GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 63,006
- 126,388
Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
😂😁Msigwa ni mzigo kwa taifa.
Hapa hajajipata badoHuyo ni dogo anaendeshwa na dogoView attachment 3466144
Kulingana na mfumo wetu wa uongozi huyo ndiye anayetufaa sisi, hatutaki watu wanaohojihoji.Niseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
Ni mtaalamu wa kuahirisha kufikiri kwa nafsi a.k.a kujizima dataNiseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
Unamuonea wivu msigwa kwasababu ameshajipataNiseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
Ni wakumhurumia hakuna wivu wowoteUnamuonea wivu msigwa kwasababu ameshajipata
Huyu sijui ni nani alimshika mkono na kumpeleka hapo juu. Tokea ripota wa kuungaunga huko songea ghafla tu huyo, akaanza kutoa maboko na bado anaendelea.
Naunga mkono maada hii.
Nchi imejaa wajinga, watu 65M+ tunakabidhi uongozi wa nchi kwa tabaka la wapumbavuNiseme tu kuwa Gerson Msigwa anahitaji miaka zaidi ya 200 kuwa na IQ kubwa aliyonayo JamiiForums Founder Maxence Melo
Soo unaona watuu water walioko jamii forums wana Njaaa kama weweUnamuonea wivu msigwa kwasababu ameshajipata