Nilivyoelewa mimi kuwa
Yesu siyo jina lake kabisa. bado naendelea kutafuta wakristo wamelitowa wapi jina Yesu? kwa karibu kabisa nimepata ni wagiriki na wayunani ndiyo walimuita Yesu, siyo Wayahudi na Waarabu.
Sema nimeanza kufahamu kuwa Yesu siyo Myahudi, kwa sababu nimeona kuwa mama yake ni mtu kutoka Misri na wayahudi wanafata asili na ukoo kutokea kwa mama. Wakristo wanaamini hana baba, Waislam wenfi wanaamini hana baba. mimi binafsi naamini anaye baba mzazi, code zake zinafunguliwa na Qur'an.
Hii mada nzito sana kuliko tunavyoiona kijuujuu, sijawaahi kuona mada, hapa JF, iliyonifanya nibukuwe kwa haraka haraka kama hii. Nimepata ma 'reference" kibao ya kuchimbuwa, nimepata kipya humu cha "Meritaton.".
Duh! hivi kuna ma reference kibao kila mmoja kaandika chakae kuhusu Meritaton, cha ajabu, bibilia haijaandika sana kuhusu mama yake Yesu, Qur'an imeandika sana kuhusu Mariam, na mleta mada katupa jipya kabisa kutokea kwa "Arsis".
Nayamani sana nimjuwe huyo "Arsis" n nani? naanza kuwaza isje kuwa "Khidr" kwenye maandiko ya Kiislam.
cc'
Corazon Espinado