mambio
JF-Expert Member
- Mar 4, 2017
- 2,821
- 3,607
Ndoto ni halisia broUsiidharau, majini na malaika wanakuja ndotoni.
Kuna siku Arsis alielezea kidogo humu kuhusu ndoto ni nini, kaniacha hoi.
Simba.
Inawezekana hapa ndio tupo ndotoni.
Sijui lakini
Ndoto ni halisia broUsiidharau, majini na malaika wanakuja ndotoni.
Kuna siku Arsis alielezea kidogo humu kuhusu ndoto ni nini, kaniacha hoi.
Simba.
Mambo niliokumbana nayo kwa miaka sasa nayahisi kama ndoto. Aliandika simba, nyuma huko.Ndoto ni halisia bro
Inawezekana hapa ndio tupo ndotoni.
Sijui lakini
Okeeeee… lete vionjo tujifunze mambo ya ulimwenguUchawi.
Kweli, ashushe vitu.Okeeeee… lete vionjo tujifunze mambo ya ulimwengu
Simba umeanza woga,"theology"
Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 8.
Inatokea post namba 2358.
Sheha; wachawi wenzenu wengine wa hapa mtaani ni kina nani?
Afisa; Hio ni siri ambayo hatuwezi kuisema hadi kifo. Mmeshatushika sisi na wote waliohusika na hii kazi, ambao hawajahusika hata kanuni za kikawaida zinakatzaa kuhusishwa.
Bakora: Mimi namuunga mkono kwa hilo. Tuendelee na mengine.
Sheha; Tueleze waliohusika.
Afisa; Wameshikwa wote na sikjii kama wapo hai mpaka sasa, maana hukumu ya hili ni kifo tu, haina mjadala kichawi. Hata chama chetu tukikamata waliongilia himaya yetu bila kukubaliana kabla tukiwakamata ni kifo tu. Labda tusiwakamate.
Bakora; Huyu analeta mambi ya kichawi ili apoteze muda. Mimi nashauri kwa kua ewotw wamekiri wahukumiwe.
Sheha, wapelekwe mahakamani?
Bakora; ndio, hilo moja na sisi tutapitisha hukumu yeytu kwanza na nyinyi, hususan wewe, upo hapa Kiserikali huo utakua uamuzi wako. Sisi hukumu yetu, hatuwezi kuisema hapa mbele za watu, tunajua tuwajulisha vipi, hatutaki kesi.
Sheha; Nimeelewa. Mimi wacha nipige simu polisi, mkubwa wa kitiuo cha hapa jirani namfahamu.
Bakora: hautompata huyo leo, wala kesho. Labda umpigie msaidizi wake.
Sheha, aah kasafiri?
Bakora; Ndio.
Sheha, wewe ngeni Sheikh, unajuaje?
Sheha: Mimi tunafahamiana nae, najua kua kasafiri alfajiri ya leo. Uliza hata ofisini kwao waytakueleza.
Sheha; Sasa tunafanyaje?
Bakora; Wazo la kuwashitaki hawa ni zuri, ushahoidi woite upo na wao lazima watakiri hawatoisumbua mahakama, kwa kua binti yupo hai, sijui hukumu yao itakuaje kiserikali.
Sheha: Wacha nipige simu hapo nje,. jamani akam kuna hawa leteni ytunywe. Haya si mabo madogo, maana naanza vbipi kuwael;eza polisi?
Bakora: Waeleze ukweli kama ulivyouona na kuusikia kuanzia alfajiri. Watuhumiwa si hawa hapa mnao?
DSheha; Sawa wacxha niende nje nikapige simu.
Kijana: Na mimi wacha niende nje, kweli kama kuna kahawa uje jamani.
Kuna wanawake wakainuka, waksema kule ipo nyingi wacha tukalete na vikombe.
Mimi, Kijana, Balora tukatoka nje. na wengine wote wakatufata kasoro watuhumiwa tu. EWakabaki wamekaa, kama wamepigiliwa misumari.
Kutoka nje mimi na kija n na Bakora yukaenda kukaa pembeni, tukawacha pale Waunguja na Sheha wao.
Bakra: sasa hapa kaszi imeisha, hawa sisi tutatimiza hukumu kama ya wale, hawatiweza kufanya kazi kabisa, lak9ini cha kwanza inatakiwa mali za yule bwana lazima huyu binti na mamake walipwe kwa machungu waliopitia. Na huyu mumewe, ndio hana chake tena. Mtito yule asafiroshwe kabisa asibaki Unguja, maana hii hadithi tayari ipo mitaani saa hizi inazagaa kama moto wa makumbi.
Kahaw aikaja tukanywa pale.
Sheha; Polisi wanakuja kikosi cha maana.
Bakora twendeni ndani tukamalize sisi tuna safari jamani, hapalkaliki.
Tukaingia ndani wote, mimi nikaitwa ndani na kina mama huko, nikakuta kumbe mipango yao ya kumsafirish binti kwenda bara ytayari lakini hakuna alieambiwa, na ataondoka na mama yeke mdogo, kimyakimya. Nikaone heri. Ikaja sauti ya Arsis kichwani ikinambia, usiwe na wasiwasi, yupo chini ya ulinzi wetytu, wewe uytawaona Datr hao. Nyyie mnawsza kusafiri wakija polisi anagalia msisema lenu mkafanywa mashahidi, itakua ngumu kwenu nenda rudi. Nikamuelewa.
Ile tunatusi ndani hatujjakaa polisi wamegonga nje, akatoka Sheha akaanza kuomngea nao, nje, na sisi tukaaga,m hakauna aliesema chochote. Tukatoka mimi, Bakora na kijana, mama ndani huko washasuka kuondoka na binti na mamake mdohgo. Tukaondoka.
WWale mbwa wawili wakachukuliwa wakapelkwa polisi, wakaelezea kama walivyoelezea, wkawekawa ndani bila dhamana, mahakamni siku ilipofika kwa kua wanakiri makosa, wakahukumiwa jela. Walipokua jela ndio hukumu ya majini walioifanya hio kazi ikapitishwa.
Tutaendelea na kionjo kingine tutaporusi, hiki cha Unguja tukimalizie hapa.
Simba.
Itaendelea
S
Nina hamu ya kusoma story ya Adam na tupate uthibitisho kuwa hakua binadamu wa kwanza.Kweli, ashushe vitu.
We mbibi mi nakupenda kishenzi yaaniKweli, ashushe vitu.
Nasubiri jibuWe mbibi mi nakupenda kishenzi yaani
Toa namba acha udwanzi
Acha tucheke na kutaniana tu humu,Kisa hicho cha nwisho cha Simba huko Unguja kimeniliza machozi. Kwa kuwa naifahamu hiyo familia ya Kiunguja, iliowa "toto" la kariakoo, kutoka ukoo maarufu sana.
Dunia ni hatari sana jamani, baba mtu anamtowa mwanawe kwa tamaa za kidunia.
. Arsis karibu sana na kisa cha Adam.
Allah atustiri.
Mimi navyomuelewa hapa Arsis neno Adam limetumika kama cheo/hadhi. Kwahiyo hicho cheo cha uadam, kilimirikishwa/hodhiwa na watu tofautitofauti kwa mihura kadha wa kadha...!Kama unasema Adamu wapo wengi maana yake Waliumbwa Adam wengi, Huoni kuwa hiyo haibadilishi kauli ya kuwa mtu wa kwanza kuumbwa ni Adamu?
maana kama kuna adamu wengi basi yeyete katika hao adamu walioumbwa awe atakavyokuwa ila itabaki mtu wa kwanza kuumbwa ni adamu nafikiri logically nipo sahihi.
Ningetegemea useme kuwa adamu sio mtu wa kwanza kuubwa kisha utuambie kwa mujibu wa quran mtu wa kwanza kuumbwa ni.......... kisha utupe ushahidi, Lakini hoja ya kusema kuna Adamu wengi sio hoja kuwa adamu sio wa kwanza.
Mimi nasubiri useme kwa mujibu wa quran Nani ni binadamu wa kwanza ? na yeye adamu aliyetajwa katika baqarah ni wangapi ? huyo wa kwanza anaitwa nani? na katajwa wapi katika quran?
Tikienda kwa njia hii tutaelimishana vizur kuliko maneno mengi yasiyo na majibu.
Hata mimi ndivyo nilivyomuelewa hivyo huko nyuma, lakini naona kwa sasa kaanza kukielezea hapa yeye mwenyewe, ingawa mimi ndio ninae chapa (gtype) lakini ni 100% kwa maagizo na kusimamiwa na Arsis hata wapi niweke koma na wapi niweke full stop.Mimi navyomuelewa hapa Arsis neno Adam limetumika kama cheo/hadhi. Kwahiyo hicho cheo cha uadam, kilimirikishwa/hodhiwa na watu tofautitofauti kwa mihura kadha wa kadha...!
KwetuTanga hio inaitwa mahaba niue.We mbibi mi nakupenda kishenzi yaani
Toa namba acha udwanzi
Arsis kaanza kuelezea kisa cha Adam kwa muono wake, mwenyewe anasema kama kilivyo kwenye Qur'an bila kuongezea lake. Kaanza post namba 2407.Nina hamu ya kusoma story ya Adam na tupate uthibitisho kuwa hakua binadamu wa kwanza.
Tatizo hii thread ikishawekwa mambo ya dini (haswa hizi mbili Islam&Christian mzozo unakua mkali kweli)
Kimsingi sina swali zaidi nilitaka nione mtoto baada ya kurudishwa nini kiliendelea,Sio uoga, niogope nini zaidi Mwenyezi Mungu?
Arsis alikua ananihimiza anataka aanze kisa cha Adam.
Nakaribisha maswali kuhusu kisa cha Unguja na kingine chochote nilichokileta humu mpaka sasa. Visa vingi vinakuja.
Simba.
Kwanini hii elimu imeegamia upande mmoja wa dini?Arsis kaanza kuelezea isa cha Adam kwa, muono wake, mwenyeq anasema kama kilivyo kwenye Qur'an bila kuongezea lake. Kaanza post namba 1407.
Simba.
Haikuegemea upande wowote, Arsis kila dini utayomuuliza anasema yeye ndio hiyohiyo.Kwanini hii elimu imeegamia upande mmoja wa dini?