenipa nani? Ningekua napanda kichwani kwa mtu, nikija nabatua mambo naondoka zangu mbio mbio.
Mimi: kwanini mbio mbio?
Jini 1; Unafikiri majini ya kichawi yana raha? Yanaishi kama majambazi tu kwa kujifichaficha yanawindwa kila sehemu, unafikiri ningekua naweza kutenbea popote wakati wowote kama sasa? Sasa hivi majini ya kichawi yananiogopa, yakiniona yanapita mbali kabida huko. Utajua tu kwanini siku za usoni, usiniulize kwanini. Maana ndio swali lako kubwa hilo, unamwacha mtu au)funguke tu hata yasisemeka. Kwaheri, pumzika ukaione Ungi)uja keshoi huijui wewe. Hio uiopewa ni utangukizi tu, kajionee mwenyewe sinema kamili.
Akaondoka, mimi nikalala zangu usiku nikaamka, nikatawadha nikaslai sala uy usiku nikasali na rakaa mbili za kumuoba Mungu anilinde na haya mashetani.
Simba.
...5.11
Vionjo vya Arsis 5-11 Majini ya Kibuki - Unguja.
nilivyokutanishwa na majini ya Kingazija (Comoros) na Kipemba Kojani.
Sikuchelewa sana nikampigia simu wife, tukaongea mawili matatu, nikampigia mzee na yeye sikua na story nae nikalala mapema tu, usingizi mzuri kabisa.
Alfajiri nikawahi kuamka kama kawaida yangu, nikajitayarisha nikasali pale poale chumbani. Nilipomaliza nikapiga kahawa pale sijakaa sana babu kapiga. Tukasalimiana pale.
Babu; Vipi Simba? habari za huko?
Mimi; Poa babu.
Babu; Alinipigia Meneja jana akanielez umefika salam na upo vizuri na Sheikh... kafurahi sana jana ulikua kwake muda mrefu, niliongea nae pia.
Mimi; babu, hivi haya mambo ya kishirikina kwanini unanoishirikisha na mimi?
Babu; Simba wewe na mimi sio washirikina, lakini nataka uyaone, ukisikia sijiui kibuki, ukisikia simba ukisikia sijui mizimu gani uelew mbinu zao. Tena wala usiwe na shka ya kua mimi naweza kukuingiza kwenye ushirikina, toka babu nimekukabishi hivyo viumbe umegfanay ushirikina uapi au vimekwambia ufanye ushirikina upi? Hivyo vyotevipo kwa kazi moja tu, ni walimu wako hao kwa niaba yangu,, hakuna zaidi. Babu utajinea watu wanavyohangaika wanataka msaada wanadhulumiwa, mtu atasema anakwenda kwa mganga kumbe anajiingiza kwenye shimo zaidi. Si umeona ya huyo Dokta kwa mZee Ali? Sasa yaone ya huko ndio jamaa zake na majini ya kikwao hayo, wala usiwe na shaka na babu. Ukiona kuna chochote kibaya, ondoka wala usinisikilize mimi. lakini hapo babu uytajionea mamboi amabyo ukihadithiwa tu huwezi kukubali, utaona uzushi tu.
Mimi; Sawa babu, naombea iwe ni eleimu tu.
Babu; kwani yale ya kwanza Unguja hujasoma kitu Simba? Hukuona watu wanavyofanya ushirikina wa kijinga kabisa? Uliambiwa ufanye shirki ipi? Labda mimi nipo mbali siyajui babu. Lakini usiwe na shaka, ukiona chochote hakiendani na Uislam wacha hapo hapo ondoka labisa, hata mimi stakua radhi.
Mimi; Nimekueleea babu.
Babu: haya bwana mkubwa, leo unakwenda kuliona hilo mama, kubwa la kibuki Unguja, ukisikia kuna watu wanapunga vibuki Umguja, woite ni wezi tu, hilo kubwa lao kiukoo, huyo Bi S ukisikia Ndama Mulaki ndi huyo yakimjia madudu yake. Utajiponea, sitaki nikuhadithie.
Mimi: babu we sema Jini2 kishanihadithia mengi.
Babu; hawezi kuyamaliza, kayaone mwenyewe, ya kuhadithiwa si ya kuyaona. Hilo tu, upo vizuri, hoteli nzuri> Upo sasalama?
Mimi; Niko poa kabisa, boinge la hoteli, sidhani kama kuna Watanzania wanachukua vyumba hapa, ngoja baadae nitauliza bei z vyumba.
Babu; Sawa, hata mimi nimeauliza hawakunambia.
Tukaagana pake na babu, mimi nikapiga restaurant, walipopokea nikauliza naweza kupata supu ipi nzito znito, wakanambia chumbani au breakfast room?
Mimi; Popote tu.
Chef: Brakfast r0om tayari unaweza kwenda kuna supu aina tatu, ukitaka nzito nyepesi na mambo mengi tu pengine upende zaidi Mr, Simba.
Nikashangaa jina langu kalijuaje lakini nikajua ni utaratibu wa Hoteli hizi kubwa kujua majina ya wateja wao, maana hata walipokuaja kunipokea waliniigta Mr. Simba. Nilipomaliza kuvaa vaa vizuri nikaelekea kwenye breakfast.
Kweli nikakuta mamboi mazuri kuliko kuagiza chumbani ujnajichagulia mwenye, aina za mikate kibao, supu yule kanambia aina tau, nikakuta kama aina ytano hivi, ujia aina kadhaa, yaani mambo yalikua mazuri, Nikasogea kwenye supu, binyti mmoja akanambi ipi Mr. Simba, tazamahiihii ni mbuzi, hii ni ng'ombe na mbiga mboga, hii nimbiga tupu, hii ni nyama ya kuchnganya na mboga nzzito sana, hii, tunaweza kuifanya uzito unaopenda ndani ya dakika moja.
Nikamwabia nipe ile nyepesi ya ng'mbe na mboga. Nikpiga breakfast heavy pale, nikarudi chumbani kwangu kidogo ishuke ile shibe, maana walijua huyu mswahili hajawahi kuona mambo haya, sikuwajali.
Nikapitiwa kama na kijiusingizi, kustuka saa nne. Nikakogakoga pale nikafikiria nimwite yule mshikaji au nichukue gari la hoteli, nikaona bira nimwite mwenyeji wangi wasione vibaya. Nikampigoa DSheikh, akanambi abasi hachelewi mwenzako namjulisha sasa hivi, tena alikuulizia. Nikamwabia haujapiga bado uppepo wa karavuu umekulaza. Akacheka.
Nikajimwagia maji nikavaa kashual tu nikatoka kwa nje nikasubiri kidogo akaja peke yake mshikaji, nikapanda, akawa anaielekeza hapa wapi hapa wapi, akanambia ngoja nikupitishe msitu wa jozani, kitu kama hivyo, tukanda pale nikaona sijui kima wale sijui tumvuroiri wanavidole vitatu tu, nikaambiwa hayo matinda wanayokula ni sumu, hakuna hata ndege au mnyama mwingine anaekula, hta binadamu ulila ni simu hio, watu wanachukua hayo matunda kutengenezea sumu sijui wanagfanyia uchawi, mwenyeji wangu akawa ananielekeza. Tukapita kama mikoko hibi imejngewa vinjaia, nikapenda sana, niasema kwetu kuna mikoko lakini hatunyi hivi, yaani mtu unatembea kama unatembea juu ya maji lakini ni vidaraja vimejengwa na ileile miti ya mikoko, haiozi kwenye maji ya chumvi, nikapenda sana ile dizaini.
Akaniuliza una safari yoyte? Nikamwabia nilikua nataka kwenda fuoni kwa Bi s? Akasema father wake kamwambia lakini yeye hajawahi kufika lakini gtukifika seje)hemu alionielkeza Mzee tutafdika tu, ni maarufu sana huyo mama, mimi namfahamu lakini kwake sipafahamu.
Tukaenda mpaka fuoni, kumuuliza mtu mmoja, akatuonesha, aksaema paleee, kuna duka yupo mumewe Bi Sofia, mkifika hapo ndio mmeshafika, Tukaenda dukani tukashuka, Tkamkuta jamaa mmoja wala sio mzee, ni mtu mzima, lakini anaonesha mtu wa ndum na mitungi sra yake. Nikajitambulisha akanambia mimi naitwa K, Kwa bi S ndio umefika hapa, mimi mumewe, karibuni kaeni mpige kahawa nimfahamishe kuna wageni wake. Tukatolewa viti viwili vya plastiki tukakaa, akaktukabis)dhi chupa ya kahawa,a akatoka nje dukani, naona simu hazishiki, ngoja nimfate. Ni pale, akaonesha nyumba kubwa hivi ina geti kubwa akanambia nyumn)bani pale , hapa napo nyumbani lakini hapa ni biashara gtu. Nakuja sasa hivi.
Akaenda huko akakaa kama nusu saa, akarudi akanam bia karibu mgeni, tukaamka mimi namwenzangu, K akasema nilidikiri mgeni huyu tu, wewe nikajua umemleta tu , nakujua wewe, si uko pale.... Akamwabia hata mimi nakujua lakini nilikua sijui kama ndio mumewe Bi S. Sasa umejua, haya twendeni.
Tukaoingia kwenye geti kubwa tukakuta bonge a ua, naona ule ua moubwa kuliko nyumba, na jumba lenyewe kubwa la kig)fahari ka standard zetu. Kuna viti pale kuna seheu kunalivuli akatwambia tukae tusubiri, na yeye akakaa na sisi mara akaitwa na mtoto akarudi akanambia wewe mhgeni twende, bwana wewe mwenyeji subiri kidogo, si unajua pengoine ana mambo yake ya siri huyu na Bi S. Nikaingia ndani, nikamkuta Bi S mwanamke mpana hivoi kwa mfuoa sio kwa unene, tukasalimiana anaongea Kkunguja kabisa, akamwabia K basi kakae na mhgeni mwingine acha niongee nae umenambia unaitwa nanivile, nikamwabia Simba. Akacheka, Simba huyu simba ninae mjua mimi? mboni wanitisha? Nikacheka.
Bi S. Umetokea wapi?
Mimi; Dar.
Biu S; Dar kubwa, sehemu gani Dar?
Mimi; Ilala.
Boi. S. Ooh asili yenu watu wa Tanga?
Mimi; ndio.
Bi S; Wewe sio mtoto wa ... naoina damu ndio zilezile.
Mimi: Ndio hasa, mamangu huyo.
Bi S, hebu nisubiri kidogo, nakuja dakaika tani tu.
Nikaujua labda kaenda kujisidi, nikakaa nasubiri pale mara kaja mtoto akaniita, anko unaitwa ndani na bibi, njoo hukiu, nikanyanyuka nikaingoia ndani zaidi na yule mtoto kama chumba cha tatu hivi akaginga kidogo mlangoi akaugfungua, aknambi pita. Nikaingia, kuingia chumba kina mazulia mazuri ya thamani kananukia udi nikaona Bi S kakaa lakini sio yule nilieonana nae kule, alikua kavaa guo jeupe kama la cotton hivi kavaa na kilemba. Akanitazama huku anatabasamu.
B S. karubu, karubu kaa, umenisahau na hiki kilemba? Salaam.
Mimi; Salaam.
Bi S; Karibu kaa, mimi siwezi kukaa kama hwewe hujakaa kwanza, nipo chini yako sana. Nisamah sana kukita huku, ilikua wewe ndio uniite mimi Simba, naomba msamaha sana.
Mimi nikakaa.
Bi S; Unaniruhusu nikae?
Mimi; Kaa tu Bi S.
Bi S; Akacheka, mimi ngoja nijitambulishe kwana, akasimama, mimi naitwa Ndama Mulaki hayupo Bi Safia sasa hivi, mimi nimekuja kwa heshima yako, naoma hio pete yako ifiche inaniumiza macho sana.
Mimi nikaiugeuze)a nyumba mbele.
Bi S. Ahsabte sana Simba.
Akakaa chini, naama nitume Simba nipo kwenhye kukuhudumia, hii gfursa kubwa sana kuja kwako, miaka na miaka sasa. Mimi nikawa nashangaa shangaa, ikanijia sauti ya Arsis, huyo anamuona mfalme wa Simba sasa hivi usiwe na shka, anaona picha tu tumemuwekea, Hafahamu. Kusiki ahivyom nikapata ahueni kidogo, nikamtazama Bi S.
Mimi; Habari zenu?
Bi S; Nzuri Mkuu.
Mimi; Sitaki kukuchelewesha mimi mgani wa Bi S leo. Nimekuja kuonhgea nae, ananisikia?
Bi S; Ansikia na anaelewa kila kitu, niondoke uongee nae?
Mimi; Subiri kwanza.
Bi S; naam, mkuu.
Mimi: Nimesikia kuna sherehge hapa kesho usiku, kweli?
Bi S; Ndio kweli lakini sio kubwa sana mkuu, ukitaka tuifamnye kuu tutaifanya mkuu.
Mimi; Hapana, msibadilishe fanyeni kama mlivyopanga. Mimi nitakuwepo kwenye sherehe.
Bi S; tena tutashukuru sana ujio wako, tutafurahi sana tena, ni heshima kubwa sna Mkuu.
Mimi: basi wewe nenda tu, wacha noingee na Bi s.
Bi S; haya kwaheri Simba, nasamehe sana kukuita huku.
Mimi; hakuna neno, mimi mwenyewe nilikuja bila taarifa.
kwaheri mkuu, kwaheri mkuu, kwaheri mkuu.
Nikaona Bi s Kama kajinyoosha kidogo akatingisha kichwa.
Bi S; Salaam alaikum, makubw haya. Niseme nini sasa?
Mimi; Kwanini B S.
Bi S; Kwanza Simba b)nisameh sana, sikujua kama Simba mwenyewe amelkkuja, nilijua DSimba jina tu. Lajkini sasa nimeelea kila kitu, mwenyewe umetanda hapa, mimi nimepewa amri niwe chini yako kwa chochoiyte ukiytakacho na utakachiambia, utakachiniambia ni amri kwangu, awepo Simba asiwepo.
Mimi; Simba Mkubwa kishaondoka, nipo mimi simba jina.
Bi S. Nimestuka maana hilo onoyo nililopewa sio la kitoto la kukita huku ndani, naambiwa ilikua wewe uniite mimi nje kule.
Mimi: hapana , hapa nyumbani kwako siwezi kuthubutu kufanya hivyo hata siku moja.
Bi S; Kuanzia leo hapa ni kwako na fanya lolote upendalo nimarishe utakavyo iwe pekeetu iwe mbele zawatu uwe wewe au mwengine yeypoyte, mradi ni wewe upo basi amri ni yako, mimi sina kauli ytena kwako.
Mimi; Basi nimekuelewa, haya tuomngee kilichonileta kwako.
Bi S; Naam simba nakusikiliza.
Mimi; Nimekuja hapa kwanaza kukuona nilikua sikujui, nikaambiwa nikuten),mbelee maana wewe ndio mkuu wa huku wa vibuki vyote? Kweli?
Bi S; Kweli Simba.
Mimi; halafu nimesikia sasa hivi, kua kunasherehe hapa kesho, kweli?
Bi S; Ndio Simba kweli.
Mimi: Kesho, kabla sijasema BbI S akanikatiza.
Bi S; Simba kesho nakualika uwe mgeni wangu rasmi tafadhali usikatalie, sherehe ndogo lakini sasa hivi nitaifanya iwe kubwa ya hadhi yako, wanakuja watu 20 tu, wacha nifanya wawe 100, hata kwa gharama zangu.
Mimi; Hapoana usifanye hivyo kabisa. Wacha kama mlivyojkusudia, mradi isikose ada zote, msiache ada hata moja.
Bi S; basi Simba naomba wangezeke watu watani wa ngoima, ili ada zikamilike, maada sisi tuliona sherehe ndogio hatryukuwaita watu wa ngoma, watakua watano tu,, wawili wanaume watattu wanawake. Ili sherehe iwe na ada zote, Nakuahidi Simba itakua na ada zote mpaka mwenyeqe utafirahi, wengine tiutawaambia wafanye party huko huko mahoteli, lakini hapa tutabaki kamma tulivyopanga nitahahakisha kama ulivyonambia asizidi mtu.
Mimi: Asizidi wala wasioungue wala asibadilike mliopanga, sawa?
Bi S; Sawa Mkuu.
Mimi: Sitaki kukuchelewesha mambo yako, tafadhali njoo pale nje umsalimie kijana alienileta, umruhusu na mumeo akaendelee na kazi, na mimi niytaondokea palepale, usijali.
Bi S; Haya mkuu naomba dakaika tatu nibadili hizi nguo za ndama.
Nikamsubiri pale tulkatoka nae nje, Mumewe alikua kishaondoka.
Bi S; We nanihii mwite bau yako hapo nje haraka, kwanini kaondoka na kuna mgani ndani?
Mimi ; Huyu mwenyeji wangu, na huyu Bi S.
Kijana: Mimi nagfahjamu Bi S maarifu yeye labda ndio hanifahamu mimi.
Bi S; Hakuna neno sasa tumefahamiana, unaitwa nani? Wakatambuloishana pale, aahhh babako Sheikh... namjua sana na yeye ananijua mimi.
Matra mumee akaingia.
Bi S,bwana wewe imekuaje ukanichia wageni ukakimbia.
K; Niliitwa dukani kulikua kuna kitu muhimu, sema?
Bi S; Huyu bwaba Simba kesho mgeni wako naomba badilishaneni namba za simu na mimi Simba namba yako ntaichukua kwa K tutawasiliana zaidi kama kuna chochote.
Mimi; Hakuna tatizo, haya nisiwaharibie kazi zenu, kwaherini.
Simba.
..5.12