Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Niliyoyashuhudia nilipofunguliwa macho

Inatokea post namba 1739.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 2 .

Tukaanza kuondoka, yule kijana akasema.
; Simba; wewe ndio kiongozi wetu kwenye masafara wote huu mpaka tumalize kazi.
Jini 3; Simba hata mimi nina uzoefu mkubwa sana lakini wewe ndio kiongozi wangu, usisite kunituma au kuniambia chochote kuania leo, na siku yoyote ile.
Mimi: Sifahamu lolote juhusu kazi zenu, mimi huwa mtazamaji tu, kwa hio msitegemee chochote kutoka kwangu.
Jini 3; Subiri nikufahamishe vitu fulani kwa kina.
Kijana; Simba kama kuna sehemu tunaweza kukaa tukapata juisi twende, tukae huku tunaongea.
Mimi: Tena haipoo mbali, ni vizuri umesema, mimi nasikia njaa.
Kijan: naomba twendeni hapo, au unasemaje?
Mimi: Sawa.

Nikaenda nao mpaka uwanja wa posta ndogo ya zamani pale ilikua stendi ya mabasi ya Arusha, mtaa wa Morogoro Road na Libya. Ule uwnja usiku wanauza kuku, chpss na vyakula vya kihindi na juice kila aina.

Tuweka gari tukaenda kukaa meza hya pembeni kidogo, kukaa tu kaja, mhudumu wa kiume; Nikaagiza kuku wa kuchoma wa masala na chips. na juisi ya kungu, Yule kijana na yeye akssema na mimi hivyo hivyo. Jini akakataa kuagiza chochhote, akasema yeye yupo vizuri. Alipoondoka mhudumu...

Mimi : Wewe mbina huongei Kiswahili vizuri, sio Mtanzania?
Kijana: Mimi sio Mtanzania, mimi ni mgeni.
Mimi: Umejuaje Kiswahili.
Kijana ndio najifundisha lakini sio kigumu, badoo matamshi tu yananipa shida, lakini nakijua chote.
Mimi; Na wewe ? Nikamuuliza yule jini.
Jini 3: Mimi naongea kiswahili alinifundisha Arsis alipotoka kifungoni. Mimi nafahamiana na Arsis kabla haajafungwa.
Mimi: Wewe si mpiganaji, kwanini haujamtoa?
Jini 3 Kifungo cha majini ni tofauti na kifungo cha kibinadam, si umesikia alifungwa kwenye chupa?
Mimi Ndio, hi;lo najua.
Jini 3: Tungeweza kumtoa kwa vita lakini ile via ingekuwepo mpaka leo na ingeendelea kwa miaka mingi sana. Tukawa tunfanya diplomasi atoke ikawa inashindikana kwa sababu aliamua amfunge aikua hataki atolewe na yeye ni mzee sana na anaheshima kubwa sana. lakini alikufa wwiki baafda ya kutolewa Arsis. Ulisikia?
Mimi: Sijasikia, nani anambie?
Jini 3; Arsis , kama hajakuelezaa ana sababu zake nzuri, lakini kuna siku atakueleza vizuri. Kufa kwake yule ndio salama ya Arsis kutofatwa sana kwa sababu hukumu yake imekwisha, majini hawarithiwaliokua nnje ya himaya yao. Lakini angekua bado yupo kwenye chupa, aliemrithi kiti yule mzee angmrithi na Arsis, angekua ndani mpaka leo.
Mimi; Amekufa kwa sababu zipi?
Jini 3; Amekufa kwa siku zake, kufika na alikua mzee sana. Hajawahi hata kuongelea habari za kutolewa Arsis, alikua hawezi kuongea. Ndio maana Arsis smekupa hio pete wewe. Kwa furaha yake.
Mimi; Kwanini hajampa babu yangu aliemuokoa?
Jini3; Babu yako ndio alitaka upewe uwewe. Ndio ukaletewa pale pangoni ulipofika, lakini aliamua siku nyoimgi upewe wewe sio yeye. Hio pete ndio inakufanya wewe kua mkubwa wetu kwa daraja sio kwa uzoefu. Uzoefu hata kama hauna, sisi hatuwezi kukuacha ukafanya maamuzi sio sawa, ni lazima tukuelekeze.
Mimi; Huyu anasema yeye binadam?
Jini3; Ndio,, huyu bndam, sema anajua mengi sana, kajifunza mengi na yupo tayari kukufundisha wewe kila kitu anachokijua. Yupo chini ya amri yako wakati wowote.Labda uwe hauna hi pete.
Mimi: kwa hio mimi naeza kuwaita nyinyi moja kwa moja?
Jini3: Unaweza ukitaka lakini hakuna sababu ya kutuita sisi, una watumishi wako wawili, wale ndio wakuwaita na wale wakishindwa kazi yoyote au wanajua hii kazi ya fulani wantuita sisi au wengine wanaifanya.
Mimi; Eapo wengine?
Jini 3 Wapo lakini wale tofauti na sisi, hawana mamlaka yoyote na hawatuhusiwi kuja uwaone, hata leoi walikuwepo wengi sana pale tulipokutana, wengine waalikua hawajawahi kukuona leo ndio mara ya kwanza.
Mimi: Nikitaka kuwaona nafanya nini?
Jini 3; Ongea na Arsis atakuonesha wote, hawezi kukukatalia hata dakika moja, sisi hatuwezi kukuonesha. Hatuna amri hio.
Mimi: Tunafanya nini kesho>
Kijana: Kesho hatuna kazi kubwa, kazi ni kuwasubiri wale waje kumchukua binti, ni lazima wamchukue wao, wamgtoe uchawi mbele yetu, waadhibiwe halafu tumemaliza kazi.
Mimi: Watakuja kumchukua wapoi?
Kijana: Pale pale kwao wlipomficha.
Mimi: Kwanini waje kumchukua halafu wawape nyinyi?

