- Thread starter
- #2,061
Simba; Kweli kabisa, umeleta aya za Qur'an lakini akuna hata moja katika nilzoziona inaonesha kua adam ni mtu wa kwanza kuumbwa.Wewe una porojo sana boss,aya tumekuletea za qur'an lkn naona sasa tunafanyana watoto wakati sisi ni watu wazima
Tumekuletea za biblia bado unaleta porojo,sasa unataka kuhamishia mambo kwa hawa,ebu acha porojo na utoto,kwa umri wako huo wa miaka 5000 bado unakuwa kama jini mwenye miaka 100
Pili waislamu tunaamini vitabu vyote na mitume wote,kwahiyo hakuna ubaya baadhi ya mambo kuyachek katika biblia,ingawa tunajua kuna mambo mengi yamechezewa katika hiko kitabu
Kwahiyo bakia kwenye hoja na usianze kuleta maneno ambayo sio hoja iliyopo mezani hapa
Binafsi hii ishu naachana nayo kwakuwa naona tunapotezeana mda tu hapa
Tutajadiliana mambo mengine lkn si ishu ya adam tena
Asante
Weka ya moja moja unazoziongelea tufundisha kwa pamoja kidpgo kidogo, kwanu tuna haraka na elimu? usirundike rundo la aya, tunayo misahafu.
Simba.