Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Mkuu Arsis Vp swala la nyota limekaaje!? Kuna uwezekano nyota yako ikazibwa na watu au ikatumiwa na watu wengne? Naomba ufaham hapo.
 
Arsis; Swali zuri sana hili. Ngoja niigie ndani zaidi kidogo ili watu wengi wapate kuelewa.Hio ni ibada ya kishetani.

Kama mnakumbuka mnaoufatilia huu uzi, wakati tunafafanua kidogo huko nyuma kuhusu Subian tukaelezea kua Subian linatokana na Saba, Sheba (Abysinia) au habashia Kiarabu. Waarabu wakisema Subian wanamaanisha mtu wa kutokea Saba au mwenye asili y Saba au ana nasaba ya Saba.

Sabb ndio utawala ambao wengi wanaamini wakati fulani ulikua na mtawala mwanamke (malkia), mwanamke mwenye nguvu, hakima, busara na mali nyingi sana. Huu utawala uliabudu nhota na moto lakini baadae wengi wakaamini vingine. Miaka mingi baadae wapo ambao wamekua Wayahudi, wapo ambao wamekua wakristoo, wapo ambao wamekua Waislam. Wapo ambao wamebaki kua ni Wasabai na Wapo wanaabudu nyota na moto.

Pia kuna ambao wamebaki na mila hizo za saba kwa kupitia mizimu (jini) ya zamani. mizimu na majini wengine ni roho ambazo hazijaingia kwenye umati. Watu wanaouliwa wengi wanakua wamekufa mwili lakini roho zi hai, hazijaigia kwenye umauti. Ndio hubaki kua mizimu, kua majini na wengine huita Qareen au wengine ruhani. Majini ni wengi ni roho za watu.

Hapa ielewedke zote ni roho, hakuna roho ya kibinadam au kijini bali miili ndio ipo ya kibinadam, na viumbe wengine. Roho inaweza kukaa kwenye mwili wowote.

Kwa bahati nzuri au mbaya hii Ardhi huko ziwa victoria, chanzo cha mto nile, ndio iikua moja ya njia kuu za kwenda na kurudi kati ya kaskazini na Kusini. Kuna makabila ya kando ya ziwa, yana mizimu ya kisaba "subian" ina nguvu na inadai watu waelewe nguvu yao na uwepo wao kwa kugtumia moto. Wanaoamini hio miziu inaweza kuwalina na kuwapa mafanikio ndio waliouanzisha huo mwenge.

Mwenge sio hapa kwetu, upo mpaka wanaoita michezo ya olympics. Upo mpaka makanisani, kanisa katoliki linaongoza. kwa kuwasha nwenge wa kuwatukuza ma Subian.

Pia ieleweke hawa masaba wanaamini wana kitabu cha Yahya kwa Waislam na Wayahudi, John kwa wazungu.

Hilo suala linagusia mambo mengi sana, nimejaribi ufanya kwa ufupi sana. Ni elimu kiubwa sana ya mtu kupata PhD kwa sabu yote utaweza kuitetea kwa ushahidi au wa moja kwa moja au wa kimazingira.

Binafsi naamini Yahya ni kaka yake Isa na mama yao ni mmoja Mariam, Meritaton.

Natumai imeeleweka.
Arsis.
bado hujaeleweka kuhusu huu mwenge wetu wewe umeelezea tu historia yake ila sisi tunataka kujua kuna siri gani iliyojificha kwenye mwenge huo na kwanini wanautembeza mwenge nchi nzima tendo hilo maana yake nini faida zake zipi na je,kama nchi ikiacha kuukimbiza huo mwingi kuna je,madhara yoyote kwa taifa letu na pia haiwezekani kuachana nao au ndo utaendelea kutembezwa tu milele.?
 
Wewe lete mkasa tusome ndo unakiweza hufurahia, elimu huna wala huyo Arsis wako, hakuna wajinga humu wa kupotoshwa na elimu sio 😀
Hahahhaah.

Kuna mambo nimeyakubali kutoka kwa Arsis. Hususan la Adam na la Yesu. Nili1lisoma zamani sana, nikafungulia uzi hapa JF mambo hayo, watu wanayaogopa.

Nimemsoma posts zake za hayo, nimemuelewa sana na nnamuunga mkono, apanue elimu.

Nimeona kuna sehemu kagusua mapya niliokua sijayapata kwengine. Nnayasubiri kwa hamu kubwa sana ya Sarah, nilipomsoma nimepitia Qur'an sikuona kweli jina la Sarah kwenye Qur'an, sijui kwenye hadeeth?

cc: Arsis.
 
Mkuu Arsis Vp swala la nyota limekaaje!? Kuna uwezekano nyota yako ikazibwa na watu au ikatumiwa na watu wengne? Naomba ufaham hapo.
Hili niliwahi kumuuliza Arsis zamani sana, mimi nitaweka kwa ufupi tu nilivyoelewa. Mkipenda kulijua zaidi chokonoeni atakuja.

Alisema nyota ni mapambo kama anavyosema muumba wetu wenye Qur'an. Isipokua mashetani ili kukuaminisha wamevumbua mbinu ya kusema nyota. Wanachofanya ni kuita mashetani ya kijini kupata habari zako au za mwwengine na kuiba kishetani kivuli chako.

Hapa kuna somo lingine la nini "kivuli" chako, hili atakuja kuliezea bingwa mwenyewe mkimuuliza.
Simba.
 
Hili niliwahi kumuuliza Arsis zamani sana, mimi nitaweka kwa ufupi tu nilivyoelewa. Mkipenda kulijua zaidi chokonoeni atakuja.

Alisema nyota ni mapambo kama anavyosema muumba wetu wenye Qur'an. Isipokua mashetani ili kukuaminisha wamevumbua mbinu ya kusema nyota. Wanachofanya ni kuita mashetani ya kijini kupata habari zako au za mwwengine na kuiba kishetani kivuli chako.

Hapa kuna somo lingine la nini "kivuli" chako, hili atakuja kuliezea bingwa mwenyewe mkimuuliza.
Simba.
Kivuli kikiwa kimeibiwa na hayo mashetani njia gani unaweza tumia kukirudisha!. Je Kuna mtu anaweza kuwa amezaliwa na kivuli(nyota) chenye mikosi na mabalaa anaweza tumia njia gani kuondoa hio mikosi kama ndivyo.
 
Inatokea post namba 2026.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 5.

Kuingia tu kwenye ile nyumba nikakuta watu wawili, wachawi, wamezungukwa na majini kama 20, mmoja wao akiwa Jini2. Kakasirika huyo, Nonga kwa kufoka wala haonekani vizuri, miminikamtabua ni yeye. Ikawa hakuna kusalimiana wala nini,
Jini 2; Alhamdulillahi yupo salama bingti. Haya nuie mbwa, ytoeni uchagu wote kwa huyu binti nawapa dakika tano aonhgee na arfiudi hali yake ya zamani. Haraka sana.

Nyie mbwa wengine, mmeisafisha nyumba? Ole wenu niikute chafu. Yule jini wa kichawi tuliekuja nae akjibu tumeisafisha Mkuu, ipo safi kabisa.

Jini 2: Wewe mchawi mbwa, kwanini huyu mtoto haongei mpaka sasa hivi?

Mchawi, tulie kuja nae, alievuja damu za pua baada ya kulambwa kifi; Mimi kazi yangu nimeifanya yote, hio ya kumpa sauti yake, siifahamu.
Jini2; Halafu ndio unadanganya wapumbavu kua wewe mchawi mkubwa sana. Mbwa wee, mwenye kazi yake imeshapita dakika 1 bado 4 mgtauliwa wote kwa ajili ya mmoja wenu tu. Mnafikiri sisi hatuwezi kumpa kauli yake? wajinga wakubwa nyinyi. Mmoja katika wale wachawi akasema niruhusu miuu nimrudishie kauloi yake.
Jini2: nikuruhusu nini mbwa wewe, rudoisha kauli hyake sasa hivi, dakika mbili zimepita. Yule jini mchawi akasema, nisamehe mkuu akaongea maneno yepi sijui ya kijini na wenzake wakamtazama, mmoja akampa kama kibuyu kina maji ndani, akamrushia yiule binti kwa pale pale mbali, binti ikawa kama aliemwagiwa kitu cha baridi akasisimkwa mwili mnyoya ya mwilini yote yakamsimama akadondoka chini, akaanza kulia huku sauti inagtoka.
Jini2: hya Kina na Jini 3: Mchukueni huyu binyti mnajua cha kyufanya, lakini so mbele ya hawa mbwa. Simba wacha waendenae, hawaendi mbali lakini hatugtaki hawa mbwa waone, watanda na Jini 1. hawa wengine wogte haya twendeni, Nyie mbwa mlitayarisha gari kama tulivyiokubaliana?
Mchaqi mmoja akajibu, ndio inatusubiri sisi tu tukipoiga simu inakuja.
Jini 2: haya haraka twendeni nje wote, mwenye simu yake achukue, wewe mbewa igga simu hara sisi tunakuja. Lile kundi lote likatoka nje, mimi na Jini 2 tukaingia ndani ya ile nyumba, ku a chumba nikakuta Jini kama kafunikwa na shuka kama pazia hivi yupo upande wa pili wa pazia na yule binti anamuongesha, wanajua wenyewe kivipi.

Jini 2 akanambia Simba, kazi imefanikiwa sasa kuna mambo mawili, hii nyumb ya mama yake mkubwa huyu binti, wawache hawa wamalize watakua hapa. Akaongea kwa sauti na jIni 1, kila kitu salama sisi tunakwenda kumaliza kazi nyingine, kama alivyoagiza Arsis, asibake yake huyo binti, lazima akiwepo awepo mmoja wegtu m)mpaka tutapopata maagizo mengine,haya twendeni, Nikaona huyu ndio kiongozi wa hii kazi.Kutoka tu nje ya nyumba tukakuta ki hiace tukapanda wote kikaelekea shmba huko kunaitwa bububu, tukapapita. Kidogo kunatukaingia kwa ndani kushoto, hatukwenda hata dakika mbili tukaiona bahari na ka la ta bahari kuna kama kichaka kikubwa tu, kina mti mmoja mkubwa sikuujua mti gani, Gari ikasimama tukashguka dereva akataka kugeuza aondoke. Jini 3 Akasema huendi popote, nenda na wenzako chini ya mti ule, unagfikiri htukujui. Mbwa mkubwa we.

Kundi zima likaenda chini ya mti na dereva akaenda mbio mbio.

Kesi ikaanza.

Itaendelea
Simba.
 
Anatisha, mimi kishaniita simba ushuzi, mara mbili tatu, naogopa hata ku comment.

Naamini jina lake sio FaizaFoxy, ni ID tu aliojipachika JF, lakini imemkaa kwa ujeuri wake, kina Faiza wengi niliokutana nao au kuwasoma ni jeuri sana. Huyo sio fox ni 100% lioness wa mkuranga.
Simba.
Arsis Mimi nitakupa mitihani miwili, ukiyafanikisha basi wewe ni katika Wenye Kuadhimishwa.
Nataka uniletee vitabu viwili
1. Al Ghazaali (Sio Imam Al Gahazali).
2. Shams Al Maarif Al Kubraa.
Muulize huyo Arsis kuhusu khabari hizi, Kisha avilete hivi vitabu, nami nitakuja kuvichukua au kuviona ikishindikana.
Arsis
 
Kivuli kikiwa kimeibiwa na hayo mashetani njia gani unaweza tumia kukirudisha!. Je Kuna mtu anaweza kuwa amezaliwa na kivuli(nyota) chenye mikosi na mabalaa anaweza tumia njia gani kuondoa hio mikosi kama ndivyo.
Hakuna anaezaliwa na nuksi yoyote. isipokua tunaweza kupta hasad, kijicho, toka siku ya kwanza tu tunayozaliwa, Tunaweza kufanyiwa uchawi toka siku ya kuzalima. Tumboini kwa mama hakuna awezae kukuroga hata awe mchawi vipi. Hakuna uchawwi wa kukupata tumboini kwa mama toka siku mimba inatungwa mpka unazaliwa. Ukitoka duniani, ndio kuna mengi yanaweza kukupata. Lakini kwa tabu sana, bado unakua na ulinzi wa malaika mpaka unakua. Dua ni kitu muhimu sana na zinafanyakazi kiajabu sana kuliko tunavyofikiria. Hili ni somo la siku za usoni.
Simba.
 
Arsis Mimi nitakupa mitihani miwili, ukiyafanikisha basi wewe ni katika Wenye Kuadhimishwa.
Nataka uniletee vitabu viwili
1. Al Ghazaali (Sio Imam Al Gahazali).
2. Shams Al Maarif Al Kubraa.
Muulize huyo Arsis kuhusu khabari hizi, Kisha avilete hivi vitabu, nami nitakuja kuvichukua au kuviona ikishindikana.

Hicho Ghazaali ndio wanakiita tu hivyo lakini Imam Ghazali ana b)vitabu vingi na wapo wasomi wawili maarufu wote wanaitwa Ghazali, sasa kazi kwako.

Vipo kopi zake mtaa wa Aggrey sio mbali na msikiti wa Mtoro. Ni kopi zilizochapwa Pakistan. Hata kwenye mtandao humu ukizitafuta utazipata.
Simba.
 
Dogo

Malaika waliopew adhabu na kutupwa duniani baada ya kumwasi mwenyezi mungu walikuwa na tofauti gani na hao wengine...?
Kwa imani ya kiislamu hakuna malaika ambaye amewahi kumuasi mungu

Unajua imani ya kiislamu inakidhi au inakupa hoja ambayo hata akili inaafikiana nayo,,ebu jiulize kama wasaidizi wa mungu wanaasi je haki ya wanadamu iko wapi?

Mfano tutahesabiwa siku ya kiama kwa matendo yetu,na kila mwanadamu ana malaika wawili,wa kulia anaandoka mema yako na wa kushoto anaandika mabaya yako,hlf siku ya kiama yataangaliwa yapi mengi kati ya mema au maovu

Haya sasa unakuwa na viumbe wanao hasi,maana yake wanaweza wasiandike mazur yako au wakayapunguza ili mwisho wa siku uingie motoni,ebu pata hiyo picha

Je mungu hakuwaza yote hayo alipo kuwa anawaumba wasaidizi wake?
 
Mimi
bado hujaeleweka kuhusu huu mwenge wetu wewe umeelezea tu historia yake ila sisi tunataka kujua kuna siri gani iliyojificha kwenye mwenge huo na kwanini wanautembeza mwenge nchi nzima tendo hilo maana yake nini faida zake zipi na je,kama nchi ikiacha kuukimbiza huo mwingi kuna je,madhara yoyote kwa taifa letu na pia haiwezekani kuachana nao au ndo utaendelea kutembezwa tu milele.?
Nimeelewa ni ushetani tu. Hakuna ushetani wenye faida.

Ungekua na faida tusingekua tunahangaika hata maji ya kunywa mpaka leo, miaka zaidi ya 60 ya kuwa nao.

Ujinga tu wa kuabudu mizimu.
 
Arsis; Swali zuri sana.

Wanatumia bila kujijua, wamekua "brain washed" na hawaelewi tofauti, kwa sababu wanafata tafsiri. Hivi visa na mafundisho ya biblia yaliingizwa miaka mingi sana kwenye tafsiri za Wur'an sio Qur'an yenyewe. Ilianza baada ya kufa Mtume Muhammad.

Mtume, hakuitafsiri Qur'an, wanamzushia eti katafsiri. Mtume hakuna aya zaidi ya 10 au ishirini ndizo alielezea maana yake. Tafsiri zingine zote ni za kutunga au kugtokea biblia au fantasy za waandishi wa tafsiri, kama alfu lela u lela tu.

Mkiependa kujua zaidi kuhusu historia ya hadithi na kuna majina makubwa ya watu wa hadithi kwenye vitabu vyao wanakiri kuna visa wamevielezea kutokana na biblia, hii ni kwa kutokujua ubora na umuhimu wa Qur'an au kwa kudhani watu wataelewa zaidi wakifanya hivyo. Na wengine ni kwa makusudi kabisa ili wapotoshe ubora wa Qur'an.

Pia mkipenda kujua zaidi elimu ya Qur'an bila kutumia hadithi za kujitungia, ulizeni maswali kama hili, yenye nguvu. Kuna njia nyepesi za kila mmoja wetu kuweza kutambua hii hadithi ya kwe;i au sio hya kweli.

Kama mnakumbuka kuna mtu kaleya mstari juu huko, kaupamba kwa Kiarabu nikamuuliza aya ipi hii? Akajibu hadithi, nikamwabia hadithi ipi hio? Hajajibu tena, sasa ananisoma kwa kunusa nusa tu. Namwambia usofanye hivyo, sio elimu hio. Kama yalikua ni maneno ya mshairi sema tu ni mshairi, kama hujui yametoka wapi na uliyasikia tu, sema hayo nilisikia tu lakini sina elimu nayo yametoka wapi.

Tuytumie hili jukwa kujua mengi sana. Ya dini, ya sayansi, ya ulimwengu. Ya dhahiri na siri za kidunia. Tusowe na jazba kama hatujui kitu au tunas shaka nacho, sisi hatuwezi kujua kila kitu, isipokua tunasema umri huongeza maarifa na busra, nadio elimu yenyewe hio.

Hakuna zaidi ya Allah na mafundisho yake.
Arsis.
Wewe acha kupotosha watu hapa hata kidogo,unaposema Mtume hakutafsir qur'an una maanisha nini?

Qur'an ilishuka kidogo kwa mda wa miaka 23 kutokana na matukio kadha wa kadha,je Mtume alikuwa anatoa mawaidha kwa kutumia nini kama sio qur'an?

Tofautisha hadith na tafsir ya qur'an boss,kama ni hadith ndio kuna utata kwa baadhi ya wapokeaje

Hii ya kusema watu wametafsir qur'an kwa kutumia biblia umetoa wapi?

Wewe ni mweupe sana katika dini,usiwadanganye watu wasio na elimu hapa
 
Simba; Watu je? Walikuwepo au hawakuwepo? Namaanisha , mfano wewe ni Etugrul Bey, atakuwepo bin Etugrul Bey kabla yako? Lakini wakati huohuo wanaweza kuepo bin Simba kabla yako.

Naomba kuuliza swali, yeyote anaweza kulijibu; Hivi Adam toka uwepo wake kwa jinsi mnavyosoma mpaka leo imepita miaka mingapi?
Simba.
Nilishaweka wazi mjadala kuhusu adam nimeuacha huwa sipendi porojo
 
Mashimo ya mfalme Suleiman
Ni hadithi ya kubuniwa kama alivyosema muandishi kwenye utangulizi wa kitabu chake. Lakini imekuwa na matukio ambayo yameendelea kutukia katika Dunia hii kama alivyokili muandishi katika utangulizi huo.
Unalo lipi la kusema kuhusu mashimo ya mfalme Suleiman
Uhusiano wake na mlima Kilimanjaro
Chanzo Cha mto Nile na mambo ya mchawi gagula?

Arsis
 
Katika mambo ambayo huwa na kili jf nili poteza muda mrefu kutokumuelewa FaizaFoxy umeifanya shule yangu kuwa mahali pa kujifunza ujinga Kwa miaka mingi!!!

Yupo mtu humu ameeleza kuwa historia ya mwenge ni bagamoyo na kama Arsis amepinga Kwa kusema kuwa hata wakatoliki wanakimbiza mwenge. Binafsi amenipa kitu Cha kutafakari hususani kutokana na uhusiano wa kanisa katoloki na mwalimu Nyerere. Pia Arsis alieleza uhusiano wa mwenge na jamii za ziwa Victoria kwenye jibu lake la swali langu. Ila naomba nimpe kisa hiki atuhadithie kama ni Cha kweli ama Cha kupikwa. Forojo Ganze (Master), mchawi maarufu aliyeanzisha Mwenge wa Uhuru

Na je mwenge wa uhuru unauhusiano Gani na mambo ya Anasa yanayofanyika ukiwa ni pamoja na uzinzi na ulevi wa kutupwa?
Arsis

Mimi

Nimeelewa ni ushetani tu. Hakuna ushetani wenye faida.

Ungekua na faida tusingekua tunahangaika hata maji ya kunywa mpaka leo, miaka zaidi ya 60 ya kuwa nao.

Ujinga tu wa kuabudu mizimu.
l
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom