naombeni ushauri

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. EricMan

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri: Nilipokuwa nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa

    Nimekumbwa na changamoto ya kifedha ambapo nilipokua nafanyia kazi wamenifanyia fitna nikafukuzwa na fitna hiyo ni baada ya mimi kujenga kajumba kangu mpaka hatua ya kupaua.. Wamenifanyia fitna baada ya kuona kahatua hako nilikopiga. Mbaya zaidi fitna hii imekuja ndo nimemaliza kupaua tu na...
  2. livingroom_espionage

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu ndoa

    Salaam wakuu, mimi ni mwenzenu ila account yangu sijui imefanyaje na ile email walihack ila nimefungua account mpya. Sasa ndugu zangu mimi nina 38 sasahv na ndio naingia kwenye ndoa, huyu binti nilizaa nae miaka 12 iliyopita, ila nilikuwa sijapata kibali cha kuishi nae pamoja. Sasa naombeni...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina mtaji wa 50,000 (Shilingi elfu hamsini)

    Samahani wakubwa nimeuza vitu vyangu kadhaa nimepata Shilingi elfu hamsini, nahitaji hii Hela isipotee maana sijui nitapata lini Tena. Naombeni wazo la shughuli ya kufanya Kwa kutumia kiasi hiki Cha Pesa na nipate faida. Niweze kuweka akiba ya 2,500 Kila siku Jinsia mwanaume miaka 28 Dar es...
  4. mchuzi juu

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya uwekezaji nimeufanya (Saloon)

    Mimi ni kijana na last time April nilinunua ofisi ya kinyozi (saloon) kwa gharama zisizopungua 700K pale Mbeya mjini. Kwa mujibu wa aliyekuwa mmiliki wa hiyo ofisi hapo awali, ni kwamba alikuwa anaingiza pesa nzuri kwa siku kutokana na location nzuri n.k. Sasa baada ya ofisi kuwa chini yangu...
  5. T

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri biashara ya magari ya mchanga 20cbm FAW, HOWO

    Naombeni ushauri kwa wawekezaji kwenye hii sekta mikataba kwa siku dereva analeta kiasi gani kwa boss kwa gari ambayo ni mpya ,mikataba inaenda kwa miaka mingapi maintainance nzima za magari na mfumo wa uendeshaji kwa biashara hii ya magari ya mchanga ,Dump Trucks !!
  6. Nexltshahda

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri, mtoto wangu ana tapika na kuanguka

    Mimi ni baba mwenye familia ya mtoto mmoja, umri miaka miwili lakini mtoto huyu amekua apitia changamoto ya kutapika saa zingine analala zaidi ya masaa 4 hajaamka, na muda mwingine ananguka kifafa sio kifafa sijui ndiyo degedege mwenzenu hata sielewi. Naombeni ushauri na tiba maana zahanati...
  7. Kilawo

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nina million 3 nifanye biashara gani?

    Habarini wakuu Katika Harakati za hapa na pale nimepata milion 3 nifanye biashara gani?ili niweze kupata Kwa siku faida ata 30k.
  8. Strong and Fearless

    JamiiForums Tanzania NAOMBENI USHAURI

    Kuna siku kazini tulikuwa na get together, basi tukatoka out Kama office to have dinner then later watu wakaextend wakaenda kwenye mziki, so what happened is my boss was there so nilishangaa tu kwenye my table vimeletwa vinywaji naambiwa ni offer kutoka kwa fulani ( my boss) nikasema okay though...
  9. JimCarrey

    JamiiForums Tanzania Nifanyaje niache kubeti?

    Guys naombeni ushauri unaofaa nimekua mraibu wa kubeti mpaka Sina Tena marafiki, Nina madeni mpaka kausha damu, mkewangu anataka aondoke aniache, Nina watoto wanne na wanasoma, mwaka jana tu kidogo watimuliwe shule kwa kukosa ada. Nikakomaa miezi mitatu bila kubeti ila imeshindikana nimeanza...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Madereva wa serikali naombeni ushauri hapa.

    Mwenzenu Mimi ndo natarajia kuanza veta lengo likiwa kupata cheti Cha mafunzo ya udereva hatimae nikamalizie na NIT.Lengo ni kuingia serikalini kupitia driving kwahivyo wale madereva wazoefu mlioko huko,wale mnaohusika na kada ya usafirishaji serikalini naombeni ushauri katika Hilo aidha...
  11. Troll JF

    JamiiForums Tanzania Naombeni Ushauri

    Jamani kuna binti alikua mpenzi wangu sasa kuna siku nilienda kwake nikafanya yaliyonipeleka nilikua nimevaa boxer mbili moja kama bukta zile za juu na ya ndani ya polyester ya kubana Sasa ile boxer ya juu bahati mbaya nilisahau kwake na nilivyomuuliza kataja mpaka jinsi ilivyo lakini anasema...
  12. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kushea biashara na mtu

    Nimepata mdau ameniomba aweke mtaji kwenye ofisi yangu kesho ndo nataka nikamsikilize. Ila ni kuongeza bidhaa ofisini Mm plani yangu ni kama ataongeza mtaji basi nilitaka nimwambie mtaji wake tuweke kwenye simu ndogo za batani radio za kuchajisha na sabufa zisizo zidi Bei ya 120 Na bidhaa...
  13. Godoro la kioo

    JamiiForums Tanzania Hizi pocket router za Voda zikoje? Naombeni ushauri kabla sijajichanganya

    Wakuu . Kama kichwa kinavyojieleza Nahitaji kuchukua wi-fi lengo kubwa ni kuona namna Gani naweza kusave Hela ambayo ningeitumia kununua vocha za Kila siku Na nimepata hiyo hapo Pocket rout ya voda kifurushi kinaanzia 10k Sasa nahitaji kujua kwenu wazoefu je hicho kifurushi Cha 10k unapata Gb...
  14. Seran

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri juu ya mtoto asiyepelekwa shule kisa hakuna ada

    Ni kuhusu baba hampeleki mtoto shule, kwa ufupi tu mtoto anatakiwa aingie Grade 2 lakini hata grade 1 hajaimaliza, baba yake anaforce shule za ada kubwa wakati ameshakwama kimaisha, anamlea katika mazungira ya gharama sana kitu ambacho hakiwezekani kwa sasa! Mtoto hasomi anasema anasikilizia...
  15. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri

    Wakubwa kwema, Tafadhali naomba ushauri mimi ni kijana wa miaka 32 sijao ila nina mchumba ambaye tuna mpango wa kuoana mwaka huu na maali nimeishapeleka kwao. Ni mwanamke ninayempenda ambaye nimekaa naye kwenye mahusiano takribani miaka mitatu ila kipindi nimeanza mahusiano nae tulisumbuana...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri kuhusu kumuoa huyu binti

    Mimi ni kijana wa miaka 30, nilikutana na Binti Mmoja tukiwa chuo, miaka ya nyuma kidogo.. nikawa na namba yake, lakini nilimtomgonza, miezi Sita iliyopita akakubali, na nikamwambia nataka kumuoa. Ila sasa toka kipindi icho amekuwa akinilazimisha niende kwao kutoa posa na mahari. Tunaishi mikoa...
Back
Top Bottom