- Thread starter
- #2,781
Hili wala halina haja ya kujibiwa na Arsis.Hapa mimi nina swali kwenye hoja ya kwanza ya Jini.
Kama jini ni kiumbe cha Allah wameumbwa ili wamuabudu Allah, je majini wanatumia kitabu gani?
Je majini ni dini gani?
Je majini wanaswali wapi?
Je kuna ukweli wowote kwamba kuna binadamu wanatengeneza majini na kuyafuga na kuyatuma?
Naomba na Arsis atie neno kwenye haya maswali yangu yanayonitatiza.
Asante.
Majini ni kama unavyoona watu tu, wapo wa kila dini, kila kabiala, wapo wanyama wa kijini.
Wapo anaosali misikitini, makanisani, mahindu, mabudha, wasio sali kabisa, wenye kuamini Mungu na wasioamini mungu.
Simba.