Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Neno Jinni lenyewe ni la Kiarabu, si ndiyo wenye elimu hao.

Sasa mtu kama Che mittoga unafikiri Kiarabu watamwita "che"? Watamuita Sheikh Mittoga.

Hapo sasa.
Kwa hiyo Waarab ndiyo majini yenyewe na ndiyo maana Waislam pekee ndiyo wanakuwa na majini, si ndiyo? Sijawahi ona mtu aliye safi wa kiroho akawa na majini ni waislam tu pekee. Waafrika tunapigwa changa la macho hapa, tuwaachie Waarab na majini yao.
 
Kiasi nawafahamu hupiga nao story sio wangu lakini wa kaka yangu yeye mi mtu wa tiba so huongea nao wakiwa kichwani bila kupanda unakuta najua naona nae yeye kumbe watu wake na hunijia sana ndotoni kama kuna jambo.

Hunifundisha sana mambo ya tiba huniambia andika kaka yako akiwa hayupo mtajisaidia wenyewe japo wameshasema akifa watakuwa kwa mtoto wa Dada yetu.

Wao ndo huniambia majinn usiamini sana wana uwongo sio kila kitu wanasema ukweli kuna vitu wanaficha hakuambii real name asli yake atakuwa rahisi kukamatwa.

Na jinn kaumbwa kwa moto akiwa karibu na mwanadamu lazima kuna athari utaipata tu sababu hawakuumbwa kuwa karibu na wanadamu sema wanapenda sana ubinadamu kuanzia life style kila kitu hata wewe ukaribu na Arsis sijui Sharrif mwenye bakora yake sijui fimbo ya hinzirani 😄utakuwa una athari umepata uwe unajua au hujui huwezi kuwa karibu haswa kama wewe ukawa sawa kuna athari mwilini umepata.
Na wewe ni Muislam uchwara au? Hivi kwanini mnaendekeza hivi viumbe, hivi una elimu gani wewe hapo ulipo na unafaidika na nini kufuga majini? Waislam bwana, shida tupu!
 
Kiasi nawafahamu hupiga nao story sio wangu lakini wa kaka yangu yeye mi mtu wa tiba so huongea nao wakiwa kichwani bila kupanda unakuta najua naona nae yeye kumbe watu wake na hunijia sana ndotoni kama kuna jambo.

Hunifundisha sana mambo ya tiba huniambia andika kaka yako akiwa hayupo mtajisaidia wenyewe japo wameshasema akifa watakuwa kwa mtoto wa Dada yetu.

Wao ndo huniambia majinn usiamini sana wana uwongo sio kila kitu wanasema ukweli kuna vitu wanaficha hakuambii real name asli yake atakuwa rahisi kukamatwa.

Na jinn kaumbwa kwa moto akiwa karibu na mwanadamu lazima kuna athari utaipata tu sababu hawakuumbwa kuwa karibu na wanadamu sema wanapenda sana ubinadamu kuanzia life style kila kitu hata wewe ukaribu na Arsis sijui Sharrif mwenye bakora yake sijui fimbo ya hinzirani 😄utakuwa una athari umepata uwe unajua au hujui huwezi kuwa karibu haswa kama wewe ukawa sawa kuna athari mwilini umepata.
Usikute wewe ni kati ya wale mademu wapandishao majini wakati wa njaa na kuambia ndugu uchinjiwe mbuzi mzima au kuku, kisha upikiwe na biryani ule peke yako chumbani au unapandisha na kudanganya wenzako kuwa unampenda mume wa jirani yako mwenye uwezo na unataka amwache mkewe wa ndoa akuoe wewe jini Mahaba. Aisee, mademu wa Kiislam mna visa....siwataki hata wa bure msije mkapandisha na kusema kuwa mmetumwa kukata mboo yangu.
 
Hapana, sijawahi kusikia jini akiitwa Wolfgang au John, ni Kina Maiumuna, Zuchu, Muddy, Jafari na wengine wengi wenye asili ya Kiarab. Sasa naelewa kwanini Waarab si watu wa maana.
😂imebidi nicheke hujasikia jini anaitwa John kwani uliishi wapi na watu went majini ukawajua majina yao,wapo majini wa kiislamu kikirsto wahindu mpaka na infidel wasio na dini na rafiki alikuwa na jinn mzungu anaongea kizungu alisema anaitwa Moureen halafu nakuambia yote yanini wewe amini vyovyote vile.
 
Arsis kwa wale wenye tatizo la nguvu za kiume yaani anawahi kumaliza haraka anamfanya mkewe dakika chache anamwaga mambo mfano dakika 5 tu.!je,mtu kama huyu unamshauri dawa gani atumia walau adumu mda mrefu kwenye tendo la ndoa mfano iwe dakika 30. au weka tiba na dawa yoyote unayoijua kuwasaidia wenye shida hii kuwahi kumwaga nao wafurahie ndoa zao..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom