Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Elimu ni ya watu wote haina dini wala kabila, ukitaka kujua hata habari za Aborigines unaweza kuzijua wewe tu
Natambua hilo boss, ndio maana kuna mtazamo wa biblia na qur'an,,,je upo tayar kupokea mtazamo mwingine wa malaika?
 
Ngoja nikueleze kwa waislam nilichowahi kukisikia ni interesting story kama kuna makosa utarekebisha …” HAPO MWANZO Allah aliumba majini kwa moto kabla hajaumba wanadamu Haja majini yakaanza kufanya kufuru maana yalikua yanakatisha kwenye realm ambayo hawakuruhusiwa basi Mungu akaamuru malaika wakawaangamize wote , Malaika wakashuka na wakapigana vita , malaika mmoja alimuona mtoto jini badala ya kumuangamiza akaona huruma ikabidi ambebe aende naye mbinguni , Mtoto huyu akawa anaishi miongoni mwa malaika japo hakuwa malaika na alikua mtoa sifa haswaa kwa Mungu… stori ndefu lakini
Hii story yote ni feki kasoro kuna ishu moja inahusiana na majini kwenda kisikiliza habar za siri za mbinguni na kuja kiwaeleza washirika wao wa duniani,ndio wakaanza kupigwa na vimondo
 
Hii story yote ni feki kasoro kuna ishu moja inahusiana na majini kwenda kisikiliza habar za siri za mbinguni na kuja kiwaeleza washirika wao wa duniani,ndio wakaanza kupigwa na vimondo
Irekebishe kama huna muda weka kitabu
 
Ndio nakusikiza
Asante

Malaika ni viumbe ambao wapo tofauti kabisa na viumbe wengine,wao wameumbwa kwa nuru,hawana utashi wala matamanio,hawana jinsia na wapo kufanya majukumu wanayo pewa na Allah

Hawa hawakaidi maagizo ya Mola wao,ni watiifu sana na ndio maana wakawa wasaidizi wa Mungu

Kwahiyo hawamtii yoyote isipokuwa Mola wao

Mfano walipoambiwa wamsujudie adam wao fasta walitii kwakuwa hawana utashi wala majivuno,tofauti na iblisi ambaye ana utashi kama sisi

Nadhan kwa uchache inaeleweka

Labda kama kuna swali
 
Iblis alitokea wapi embu nipe historia yake unavyoamini
 
Dogo
Asante

Malaika ni viumbe ambao wapo tofauti kabisa na viumbe wengine,wao wameumbwa kwa nuru,hawana utashi wala matamanio,hawana jinsia na wapo kufanya majukumu wanayo pewa na Allah

Hawa hawakaidi maagizo ya Mola wao,ni watiifu sana na ndio maana wakawa wasaidizi wa Mungu

Kwahiyo hawamtii yoyote isipokuwa Mola wao

Mfano walipoambiwa wamsujudie adam wao fasta walitii kwakuwa hawana utashi wala majivuno,tofauti na iblisi ambaye ana utashi kama sisi

Nadhan kwa uchache inaeleweka

Labda kama kuna swali
Malaika waliopew adhabu na kutupwa duniani baada ya kumwasi mwenyezi mungu walikuwa na tofauti gani na hao wengine...?
 
Simba, Dr. Na mwenzake walikushawishi ukatembee ndani ikulu ila Arsis akakuita. Je ulishafanikiwa kuingia ikulu ndani kwenda kutembea bila kuonekana?
Sijawahi wala sitaki, nilivyoambiwa kuna wavchawi na wanga mule, yanini kwenda kunzisha vita?
Huna adabu ya mjadala. Huitambui heshima ya mabadirishano ya hoja.

Kwamba majini wana miili ya aina gani?

Maumbile ya mwanaAdamu yanatajwa ndani ya Quran hatua kwa hatua kuanzia akiwa maji maji mpaka kupatikana kwa mishipa na nyama.

Hayo ya majini yameelezwa wapi?
Ikiwa watu wanashindwa kueleea Hawa wamemtoa wapi wataliweza hilo?
Simba.
 
Sijawahi wala sitaki, nilivyoambiwa kuna wavchawi na wanga mule, yanini kwenda kunzisha vita?

Ikiwa watu wanashindwa kueleea Hawa wamemtoa wapi wataliweza hilo?
Simba.
Naomba unijibu lile swali langu la hali inayoendelea kunitokea pindi napoangalia muda nakuta saa na dakika zimefanana. Kwanini hicho kitu?
 
Asante

Malaika ni viumbe ambao wapo tofauti kabisa na viumbe wengine,wao wameumbwa kwa nuru,hawana utashi wala matamanio,hawana jinsia na wapo kufanya majukumu wanayo pewa na Allah

Hawa hawakaidi maagizo ya Mola wao,ni watiifu sana na ndio maana wakawa wasaidizi wa Mungu

Kwahiyo hawamtii yoyote isipokuwa Mola wao

Mfano walipoambiwa wamsujudie adam wao fasta walitii kwakuwa hawana utashi wala majivuno,tofauti na iblisi ambaye ana utashi kama sisi

Nadhan kwa uchache inaeleweka

Labda kama kuna swali
Sasa mbona inasemekana ibilisi kabla ya kuhasi alikuwa malaika.
Au yeye alikuwa malaika wa kipekee ambaye alikuwa na utashi tangu mwanzo??
Na vp kuhusu malaika ambao waliungana na ibilisi kwa ajili ya kuhasi
 
Asante

Malaika ni viumbe ambao wapo tofauti kabisa na viumbe wengine,wao wameumbwa kwa nuru,hawana utashi wala matamanio,hawana jinsia na wapo kufanya majukumu wanayo pewa na Allah

Hawa hawakaidi maagizo ya Mola wao,ni watiifu sana na ndio maana wakawa wasaidizi wa Mungu

Kwahiyo hawamtii yoyote isipokuwa Mola wao

Mfano walipoambiwa wamsujudie adam wao fasta walitii kwakuwa hawana utashi wala majivuno,tofauti na iblisi ambaye ana utashi kama sisi

Nadhan kwa uchache inaeleweka

Labda kama kuna swali
Simba; Hilo la Adam na malaika na kusujudu ni somo lingine zaidi ya ulivyolielewa. Anza kuisoma hio mistari aya ya 26.
Simba.
 
Jitahidi hivyo hivyo andika kidogo kidogo.
Kwani kupitia kisa chako tunaweza jifunza lakini pia unaweza pata majibu ya maswali yakounayojiuliza lakini pia tutaweza jua njia gani utumie.
Kupitia kisa chako watu wanaweza figure out Ni aina gani ya uchawi umepigwa, ni njia gani zimetumika kukufanyia uchawi, kama ni ishu ya majini pia tutaweza jua ni jinn aina gani.
Wewe kwa sasa anza kuchukua hatua hizo nilizokuambia tambua kuwa uchawi ni kitu hatari lakini ni kitu dhaifu sana, udhaifu wa uchawi ni kuwa unaweza kubatilika yaani uchawi unaweza kuondolewa kama umekupata, Kitendo cha uchawi kuweza kubatilika hii ni dalili kuwa hatutakiwi kuuogopa bali tupambane nao kwa misaada wa Mola wetu.
Nitakapo kuwa na utulivu nita Shea mkuu. nimambo yalionza nkiwa na miaka 6 nilikua shule sina hili wala lile, nikaitwa na mwalimu na mbele yungu, wamesimama mashuda kama 4 hivi. mwalimu akawauliza mmemuona huyu kweli akila kimasihara, wakasema ndio tumee koona pale. allow niltembezewa kipondo cha kibabe kiukweli hilo eneo sikufika sikuhiyo sijui nnini waliona, nijitetea sana na lisichana lenyewe linalia tu, nivile sijakutana naye katika umri huu wa utu uzima nitamuliza ulikua una dinyana na nani isijekua nina kopy yangu.
 
Asante kwa ushauri, ningekua ni mwandishi mzuri ninge andika, ni bonge la mkasa
Andika ka ujavyo, mimi pia sio mwandishi, tena niliandika kuona nakosea swa sana, nikawa nimenza kuandika kwanza , kusahihisha kisha ni post. Arfsis, akanambiausifanye hivyo, andika fanya marekebisho huku unaandika utazowea kuando-ika bila makosa. Ukifanha makosa kama mtu anataka kukusoma na kukuelewa atakuelewa tu.

Najiona nime improve. sasa napitia kila post ninapopata muda nafanya marekebisho.
Simba.
 
Totoe ishu ya kiumbe cha ajabu. Sisi tupo ulimwengu unaoonekana kwa macho ya nyama na wao wapo kwenye ulimwengu usioonekana kwa macho ya nyama. Kwanini kila mmoja asikae kwake bil kuwa na muingiliano? Sisi hatuwahitaji na wao hawatuhitaji ndiyo maana Muumba akatuweka ulimwengu tofauti. Sasa huu mwingiliano ni wanin? Samahani kama maswali yanaboa
Ni wachache sana wenye muingiliano ndio nawaletea msio na muingilliano muelewe.

Kuna mengi yana muingiliano lakini hamuyaoni. Nisome vizuri utaelewa.
Simba.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom