Nimekueleawa FF.
tafadhali acha lugha za kihuni za kuniita Simba ushuzi. Tuheshimiane ingawa hatujuani.
Hlo ombi lako la Arsis kutupa elimu yeye mwenyewe hapa , numemuomba sana, anachonijibu ni kua, Simba unayajua yote, fundisha usiogope.. Mimi namwambia mimi nitaandika nijuayo kwa nilioyashudia kwa macho yangu au kuyasikia kwa masikio yangu. Haya ya elimu, mimi siwezi sijawahi kua Mwalimu hata kidogo.
Naona kakusoma na wewe na wengine wameunga mkono hoja yako ingawa kihunu, kama kawaida ya JF lakini ujumbe alionipa sasa hjivi, anasewma malizia kisa chako cha Unguja, mimi niyaanza kutoa elimu yenye manufaa kwa wengi.
Uzuri wa Arsis hana ukiritimba wala kurembaremba akiahidi kaahidi.
Simba.