Pole sanaYaan nilichoka nikachoka tena maana nilikua nimeandaa mistari na mashairi ya kufa minyama Swala
Kuutaka nini Muwa uliozamisha Meli?Pole sana
Kama unautaka sema.
Wewe mboni km ni Dume Ila unapigo za kike?Mbona kama unaugomvi na mim,
Au nimekuibia bwana na sijui?
Kama mim dume njoo chukua conieWewe mboni km ni Dume Ila unapigo za kike?
Simba: halafu arsis akisema anaweza kua chochote eti watu wanajidai kumshangaa, wakati JF majini wengi.We Jamaa siku nilipogundua ni Dume nilichoka
Ww ndo unajuaKuutaka nini Muwa uliozamisha Meli?
Arsis; Weka mashairi hapa, mashairi yana elimu ndani yake.Yaan nilichoka nikachoka tena maana nilikua nimeandaa mistari na mashairi ya kufa minyama Swala
Kwa hio unanithibitishia Wewe ni Jike niendelee na process zangu za kukuvutia Waya?Kama mim dume njoo chukua conie
Au kizipo cha Chupa ya Maji?Ww ndo unajua
Mbona ni swali rahisi, ungejibu tu. Mambo ya kufundishana biolojia yanatokea wapi sasa?Arsis; Kwani tukiongea kiheshima kuna tatizo?
Kwani hio binadam ni ajabu kwao? Mama yake yake yeye sio mama yako wewe. kwani wewe umetoka wapi?
Wacheni kua na fikira mbaya mbaya, tufundishane biology hapa tuone wewe umetoka wapi? au hujui?
Simba.
Mim dume kama unataka kuliwa endelea na process na useme mahari kwenu bei gani?Kwa hio unanithibitishia Wewe ni Jike niendelee na process zangu za kukuvutia Waya?
Kizipo ndio nin?Au kizipo cha Chupa ya Maji?
Mimi nimeamua kufuta, Ila huyu mwamba ana uzi zake nyingine kazungumzia hayo ya kula mwanamke yoyote kwa familiaUtamuomba Radhi kwa Muda wako.. Rejea Enzi za Babu Nje Nje! Kilimanjafo Band..!
Chuchu zako zilizo na kitu km MwibaKizipo ndio nin?
Yaani wewe umemzidi huyo so Called Arsis 😀alofungwq kwenye chupa miaka 925 alokuwa enzi sijui za Basis hawezi kuelezea japo kama ulivyo elezea 😁na akilelezea havieleweki utata mtupu ni muongo mpotoshaji.My Life Experience
Unknowns Creature ni kweli wana exist ila wana majina mengi sana ambayo kila mtu anapendelea kuita.
Ni kweli kama mtoa mada alivyosema kuhusu ulimwengu zipo sita.
Binadamu hatuna access ya ulimwengu wowete katika hizo sita isipokuwa huu wa kwetu.
Unknowns creature hawana miracle yeyote isipokuwa ni knowledge ambayo wao wanayo ambayo inapatikana katika ulimwengu wao. wao kwa wao pia wanazidiana maarifa na mwenye maarifa mengi ndio mwenye nguvu zaidi.
Natural form yao hai support life kwenye ulimwengu wetu. Ili waweze ku exist kwenye ulimwengu huu wana shape shift ili kuendana na mazingira yetu, Knowledge yao imefanya hiyo kuwezekana isipokuwa ni kwa muda maalum wa masaa 5 tu then wanarudi kwao.
Kuna machotara ambao wanazaa na binadamu ambao hao wanaweza kukaa ulimwengu huu kwa muda mrefu, Chotara haruhisiwi kufika wala kukanyaga ulimwengu wa unknown creature kwasababu miili yao hai support life kwenye ulimwengu wao.
Unknown creature hawezi kuongea lugha yeyote ile ya ulimwengu huu isipokuwa kwa ishara au alama kupitia maandishi ambayo ataandika kwa lugha ya ulimwengu wao then wewe utatafsiri kupitia kitabu ambacho atakuletea yeye mwenyewe. Chotara wa unknown creature anauwezo wa kuongea lugha ya ulimwengu huu tena kwa ufasaha.
Nina mengi ya kuandika ila nitaandika taratibu.
Arsis; Mbona yeye kasema hio niliouliza sio aya ya WQur'an?surat baqarah ipo aya inayoonesha maisha na nani binadamu wa kwanza,na kumbuka tu hilo neno binadamu limetokana na neno ADAMU bin kwa kiarabu ni KOO hivyo BINADAMU MAANA YAKE NI KOO YA ADAMU.
Tulia nifanye kilichonileta mdogo angu.Chuchu zako zilizo na kitu km Mwiba
Simba: Utasubiri sana, bora usome episodes. Hii zaidi ya isidingo.Sijaisoma nasubiri ikifika mwisho