Ni hospitali gani nawezapata hvyo vipimo, samahaniKacheck brucella,syphilis au TB
Ni hospitali gani nawezapata hvyo vipimo, samahaniKacheck brucella,syphilis au TB
Kama dunia haina umbo tulilofundishwa huko shuleni je ina umbo gani? Na je hao waliotufundisha wanalengo gani kutudanganya?Wana ukumbi, baada ya Arsis kupewa ombi na FF aanzed kujleta yeye kisa cha Adam kwa mgtazamo na elimu hyake alivyoielewa Qur;an, Arsis anawakubali sana FaizaFoxy na Che mittoga, mwenyewe anamwita Sheikh Mitoga. Arsis amekunbali kuanza kisa cha Adam, moimi kama simba nitakua nakileta kwa kusimamiwa na yeye mwenyewe, amesema hii ni tofauti na viusa vyako, Hii ni WQur'an nigtakuwepo mwenye.
Kanitaka niujulishe ukumbi kua post yake inayofata itakua ya utambulisha wa kisa cha Adam, na post zake zitakua fupi fupi, atajitahidi ziw)siwe ndafu kila atakapoweza.
Karibu sana Arsis.
Simba.
Nipo na hii simulizi tangu mwanzo.Haikuegemea upande wowote, Arsis kila dini utayomuuliza anasema yeye ndio hiyohiyo.
Isipokua anaamini kitabu cha mwishpo cha Mwenyezi Mungu ni Qur'an na hapa baada ya mabishano na Waislam aliwaambia nyie mnaijua na kuiongelea Biblia kuliko Qur'an, ndio akawauliza mmelitoa wapi na Adam kua ni mti wa kwanza kuumbwa duniani?
Ndipo lilipoanzia hapo. Kaamua kutoa elimu, ili WQaislam waajielewe na wasio Waislam wajielewe.
Kwani mama pretty kusoma kuna dini au dini ipo moyoni kwako?
Unaweza kujiita muislam ukawa mchawi, mwanga, mshirikina, kuna dini hapo> Halikadhakika unaweza kujiita mkristo ukaewa mwanaga, mchawsi, mshirikina, kuna dini hapo?
Tusiibague elimu kwa misingi amabyo haipo hata kwenye iani zetu. Mimi sijaona biblia ikikataza mtu kuisoma Qur'an wala sijaona Qur'an ikikataza mtu kuisoma biblia.
Tumia fusa hii kumsoma Arsis. Mbona anamsifu sana Che mittoga na kila siku anaukandamiza na kuuponda Uislam na Waislam? Hapo ndipo Arsis anaponiacha hoi. Na Waislam humu hujawasoma wanamshambulia Arsis badala ya kushambilia hoja zake? washamuita kila jina la kiajabu ajabu na la kukera, lakini yeye anaendelea kumwaga elimu kwa wote.
Simba.
Unakuwaje msemaji was Quran na ilhali hauijui, Quran ipo kwa lugha ya kiarabu ila kuelewa kiarabu chake ni shughuli, hata hao waarabu inawapa ugumu maneno yake, wewe Mngindo utajulia wapi?Nipo na hii simulizi tangu mwanzo.
Arsis hajaigusa biblia na sio sehemu ya hoja zake.
Arsis anaamini ktk quran na Mohamed.
Hata hoja ya Adam ni mtu gani imetokea huko.
Biblia hili swala la Adam inalijibu vizuri tu, Adam ni mwanadamu wa kwanza. Lakini hapa nimeona na kuthibitisha Quran haijaweza kuthibitisha km Adam ni binadamu wa kwanza. Na zaidi haijamtambua hata Hawa.
Unakuwaje msemaji was Quran na ilhali hauijui, Quran ipo kwa lugha ya kiarabu ila kuelewa kiarabu chake ni shughuli, hata hao waarabu inawapa ugumu maneno yake, wewe Mngindo utajulia wapi?
Quran pekee bila kupitia Hadith haitoshi
Si anasoma tafsiri na anatusoma Waislam humu tukiinukuu.Unakuwaje msemaji was Quran na ilhali hauijui, Quran ipo kwa lugha ya kiarabu ila kuelewa kiarabu chake ni shughuli, hata hao waarabu inawapa ugumu maneno yake, wewe Mngindo utajulia wapi?
Quran pekee bila kupitia Hadith haitoshi
SawaUnakuwaje msemaji was Quran na ilhali hauijui, Quran ipo kwa lugha ya kiarabu ila kuelewa kiarabu chake ni shughuli, hata hao waarabu inawapa ugumu maneno yake, wewe Mngindo utajulia wapi?
Quran pekee bila kupitia Hadith haitoshi
Ulijibiwa kuhusu Qaren na Arsh nae akauliza umwelezeee kuhusu na Najm Buruj kinaga ubaga kama kawaida yako elimu huna na jinn uchwara wako tantarilaaa nyingi hukujibu unaanza ooh sauti yake haishawishi unataka uvutiwe na sauti ya mwanaume mwenzio wewe basha haya oooh sauti yake ina mafua badala ujibu maswali.Sheikh wako alishindwa akaja na maswali badala ya majibu, umesahau? Unakumbuka aliulizwa nini?
Aliulizwa ana ijua Arsh ni nini? Akqja na porojo na sauti lake la kishehe ubwabwa.
Wewe una swali hujajibiwa? Au une eleimu unataka kutupa?
Msalimie Etugrul Bey
Simba.
Binafsi naendelea na nyuzi zingine huu na ignore.Ndio maana nimeacha huo mjadala,ni porojo na utoto mtupu
Acha hasiraNime unsubscribe na ku ignore post mpaka na Arsis wake over and out tutakutana nyuzi zingine.
Punguza ghadhab. Sijakiona nini kinachokukasirisha kiasi hicho.Kama ulivyo wewe Simba Mshenzi na Dajjal wako Arsis.
Nakulavu kishenzi yaani,Punguza ghadhab. Sijakiona nini kinachokukasirisha kiasi hicho.
Kubamizana ni kawaida sana JF. Inabidi usiwe na hasira. Kuna anayeshambuliwa JF kwa misimamo yake zaidi yangu? Sijamuona.
Nimejifunza "kula nao sahani moja".
Hapa JF wewe soma tu, changia mada ujuwavyo, akili mu kichwa.Hii ni tungo au stori ya kweli?
Unaumwa? Au bdiyo ukondoo wa bwana? 👇🏾👇🏾👇🏾Hizi story si ndiyo sawa na zileeeee...
Yaani itaendelea na itaendelea alafu there's nothing au business strategic planning ya kutuita kuaguliwa!!.
Umejibu vyema.Haikuegemea upande wowote, Arsis kila dini utayomuuliza anasema yeye ndio hiyohiyo.