- Thread starter
- #2,121
Simba: Ndio, wapo wenye kazi hio.Je malaika wanaweza kutumwa na mtu/kiumbe/nguvu yeyote tofauti na Mungu?
Simba.
Simba: Ndio, wapo wenye kazi hio.Je malaika wanaweza kutumwa na mtu/kiumbe/nguvu yeyote tofauti na Mungu?
Nikipata muda nitafanya hivoAndika ka ujavyo, mimi pia sio mwandishi, tena niliandika kuona nakosea swa sana, nikawa nimenza kuandika kwanza , kusahihisha kisha ni post. Arfsis, akanambiausifanye hivyo, andika fanya marekebisho huku unaandika utazowea kuando-ika bila makosa. Ukifanha makosa kama mtu anataka kukusoma na kukuelewa atakuelewa tu.
Najiona nime improve. sasa napitia kila post ninapopata muda nafanya marekebisho.
Simba.
Huyo kwel sio mzima,,kwel ana shida mahalaShida ipo dogo sio mzima mshari mno anatongoza hovyo ukikataa basi ana dislike tu kukera mara atume picha zake za utupu 😁 nikamlamba block naona anaongoza kuwa na I'd nyingi humu na kula bann
Una bore sasa, kwani nani kakulazimisha kuwa humu? Nenda jukwaa lingine au kasome mada zingine kama hii inakukera. Kifupi unatutia aibu sisi wakristu wenzakoUsiseme wanaukumbi.
Sema ndugu zangu Waislamu,
Tujadili mambo yetu ya dini yetu.
لَا أَعْبُدُ مَا تَعْبُدُونَ
[ AL - KAFIRUN - 2 ]
Siabudu mnacho kiabudu;
Huo ni mlengo wa upande wa imani nyingne tofauti na uislamuSasa mbona inasemekana ibilisi kabla ya kuhasi alikuwa malaika.
Au yeye alikuwa malaika wa kipekee ambaye alikuwa na utashi tangu mwanzo??
Na vp kuhusu malaika ambao waliungana na ibilisi kwa ajili ya kuhasi
Asante, ibada nafanya zote mbili Islam na ukristo ,kanisani naenda na msikitini pia,ila mzee wangu anasema haamini kama Mungu yupo...Anasema pepo na jehanam ipo hapa hapa duniani. Inafikirisha..Arsis; Hilo linasababishwa na umasikini na kutokufanya ibada. Mizimu haiwezi kukuadhibu wewe kwa kosa la baba yako au babu yako.
Rudini kwenye njia ilionyooka. Mchawi na shetani wa kwanza wa binadam ni yeye mwenyewe.
Jiulize; Kama unafanya ibada, unafata njia ilionyooka unamuomba MwenyeziMungu,m, kwanini asikulize na yeye ameahidi, nikumbukeni niwakumbuke. Nishukutruni Msinikufuru (kukufuru mmaana yake kumpinga).
Arsis.
Unawachanganya watoa maamuzi siku ya kiama,Asante, ibada nafanya zote mbili Islam na ukristo ,kanisani naenda na msikitini pia,ila mzee wangu anasema haamini kama Mungu yupo...Anasema pepo na jehanam ipo hapa hapa duniani. Inafikirisha..
Nashindwa kuelewa kitu. Inakuwaje waalimu wa kiislam kutumia biblia wakati wana kitabu chao?Simba; Unauliza elimu inabadilisha nini kwenye maisha yetu? Pole sana ndugu yangu.
Point siyo hio, point ilikua kuelimishana na Waislam waache kubishana kwa kutumia biblia. Waelimishe kwa kitabu chao ambacho ni Qur'an. Ndio niwafahamisha wamefikia kuitafsiri Qur'an kwa kutumia visa vya kwenye biblia.
Katika kupeana nasaha elimu bora, sio bora elimu. Umeelewa?
Arsis ana njia za kipekee za kufundisha. Ni mtata sana.
Mkasa wa Unguja unakuja. Baada ya sala ya alfajiri.
Simba.
Arsis; Swali zuri sana hili. Ngoja niigie ndani zaidi kidogo ili watu wengi wapate kuelewa.Hio ni ibada ya kishetani.Arsis
Nini maana, asili na faida ya mwenge wa uhuru? Je mataifa mengine hukimbiza mwenge?
Arsis; Swali zuri sana.Nashindwa kuelewa kitu. Inakuwaje waalimu wa kiislam kutumia biblia wakati wana kitabu chao?
Arsis; Jina Allah (jina) ni Allah tu ni la kipekee, Lakini Mwenyezi Mungu (lebo) ameitwa kwa majina na sifa nyingi zilizo nzuri, yaliotajwa na ambayo hayajatwjwa kwenye vitabu vyake.Umenipa kitu cha kutafakari hapa, kwani Yesu ndiyo jina la mwana wa Mungu au Yesu ni tafsiri ya kiswahili? Wazungu wanamuita Jesus sasa sijui Wachina au Warusi wanamwitaje. Mfano mwingine ni Mungu, God na mengine mengi, kwani hakuna jina moja kwa mataifa yote? Je Allah pia anaitwa tofauti tofauti na mataifa mengine?
Inakuwaje kwa yule aliezaliwa na kujikuta ndani ya mchanganyiko huo kupitia wazazi (ie: Baba Islam, Mama Katoliki/Mkristo)?Unawachanganya watoa maamuzi siku ya kiama,
Usiwe wa vuguvugu chagua upande
Mwaga elimu tufaidike.Ngoja nikueleze kwa waislam nilichowahi kukisikia ni interesting story kama kuna makosa utarekebisha …” HAPO MWANZO Allah aliumba majini kwa moto kabla hajaumba wanadamu Haja majini yakaanza kufanya kufuru maana yalikua yanakatisha kwenye realm ambayo hawakuruhusiwa basi Mungu akaamuru malaika wakawaangamize wote , Malaika wakashuka na wakapigana vita , malaika mmoja alimuona mtoto jini badala ya kumuangamiza akaona huruma ikabidi ambebe aende naye mbinguni , Mtoto huyu akawa anaishi miongoni mwa malaika japo hakuwa malaika na alikua mtoa sifa haswaa kwa Mungu… stori ndefu lakini
Simba; Devil na jini ni vitu tofauti visikujengee picha moja.Kwa waislam the devil sio fallen angel ni first generation of Jinn
Naunga mkono hoja. 100%.Elimu ni ya watu wote haina dini wala kabila, ukitaka kujua hata habari za Aborigines unaweza kuzijua wewe tu
Simba; Nakushauri elezea kwa mtazamo wako bila kumuuliza hilo swali, kwani hapa tupo wengi tunafaidika. Unatunyima elimu hivyo, inamaana akikataa yeye basi na sisi ndio hatupati na huu uzi tunaupitia wengi.Natambua hilo boss, ndio maana kuna mtazamo wa biblia na qur'an,,,je upo tayar kupokea mtazamo mwingine wa malaika?