Itaendelea.
Simba.
 
Ilikuwa ni siku chache kabla sijatimiza miaka 18. Nilipelekwa Tanga, kijiji kimoja kipo karibu sana na mpaka wa kwenda Kenya. Kabla ya kuingia huko kijijini ndani kuna ki mji kinaitwa Duga. Ilikua sio mara yangu ya kwanza kupelekwa huko kwa mambo ya kimila na jadi.

Lakini hii ya safari hii ilikua kidogo yakutisha. Kijiji chenyewe kipo ufukweni kabisa na kina mito miwili inapita, mmoja Kaskazini mashariki ya kijiji, huu mkubwa kiasi na mmoja mdogo unapita kusinii ya kijiji. Kwa hio kijiji ni kama kimezungukwa na maji, maana mashariki yake ni bahari ya hindi, Kaskazini mto na kusini mto. Magharibi tu ndio kuna njia ya kwenda mpaka barabara kubwa ya lami, ambayo ipo kama kilomita 3 au 4 kutokea hapo kijijini.

Safari hii ilikua ni nzito kidogo kwa sababu niliambiwa unaweza kukaa kijijini huko wiki moja au mbili, itategemea na "babu" huko ataamua kama mambo yako tayari au bado.

Nilifatana na Baba na Mama yangu kwenye gari la nyumbani mpaka hapo barabara kuu kutokea Tanga, hapo nikakuta vijana wawili wakubwa kwangu, wananingoja na baiskeli mbili, moja ya kunipakia mimi na moja ya kupakia mizigo yangu.

Mizigo yangu kweli ilikua mingi, yangu binafsi lilikua ni begi kubwa na racksack ya mgongoni, lakini kuna maboksi kama matatu makubwa yalikua ya mama akanambia haya yote mkabidhi babu yako mkifika.

Basi tukaagana pale, wao wakanambia ukimaliza kazi yako watakuleta hapa barabarani utapanda gari za kuja Tanga, sisi utatukuta Tanga, tutakuja baada ya wiki mbili, kama utakua umemaliza kabla ya wiki mbili ukifika Tanga tusubiri. Wakaondoka zao, na mimi nikapakiwa kwenye baiskeli kama abiria, na nyingine ikafungashwa ile mizigo yetu yote, ikatangulia.

Hatukuchukua muda sana, tukafika kijijini, moja kwa moja mpaka kwa babu yangu. Babu yangu tunajuana sana, na alikua ni sahiba yangu sana, ni mtu ma story ya kizamani na mimi nilikua mdadisi sana. uzuri wa babu alikua hakwepi swali lolote utalomuuliza na alikua hamumunyi maneno, anakujibu mpaka likuingie. Nilikua namshangaa sana, kwani hakuna swali lilililokua gumu kwake.

Hata niwe na swali, mwenyewe naliona gumu kweli, nikimuuliza babu ananijibu huku ananisifia "swali zuri sana hilo", ananijibu kiurahisi kabisa, mengine huwa anachukua muda kuyajibu, mtindo wake wa kuibu ulikua kama anakusimulia hadithi, anaweza akatoka kabisa nje ya swali ulilomuuliza lakini atakuhadithia mpaka utalipata jibu. Mara nyingi akikujibu basi lazima utakua na maswali mengine mawili matatu ya kuuliza. Kwa ufupi alikua anaelewa kufungua "kichwa" kwa mujibu baba yangu.

Tutaendelea baadae.
acha uongo mimi wazee wangu wameishi hayo maeneo nina uenyeji kidogo

duga haipo baharini wala karibu na bahari kwa hizo km ulizotaja, bahari ipo Moa na Vuo, ambapo ni mwanzoni kadri unavyokwenda duka unaiacha bahari,

ushahidi wa ramani
Screenshot 2024-08-29 033637.png

na kama unasema duga ya Tanga ambayo sio njia ya mombasa bali njia ya pangani ipo katikati ya jiji la Tanga nayo pia haina hizo features ulizotaja.

rudi hapa utuambie ni duga ipi ina mito miwili na bahari.
 
acha uongo mimi wazee wangu wameishi hayo maeneo nina uenyeji kidogo

duga haipo baharini wala karibu na bahari kwa hizo km ulizotaja, bahari ipo Moa na Vuo, ambapo ni mwanzoni kadri unavyokwenda duka unaiacha bahari,

ushahidi wa ramani
View attachment 3081743

na kama unasema duga ya Tanga ambayo sio njia ya mombasa bali njia ya pangani ipo katikati ya jiji la Tanga nayo pia haina hizo features ulizotaja.
rudi hapa utuambie ni duga ipi ina mito miwili na bahari.
Hodari sana wewe, umekwenda mpaka kutafuta ramani, kumbe hujausoma uzi vizuri?
Kasome uzi vizuri. Toka lini Duga maforoni ikawa tanga mjini?Au hujaisoma juu huko?
Mpaka mahandakini nimepaongelea juu huko.
Mpaka magendo za kutokea Kenya na mpaka na unavyokwepwa nimeuongelea juu huko.
Kuna mpaka wa Kenya Duga ya njia ya kwenda Pangani?

Uliza kingine.

Kuna duga mbili zote nimeziongelea kwenye comment na zote nimefika, naomba utuambie ni duga ipi hio uliokwenda kuna Bahari? Swali rahisi kabisa,
 
Simba; Unaonesha ni mvivu wa kusoma uzi au unakurupuka.

Kasome post namba 393 na 1103 na 1104 halafu zinukuu hizo kama una swali la jiografia.

Utakuta majibu. Sina sababu ya kuandika upya.
Simba.
 
Inaonekana anajua vitu vingi sana.
Usisahau kuteta habari zake nitakuwa nakukumbusha pia.
Kwa ninavyofahamu mimi kitabu hiki kiliandikwa na Ahmad Al Buni alipokuwa anaishi Algeria na kilipigwa chapa yake huko Beirut mamlaka ya saudia Arabia ilikifungia kitabu hiki kisifundishwe kwani kinafundisha mambo ya uchawi na jinsi ya ku summon majini kitu ambacho ni kufru katika uislamu.
Ila natamani kujua Arsis ana mtazamo gani katika kitabu hiki
Simba: Sikumbuki hili nililijibu au bado. Msimamo wa Arsis ni...

Arsis: Al Buni ame kopi hio elimu ya majini lakini hajakopi kamili. Kuna kingine ambacho ukikipagta cha Imam Ghazali, cha zamani chenye cover ya ngozi nakimendikwa kwa mkono. Hicho nCHO ALIKOPI kwa majini lakini alifanya kzi nzuri zaidi.

Wapo watu wanavyo lakini mpaka uapishwe ndio upewe kukisoma na kukiwacha hapo hapo kwao au ukirithi. Tena kwa kukabishiwa kabla unaemrithi hajafa. hapo naongelea kopi zilizondikwa kwa mkono na vina kava la ngozi.
Ka sasa zipo kopi nyingi hayta kwenye mtandao lakini vimechezewachezewa mpaka vinakua habina nguvu kama vile vya ngozi.

Vile vya ngozi amabzo noi kopi kidogo sana vina walinzi wa kijini wakati wote. Unaweza usiowaone kama (huna macho). Arsis aliwahi kunionesha kmoja kam screen inakuja kwenye hewa tu. Arsis kisha nionesh mambo mengi namna hio. Mwenyewe ansema ni "virtual reality" teknolojia ya zamani sana.

Ukiwa na swali lingine lolote kuhusu hivyo vitabu uliza tu.

Kuna kitabu kingine alinionesha kina zaidi ya kilo 40 kimefichwa na walinzi wake lakini wenye uwezo wao wanaingia kukisoma. Hicho kimeandikwa maandishi ya kimisri cha zamani (hyroglyphics) kwenye albardiyu (papyrus) lugha ambayo ni nyepesi sana kujifunza, kama codes fulani tu hivi.

Kumbuka kuwa hakuna kitabu bora zaidi ya Qur'an.
Simba.
 
Embu endelea na story na visa vya arsis mkishajua Adam hakua binadamu wa kwanza au alikua inabidilisha nini kwenye maisha yenu..?!
Simba; Unauliza elimu inabadilisha nini kwenye maisha yetu? Pole sana ndugu yangu.

Point siyo hio, point ilikua kuelimishana na Waislam waache kubishana kwa kutumia biblia. Waelimishe kwa kitabu chao ambacho ni Qur'an. Ndio niwafahamisha wamefikia kuitafsiri Qur'an kwa kutumia visa vya kwenye biblia.

Katika kupeana nasaha elimu bora, sio bora elimu. Umeelewa?

Arsis ana njia za kipekee za kufundisha. Ni mtata sana.

Mkasa wa Unguja unakuja. Baada ya sala ya alfajiri.
Simba.
 
Inatokea post namba 2012.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 3.

Kijana: Ukiza kwanini watupe sisi, si nyinyi? Tuko pamoja.
Mimi: poa. kwanini watupe sisi?

Kijana: kwa sababu tayari wapo kwenye himaya yetu, isipokua kuna vitu ambavyo inabidi tuone wamevificha wapi pale kwa kina binti, hata wao hawawezi kumtoa bila kuvitoa kwanza. Pia kuna mkubwa wao alijificha alikua haonekani, lakini kishaonekana. Tulitaka tuwatumie hao wenzake kama chambo ili tumnase. Kishanaswa huko yuko chini yetu hivi sasa,

Mimi; Dah, kazi kubwa sana.
Jini 3; Moja katika kazi za hatari ni za hawa majini wa kichawi wanaopoteza watu, hawa ni zaidi ya majambazi, wakiwa kazini, wakikuona ni lazima wakuue usitoe siri zao. Maana unaweza kukuta ni jirani yako wa kila siku, ni msalihina mwenzako msikitini ni muumini mwenzako kanisani. Ni hatari sana,

Mimi; Jamnai mimi inabidi nikampumzike, kuna mengi ya kuwauliza lakini muda haunirihusu. Tunakwenda vipi na saa ngapi?
Kijana; isizidi 12 asubuhi tu2e tumeshaondoka. Sema wewe kiongozi twende vipi?
Mimi; Boti ya saa 12 asubuhi, saa mbili tuko kule.
Kijana: sawa kiongozi, sisi sasa tunaagana hapahapa, wewe nenda tu nyumbani, sisi tutalipa tutakutana kwenye boti.
Mimi; Vizuri, kwahetini.

Nikaondoka zangu, kufika nyumbani nikakoga, nikajisikia fresh, nikasema ngoja nimuite Jini 1 , yule atafunguka zaidi. Nikamwita hakucheleawa akaja. Tukasalimiana.
Mimi: Nataka kujua mengi kuhusu Unguja.
Jini 1; Uliza tu.
Mimi: nambie ilikuaje hasa mpaka binti achukuliwe maana kile kisa cha yule kija wa Mwanza ilikua utajiri wa kichawi.
Jini 1: Hiki ni toifauti kabisa lakini uchawi pia.
Mimi: Nielezee.

Jini 1; Yule binti ni kigori lakini si muda mrefu anavunja ungo, wachawi wanatafuta sana hao ili wafanyie uchawi wa mvuto wa mabosi kazini au biashara za starehe kama wana muziki, wacheza sinema wanawasaka sana hao wchawi na wao wanaelewa nini kinaendelea. Ni mashetani sana hao, ukisikia wanauza roho zao kwa shetani, ni msemo tu, maana yake wao meshakua mashetani wakubwa.

Mimi: Wanawafanya nini?
Jini 1; kama huyu binti wenyewe wanaamini wamelamba dume su bingo. Kwa sababu wao hua wanachukua hata wadogo wanawalea mpaka wafikishe umri wa huyu kabla ya kuvunja ungo, inakua gharama na kazi kubwa kwao, lakini wakimpta kama huyu, wanachunguza hajachezewa na mtu, wakijua hajachezewa, watamuandama huyo. Aliocheewa hawamtaki hata burem, hana kazi kwao labda wanywe damu na aliwe nyama tu.

Mimi: Dah, hatari, inakuaje?

Jini 1: Subiri si umetaka kujua? Huyu angechukuliwa ili asitafutwe njia moja ni hio ya kugfanya mazingaombwe kama kafa, lakini ni mzima, na huyu, haumizwi wala hfanywi msukule au kuzugwa akili mpaka kazi yake iishe, kwa huyu si muda mrefu, dalili zote za kuvunja ungo hivi karibuni anazo. Inaonesha kunamtu wa karibu yake sana, sikwambii, utajionea mwenyewe huko. ndio alikua anamlinda na asifanye au kufanyiwa upuuzi na anayoa ha ari huko, kua sasa tayari jamani. Ndio kazi ikafanyika. Mazingaombwe ya kichawi tu, hgomba la mdizi linaonekana ndio yeye, kumbe yeye yupoi yuma ya mlabngo au nyuma ya kabati, kama chumba kina kabati, anaona kila kitu, sema kusema hawezi, kwenda pale hawezi, anakua kawekea jini kubwa kichawi limnamzuia kufanya chochote, sema halimuumizi, anasikia na anaona na viungo vyote vinafanya kazi.

Wakienda kuzika tu lile gomba...

Mimi; ngija nikuulize, nani anaoshwa pale kama maiti, lile gomba?
Jini1; Kuna njia mbili kuu, moja ni kuwekewa maiti nyingine kwa sura na umbo ;la huyu kimazingaombwe. Ya pili ni hii hya gomba. Hizo niia sio kila mchawi anaijua, kama hawana huyo mtaalamu karibu na siku imefika, basi analetwa siku mbili tatu kabla kutoka kwengine kokote, kama ni Unhguja huyo anaweza kutoka bara huku au Kenya au Pemba, yaani wenyewe wanajua na inategemea malipo ya huyo mtaalamu, wakikubaliana anakuja anfanya shughuli zake wakishazika lazima awepo. Siku zingine anazikwa huyo huyo anaetolewa halafu anafukuliwa kichawi kabla hajafa kweli.

Huyu binti ilikua ni gomba, hata lililozikwa leo ni gomba lakini hivi usiku huu ishafukuliwa, kuna vitu lazima wavitoe pale kumnusuru huyo binti.mambo ya kichawi kichawi, maana linapozikwa lile gomba linaweza kuzikwa na kivuli cha huyo binti, wakikiacha anawez kuahribika huytu mwenyewe, ndio maana mtaalamu yule inabidi amfukue wachukue kama kivuli kitrudishe kea mwenyewe ili awe na ythamani kubwa lisiwe ndindocha.
Bhari timu yetu iliokwenda huko imemdhibiti huyo mchawi na majini yake, kivuli kishariudishwa gomba lishatolewa kabisa kaburini, hata kaburi likifukuliwa sasa hivi hakuna chochote mule ndani.
Kisa cha huyu binti alkua anatakiwa anatakiwa na bisi mmoja kazini kwa mambo matatu au manne. Moja hilo la mvuto, pili boss ni mchawi pia kwenye hilo kundi anadaiwa damu na nyama. Hio kazi ilikua hafanyiwi bika kulipa deni, bassi kama wiki mbili nyuma kamtia mwanae mmoja kulipa deni, ilikua ikiisha kazi awaoe mwengine yeyote mkubwa au mdogo, yeye ana pesa huwa ananunua wengine wanagtolewa kafara, sasa ikawa hakuna na akidhelea binti aksha vunjo ungo na ile kazi haijafanyika itabidi kwa mvuto atafutwe mwengine.

Mimi; Mambi ya kichawi ni mazito sana.
Jini 1; Umechoka, lala wewe, kesho tumaliza ni marefu, bado hiujasikia kitu. Utayaona mengi, ndio maana hizi kazi unatakiwa uwepo, wewe unatisha hujijui tu.
Mimi: natisha nini?
Jini 1: haoi simba tu wa kwenu huko wanavyikulinda, wakijionesha kwa mchawi, lazima ageuze njia.
Mimi: Hivi hua wanaonekana, mbona mimi siwaoni?
Jini 1; Ukitaka kuwaona mwambie Arsis, yeye yule hata ukitaka kuona nini utakiona ana elimu kubwa sana, tena sana. babu yako alifanya kazi kubwa kung'oa yule, angejya hajui kusioma Qur'an mfululizo yule Arsis asingeng'oka kwenye chupa. Hajakwambia?
Mimi: Mwenye we hua anamsifu tu babu lakini hanielezi kwa kina.
Jini1: Hapendi kabisa kuongelea kifungo chake. Lakini wewe ukimuuliza atakuelea, sisi wengine tunakisia kisia tu. Bakot(ra anajua kila kitu, tena usiiache bakora kwenye hii kazi, Kuna wagtu na majini wakiiona tu mwamba ni wewe? Unajuwa pemba huko wanamichezo ya kuchapana bakora?
Mimi: Nimesikia tu.
HJini 1: siku hio ikifika nenda kiwanjani wanapochapana na bakora yako halafu wakuone kama watakuruhusu, utakipwa unachotaka usiingie. Nani atashing)da hio bakora inachapa yenyewe hukioni kilioiobeba kinachoxhapa. Hio hata Arsius anaiheshimu, tena usijarinu hata siku mmoja kumchapia mtu hio, wewe unawea kusema kidogo tu, kumbe unaumiza sana.
Mimi: wacha nipumzike.

Tukaagana pale, nikawa na mawazo zaidi, nikajuta kumuita. lakini hata sijui nimelala saa ngapoi, oka kustuka natazama saa kumina moija kasorobi, nikakoga mbio mbio, nikavaa nikabeba kibegi changu kidogo na bakora yangu, niaksema kahawa kwenye boti nasikia ipo.

Itaendelea.
Simba.
 
Inatokea post namba 2012.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 3.

Kijana: Ukiza kwanini watupe sisi, si nyinyi? Tuko pamoja.
Mimi: poa. kwanini watupe sisi?

Kijana: kwa sababu tayri wapo kwenye himaya yetu, isipokua kuna vitu ambavyo inabidi tuone wamevificha wapi pale kwa kina binti, hata wao hawawezi kumtoa bila kuvitoa kwanza. Pia kuna mkubwa wao alijificha alikua haonekani, lakini kishaonekana. Tulitaka tuwatumie hao wenzake kama chambo ili tumnase yeye. Kisha naswa huko hyuko chini yetu hivi sasa,

Mimi; Dah, kazi kubwa sana.
Jini 3; Moja katika za hatari ni za hawa majini wa lichawi wanaopoteza watu, hawa ni zaidi ya majambazi, wakiwa kazini, wakikuona ni lazima wakuue usitoe siri zao. Maana unawekukuta ni jirani yako wa kila siku, ni msalihina mwenzaki msikitini. Nihatari sana,

Mimi; Jamni mimi inabidi nikampumzike, kunamengi ya kuwauliza lakini muda haunirihusu. Tunakwenda vipi na saa ngapi?
Kijanisizidi 12 asubuhi tue tumeshaondoka. Sema wewe kiongozi twende vipi?
Mimi; Boti ya saa 212 asubuhi, saa mbili tuko kule.
Kijana: sawa kiomhgozi, sisi sasa tunaagana hapahapa, wewe nenda tu nyumbani, sisi tutalipa tutakutana kwenye boti.
Mimi; Vizuri, kwahetini.

Nikaondoka zangu, kufika nyumbani nikakoga, nikajisikia fresh, nikasema ngoja nimuite Jiniqw yule atafunguka zaidi. Nikamwita hakuchelea akaja. Tukasalimiana.
Mimi: Nataka kujua mengi kuhusu Unguja.
Jini 1; Uliza tu.
Mimi: nambie ilikuaje hasa mpaka binti achukuliwe maana kile kisa cha yule kija wa Mwanza ilikua utajiri wa kichawi.
Jini 1: Hiki ni toifauti kabisa lakini uchawi pia.
Mimi: Nielezee.

Jini 1; Yule binti ni kigori lakini si muda mrefu anavunja ungo, wachawi wanatafuta sana hao ili wafanyie uchawi wa mvuto wa mabosi kazini au biashara za starehe kama wana muziki, wacheza sinema wanawasaka sana hao wchawi na wao wanaelewa nini kinaendelea. Ni mashetani sana hao, ukisikia wanauza roho zao kwa shetani, ni msemo tu, maana yake wao meshakua mashetani wakubwa.

Mimi: Wanawafanya nini?
Jini 1; kama huyu binti wenyewe wanaamini wamelamba dume su bingo. Kwa sababu wao hua wanachukua hata wadogo wanawalea mpaka wafikishe umri wa huyu kabla ya kuvunja ungo, inakua gharama na kazi kubwa kwao, lakini wakimpta kama huyu, wanachunguza hajachezewa na mtu, wakijua hajachezewa, watamuandama huyo. Aliocheewa hawamtaki hata burem, hana kazi kwao labda wanywe damu na aliwe nyama tu.

Mimi: Dah, hatari, inakuaje?

Jini 1: Subiri si umetaka kujua? Huyu angechukuliwa ili asitafutwe njia moja ni hio ya kugfanya mazingaombwe kama kafa, lakini ni mzima, na huyu, haumizwi wala hfanywi msukule au kuzugwa akili mpaka kazi yake iishe, kwa huyu si muda mrefu, dalili zote za kuvunja ungo hivi karibuni anazo. Inaonesha kunamtu wa karibu yake sana, sikwambii, utajionea mwenyewe huko. ndio alikua anamlinda na asifanye au kufanyiwa upuuzi na anayoa ha ari huko, kua sasa tayari jamani. Ndio kazi ikafanyika. Mazingaombwe ya kichawi tu, hgomba la mdizi linaonekana ndio yeye, kumbe yeye yupoi yuma ya mlabngo au nyuma ya kabati, kama chumba kina kabati, anaona kila kitu, sema kusema hawezi, kwenda pale hawezi, anakua kawekea jini kubwa kichawi limnamzuia kufanya chochote, sema halimuumizi, anasikia na anaona na viungo vyote vinafanya kazi.

Wakienda kuzika tu lile gomba...

Mimi; ngija nikuulize, nani anaoshwa pale kama maiti, lile gomba?
Jini1; Kuna njia mbili kuu, moja ni kuwekewa maiti nyingine kwa sura na umbo ;la huyu kimazingaombwe. Ya pili ni hii hya gomba. Hizo niia sio kila mchawi anaijua, kama hawana huyo mtaalamu karibu na siku imefika, basi analetwa siku mbili tatu kabla kutoka kwengine kokote, kama ni Unhguja huyo anaweza kutoka bara huku au Kenya au Pemba, yaani wenyewe wanajua na inategemea malipo ya huyo mtaalamu, wakikubaliana anakuja anfanya shughuli zake wakishazika lazima awepo. Siku zingine anazikwa huyo huyo anaetolewa halafu anafukuliwa kichawi kabla hajafa kweli.

Huyu binti ilikua ni gomba, hata lililozikwa leo ni gomba lakini hivi usiku huu ishafukuliwa, kuna vitu lazima wavitoe pale kumnusuru huyo binti.mambo ya kichawi kichawi, maana linapozikwa lile gomba linaweza kuzikwa na kivuli cha huyo binti, wakikiacha anawez kuahribika huytu mwenyewe, ndio maana mtaalamu yule inabidi amfukue wachukue kama kivuli kitrudishe kea mwenyewe ili awe na ythamani kubwa lisiwe ndindocha.
Bhari timu yetu iliokwenda huko imemdhibiti huyo mchawi na majini yake, kivuli kishariudishwa gomba lishatolewa kabisa kaburini, hata kaburi likifukuliwa sasa hivi hakuna chochote mule ndani.
Kisa cha huyu binti alkua anatakiwa anatakiwa na bisi mmoja kazini kwa mambo matatu au manne. Moja hilo la mvuto, pili boss ni mchawi pia kwenye hilo kundi anadaiwa damu na nyama. Hio kazi ilikua hafanyiwi bika kulipa deni, bassi kama wiki mbili nyuma kamtia mwanae mmoja kulipa deni, ilikua ikiisha kazi awaoe mwengine yeyote mkubwa au mdogo, yeye ana pesa huwa ananunua wengine wanagtolewa kafara, sasa ikawa hakuna na akidhelea binti aksha vunjo ungo na ile kazi haijafanyika itabidi kwa mvuto atafutwe mwengine.

Mimi; Mambi ya kichawi ni mazito sana.
Jini 1; Umechoka, lala wewe, kesho tumaliza ni marefu, bado hiujasikia kitu. Utayaona mengi, ndio maana hizi kazi unatakiwa uwepo, wewe unatisha hujijui tu.
Mimi: natisha nini?
Jini 1: haoi simba tu wa kwenu huko wanavyikulinda, wakijionesha kwa mchawi, lazima ageuze njia.
Mimi: Hivi hua wanaonekana, mbona mimi siwaoni?
Jini 1; Ukitaka kuwaona mwambie Arsis, yeye yule hata ukitaka kuona nini utakiona ana elimu kubwa sana, tena sana. babu yako alifanya kazi kubwa kung'oa yule, angejya hajui kusioma Qur'an mfululizo yule Arsis asingeng'oka kwenye chupa. Hajakwambia?
Mimi: Mwenye we hua anamsifu tu babu lakini hanielezi kwa kina.
Jini1: Hapendi kabisa kuongelea kifungo chake. Lakini wewe ukimuuliza atakuelea, sisi wengine tunakisia kisia tu. Bakot(ra anajua kila kitu, tena usiiache bakora kwenye hii kazi, Kuna wagtu na majini wakiiona tu mwamba ni wewe? Unajuwa pemba huko wanamichezo ya kuchapana bakora?
Mimi: Nimesikia tu.
HJini 1: siku hio ikifika nenda kiwanjani wanapochapana na bakora yako halafu wakuone kama watakuruhusu, utakipwa unachotaka usiingie. Nani atashing)da hio bakora inachapa yenyewe hukioni kilioiobeba kinachoxhapa. Hio hata Arsius anaiheshimu, tena usijarinu hata siku mmoja kumchapia mtu hio, wewe unawea kusema kidogo tu, kumbe unaumiza sana.
Mimi: wacha nipumzike.

Tukaagana pale, nikawa na mawazo zaidi, nikajuta kumuita. lakini hata sijui nimelala saa ngapoi, oka kustuka natazama saa kumina moija kasorobi, nikakoga mbio mbio, nikavaa nikabeba kibegi changu kidogo na bakora yangu, niaksema kahawa kwenye boti nasikia ipo.

Itaendelea.
Simba.
Mambo safii..
 
l

Simba: Kama kuna waliostukia hawakusema, mara nyingi huwa hivyo. Majini masokoni na madukani ni wengi kuliko watu.
Simba.
Naomba kufahamu jambo kama kuna mtu alistuka kama uko na hayo majini kuna viashiria gani vinavyomfanya ajue kwamba hao si watu bali ni majini yaani nini kinamtofautisha mtu halisi na jini aliyevaa taswira ya binadamu
 
Inatokea post namba 2023.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 4.

Nikawahi bandarini faster, ile nafika nikawakuta wote wasili nje, Tukasalimiana kijana akanipa ticket.
Kijana; Tumewahi sana, gtunaweza kupata kahawa, nimeona pale kuna mkahawa.
Mimi; Poa.
Jini 3; Mimi mtanisahe, tutakutana ndani, nawatafutia viti.
Kijana: Usiingie, tusubiri tutaingia wote kama hutaki kahawa.
Jini 3; Sawa, basi nawasubiri hapo nje mkimaliza tutagfatana.
Kijana: Ahsage kamanda.
Mimi: Unampa order kamanda wako?
Kijana: kwanini kiongozi?
Mimi; Umemwambia Usiingie tusubiri. Hiyo ni amri, sio ombi.
Kijana: kawaida, hio majini hawana kuremba remba kama Watanzania.
Mimi: Dunia nzima inatakiwa uwe na lugha nyepesi kwa kamanda wako.
Kijana; Nimemuita kamanda lakini sio kamanda wangu, kumbuka mimi ni binadam kama wewe sio jini.
Mimi; Hilo mimi bado halijaniingia kichwani la kua wewe ni mtu.
Kijana: kweli kabisa, kwanini huniamini, sisemi uongo, ni mwiko.
Mimi; Inafikirisha sana.
Kijana: Simba wewe utajifunza kusafiri haraka, kujificha, yaani mambo ya kijini yote utayajua, ukitaka lakini. Arsis kanifundisha yote ni elimu, sisi binadam tuna nguvu na majini wanatuheshimu na wanatuogopa sana. Tukiwa nao pamoja hata akiwa mfalme, mimi si lolote si chochote kwa nbbinadam wenzangu lakini kwo Mfalme ataniona mimi bora na nitakua karibu nae na atanitii.
Mimi; Kwanini?
Kijana; Kuna siku utaelewa. Soma.
Mimi; Twende tusichelewe.
Kijana; kunywa kahawa usijali, hawaondoki bila sisi.
Mimi: Unalegta uchawi?
Kijana; Hapana, ugaelewa tu.

Tukaondoka tukamkuta Jini3 aanatungoja nje, tukaondoka, kugfika kwenye biti, sisi ndio wa mwisho kabisa lakini hatujaulizwa kitu kabisa. Tukaingia ndani, tukakaa kidogo Jini 3 akasema mimi nakwenda nje, kijana akasema twendeni wote nje tuone bahari. Tukatoka nje, hapo biti imeshaondoka.
JUini3: Pale ndio tulipokutana jana.
Kutazama naona ananionesha oshen rodi kwa kutokea baharini, tumepaacha nyuma kidogo, tukasima tunaongea ongea, nikawambia mimi nakwend kukaa juu ya viti, nasikia kusinzia.

Nikaingia ndani nikapitiwa na usingizi mzito, kustuka, watu wanashuka Unguja. Na mimi nikaanza kushuka. Nikawoana wenzangu wapo nyuma yangu, nikawaza kumbe waliingia ndani mimi nimelala.
Nikasikia kama sauti ya kijana inanisemesha, tazama hapo bandarini utayaona mengi. nikqjuq huyu ananisemesha kama anavyonisemsha Arsis siku zingine, huwa namsikia kwenye mawazo, mwenyewe anaita telepathy. Na mimi nikamsemesha kimawazo, ukiona kitu sio cha kawaida kibinadamu nioneshe.
Kijana: Tazama hao wanaopokea watu.

Dah, kutazama, nusu yao majini, wa kila aina kila rangi, lakini kama hukuwatazama vizuri utaona wote ni binadam. Nikamwabia au unanifanyia mazingaombwe.

Kijana; Hapana, umewaambia wagtuokee bandarini?
Mimi; hapana.
Kijana; umefanya vizuri, sasa nisikilize, mimi hawanijui, waambie mimi ni mgeni rafiki yako tumetoka nae Dar. Na kamanda usijali hutamuona mpaka huko, kutaum kweli huko, hatupo.
imi: mnafanya vituko sio?
Kijana; hapana, imebidi yeye awahi.

Kijana: Hapana, umewaambia wagtupokee bandarini?
Mimi: hapana.
Kijana; umefanya vizurei, sasa nisikilize, mimi hawanijui, waambie mimi ni mgeni rafiki yako umetoka nae Dar. Na kamanda usijali hutamuona mpaka huko, kutaam kweli haytupo.
imi: mnafanya vituko sio?
Kijana; hapana, imebidi yeye awahi.

Itaendelea.
Simba.

Cha haraka kabisa kujua ni macho yake, jini hata afanane vipi na binadam macho yake lazima yacheze kwa haraka kulia na kushoto.

Na viashiria vingine vingi tu. Ukishawazoea, uwepo wao tu hata kama hujawaona unajua hapa yupo jini au wapo majini wangapi na wa aaina gani, kabla hata hujaaona.
Simba.

Simba.
Kuchezaje? Ya binadamu hayachezagi je kuna sign nyingine zaidi japo moja tu pia humo masokoni na madukani huwa wanafanya nini hasa?
 
My Life Experience 03

Vitabu vya dini vipo sahihi kwa kiasi isipokuwa watafsiri wa hivyo vitabu ndo wanapindisha mambo.

Djinn ambae wapo kwenye vitabu vya dini ni kweli wameumbwa kwa moto, Pia anaezungumziwa kwenye vitabu vya dini sio hawa ambao ni Chotara/Djinn/Soul/Nafsi bali ni hao ambao wapo kwenye Ulimwengu/Dunia/Sayari ya pili baada ya hii yetu.

Jiulize tu Kiumbe kimeumbwa kwa moto then inakuaje akaweza kukaa na kustahimili katika ulimwengu huu wa kwetu ambao viumbe vyake vimeumbwa kwa udongo?

Djinn wa kwenye vitabu vya dini hafungamani na binadamu, Hata kumuona kwake ni mtihani ingawa wanakuja mara chache na kukaa kwa muda mfupi usiozidi masaa matano katika ulimwengu huu.

Kuna nyota huwa zinachomoza ghafla angani na huwa zina ng'aa sana, Nyota hizi zinaweza kaa ndani ya wiki moja, mbili, tatu na mpaka nne ndio zinatoweka. Nyota hizi zina ashiria kuna binadamu amezaliwa ambae ana nguvu za kimungu ndani yake, Hivyo hawa Djinn halisi ndio huja ulimwengu huu kwaajili ya Binadamu huyo na watakuja mara kwa mara kumuona mpaka Binadamu huyo atakapo fariki.

Wanakuja kumpa Elimu ya Mafumbo, Alama na Maandishi. Hawatoengea nae neno hata moja kwasabau lugha yao na yetu ni tofauti.

Hakuna Binadamu mwenye uwezo wa kuwaita wala kuwa control isipokuwa kwa yule waliye mjia tu.
Hesabu ya kukaa masaa matano umeikokotoaje mkuu?
 
Inatokea post namba 1739.

Vionjo vya Arsis 4 Kumwokoa Msukule Unguja 2 .

Tukaanza kuondoka, yule kijana akasema.
; Simba; wewe ndio kiongozi wetu kwenye masafara wote huu mpaka tumalize kazi.
Jini 3; Simba hata mimi nina uzoefu mkubwa sana lakini wewe ndio kiongozi wangu, usisite kunituma au kuniambia chochote kuania leo, na siku yoyote ile.
Mimi: Sifahamu lolote juhusu kazi zenu, mimi huwa mtazamaji tu, kwa hio msitegemee chochote kutoka kwangu.
Jini 3; Subiri nikufahamishe vitu fulani kwa kina.
Kijana; Simba kama kuna sehemu tunaweza kukaa tukapata juisi twende, tukae huku tunaongea.
Mimi: Tena haipoo mbali, ni vizuri umesema, mimi nasikia njaa.
Kijan: naomba twendeni hapo, au unasemaje?
Mimi: Sawa.

Nikaenda nao mpaka uwanja wa posta ndogo ya zamani pale ilikua stendi ya mabasi ya Arusha, mtaa wa Morogoro Road na Libya. Ule uwnja usiku wanauza kuku, chpss na vyakula vya kihindi na juice kila aina.

Tuweka gari tukaenda kukaa meza hya pembeni kidogo, kukaa tu kaja, mhudumu wa kiume; Nikaagiza kuku wa kuchoma wa masala na chips. na juisi ya kungu, Yule kijana na yeye akssema na mimi hivyo hivyo. Jini akakataa kuagiza chochhote, akasema yeye yupo vizuri. Alipoondoka mhudumu...

Mimi : Wewe mbina huongei Kiswahili vizuri, sio Mtanzania?
Kijana: Mimi sio Mtanzania, mimi ni mgeni.
Mimi: Umejuaje Kiswahili.
Kijana ndio najifundisha lakini sio kigumu, badoo matamshi tu yananipa shida, lakini nakijua chote.
Mimi; Na wewe ? Nikamuuliza yule jini.
Jini 3: Mimi naongea kiswahili alinifundisha Arsis alipotoka kifungoni. Mimi nafahamiana na Arsis kabla haajafungwa.
Mimi: Wewe si mpiganaji, kwanini haujamtoa?
Jini 3 Kifungo cha majini ni tofauti na kifungo cha kibinadam, si umesikia alifungwa kwenye chupa?
Mimi Ndio, hi;lo najua.
Jini 3: Tungeweza kumtoa kwa vita lakini ile via ingekuwepo mpaka leo na ingeendelea kwa miaka mingi sana. Tukawa tunfanya diplomasi atoke ikawa inashindikana kwa sababu aliamua amfunge aikua hataki atolewe na yeye ni mzee sana na anaheshima kubwa sana. lakini alikufa wwiki baafda ya kutolewa Arsis. Ulisikia?
Mimi: Sijasikia, nani anambie?
Jini 3; Arsis , kama hajakuelezaa ana sababu zake nzuri, lakini kuna siku atakueleza vizuri. Kufa kwake yule ndio salama ya Arsis kutofatwa sana kwa sababu hukumu yake imekwisha, majini hawarithiwaliokua nnje ya himaya yao. Lakini angekua bado yupo kwenye chupa, aliemrithi kiti yule mzee angmrithi na Arsis, angekua ndani mpaka leo.
Mimi; Amekufa kwa sababu zipi?
Jini 3; Amekufa kwa siku zake, kufika na alikua mzee sana. Hajawahi hata kuongelea habari za kutolewa Arsis, alikua hawezi kuongea. Ndio maana Arsis smekupa hio pete wewe. Kwa furaha yake.
Mimi; Kwanini hajampa babu yangu aliemuokoa?
Jini3; Babu yako ndio alitaka upewe uwewe. Ndio ukaletewa pale pangoni ulipofika, lakini aliamua siku nyoimgi upewe wewe sio yeye. Hio pete ndio inakufanya wewe kua mkubwa wetu kwa daraja sio kwa uzoefu. Uzoefu hata kama hauna, sisi hatuwezi kukuacha ukafanya maamuzi sio sawa, ni lazima tukuelekeze.
Mimi; Huyu anasema yeye binadam?
Jini3; Ndio,, huyu bndam, sema anajua mengi sana, kajifunza mengi na yupo tayari kukufundisha wewe kila kitu anachokijua. Yupo chini ya amri yako wakati wowote.Labda uwe hauna hi pete.
Mimi: kwa hio mimi naeza kuwaita nyinyi moja kwa moja?
Jini3: Unaweza ukitaka lakini hakuna sababu ya kutuita sisi, una watumishi wako wawili, wale ndio wakuwaita na wale wakishindwa kazi yoyote au wanajua hii kazi ya fulani wantuita sisi au wengine wanaifanya.
Mimi; Eapo wengine?
Jini 3 Wapo lakini wale tofauti na sisi, hawana mamlaka yoyote na hawatuhusiwi kuja uwaone, hata leoi walikuwepo wengi sana pale tulipokutana, wengine waalikua hawajawahi kukuona leo ndio mara ya kwanza.
Mimi: Nikitaka kuwaona nafanya nini?
Jini 3; Ongea na Arsis atakuonesha wote, hawezi kukukatalia hata dakika moja, sisi hatuwezi kukuonesha. Hatuna amri hio.
Mimi: Tunafanya nini kesho>
Kijana: Kesho hatuna kazi kubwa, kazi ni kuwasubiri wale waje kumchukua binti, ni lazima wamchukue wao, wamgtoe uchawi mbele yetu, waadhibiwe halafu tumemaliza kazi.
Mimi: Watakuja kumchukua wapoi?
Kijana: Pale pale kwao wlipomficha.
Mimi: Kwanini waje kumchukua halafu wawape nyinyi?

Itaendelea.
Sim

Shusha episode mkuu, achana na maneno ya wenye wivu na stori yako.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom